Historia ya Sewa Haji Paroo (1851-1897), Muasisi wa Hospitali ya Muhimbili

Salute mzizi mkavu.

tungefurahi zaidi kujua historia yako kwa upande wa hizi tafiti, documentary etc
 
Mbona maelezo yanajichanganya kwamba kazaliwa 1851 lakini maelezo mengine yanaonesha kaanza kufanya biashara kwa kufungua duka znz 1852 sasa inakuwaje aanze biashara akiwa na mwaka mmoja?
potelea mbali, hata kama hayo mambo aliyafanya akiwa na miezi 6 tunachoangalia ni kama kweli yamefanyika na ameyafanya yeye, itakuwa ni waleta uzi wamechanganya mi a.k.a.
 
Niliwahi kusoma kwenye kitabu kimoja kikimuelezea Sewa Haji kama mtu mjanja mjanja sana. wanasema kuna mzungu mmoja alifika Unguja miaka hiyo na jamaa kwa kutumia mbinu zake aliweza 'kumzunguka' na kuchukua kiasi kama cha Dola $2,000 miaka hiyo. Na yule mzungu (sijui ni wale explorers wa mwanzo) alipokuja kustuka ndipo alikubali kuwa alikuwa na 'kipaji'.
Naendelea kufuatilia huu uzi kumjua hasa huyu mtu alikuwa wa namna gani.
 
Mhindi mwingine aliyemrithi hiyo roho ni Mzee wetu Sabodo, Munguakupe maisha marefu, sio mbaguzi haangalii wewe Chama gani, anaangalia nani ana nia ya dhati kuleta maendeleo kwa wananchi.
 

fine hatubishi ila hapo kwenye bold what does it help you if so? does it put food on the table
 

Ni kweli alijenga hospitali lakini sio Muhimbili ya sasa bali Hospitali ya Sewa Haji ilikuwa katika majengo ambamo kwa sasa ndo makao makuu ya Traffic barabara ya Sokoine.

Kwa kweli anastahili heshima kubwa na kuenziwa sana.
 
Ila chain yake ama kwa ujinga na standards za chini ama kwa histroria kupikwa na wasio wahanga.Ila huna harufu ya Utumwa km ya Abushir na Kinje.
 
asante mkuu kwa historia nzuri,yapo mambo mengi mazuri ya kujifunza kutoka kwa huyu mtu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…