Na ndio hapo nasubiri sehemu ya 6 uzi huu nione kama THE BOLD naye atatulisha zile propaganda kuwa wahutu ndio waliua watutsi hapo ndipo patamu maana ndio kuna upotoshaji mkubwa unafanywa na hawa watutsi ili kuficha ukweli
Ila kma nlivyosema hapo mwanzo tuwaombee tu roho za chuki ziishe na waishi kwa amani ila zaidi ya hapo naona wingu jeusi huko mbeleni hasa siku kagame akiachia madaraka
kuna maneno matatu katika dunia hii ni yamsingi kuliko dhahabu nayo ni pole,asante na samahani.
sasa iko hivi kitakachowezesha kisasi kisiwepo ni wao kusimama na kuongelea kweli na kweli itawaweka huru yohana 8:32 halafu waombe msamaha kwa upotoshaji na waseme sasa na tuijenge nchi pamoja vinginevyo hasira na visasi na damu iliyomwagika isiyo na hatia itaendelea kuwalilia.
sijui lakini naamini inawezekana mpaka leo hii kuna wahutu wengi wanauwawa ili rais atawale kwa nafasi hili haliwezi kuisha salama moto lazima uwake.
lakini mimi najiuliza kwanini mwandishi ameleta hii makala sasa na haikuwa kipindi kingine na hasa wakati huu kagame anapokwenda kugombea uwenyekiti wa OAU ili iweje?
mwandishi anamsafisha kwa kiasi kikubwa ili tumuone kwamba hana hatia.
ni kweli yapo mazuri ameyafanya mengi tu lakini kama asipowaomba msamaha wahutu bado kuna moto mkali unafuka ambao safari hii ukiibuka ni zaidi ya gas.
inaweza kuchukua hata miaka 40 lakini kama kweli haitakuwa wazi kisasi ni lazima.
watusi zio watu wanaoaminika huo ndio ukweli ninavyoamini na siwezi badilika.
imefika wakati mwandishi anamuhusisha kushiriki kwake katika vita ya tanzania na uganda hivi ni kweli sisi hatukuwa na watu wazuri tukaongozwa na huyu?
sijui lakini naogopa isije ikawa lile azimio la watusi watawale maziwa makuu ndio linaanza kutafutiwa mfereji wa utekelezaji na safari hii ni kwa jamii kuwaonea huruma.
pia ni kweli watu waliuwawa ila sikubaliani kuwa eti zaidi ya watusi 1,000,000 waliuwawa hiyo nchi ilikuwa na idadi ya watu kiasi gani mpaka watu wote hao wachinjwe na wahutu hili limeongenzwa ili wahutu waonekane ni watu wenye roho mbaya na sio kweli