Historia ya Mauaji ya Kimbari ya Rwanda: Kilio Cha Mifereji ya Damu iendayo Ethiopia

Hahahaha rwanda mbona haijaipita tz tu nchi nyingi sana imezipita maana kila siku naona kwenye taarifa za kutoka kwenu "yawa ya kwanza"hata kama ni kujenga choo cha plastiki ila cha ajabu ya pili huwa haitangazwi[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] ila mnafurahisha
 
Kweli kabisa watz wanaganda ila nyie mnaganda sana anyway kwa hilo nawapongeza maana mko tayari kula hata majani.

Weka fact hyo research uliifanyia wap na sample space ilkuaje acha kuleta stor za vijiweni
 
Sina muda mchafu huo wa kufuatana DM ndugu yangu kama umeshindwa kuweka kwa DP wasalimie wanaume wa Dar waambie huku Dakar tunakula upepo wa Atlantic haya Neno Genocide naona ndio Keyword twende kazi,
Sasa muda Mchafu wa kuulizia picha yangu umeutoa wapi[emoji23][emoji23][emoji23].... au wataka kunitoa sadaka[emoji23][emoji23][emoji23]....

kuleni tu hata upepo wa Somalia... We dont give Afuck about you or anything that you do....

Wanaume wa Dar tuko nao hapa na wengine wako kigali wanatuletea report zenu za kunyanza..... nasikia wakijaga mnashoboka... Mitutu ya bunduki mpaka club[emoji23][emoji23] miserable country..
 

Mngeringa sana mmebakia na stori kama za mabaharia pale magomeni utaskia mimi nilikua na ela kipindi kile mara mimi nimemsomesha yule huyo huyo mtu ukimwangalia hana hata ela ya kula mchana.Proudly Rwandese
 

Safi sana kumbe unatukubali kiaina mpaka unafuatilia mambo ya Club [emoji3] Rwanda Forever.
 
Weka fact hyo research uliifanyia wap na sample space ilkuaje acha kuleta stor za vijiweni
Mkuu mi sample yangu ni moja tu ya yule wa SA[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] alijifunza kiswahili kwa nguvu wakati tunakuja tz nikamwambia usiogope nchi ya upendo ile hakuna wa kukukamata mbona ndugu zako kibao tunawalea pale alipokuja akakubali maana alipendwa na wengi na kiswahili chake cha kuunga hadi nilipomfanyia Psychological warfare[emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji27]
 
Mngeringa sana mmebakia na stori kama za mabaharia pale magomeni utaskia mimi nilikua na ela kipindi kile mara mimi nimemsomesha yule huyo huyo mtu ukimwangalia hana hata ela ya kula mchana.Proudly Rwandese
Em tukuulize wewe mwa kwetu mwaka 94 ulikuaga wapi[emoji23] ..maana haiwezekani ufike magomeni bila kukimbia kwenu....

maana si ajabu saivi uko zako kirasini darajani unakula upepo wa bahari yetu huku mapovu yanakutoka mpaka magomeni[emoji23][emoji23][emoji23]......
 
Alisahau kama ameulizia picha[emoji28] [emoji28] [emoji28] njaa sio rafiki
 

Tz sababu wenyeji akili zijaamka tumefanya investment za kutosha na kuajiri waswahili kibao so we live like that Pole sana.
 
Kuna kikomo cha busara[emoji23][emoji23][emoji23] mtu akianza kuniingia maungoni sitakagi utani
We ni soja hata mi nilikuwa nakasoma nikaona kanavuka mipaka afu kumbe kanaongelea uhamishoni huwa vikirudi vinafikishiwa gerezani na kufanyiwa utafiti kwanza hako kurudi kwao sio rahisi sema nahofia kukafungulia vitabu vyote maana hawa watu walipata shida sana kimsingi siwaombei warudi kule ni mateso mno
 
Safi sana kumbe unatukubali kiaina mpaka unafuatilia mambo ya Club [emoji3] Rwanda Forever.
si zipo hapa Jf zimesambaa tunajionea maajabu...
mtu usibambie ushawekewamtutu wa bunduki kwenye mbavu... ukienda huku unamtutu usoni[emoji23][emoji23][emoji23]....


mtu unapunga upepo wetu ,,afu unajifanya kukashifu yo baba land[emoji23][emoji23][emoji23]..
et p Rwandese..... baada ya miaka kadhaa naomba safari hii muelekee south sudan
 

Upepo huo wa bahari mlileta wewe na mama yako baba land n Rwanda Fullstop Tz for business Dakar for Working ni hayo tu kwa leo.nimemaliza tukutane tena kesho
 
Upepo huo wa bahari mlileta wewe na mama yako baba land n Rwanda Fullstop Tz for business Dakar for Working ni hayo tu kwa leo.nimemaliza tukutane tena kesho
Hahahaha upepo ni moja ya Vitu tunajivunia Tz......
hujui kuwa upepo wa hindi ocean unaondoa mikosi na akili za kuplan genocide[emoji23][emoji23]
 

Wengi wa waswahili kutembea ni shida hata mbuga za wanyama mnazo ila hakuna anaeenda kutembea ndio maana mnakua na ubongo umejaa toilet pepa Tembeeni muone msikae kae hapo kweny ndio maana mtu akiwa na gari anaonekana Tajiri gari zenyewe used japani Poleni sana Rwanda hakuna mateso Rwanda unaishi utakavyo hakuna vibaka kama kwenu Tz njaa kali sana punguzeni unaaaa.Proudly Rwandese Kagame forever.
 
Tz sababu wenyeji akili zijaamka tumefanya investment za kutosha na kuajiri waswahili kibao so we live like that Pole sana.
Karibuni muwe kabila la 122 hapa mbona si hatuna wasi tunakaribisha wote na bado nafsi ziko huru kuliko uhuru wenyewe ila mjifunze basi kama tunaweza kuvumiliana na kuweka tofauti kando nyie mmeshindwa vipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…