edwayne
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 8,919
- 9,797
Serikali haina imani, na kama serikali inaajiri watu kwa kigezo cha dini na sio maarifa basi imevurugwa.Edwayne,
Ikiwa imani moja inahodhi serikali kwa mathalan 80% wako wengi, serikalini, bungeni, fursa za elimu ya juu nk.
Wengine ni minority kila sehemu hii itakuwaje?
Hawa 80% bila shaka ndiyo watakaokuwa na nguvu ya maamuzi na imani yao itatawala.
Tanzania hawaajiri watu kutokana na dini ya mtu
Mambo ya dini yapo vyeo vya msikitini na makanisani
Sent using Jamii Forums mobile app