Gwalihenzi
JF-Expert Member
- Oct 21, 2011
- 5,125
- 1,301
Mkuu Barubaru, kwani Nyamagana sio sehemu ya Tanzania?kwahiyo unapendekeza kwamba tuache desturi za kisomi tuingie kwenye koo, kabila, dini na makundi ya kuandika historia?"Objectivity" itasimama wapi hapo?Tuandike historia ya kweli na sio ya hisia!Kuandika historia ya wazee wa Nyamagana ni kazi yako wewe mtoto wa Nyamagana kuwaandika mchango wao katika uhuru wa Tz. Usitegemee mtu kutoka sehemu nyingine akufanyie hilo.
Sasa kazi kwako kuwatendea haki wazee hao kuandika historia zao na kuziweka katika kitabu ili vizazi na vizazi wajue hilo na kuwapa hishma yao.
kazi kwako. sio kulalama
Mkuu Barubaru, kwani Nyamagana sio sehemu ya Tanzania?kwahiyo unapendekeza kwamba tuache desturi za kisomi tuingie kwenye koo, kabila, dini na makundi ya kuandika historia?"Objectivity" itasimama wapi hapo?Tuandike historia ya kweli na sio ya hisia!
Mgalanjuka,MS,
"Kijishimo" kinachokwamisha santuri umechimba wewe, fukia twendelee. Angalia mzunguko huu,
Hapa unachimba "kijishimo"
Wanaomeza bila kutafuna wanaitikia "chorus"
Unaulizwa swali juu ya "hisabati" hii ya "asilimia"
Jibu lake..
Hapa mtaalamu mmoja anakiri…
Anasisitiza tena…
Ungeweza kusahihisha hii argument ambayo imeonesha wazi upungufu lakini wewe unachimba "kijishimo" kingine kwa kuwanyima "Utanzania" wenzetu wasiokuwa Waislamu au Wakristo…
Niliuliza mzee wetu Kingunge N. Mwiru dini yake ni ipi? Ukafunika. Ubaguzi unaendelea…
Sisi na ninyi? Kwani tunapochangia mada hapa tunajitambulisha dini zetu? Unachimba "vijishimo" alafu unailalamikia santuri!!!
Hebu nikuulize ndugu yangu. Kama kuna sherehe sharti lake ni watu wote wanaotakiwa kuingia ni lazima wawe na meno yote 32, lakini akakutikana na kibogoyo, jee uwepo wake hautakuwa batili kutokana na mapungufu hayo? Kama kitu kina dosari basi si sahihi na kama si sahihi hakifai kutegemewa na kama hakitegemewi basi bila shaka ni batili!!Kutokuwa kikamilifu sio batili ndugu ni kwamba kiko limited in information usilazimishe ubatili bure lete evidence kuwa hicho kitu batili . Soma zaidi hapa kutoka Wikitionary inasema walakini ni dosari (limitations). Sasa kama tafiti yake ina dosari katika hizo figures lete zako zilizokamilika tuzisome usilazimishe ubatili kusupport unachokitaka hatuendi hivyo ndugu.
Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru
Mkuu Barubaru, shukurani kwa darsa ulilo nipa nakuomba usinichoke, nini kinakwamisha masheikh wapande hizo mbili wasikae pamoja na kulitatua tatizo?Huoni chuki na ubaguzi unaopandikizwa na mzee Mohamed unazidi kuwagawa waislam?Kama masheikh wa BAKWATA wanadharauliwa hivyo kwamba wao sio masheikh wa wawaislam sasa kumbe ni wawakristo au wasisi "atheists"? Unasababu ipi kunishutumu kwamba nachagua maneno mawili kukukosoa, wakati wewe ndie unae wabagua waislam wenzako?
Mkuu Kikwebo, ashakumu si matusi, amakweli nyani haoni kundule - unawezaje kumtuhumu mwanamijiji kwamba anatumia ID mbalimbali kama vile Nguruvi3,Wild Card,Mag3 et.al na ukashindwa kumutuhumu mzee Mohamed Said kuwa naye anatumia ID ya ritz, Faiza,Barubaru na Mdondoaji kujenga na kueneza hisia zake za chuki kwa kutumia imani ya dini ya kiislam? Lakini sikushangai hata kidogo kwa sababu sumu ya ubaguzi ya mzee Mohamed Said imekutafuna kiasi kwamba husikii wala huambiwi jingine. Ubaya nikwamba ubaguzi wa kidini umemtafuna hata yeye mwenyewe mzee Mohamed kiasi kwamba ameanza kuwabagua hata waislam wenzake, kwake yeye waislam ni wale tu wanao shabikia mihadhara yake na wale wanao hudhuria sherehe za idd chini ya BAKWATA hao kwake sio wenyewe, kwani hao wapo kula wali na chai ya ikulu. Hii ndio taabu ya ubaguzi.[/QUOTE
G,
Sina sababu ya kuongopa.
Mimi ndiye huyo Mohamed Said.
Mohamed
Huu ndiyo upumbavu tunaousema. Mzee unazeeka vibaya sana!
Sweke34,
Ninachosema nakiamini.
Huwezi kupambana na mimi katika historia ya uhuru wa Tanganyika.
Mwisho ni kutukana basi.
Mohamed
MS,
Kijishimo kinachokwamisha santuri umechimba wewe, fukia twendelee. Angalia mzunguko huu,
Hapa unachimba kijishimo
Wanaomeza bila kutafuna wanaitikia chorus
Unaulizwa swali juu ya hisabati hii ya asilimia
Jibu lake..
Hapa mtaalamu mmoja anakiri
Anasisitiza tena
Ungeweza kusahihisha hii argument ambayo imeonesha wazi upungufu lakini wewe unachimba kijishimo kingine kwa kuwanyima Utanzania wenzetu wasiokuwa Waislamu au Wakristo
Niliuliza mzee wetu Kingunge N. Mwiru dini yake ni ipi? Ukafunika. Ubaguzi unaendelea
Sisi na ninyi? Kwani tunapochangia mada hapa tunajitambulisha dini zetu? Unachimba "vijishimo" alafu unailalamikia santuri!!!
Unadhani sisi wajinga turudi kwenye enzi ya chombo kimoja kihujumiwe kirahisi.
Wewe ulipata kunijua mimi kama kiongozi wa Waislam kwa takriban miaka 20?
Basi tuko wengi na huwezi kuwajua utaona mambo yanakwenda tu.
Au hujui kuwa ilihujumiwa na Nyerere akiwatuma akina Geofrey Sawaya mikoani kutoa milungura ili BAKWATA ipate viongozi?
Au hujui Rashid Kayugwa wa Usalama wa Taifa ndiyo alikuwa kiongozi wa fitna ile?
Au hujui Benjamin Mkapa na Martin Kiama ndiyo walikuwa wakitumia vyombo vya habari vya taifa kuipiga vita EAMWS?
Mie hapa nazungumza na watu wenye akili na tafakuri.
Wanatambua kwa dhati ya nafsi yao kuwa nisemayo yote ni kweli.
Haya yote ni katika historia ya Waislam wa Tanganyika.
Waambie wajitokeze wahusika wafanye mnakasha na mimi.
Jina langu si unaliona hapo chini?
Kitabu changu si hicho leo ndicho kinachotamba katika histroria ya uhuru wa Tanganyika.
Unatusimanga kwa shule mnazoziendesha kwa hela ya serikali (MoU)?Huna hata soni kidogo ndugu yangu.
Soni kwenye kuitetea nchi yake??
Unamsimanga yatima asiye na baba wala mama kwa nini siku ya Eid hana nguo za kuvaa akenda Mnazi Mmoja kucheza kama wenzake?
Hivyo si ndiyo unamkumbusha wazazi wake waliotangulia mbele ya haki?
Wenzio tunaishi na waislam kwenye maisha yetu ya kila siku na wao wala hawajioni ni "yatima" , kama wewe unajiona yatima hayo ni matatizo yako binafsi na wala hayahusiani na waislam wote wa Tanzania
Uashahidi!! Haya bwana lakini punguza kujifanya wewe ni Kamusi ya matatizo ya waislam wa Tanzania. Mzee "wangu" aliwahi kunifundisha kwamba ukitaka kumtukana mtu usimwite "mshenzi" bali mwambie "wewe jamaa siyo mstaarabu hata kidogo" kinyume chake ni kwama yeye ni mshenzi!! Kuwafanya waislam ni wanyonge ni kuwatuna kwa kuwaambia wao siyo kitu kwenye nchi hii jambo ambalo si la kweli.Nimetoa ushahidi wote jinsi Nyerere alivyotumia nafasi yake kama rais kutuhujumu Waislam tusiwe na maendeleo, tusijenge shule wala Chuo Kikuu halafu nawe unakuja na hoja hiyo hiyo mbona Waislam hamna hiki hamna kile...
Ujumbe upi mzee Mohamed? sijauona hata kidogo sana sana ungesema chuki ya kidini mliyokusudia kuipandikiza ambayo nayo hamjafanikiwa. Shangazi yangu Zena ataendelea kunipenda hata kama anajua mimi ni "atheist". Amekuwa akisikiliza hotuba zako na sasa anakuogopa ile mbaya. Ulivyo mwepesi kutoa hukumu na jua utakataa uislam wake.Gwalihenzi,
Ujumbe tulokusudia kufikisha tumefikisha hayo mengine kwetu sisi hayana maana sana.
Tunaisubiri serikali.
Mohamed
Kwa kweli mimi mara zote nilikuwa nadhani wanaodai wewe una "frustration" na hizo frustration unazifanya kuwa ni za waislam wote. Kuna waislam wengi tu ambao wanaamini katika kuwu na chombo kimoja tu kinachowawakilisha ambacho kinayajua mahitaji ya waislam, lakini wewe unadhani mkiwa mbalimbali ndiyo mtakuwa "salama"
[/FONT][/B]
Sijui tafsiri ya waislam kwako ni ipi? Maana humu mara kadhaa tumekuona ukikataa baadhi ya watu kuwa wao si "waislam" wakati sisi sote tunawafahamu kwamba ni waislam.
[/FONT][/B]
Mambo gani tena hayo. Hatuoni ukihamasisha kujenga shule wala Hospitali sasa wewe "mambo' gani unayotaka tuone yanakwenda?
[/FONT][/B]
Iliwezekanaje wakristu wawili tu kuihujumu jumuiya ya waislam?
[/FONT][/B]
Kayugwa!! Haya tena, huyu naye ni Mkristu au ni Yahudi?
[/FONT][/B]
Kwa hiyo unadhani ni wao tu waliokuwa na msimamo tofauti kuhusu EAMWS
[/FONT][/B]
Kweli kuhusu nini?
[/FONT][/B]
Wajitokeze kufanya nini wakati sisi tuliojitokeza maswali yetu hujibu?
[/FONT][/B]
[/FONT][/B]Unatusimanga kwa shule mnazoziendesha kwa hela ya serikali (MoU)?Soni kwenye kuitetea nchi yake??
[/FONT][/B]
[/FONT][/B]Wenzio tunaishi na waislam kwenye maisha yetu ya kila siku na wao wala hawajioni ni "yatima" , kama wewe unajiona yatima hayo ni matatizo yako binafsi na wala hayahusiani na waislam wote wa Tanzania
Uashahidi!! Haya bwana lakini punguza kujifanya wewe ni Kamusi ya matatizo ya waislam wa Tanzania. Mzee "wangu" aliwahi kunifundisha kwamba ukitaka kumtukana mtu usimwite "mshenzi" bali mwambie "wewe jamaa siyo mstaarabu hata kidogo" kinyume chake ni kwama yeye ni mshenzi!! Kuwafanya waislam ni wanyonge ni kuwatuna kwa kuwaambia wao siyo kitu kwenye nchi hii jambo ambalo si la kweli.
Kigarama,
Watu wenye frustration hawakai wakaandika " serious books and papers."
Waulize wataalam wa ubongo watakwambia.
Lakini huko kuitwa majina huko kote tumeshapita miaka mingi sana.
Vuta subra hudhuria darsa yangu utajifunza mengi.
Utajifunza mengi, mengi sana.
Nina hakika yote niliyoandika humu kwako ni mapya kabisa ni historia mpya.
"The Life and Times of Abdulwahid Sykes (1924 1968) The Untold Story of the Muslim Struggle Against British Colonialism in Tanganyika"
Prof. Haroub alikuwa anauliza mara mbili mbili kuwa kweli haya yamefanyika nchi hii?
Vyombo vya umma vimetumika kuhujumu Waislam?
Kweli historia ya uhuru wa Tanganyika Nyerere inamchoma kiasi hataki kuisikia?
Ila nitakupa moja kuhitimisha Rashid Kayugwa alikuja ungama mwisho wa maisha yake.
Na hili lilfanywa na kila kibaraka aliyeshiriki kuwapiga vita Waislam.
Nakupa hapa chini machache kutoka "paper" niliyotoa Kenyatta University mwaka 2007:
"Sheikh Kassim hasnever publicly spoken how he was incorporated by Nyerere into the EAMWScrisis of 1968 and the only published work on the crisis[1]has never revealed his actual role in the dismembering of the organisation. Itis public knowledge however that there was a group of prominent Muslims some inthe party like Sheikh Abdallah Iddi Chaurembo, Rajab Diwani and SelemaniKitundu including some Muslims in theState Intelligence led by the late Rashid Kayugwa[2]who were involved in fanning the crisis. The crisis ensued threw Muslims in East Africa in a disarrayunprecedented in their entire history. The crisis culminated in resignation ofthe Aga Khan as patron of the EAMWS, the banning of the organisation by orderof the president, detention of some sheikhs and other Muslim notables, thescrapping of development projects in Tanzania, Kenya and Uganda including theformation of the Muslim University in Dar es Salaam and the formation ofNational Muslim Council of Tanzania known by its Swahili acronym as BAKWATA.But the biggest blow of them all to Muslims was the deportation to Zanzibar ofSheikh Hassan bin Ameir the Mufti of Tanzania. Nyerere could not detain SheikhHassan bin Ameir, the top most leader of Muslims, the only option open to himwas deportation back to Zanzibar his home country."
Mohamed
[1] Kiwanuka, K.Mayanja, The Politics of Islam in Bukoba District,BA Thesis, University of Dar es Salaam, 1973.
[2] Before his death RashidKayugwa confessed that the State Intelligence was involved in undermining theEAMWS.
Huu mnakasha sasa unachosha. Ngoja nikachukue jembe nikalime.
Hebu nikuulize ndugu yangu. Kama kuna sherehe sharti lake ni watu wote wanaotakiwa kuingia ni lazima wawe na meno yote 32, lakini akakutikana na kibogoyo, jee uwepo wake hautakuwa batili kutokana na mapungufu hayo? Kama kitu kina dosari basi si sahihi na kama si sahihi hakifai kutegemewa na kama hakitegemewi basi bila shaka ni batili!!
Gwalihenzi,
Ujumbe tulokusudia kufikisha tumefikisha hayo mengine kwetu sisi hayana maana sana.
Tunaisubiri serikali.
Mohamed
Kama kawaida Mohamed anataka kukwepa swali la msingi. Swali ni kuwa, kwa vile waislam waliikataa BAKWATA kuanzia enzi hizo(ingawa imekubalika miaka yote na wengi) Je ni chombo gani kinawakilisha waislam sasa hivi nje ya BAKWAT. Hili ndilo swali analopaswa kulijibu.WC,BAKWATA?Nani kakwambia kuwa BAKWATA ipo?BAKWATA imekufa siku nyingi sana.
Ofisi zipo na mafaili na wafanyakazi wa BAKWATA Sheikh Mkuu na wa mikoa wote hao wapo.
Kwenye vitabu vya serikali BAKWATA ipo. Waislam tunao sisi.Waislam wanatusikiliza sisi.Na hili hata serikali wanalijua.
Ngoja nikujuvye.Litoke tangazo.Waislam leo Mohamed Said atakuwa Starlight au Ukumbi wa Korea.Hupati pa kutia mguu...
Itangazwe.Waislam Sheikh Mkuu leo yuko hapo...Hendi mtu!Lakini haikuwa kazi nyepesi.
Alhamdulilah.Waislam tumerejesha heshima yetu na ya dini yetu.Mohamed
Haya ndiyo matunda ya Mohamed Said. Anafundisha watu maneno halafu wanaimba bila kujua maana yake. Kwa taarifa Mohamed ndiye muasisi wa neno mfumokristo ambalo halijatolewa maana na waimbaji.Wakati wewe ukiwaaccuse waislamu being inferior perhaps you should asked yourself why? Are they second class citizen in their own country? Jibu unalo mwenyewe.
Haya ndiyo matunda ya Mohamed Said. Anafundisha watu maneno halafu wanaimba bila kujua maana yake. Kwa taarifa Mohamed ndiye muasisi wa neno mfumokristo ambalo halijatolewa maana na waimbaji.
Mara nyingi sana Mohamed akisema waislam ni second citizen. Well,labda kuna ukweli kama alivyosema ndugu yetu Mdondoaji. Sisi wasomaji tuna muuliza na tunategemea atatujibu. Je, kwa vile waislam ni 'second citizen' kuna madaraja mangapi ya citizenship Tanzania na ni yapi hayo kwa kigezo alichotumia kufikia second citizenship ya waislam?