huh? ukingoni...? what makes you think that? na bora ungeweka evidence inayoonyesha malalamiko ya maaskofu na jinsi hayo malalamiko yanavyoashiria kuelekea kwao ukingoni!
Ukingoni kwa maana waislamu wa sasa wana ufahamu mzuri na hudanganyi mtu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huh? ukingoni...? what makes you think that? na bora ungeweka evidence inayoonyesha malalamiko ya maaskofu na jinsi hayo malalamiko yanavyoashiria kuelekea kwao ukingoni!
We acha tu...hawa ndugu zetu kwa unafiki na majungu wanastahili Nobel prize. Kwenye video moja nilimuona shehe Ilunga akielezea mfumo kristo kwenye mhadhara au ibada kama mwenyewe alivyokuwa anasema:-Muulize kwanza hao feza watapataje DIV I na II mbele ya mfumo kristo? Au paper zao ziliplekwa kusahihishwa Pakistan?
Ukingoni kwa maana waislamu wa sasa wana ufahamu mzuri na hudanganyi mtu.
Sweke,
Shule ya Bakwata unazijua kuanzia Kinondoni to Al-Haramain. Tafuta list yao utazijua. Shule ambazo sio za Bakwata but zinamilikiwa na waislamu ni Mzizima, Al-Muntazir, Feza, Ubungo Islamic na kuendelea. Sijui kama Feza waliitwa bungeni ila nakumbuka kuna gazeti mmoja la kiswahili lilikuwa likiwaandama ile mbaya Feza kiasi ikawa shule inaogopewa. Vile vile humu JF kuna watu kila kukicha wanatafute sababu mara inamilikiwa na mafisadi mara ya Mama Salma Kikwete.
Shule hizo zinasomesha watoto wote mkuu waislamu na wakristo. Ila tu zinamilikiwa na waislamu ufahamu hilo na sio Bakwata.
Nianzie hapa, Mohamed hujajibu swali, unachofanya ni kuzunguka zunguka na kubabaisha wasomaji kwa maelezo mareefu yasiyo jibu hoja. Swali ni kuwa nje ya BAKWATA(ikubalike au isikubalike) ni taasisi gani inyoongoza waislam? Ni taasisi gani inaweza kutoa kauli tutakayosema ni ya waislam wa Tanzania. This is the question, simple and staright forward.Nguruvi3,Waswahili tuna msemo, "Usilojua usiku wa kiza."
"On 28 April, 1993 bizarre occurrence took place. Indesperation and in its effort to salvage BAKWATA the Minister of Home Affairsand Deputy Prime Minister Augustine Mrema convened a meeting between Muslimsand Christians at the Diamond Jubilee Hall, Dar es Salaam. The agenda was not known.The Church sent a strong delegation. Muslims abstained except BAKWATA. The fewMuslims who turned up were there out of curiosity rather than conviction that the meeting would bear fruits. When the time for introduction between the two parties came, Muslims present at the meeting refused to shake hands with the Church leadership. This was an embarrassment to the government propaganda machinery sent to the meeting by the Christian Lobby to record and broadcast the event. Mrema addressed the meeting in which in his speech it was revealed that elections for BAKWATA were long overdue and could not be held because of lack of funds. The Church volunteered to provide money to BAKWATA to enable it hold its elections. The Minister for Home Affairs Augustine Mrema also helped to collect money from the business community to fund BAKWATA elections."
Nianzie hapa, Mohamed hujajibu swali, unachofanya ni kuzunguka zunguka na kubabaisha wasomaji kwa maelezo mareefu yasiyo jibu hoja. Swali ni kuwa nje ya BAKWATA(ikubalike au isikubalike) ni taasisi gani inyoongoza waislam?Ni taasisi gani inaweza kutoa kauli tutakayosema ni ya waislam wa Tanzania. This is the question, simple and staright forward.
Tunajua umekwenda Kenyatta university, Ibadan, USA, Europe etc etc. This has been your mantra from the very begining and one wonders why do you make it as core issue. Mohamed you as a 'scholar' and write you need to be concise and precise. Fumbling does not make you look better iota.
Swali ni kuwa nje ya BAKWATA ni chombo gani kinasimamia waislam.( 10 words)
Nimemuuliza Baru baru hana jibu kwasababu Mohamed hujibu. Toa majibu ili vijana wako wapate cha kusema alau! si kuimba tu.
You mean BAKWATA is not part of muslim society! fair enough. The question is when you presented 17% underpriveledged muslims did you exclude BAKWATA."On 28 April, 1993 bizarre occurrence took place. Indesperation and in its effort to salvage BAKWATA the Minister of Home Affairsand Deputy Prime Minister Augustine Mrema convened a meeting between Muslimsand Christians at the Diamond Jubilee Hall, Dar es Salaam. The agenda was not known.The Church sent a strong delegation. Muslims abstained except BAKWATA
How did yo know this. You should never make your personal conviction as public opinion.Another concoction as we have seen times and gain when he wants to implicate Nyerere with wrong doing.The fewMuslims who turned up were there out of curiosity rather than conviction that the meeting would bear fruits
Muslims boycotted the event, halafu unasema walikataa kusalimiana na wakristo. Ni wapi hao wakati waliokuwepo ni BAKWATA peke yao? Ona hadithi za kutunga zinavyojichanganya.When the time for introduction between the two parties came, Muslims present at the meeting refused to shake hands with the Church leadership. This was an embarrassment to the government propaganda machinery sent to the meeting by the Christian Lobby to record and broadcast the event
Kwanini Mohamed aitaje BAKWATA sasa. Kwanini kuwe na taaisisi lukuki.Zile kamati za haki za binadamu, haki za waislam, Istqama, baraza kuu, taaisisi na hiyo ya siri ya Mohamed zinafanya nini. Haya maji ni mazito kwako nakusihi uendelee kusoma. Lililomshinda Manju ataliweza mpiga zumariNi QUR-AN ndiyo inayosimamia mambo ya Waislamu.
Ni QUR-AN ndiyo inayosimamia mambo ya Waislamu.
Kwanini Mohamed aitaje BAKWATA sasa. Kwanini kuwe na taaisisi lukuki.Zile kamati za haki za binadamu, haki za waislam, Istqama, baraza kuu, taaisisi na hiyo ya siri ya Mohamed zinafanya nini. Haya maji ni mazito kwako nakusihi uendelee kusoma. Lililomshinda Manju ataliweza mpiga zumari
Nguruvi3,
Kuwa na taasisi nyingi maana yake ni ghera ya kuutumika Uislam.
Hii moja na pili tulisoma vizuri katika EAMWS.
Hatuumwi tena na nyoka katika shimo lilelile.
Kama huelewi mkakati ni kuwa na taasisi nyingi iwezekanavyo.
Mohamed

Mzee Mohamed, katika mabandiko yako yote hili hapa limenifurahisha sana kwani limezidi kuimarisha "atheism" yangu ambayo wewe unaiita "ukafiri". Nimejiuliza maswali mengi sana kuhusu Mungu wenu! iweje baadhi yenu muwe wasemaji wa Mungu na watoa hukumu dhidi ya wenzenu?Kama binadam kamuudhi Mungu, si Mungu ndie mwenye uwezo wa kujua kiasi cha adhabu ya mkosaji? Kwa hiyo wewe mzee Mohamed ni muislam zaidi kuliko waislam wenzako! Kila la kheri mzee wangu.
Ndugu yangu Barubaru kila aliyesimama na Nyerere kumpiga vita Sheikh Hassan bin Amir alipokea jaza yake hapa hapa duniani. Mie hao nimewaona wanadhalilika kwa macho yangu wala sikuhadithiwa na mtu.
Rajab Diwani kafa.
Taarifa zilipofika msikitini karibu na kwake Ilala huwezi amini walichofanya Waislam ni kufunga msikiti na kila mtu kushika hamasini zake.
Basi mwambie mtu eh bwana twende mazikoni (hapo yuko katika dhumna) anakwambia samahani bwana nina shughuli hii faradh kifaya nenda wewe.
Hali ilikuwa hivyo ikabidi Aboud Jumbe awaite TANU Youth League kuja kubeba jeneza lake.
Pale msibani yameonekana mashati ya kijani ya TANU Youth League wala husikii Qur'an ya Allah wala dua.
Lingine limetokea juzi juzi hapa Msikiti wa Sheikh Idris Bin Saad.
Mjukuu wa marehemu Sayyid Badawy Qulatein anaolewa akdi tumekaa msikitini tunapiga kahawa na halua. Ghafla kasimama Sheikh mmoja anaomba watu wasiondoke tusome dua kumwombee kiongozi mmoja wa serikali Muislam kwa kuwa yuko hospitali mahututi.
Sasa huyu bwana enzi zake kawatesa sana Waislam akishirikiana na Nyerere.
Basi ghafla kumezuka mtafaruk ndani ya msikiti kila mtu anatafuta wapi kaweka viatu vyake aondoke. Waislam hawataki kumwombea dua huyu muheshimiwa.
Dakika tano msikiti mweupe. Wamesimama nje ya msikiti wanaendelea na mazungumzo yao. Hilo la dua wamemwachia sheikh peke yake.
Hii ndiyo hali ilivyo.
Mohamed
Gwalihenzi,
Dhambi ya ubaguzi ni mbaya sana. Ikimaliza kutafuna jirani inarudi ndani ya nyumba yako.
Anachosema Mohamed ni kuwa BAKWATA si sehemu ya waislam. Anapotaja asilimia 17 ya waislam BAKWATA wamo. Kwa msingi huo ukisoma kitabu cha Mohamed utagundua kuwa ni masimulizi ya kupanga yanayojichanganya.
Eti kuwa na taasisi za watu binafsi ni ghera ya mwenyezi mungu! kweli! msomi anayasema haya. Hajaona tatizo litokanalo na hali hiyo. Hizi si taasisi za waislam ni NGO za watu binafsi. Hivi kamati ya mali za waislam ina shughuli za kiwanja cha Chang'ombe tu!
Matokeo yake hakuna kitu kinachofanyika zaidi ya kusubiri tuhuma dhidi ya watu wengine. Hili lilianza mwaka 1959 na AMNUT ambayo Mohamed anaijua. Mohamed anaamini ukitaka kuwasaidia watanzania ni lazima umtukane Nyerere na kutafuta kila jambo la kusingizia wakristo. Hana habari na afya, elimu n.k. wakati wenzao wakifungua miradi ya umeme, Team Mohamed inazunguka nchi nzima kueneza chuki.
Hilo la BAKWATA huna jibu la kiutu uzima au kisomi ni aibu tupu, tuliache.
Swali la pili.
Mohamed, asilimia 83 ya madaraka ni wakristo, asilimia 17 ni waislam. Hivi unatumia vigezo gani kujua huyu ni mkristo au huyu ni mwislam.
Kwanini Mohamed aitaje BAKWATA sasa. Kwanini kuwe na taaisisi lukuki.Zile kamati za haki za binadamu, haki za waislam, Istqama, baraza kuu, taaisisi na hiyo ya siri ya Mohamed zinafanya nini. Haya maji ni mazito kwako nakusihi uendelee kusoma. Lililomshinda Manju ataliweza mpiga zumari
Umeulizwa chombo jamani tena "nje ya Bakwata".
Mzee Mohamed, katika mabandiko yako yote hili hapa limenifurahisha sana kwani limezidi kuimarisha "atheism" yangu ambayo wewe unaiita "ukafiri". Nimejiuliza maswali mengi sana kuhusu Mungu wenu! iweje baadhi yenu muwe wasemaji wa Mungu na watoa hukumu dhidi ya wenzenu?Kama binadam kamuudhi Mungu, si Mungu ndie mwenye uwezo wa kujua kiasi cha adhabu ya mkosaji? Kwa hiyo wewe mzee Mohamed ni muislam zaidi kuliko waislam wenzako! Kila la kheri mzee wangu.
Mzee Mohamed, katika mabandiko yako yote hili hapa limenifurahisha sana kwani limezidi kuimarisha "atheism" yangu ambayo wewe unaiita "ukafiri". Nimejiuliza maswali mengi sana kuhusu Mungu wenu! iweje baadhi yenu muwe wasemaji wa Mungu na watoa hukumu dhidi ya wenzenu?Kama binadam kamuudhi Mungu, si Mungu ndie mwenye uwezo wa kujua kiasi cha adhabu ya mkosaji? Kwa hiyo wewe mzee Mohamed ni muislam zaidi kuliko waislam wenzako! Kila la kheri mzee wangu.
Nguruvi3,
Kama kuna kitu kinaniudhi na kama unataka tugombane na niache kujadili kitu na wewe basi endelea kusema mimi natukana.
Sijapatapo kumtukana mtu yoyote maishani mwangu.
Pitia nyuzi zangu zote.
Ama kuhusu Nyerere nimendika historia kama alivyoitengeneza mwenyewe.
Mohamed