Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
potelea mbali, hata kama hayo mambo aliyafanya akiwa na miezi 6 tunachoangalia ni kama kweli yamefanyika na ameyafanya yeye, itakuwa ni waleta uzi wamechanganya mi a.k.a.Mbona maelezo yanajichanganya kwamba kazaliwa 1851 lakini maelezo mengine yanaonesha kaanza kufanya biashara kwa kufungua duka znz 1852 sasa inakuwaje aanze biashara akiwa na mwaka mmoja?
angetukanwa na UKAWA kuwa ni FISADI.Sewa Haji angekuwapo zama hizi za kunyosheana vidole sijui angekuwa upande gani...
Post imetulia aiseeMzizi asante kwa post hii ya historia ya Sewa Haji. Kweli ni mtu aliyekuwa na manufaa makubwa kwa jamii.
Darul salaam - City of peace
Mussa Hassani - Msasani.
Muhimbili ni spitali iliojengwa na wazee wetu waliothamini utu na taifa lao. Tanganyika ilikuwa ni taifa la kuheshimika na wazee wetu ndio waliopigania UHURU wa taifa letu.
Baada ya UHURU walioshika hatamu walihakikisha UISLAMU unadhibitiwa kwelikweli.
Wengi wenu ni watu wakuja hapa daresalaam na hata historia hamuijui ndio maana munajisemea maneno ovyo. Nyerere alitaka kuufanya mji mkuu kuwa DODOMA lakini imeshindikana.
Historia haifutiki na itabaki pale pale. Walioijenga nchi hii ni waislamu.
Mmeshindaje?
Nimei-copy na kui-paste kama nilivoikuta FB!
Huyu (picha baadae) Ndie Mtu Aliejenga MUHIMBILI HOSPITAL, Anaitwa Sewa Haji Paroo Alifika Zanzibar Akitokea Ktk Miji Ya Bhuj Na Kutch.
Na Mnamo Mwaka 1852 Alifungua Duka La Bidhaa Mbalimbali Huko Zanzibar, Mnamo 1860 Akafungua Duka Lingine Kubwa Bagamoyo Na Kuweka Makazi Yake, Biashara Zake Zikawa Kubwa Na Kuwa Tajiri Mkubwa Sana, Alisaidia Watu Wote Bila Kujali Rangi, Dini Wala Kabila Zao, Alinunua Majengo Mengi Na Kuyafanya Maeneo Ya Watu Wasiojiweza.
Alijengaja Mashule Na Hospitali Kadhaa, Ktk Mji Wa Mzizima { Leo Inaitwa Dar Es Salaam} Alijenga Hospitali Aliita Sewahaji Hospitali Ikitoa Huduma Bure, Mnamo February 1897 Shekhe Sewa Haji Paroo Alifariki Dunia, Ilikuwa Ni Huzuni Na Simanzi Kwa Wakazi Wa Bagamoyo Na Mzizima Kwa Kuondokewa Na Shekhe Sewa Haji Aliependwa Sana.
Baada Ya Kufa Kwake Wakoloni Baadaye Wakabadilisha Jina Kutoka Sewahaji Hospital Na Kuiita Princess Magreth Hospital, Na Mnamo 1963 Iliitwa Muhimbili Hospital, Na Mojawapo Za Wodi Inaitwa SEWA HAJI.
Shekhe Sewa Haji Alale Mahali Pema.
Ndivyo mcha Mungu anavyotakiwa kuishi. Tuigeni basi mfano wake
Alitoa eneo kwani ardhi ilikuwa yake?
Sent from my phone using JamiiForums
Nini tena yote haya!!!. Inauma eeeehhhMamaako!