Kwa kweli mimi mara zote nilikuwa nadhani wanaodai wewe una "frustration" na hizo frustration unazifanya kuwa ni za waislam wote. Kuna waislam wengi tu ambao wanaamini katika kuwu na chombo kimoja tu kinachowawakilisha ambacho kinayajua mahitaji ya waislam, lakini wewe unadhani mkiwa mbalimbali ndiyo mtakuwa "salama"
[/FONT][/B]
Sijui tafsiri ya waislam kwako ni ipi? Maana humu mara kadhaa tumekuona ukikataa baadhi ya watu kuwa wao si "waislam" wakati sisi sote tunawafahamu kwamba ni waislam.
[/FONT][/B]
Mambo gani tena hayo. Hatuoni ukihamasisha kujenga shule wala Hospitali sasa wewe "mambo' gani unayotaka tuone yanakwenda?
[/FONT][/B]
Iliwezekanaje wakristu wawili tu kuihujumu jumuiya ya waislam?
[/FONT][/B]
Kayugwa!! Haya tena, huyu naye ni Mkristu au ni Yahudi?
[/FONT][/B]
Kwa hiyo unadhani ni wao tu waliokuwa na msimamo tofauti kuhusu EAMWS
[/FONT][/B]
Kweli kuhusu nini?
[/FONT][/B]
Wajitokeze kufanya nini wakati sisi tuliojitokeza maswali yetu hujibu?
[/FONT][/B]
[/FONT][/B]
Unatusimanga kwa shule mnazoziendesha kwa hela ya serikali (MoU)?
Soni kwenye kuitetea nchi yake??
[/FONT][/B]
[/FONT][/B]Wenzio tunaishi na waislam kwenye maisha yetu ya kila siku na wao wala hawajioni ni "yatima" , kama wewe unajiona yatima hayo ni matatizo yako binafsi na wala hayahusiani na waislam wote wa Tanzania
Uashahidi!! Haya bwana lakini punguza kujifanya wewe ni Kamusi ya matatizo ya waislam wa Tanzania. Mzee "wangu" aliwahi kunifundisha kwamba ukitaka kumtukana mtu usimwite "mshenzi" bali mwambie "wewe jamaa siyo mstaarabu hata kidogo" kinyume chake ni kwama yeye ni mshenzi!! Kuwafanya waislam ni wanyonge ni kuwatuna kwa kuwaambia wao siyo kitu kwenye nchi hii jambo ambalo si la kweli.
Kigarama,
Watu wenye frustration hawakai wakaandika " serious books and papers."
Waulize wataalam wa ubongo watakwambia.
Lakini huko kuitwa majina huko kote tumeshapita miaka mingi sana.
Vuta subra hudhuria darsa yangu utajifunza mengi.
Utajifunza mengi, mengi sana.
Nina hakika yote niliyoandika humu kwako ni mapya kabisa ni historia mpya.
"The Life and Times of Abdulwahid Sykes (1924 1968) The Untold Story of the Muslim Struggle Against British Colonialism in Tanganyika"
Prof. Haroub alikuwa anauliza mara mbili mbili kuwa kweli haya yamefanyika nchi hii?
Vyombo vya umma vimetumika kuhujumu Waislam?
Kweli historia ya uhuru wa Tanganyika Nyerere inamchoma kiasi hataki kuisikia?
Ila nitakupa moja kuhitimisha Rashid Kayugwa alikuja ungama mwisho wa maisha yake.
Na hili lilfanywa na kila kibaraka aliyeshiriki kuwapiga vita Waislam.
Nakupa hapa chini machache kutoka "paper" niliyotoa Kenyatta University mwaka 2007:
"Sheikh Kassim hasnever publicly spoken how he was incorporated by Nyerere into the EAMWScrisis of 1968 and the only published work on the crisis[1]has never revealed his actual role in the dismembering of the organisation. Itis public knowledge however that there was a group of prominent Muslims some inthe party like Sheikh Abdallah Iddi Chaurembo, Rajab Diwani and SelemaniKitundu including some Muslims in theState Intelligence led by the late Rashid Kayugwa[2]who were involved in fanning the crisis. The crisis ensued threw Muslims in East Africa in a disarrayunprecedented in their entire history. The crisis culminated in resignation ofthe Aga Khan as patron of the EAMWS, the banning of the organisation by orderof the president, detention of some sheikhs and other Muslim notables, thescrapping of development projects in Tanzania, Kenya and Uganda including theformation of the Muslim University in Dar es Salaam and the formation ofNational Muslim Council of Tanzania known by its Swahili acronym as BAKWATA.But the biggest blow of them all to Muslims was the deportation to Zanzibar ofSheikh Hassan bin Ameir the Mufti of Tanzania. Nyerere could not detain SheikhHassan bin Ameir, the top most leader of Muslims, the only option open to himwas deportation back to Zanzibar his home country."
Mohamed
[1] Kiwanuka, K.Mayanja, The Politics of Islam in Bukoba District,BA Thesis, University of Dar es Salaam, 1973.
[2] Before his death RashidKayugwa confessed that the State Intelligence was involved in undermining theEAMWS.