Serikali haina imani, na kama serikali inaajiri watu kwa kigezo cha dini na sio maarifa basi imevurugwa.Edwayne,
Ikiwa imani moja inahodhi serikali kwa mathalan 80% wako wengi, serikalini, bungeni, fursa za elimu ya juu nk.
Wengine ni minority kila sehemu hii itakuwaje?
Hawa 80% bila shaka ndiyo watakaokuwa na nguvu ya maamuzi na imani yao itatawala.
Kwanza waislamu ndio wanataka waarabu wapewe bandari wakati huo huo tunaambiwa walipigania uhuru !.Serikali haina imani, na kama serikali inaajiri watu kwa kigezo cha dini na sio maarifa basi imevurugwa.
Tanzania hawaajiri watu kutokana na dini ya mtu
Mambo ya dini yapo vyeo vya msikitini na makanisani
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanahisi wanamswalia mtumeKwanza waislamu ndio wanataka waarabu wapewe bandari wakati huo huo tunaambiwa walipigania uhuru !.
Ed...Serikali haina imani, na kama serikali inaajiri watu kwa kigezo cha dini na sio maarifa basi imevurugwa.
Tanzania hawaajiri watu kutokana na dini ya mtu
Mambo ya dini yapo vyeo vya msikitini na makanisani
Sent using Jamii Forums mobile app
jibu hojaTatizo lako mzee wangu Said Mohamed,ni mrengo ulionao ndio maana unakosoa kila kitu cha watu wenye mrengo tofauti na wewe.Lini utaacha,fitina,gubu,chuki binafsi,na ubaguzi wa kidini kwa Nyerere na Tanu yake?
Tanzania inatakiwa igeuzwe kuwa nchi ya kiislam...iitwe Tanzanistan
Mm najua unamchukia nyerere kwa kua alimuondoa sultan wa kiarabu madarakani
Wakristo wanatakiwa wauliwe wote wabaki waislam tu maana hii nchi ni ya waislam
Mama..Mzee usitutishe. Hata watetezi wa mashoga huitwa huko Ulaya na hupendwa sana na wazungu. Wewe mwenye nia ovu na nchi yako lazima tu pia ungeitwa na hao wazungu na kukusifu upumbavu. Mzungu husapoti waafrika wote wenye nia ovu na nchi zao.
hizi ni hadithi tuu
hizi ni hadithi tuu
Haitoshi Mzee wangu hata kama kulikuwa na vikwazo haya miaka yote hii hamna mipango thabiti kwenye kuwekeza kwenye elimu na afya. Tumeona Shehe mkuu anaomba mnunuliwe Darubini kwa ajili ya kuangalia mwezi! Ndio maana wamini wengine wanasema makanisa yanapitisha bure na ndio kikwazo cha DP World. Wakati ni misamaha ya kodi kwa taasisi zote za dini, wewe kioo chao cha waislam humu jamvini basi ungewashauri mipango thabiti kwenye taasisi zenu kwa ajili ya maendeleo watoto wetu watatibiwa na kussoma kwenye taasisi zenu otherwise ni infeority complex.Nyioku....
Sijui "lialia," kwa kejeli hii unakusudia kitu gani?
Hili la udini sijui linaingiaje.
Iweje tuwe na mipango ya kuunda African Association 1929 na Al Jamiatul Islamiyya 1933 na.TANU 1954 na 1962 tuitishe Muslim Congress na kuja na mapango wa elimu tuwe leo hatuna mipango ya elimu.
Tungewezaje kutaka kujenga Chuo Kikuu 1968 sababu iliyopelekea kupigwa marufuku EAMWS?
Ingekuwa hatuna mipango tungejuaje dhulma dhidi ya vijana wa Kiislam ndani ya Wizara ya Elimu?
Tungejuaje hujuma dhidi ya shule za Kiislam zilizokuwa zikifanywa na NECTA?
Hapa nani mdini?
Hakika anaedhulumiwa hawezi kuwa mdini.
Nyio...Haitoshi Mzee wangu hata kama kulikuwa na vikwazo haya miaka yote hii hamna mipango thabiti kwenye kuwekeza kwenye elimu na afya. Tumeona Shehe mkuu anaomba mnunuliwe Darubini kwa ajili ya kuangalia mwezi! Ndio maana wamini wengine wanasema makanisa yanapitisha bure na ndio kikwazo cha DP World. Wakati ni misamaha ya kodi kwa taasisi zote za dini, wewe kioo chao cha waislam humu jamvini basi ungewashauri mipango thabiti kwenye taasisi zenu kwa ajili ya maendeleo watoto wetu watatibiwa na kussoma kwenye taasisi zenu otherwise ni infeority complex.
Nimeoma maandiko yako mengiNyio...
Umeandika hivyo kwa kuwa hujui historia ya Waislam wa Tanzania.
Si jambo ninaloweza kukueleza hapa kwa para mbili tatu ukaelewa.
Nimekushauri usome kitabu cha Padri Sivalon.
Inaelekea hukusoma.
Inakuhitaji usome pia kitabu cha Abdul Sykes chenye kurasa 416.
Kitabu hiki kimekusanya historia kabla na baada ya uhuru.
Utajifunza mengi.
Nyio...Nimeoma maandiko yako mengi