Historia ya Mauaji ya Kimbari ya Rwanda: Kilio Cha Mifereji ya Damu iendayo Ethiopia

Ni kweli mkuu kuna watu bado wanauchungu sana muda huo huo bado wanaendelea kuburuzwa yaani sababu zilizopelekea vita ya 1992-97 hazijashughulikiwa hivyo hasira bado zipo ila all in all tuwaombee tu Mungu awape moyo wa kusahau mauaji yale na waishi kwa amani

Long live East Africa community
ni kweli lakini kinachowauma ni watusi kuchukua mauaji yale kama ni wao peke yao ndio waliuwawa na kuendelea kuijulisha dunia kuwa iamini wahutu ni watu wabaya sana.
sasa kama maumivu kidogo yalimuumiza kagame akiwa na umri wa miaka mitatu na yakachora kisasi inakuwaje kwa hawa wengine wanaobeba sasa?
na hapo tushukuru serikali zinazowazunguka zimepunguza mzigo wa hasira kwa kuwachukua baadhi ya raia wa rwanda kama wazawa wa nchi hizo na hasa tanzania,congo na uganda.
 
Unaposimama kama mtanzania kubishana na watu wa mataifa mengine kumbuka watu watakutambua kama mtanzania unayewakilisha mawazo ya baadhi ya watanzania wenzako kwaiyo usije fanya watz tukaonekana wa hovyo

Play smart
We unajuaje nani mtanzania na nani mnywarwanda??? Hili jukwaa kuna watu wa mataifa ya jirani wengi tu na hazuiwi kuchangia mada hata za CCM vs CHADEMA ilihali sio mtanzania sasa kma unaona sisi hatutakiwi kujadili mada za nchi jirani basi mods waufute huu uzi au waupeleke East African forum!!!

Hili ni jukwaa huru mkuu na halina utaifa so kama unafkiri tunawakilisha nchi zetu hapa basi unajidanganya
 
ni kweli lakini kinachowauma ni watusi kuchukua mauaji yale kama ni wao peke yao ndio waliuwawa na kuendelea kuijulisha dunia kuwa iamini wahutu ni watu wabaya sana.
sasa kama maumivu kidogo yalimuumiza kagame akiwa na umri wa miaka mitatu na yakachora kisasi inakuwaje kwa hawa wengine wanaobeba sasa?
na hapo tushukuru serikali zinazowazunguka zimepunguza mzigo wa hasira kwa kuwachukua baadhi ya raia wa rwanda kama wazawa wa nchi hizo na hasa tanzania,congo na uganda.
Na ndio hapo nasubiri sehemu ya 6 uzi huu nione kama THE BOLD naye atatulisha zile propaganda kuwa wahutu ndio waliua watutsi hapo ndipo patamu maana ndio kuna upotoshaji mkubwa unafanywa na hawa watutsi ili kuficha ukweli

Ila kma nlivyosema hapo mwanzo tuwaombee tu roho za chuki ziishe na waishi kwa amani ila zaidi ya hapo naona wingu jeusi huko mbeleni hasa siku kagame akiachia madaraka
 
Kama unaasili yakihutu simamia uhutu kutema yongo zako usitumie kivuli cha utanzania
Mimi ni mtanzania niliezaliwa kenya nikakulia uganda na kusoma rwanda at some point na huko kote nimeacha ndugu jamaa na marafiki na kwa namna moja ama nyingine nimepoteza ndugu jamaa na marafiki wengi tu kwenye ile vita na wengine ni wakimbizi huko nchi za nje kisa vita ssa unapotuzuia tusichangie mada unakuwa hututendei haki wewe kma hauna cha kupoteza basi unaweza ukaignore usisome comments zozote humu
 
Na ndio hapo nasubiri sehemu ya 6 uzi huu nione kama THE BOLD naye atatulisha zile propaganda kuwa wahutu ndio waliua watutsi hapo ndipo patamu maana ndio kuna upotoshaji mkubwa unafanywa na hawa watutsi ili kuficha ukweli

Ila kma nlivyosema hapo mwanzo tuwaombee tu roho za chuki ziishe na waishi kwa amani ila zaidi ya hapo naona wingu jeusi huko mbeleni hasa siku kagame akiachia madaraka
kuna maneno matatu katika dunia hii ni yamsingi kuliko dhahabu nayo ni pole,asante na samahani.
sasa iko hivi kitakachowezesha kisasi kisiwepo ni wao kusimama na kuongelea kweli na kweli itawaweka huru yohana 8:32 halafu waombe msamaha kwa upotoshaji na waseme sasa na tuijenge nchi pamoja vinginevyo hasira na visasi na damu iliyomwagika isiyo na hatia itaendelea kuwalilia.
sijui lakini naamini inawezekana mpaka leo hii kuna wahutu wengi wanauwawa ili rais atawale kwa nafasi hili haliwezi kuisha salama moto lazima uwake.
lakini mimi najiuliza kwanini mwandishi ameleta hii makala sasa na haikuwa kipindi kingine na hasa wakati huu kagame anapokwenda kugombea uwenyekiti wa OAU ili iweje?
mwandishi anamsafisha kwa kiasi kikubwa ili tumuone kwamba hana hatia.
ni kweli yapo mazuri ameyafanya mengi tu lakini kama asipowaomba msamaha wahutu bado kuna moto mkali unafuka ambao safari hii ukiibuka ni zaidi ya gas.
inaweza kuchukua hata miaka 40 lakini kama kweli haitakuwa wazi kisasi ni lazima.
watusi zio watu wanaoaminika huo ndio ukweli ninavyoamini na siwezi badilika.
imefika wakati mwandishi anamuhusisha kushiriki kwake katika vita ya tanzania na uganda hivi ni kweli sisi hatukuwa na watu wazuri tukaongozwa na huyu?
sijui lakini naogopa isije ikawa lile azimio la watusi watawale maziwa makuu ndio linaanza kutafutiwa mfereji wa utekelezaji na safari hii ni kwa jamii kuwaonea huruma.
pia ni kweli watu waliuwawa ila sikubaliani kuwa eti zaidi ya watusi 1,000,000 waliuwawa hiyo nchi ilikuwa na idadi ya watu kiasi gani mpaka watu wote hao wachinjwe na wahutu hili limeongenzwa ili wahutu waonekane ni watu wenye roho mbaya na sio kweli
 
Mimi ni mtanzania niliezaliwa kenya nikakulia uganda na kusoma rwanda at some point na huko kote nimeacha ndugu jamaa na marafiki na kwa namna moja ama nyingine nimepoteza ndugu jamaa na marafiki wengi tu kwenye ile vita na wengine ni wakimbizi huko nchi za nje kisa vita ssa unapotuzuia tusichangie mada unakuwa hututendei haki wewe kma hauna cha kupoteza basi unaweza ukaignore usisome comments zozote humu
Sasa usitumie utanzania kuwasilisha maumivu unayoyapata juu ya ndugu zako waliouawa kwasababu sisi kama watanzania hutana interest na chochote kinachoendelea huko iwe ni mafanikio au mapungufu yao, mazuri au mabaya yao

Au uwaombe wanavyokujibu wasiitukane Tanzania wakutukane wew na wengine mnaolinenea taifa lao mabaya
 
kuna maneno matatu katika dunia hii ni yamsingi kuliko dhahabu nayo ni pole,asante na samahani.
sasa iko hivi kitakachowezesha kisasi kisiwepo ni wao kusimama na kuongelea kweli na kweli itawaweka huru yohana 8:32 halafu waombe msamaha kwa upotoshaji na waseme sasa na tuijenge nchi pamoja vinginevyo hasira na visasi na damu iliyomwagika isiyo na hatia itaendelea kuwalilia.
sijui lakini naamini inawezekana mpaka leo hii kuna wahutu wengi wanauwawa ili rais atawale kwa nafasi hili haliwezi kuisha salama moto lazima uwake.
lakini mimi najiuliza kwanini mwandishi ameleta hii makala sasa na haikuwa kipindi kingine na hasa wakati huu kagame anapokwenda kugombea uwenyekiti wa OAU ili iweje?
mwandishi anamsafisha kwa kiasi kikubwa ili tumuone kwamba hana hatia.
ni kweli yapo mazuri ameyafanya mengi tu lakini kama asipowaomba msamaha wahutu bado kuna moto mkali unafuka ambao safari hii ukiibuka ni zaidi ya gas.
inaweza kuchukua hata miaka 40 lakini kama kweli haitakuwa wazi kisasi ni lazima.
watusi zio watu wanaoaminika huo ndio ukweli ninavyoamini na siwezi badilika.
imefika wakati mwandishi anamuhusisha kushiriki kwake katika vita ya tanzania na uganda hivi ni kweli sisi hatukuwa na watu wazuri tukaongozwa na huyu?
sijui lakini naogopa isije ikawa lile azimio la watusi watawale maziwa makuu ndio linaanza kutafutiwa mfereji wa utekelezaji na safari hii ni kwa jamii kuwaonea huruma.
pia ni kweli watu waliuwawa ila sikubaliani kuwa eti zaidi ya watusi 1,000,000 waliuwawa hiyo nchi ilikuwa na idadi ya watu kiasi gani mpaka watu wote hao wachinjwe na wahutu hili limeongenzwa ili wahutu waonekane ni watu wenye roho mbaya na sio kweli

Unasema kwanin mwandish analeta sasa hii makala wewe ulikua wap kuleta hii makala miaka ya nyuma.........? Na kwa akili yako ndogo unaadhan hii makala kaanza andika leo njoo kwenye wasap group au website yake uone aliandika makala hii mwaka gani.na unasema et anamsafisha kagame agombee chairman wa AU who is the Bold btw.??? Mkiambiwa ni wapumbavu mnakua wakali
 
nilitegemea kuwa hapa tutajadili kwa hoja na sikutegemea matusi kutoka hapa. MUNGU akusaidie wakati mwingine utumie busara aliyokupa vizuri na ukue ukiwa na hekima.
huwezi kunilazimisha nijadili hii mada kwa unavyopendezwa wewe hili sio kweli kabisa aliyeandika pia anajua kuwa angekutana na maswali kama yangu na sio lazima ayajibu na sio wajibu wangu kuandika kwakuwa sio kila kitu tunajua na tunastahili kuandika hapa.
swala la wasap zidhani kama linanihusu sana na ndo maana sikuijibu huko na nimekutana nayo hapa.
nasema tena sidhani kama nastahili kutukanwa na kudharauliwa kwa kusema ninayoyaona lakini kwakuwa tupo muda utaongea.
 
Unasema kwanin mwandish analeta sasa hii makala wewe ulikua wap kuleta hii makala miaka ya nyuma.........? Na kwa akili yako ndogo unaadhan hii makala kaanza andika leo njoo kwenye wasap group au website yake uone aliandika makala hii mwaka gani.na unasema et anamsafisha kagame agombee chairman wa AU who is the Bold btw.??? Mkiambiwa ni wapumbavu mnakua wakali
umenifanya nirudi tena kusoma nilichoandika sioni tatizo la kutukanwa kwangu kwa nilichoandika bado nasisitiza kama Kagame asipotafuta mazingira ya kuwaomba msamaha wahutu na kufanya upatanisho wa kweli na kuondoa tabaka kati yao basi hii ngoma bado mbichi ni swala la muda kwakuwa damu yao inalia kisasi
 
Au uwaombe wanavyokujibu wasiitukane Tanzania wakutukane wew na wengine mnaolinenea taifa lao mabaya
Wapi nimetumia utanzania wangu napoongelea hii mada ??? Huyo Jestkilla yeye hutukana Tanzania kokote pale anapokosolewa ni mwehu tu huyo sio wa kumchukulia serious... Kuna mtu hapo juu kamuuliza tu lugha kubwa rwanda ni ipi akaishia kumtukana kuhusu makinikia sasa wengi wameshamzoea ww kwanni ikuumize kichwa Tanzania ikitukanwa??? Ameshakula ban nyingi tu huyo maana ana matusi ilihali anaishi Tanzania hivyo mchukulie tu asikuumize kichwa

Kumradhi
QUOTE="much know, post: 25405673, member: 460487"]Sasa usitumie utanzania kuwasilisha maumivu unayoyapata juu ya ndugu zako waliouawa kwasababu sisi kama watanzania hatuna interest na chochote kinachoendelea huko iwe ni mafanikio au mapungufu yao, mazuri au mabaya yao[/QUOTE]

Mkuu kama hatuna interest basi mwambie THE BOLD aufute huu uzi..... Mimi nachangia kuhusu rwanda sababu ndio mada inasema hivyo au ushawahi ona ID yangu naongelea watutsi nje ya uzi huu??? Kwakuwa mada inahusu Rwanda acha tuongelee Rwanda kma unasema hatuna interest basi ongea na moderators wafute huu uzi otherwise hawa ni jirani zetu na kwa lolote likitokea kwao litatuathiri na sisi hivyo kuna umuhimu pia kufuatilia siasa za majirani zetu sababu likitokea lakutokea wakimbizi wanajaa kwetu !!!

Samahani kama nakukera lakini
 
umenifanya nirudi tena kusoma nilichoandika sioni tatizo la kutukanwa kwangu kwa nilichoandika bado nasisitiza kama Kagame asipotafuta mazingira ya kuwaomba msamaha wahutu na kufanya upatanisho wa kweli na kuondoa tabaka kati yao basi hii ngoma bado mbichi ni swala la muda kwakuwa damu yao inalia kisasi
Mkuu achana na huyo Jestkilla ni pandikizi wa kagame hapa Dar anachojua ni matusi tu na ndio ameuharibu huu uzi maana kila anayekosoa utawala wa kagame anaambulia matusi ndio maana anakula block kila kukicha mpotezee tu maana ndio watutsi walivyo hawataki kukosolewa kabisa wanajiona perfect mara zote
 
asante sana kwa ushauri wako
 
Hivi hawa si ndio wahanga wakuu ktk ile hotel ya Rwanda? Majigambo wanayatoa wapi? Ushauri wa Chiwa usipofanyiwa kazi, tujiandae tena kuwapokea miaka michache ijayo. Historia Inaonesha kwamba, mwanadamu hatawaliwi kimabavu, bali kifkra zaidi.
 
Mkuu ndio hawa hawa ila ndio tabia zao kujaa majivuno,dharau,kejeli na kujiona bora zaidi ya wengine huwa pia hawajiiti waafrika eti kisa wanadamu ya kiyahudi kwa mbali!!! Trust me wasipobadilika ya 94 yatajirudia na hawatakuwa na wakumlaumu
 
Hili ni jukwaa huru mkuu na mada inahusu Ututsi na uhutu sasa unataka hata hao unaosema WANATUKANA wajadili CCM Vs Chadema wakati sio uzi husika???

As long as wapo ndani ya mada wana uhuru wa kuchangia kuhusu watutsi na wahutu haijalishi ni wanyarwanda au sio

JF where we dare to talk openly
Wewe ni mhutu kwanini unaonea aibu asili yako? Kubari tu hakuna atakayekurudisha kwenu
 
Heeeheeee mie Mtanzania pure sema nachangia hizi mada sababu nmeishi sana nchi za maziwa makuu kuanzia kigoma nmeishi manyovu huko kuna kijiji kinaitwa nyarubanda..mtaa unaitwa utusini pia DRC nmeishi huko bunia kwa wahema(watutsi wa congo) walendu na wagegere..... Huko rwanda nlikaa kiasi rubavu...huko gisenyi karibu na border ya RDC huko nako wamejaa wanyamulenge..... uganda nlisoma huko kabisa na watutsi wanaojiita wahima kwa miaka kibao hapo makerere-Nakawa hivyo nawajua nje na ndani ndio maana nachangia ila sio lazima niwe mhutu ndio nichangie

Kwa ufupi nina marafiki wa kihutu kibao tu walichinjwa huko congo na rwanda ndio maana thread kma hizi zinanikumbusha machungu hasa nikisikia uongo eti watutsi ndio walichinjwa na wahutu!!! Wakati ni opposite
 
Back
Top Bottom