Huu "walakini" ndiyo tunataka yeye mwenyewe Mohamed asema kwamba takwimu zake hizi ambazo amekuwa akizunguka ulimwenguni pote akizielezea ni "batili" na kama ni batili basi na hoja yenyewe ni batili pia!! Kama unasema umeshindwa kubeba kitu kwa sababu una mkono mmoja, basi ikija kugundulika kwamba una mikono yote miwili basi hoja yenyewe ya kwa nini umeshindwa kubeba hicho kitu, inakufa kifo cha kawaida (natural death).
hahaha unakosea walakini haimaanishi ni batili soma vizuri kiswahili. Walakini inaweza kuwa data alizonazo ziko biased, sample ndogo au pengine ni kweli hali iko hivyo serikalini. Sasa wewe unasema hizo taarifa ni batili tupe vigezo vyako na evidence zako!!!!!