Historia ya Uhuru isimuliwavyo na Mohammed Said yakosolewa

Historia ya Uhuru isimuliwavyo na Mohammed Said yakosolewa

huh? ukingoni...? what makes you think that? na bora ungeweka evidence inayoonyesha malalamiko ya maaskofu na jinsi hayo malalamiko yanavyoashiria kuelekea kwao ukingoni!

Ukingoni kwa maana waislamu wa sasa wana ufahamu mzuri na hudanganyi mtu.
 
Muulize kwanza hao feza watapataje DIV I na II mbele ya mfumo kristo? Au paper zao ziliplekwa kusahihishwa Pakistan?
We acha tu...hawa ndugu zetu kwa unafiki na majungu wanastahili Nobel prize. Kwenye video moja nilimuona shehe Ilunga akielezea mfumo kristo kwenye mhadhara au ibada kama mwenyewe alivyokuwa anasema:-
Kulikuwa na binti wa kiislam huko Bagamoyo ambaye alikuwa na akili nzuri tu ila alifeli mtihani wa taifa. Sasa baada ya kuangalia vizuri yale matokeo yake wakakuta jina lake lina namba siyo yake ya mtihani...ila namba yake huyo binti amepewa binti mwingine(mkristo). Sasa wazee wa huko bagamoyo wakakusanyana na kusafiri mpaka kwenye hiyo shule aliyopata huyo binti wa kikistro aliyepewa namba ya binti wa kiislam.Basi mwalimu mkuu wa hiyo shule alipopata maelezo ya hao wazee alitetemeka sana akawaomba wamlete huyo binti wa kiislam hapo shule ili aendelee na masomo. Wale wazee wakafunga safari kurudi nyumbani ili kutoa taarifa nzuri ila walipofika nyumbani wakakuta tayari yule binti wa kiislam keshapewa 'ujauzito'.
Ustadhi alipomaliza hiyo stori ya 'mfumo kristo 'akapiga ...'Takbir' ...umati nao ukaitikia kwa jazba....'Takbir'

Kweli umaskini wa fikra ni mkubwa kupita umaskini wowote[Nyerere].
Watu wanashindwa kuuliza huyo binti anaitwa nani na namba yake ya mtihani ni ipi?
jina la binti wa kikristo na namba yake ya mtihani?
shule waliyomea?
shule aliyochaguliwa huyo binti mkristo?
jina la mwalimu mkuu?
etc etc
Yaani watu wanasimuliwa porojo na wanameza bila kujiuliza kama wanavyofanya wafuasi wa mtoa porojo maarufu hapa JF ustaadhi Mohamed Said!
 
Ukingoni kwa maana waislamu wa sasa wana ufahamu mzuri na hudanganyi mtu.

Sasa kama waislam wana ufahamu mzuri si ni habari njema hizo..! sioni uhusiano wowote wa kuelekea ukingoni ...!hujaniambia hayo malalamiko ya maaskofu yakoje...una evidence?
 
Sweke,

Shule ya Bakwata unazijua kuanzia Kinondoni to Al-Haramain. Tafuta list yao utazijua. Shule ambazo sio za Bakwata but zinamilikiwa na waislamu ni Mzizima, Al-Muntazir, Feza, Ubungo Islamic na kuendelea. Sijui kama Feza waliitwa bungeni ila nakumbuka kuna gazeti mmoja la kiswahili lilikuwa likiwaandama ile mbaya Feza kiasi ikawa shule inaogopewa. Vile vile humu JF kuna watu kila kukicha wanatafute sababu mara inamilikiwa na mafisadi mara ya Mama Salma Kikwete.

Shule hizo zinasomesha watoto wote mkuu waislamu na wakristo. Ila tu zinamilikiwa na waislamu ufahamu hilo na sio Bakwata.

Wapo/yupo mwanafunzi wa Feza kati ya wanafunzi walio perfom vizuri waliokwenda bungeni!
 
Nguruvi3,Waswahili tuna msemo, "Usilojua usiku wa kiza."
"On 28 April, 1993 bizarre occurrence took place. Indesperation and in its effort to salvage BAKWATA the Minister of Home Affairsand Deputy Prime Minister Augustine Mrema convened a meeting between Muslimsand Christians at the Diamond Jubilee Hall, Dar es Salaam. The agenda was not known.The Church sent a strong delegation. Muslims abstained except BAKWATA. The fewMuslims who turned up were there out of curiosity rather than conviction that the meeting would bear fruits. When the time for introduction between the two parties came, Muslims present at the meeting refused to shake hands with the Church leadership. This was an embarrassment to the government propaganda machinery sent to the meeting by the Christian Lobby to record and broadcast the event. Mrema addressed the meeting in which in his speech it was revealed that elections for BAKWATA were long overdue and could not be held because of lack of funds. The Church volunteered to provide money to BAKWATA to enable it hold its elections. The Minister for Home Affairs Augustine Mrema also helped to collect money from the business community to fund BAKWATA elections."
Nianzie hapa, Mohamed hujajibu swali, unachofanya ni kuzunguka zunguka na kubabaisha wasomaji kwa maelezo mareefu yasiyo jibu hoja. Swali ni kuwa nje ya BAKWATA(ikubalike au isikubalike) ni taasisi gani inyoongoza waislam? Ni taasisi gani inaweza kutoa kauli tutakayosema ni ya waislam wa Tanzania. This is the question, simple and staright forward.

Tunajua umekwenda Kenyatta university, Ibadan, USA, Europe etc etc. This has been your mantra from the very begining and one wonders why do you make it as core issue. Mohamed, you as a 'scholar' and writer you need to be concise and precise. Fumbling does not make you look better iota.

Swali ni kuwa nje ya BAKWATA ni chombo gani kinasimamia waislam.( 10 words)
Nimemuuliza Baru baru hana jibu kwasababu Mohamed hujibu. Toa majibu ili vijana wako wapate cha kusema alau! si kuimba tu.
 
Nianzie hapa, Mohamed hujajibu swali, unachofanya ni kuzunguka zunguka na kubabaisha wasomaji kwa maelezo mareefu yasiyo jibu hoja. Swali ni kuwa nje ya BAKWATA(ikubalike au isikubalike) ni taasisi gani inyoongoza waislam?Ni taasisi gani inaweza kutoa kauli tutakayosema ni ya waislam wa Tanzania. This is the question, simple and staright forward.

Tunajua umekwenda Kenyatta university, Ibadan, USA, Europe etc etc. This has been your mantra from the very begining and one wonders why do you make it as core issue. Mohamed you as a 'scholar' and write you need to be concise and precise. Fumbling does not make you look better iota.

Swali ni kuwa nje ya BAKWATA ni chombo gani kinasimamia waislam.( 10 words)
Nimemuuliza Baru baru hana jibu kwasababu Mohamed hujibu. Toa majibu ili vijana wako wapate cha kusema alau! si kuimba tu.

Ni QUR-AN ndiyo inayosimamia mambo ya Waislamu.
 
"On 28 April, 1993 bizarre occurrence took place. Indesperation and in its effort to salvage BAKWATA the Minister of Home Affairsand Deputy Prime Minister Augustine Mrema convened a meeting between Muslimsand Christians at the Diamond Jubilee Hall, Dar es Salaam. The agenda was not known.The Church sent a strong delegation. Muslims abstained except BAKWATA
You mean BAKWATA is not part of muslim society! fair enough. The question is when you presented 17% underpriveledged muslims did you exclude BAKWATA.
The fewMuslims who turned up were there out of curiosity rather than conviction that the meeting would bear fruits
How did yo know this. You should never make your personal conviction as public opinion.Another concoction as we have seen times and gain when he wants to implicate Nyerere with wrong doing.
When the time for introduction between the two parties came, Muslims present at the meeting refused to shake hands with the Church leadership. This was an embarrassment to the government propaganda machinery sent to the meeting by the Christian Lobby to record and broadcast the event
Muslims boycotted the event, halafu unasema walikataa kusalimiana na wakristo. Ni wapi hao wakati waliokuwepo ni BAKWATA peke yao? Ona hadithi za kutunga zinavyojichanganya.

Mohamed anasema hivi hii ilikuwa ni fadhaa kwa vyombo vya serikali vilivyotumwa na wakristo. Another concoction! Umesema mstari wakwanza kuwa zote zilikuwa jitihada za kuiokoa BAKWATA sasa mtu mwenye akili timamu anajiuliza ni nani ali embarass serikali BAKWATA inayoshirikiana nayo au waislam safi wasiokuwepo ndani ya ukumbi. Too difficult to comprehend. Lakini pia serikali ilikuwa inaongozwa na nani kama si Mwinyi. Kwanini Nyerere atuhumiwe kuua EAMWS peke yake na si serikali yake, lakini kwa hili Mwinyi hayupo ni serikali yake. Oneni double standard za Mzee huyu, nadhani wewe ndiye sasa unakuwa embarassed. Stop fabrication and concoction, huo si uislam.

Mohamed, you will never help your society by this kind of concoction and sentiment. Never ever. It gonna be a vicious circle unless someone intelligent intevene. So sad!

Ni QUR-AN ndiyo inayosimamia mambo ya Waislamu.
Kwanini Mohamed aitaje BAKWATA sasa. Kwanini kuwe na taaisisi lukuki.Zile kamati za haki za binadamu, haki za waislam, Istqama, baraza kuu, taaisisi na hiyo ya siri ya Mohamed zinafanya nini. Haya maji ni mazito kwako nakusihi uendelee kusoma. Lililomshinda Manju ataliweza mpiga zumari
 
Nguruvi3,

Kuwa na taasisi nyingi maana yake ni ghera ya kuutumika Uislam.

Hii moja na pili tulisoma vizuri katika EAMWS.
Hatuumwi tena na nyoka katika shimo lilelile.

Kama huelewi mkakati ni kuwa na taasisi nyingi iwezekanavyo.

Mohamed
 
Mnajuaje kama zote zinawakilisha maslahi ya Waislamu na kama ni nyingi iwezekanavyo basi BAKWATA ni mojawapo. Au wale Waislamu wa BAKWATA una mashakana Uislamu wao?
 
Nguruvi3,

Kuwa na taasisi nyingi maana yake ni ghera ya kuutumika Uislam.

Hii moja na pili tulisoma vizuri katika EAMWS.
Hatuumwi tena na nyoka katika shimo lilelile.

Kama huelewi mkakati ni kuwa na taasisi nyingi iwezekanavyo.

Mohamed

It doesn't make any sense. Unawezaje kutetetea hoja yako ya kwamba "kuwa na taasisi nyingi maana yake ni ghera ya kuutumika Uislam", wakati conventional wisdom siku zote ni kuwa, "umoja ni nguvu, utengano ni udhaifu? "

Hii si zaidi wala si lolote bali ni jaribio la kutaka kuficha ukweli uliopo ambao ni kwamba Waislamu, kwa sababu wazijuazo wenyewe, miaka nenda, miaka rudi, kabla na baada ya Uhuru wameonyesha kutokuwa na mshikamano kwa kushindwa kuji-organize na kuwa na chombo kimoja/sauti moja kinachowawakilsisha Waislamu wote kitaifa.

Binafsi nadhani hii ni sababu moja kubwa ya Waislamu (kwa maana ya Waislamu Wazawa wa dhehebu la Sunni, kwani Wahindi Waislamu ni obvious exception), wenye msimamo kama wako wanawaonea donge Wakristo kwa kuwa wako well-organized na
wamesimama kwa sauti moja kwenye mambo yanayowahusu kutumia vyombo vyao vinavyowawakilisha.

Kwa hiyo usijaribu kutuhadaa kwa kuficha udhaifu WA MSINGI NA WA WAZI baina ya Waislamu Wazawa wa dhehebu la Sunni, ambao ni wazi unatokana na kukosekana kwa UMOJA baina yao. Period.
 
Ndugu yangu Barubaru kila aliyesimama na Nyerere kumpiga vita Sheikh Hassan bin Amir alipokea jaza yake hapa hapa duniani. Mie hao nimewaona wanadhalilika kwa macho yangu wala sikuhadithiwa na mtu.

Rajab Diwani kafa.

Taarifa zilipofika msikitini karibu na kwake Ilala huwezi amini walichofanya Waislam ni kufunga msikiti na kila mtu kushika hamasini zake.

Basi mwambie mtu eh bwana twende mazikoni (hapo yuko katika dhumna) anakwambia samahani bwana nina shughuli hii faradh kifaya nenda wewe.

Hali ilikuwa hivyo ikabidi Aboud Jumbe awaite TANU Youth League kuja kubeba jeneza lake.
Pale msibani yameonekana mashati ya kijani ya TANU Youth League wala husikii Qur'an ya Allah wala dua.

Lingine limetokea juzi juzi hapa Msikiti wa Sheikh Idris Bin Saad.

Mjukuu wa marehemu Sayyid Badawy Qulatein anaolewa akdi tumekaa msikitini tunapiga kahawa na halua. Ghafla kasimama Sheikh mmoja anaomba watu wasiondoke tusome dua kumwombee kiongozi mmoja wa serikali Muislam kwa kuwa yuko hospitali mahututi.

Sasa huyu bwana enzi zake kawatesa sana Waislam akishirikiana na Nyerere.

Basi ghafla kumezuka mtafaruk ndani ya msikiti kila mtu anatafuta wapi kaweka viatu vyake aondoke. Waislam hawataki kumwombea dua huyu muheshimiwa.

Dakika tano msikiti mweupe. Wamesimama nje ya msikiti wanaendelea na mazungumzo yao. Hilo la dua wamemwachia sheikh peke yake.

Hii ndiyo hali ilivyo.

Mohamed

Mzee Mohamed, katika mabandiko yako yote hili hapa limenifurahisha sana kwani limezidi kuimarisha "atheism" yangu ambayo wewe unaiita "ukafiri". Nimejiuliza maswali mengi sana kuhusu Mungu wenu! iweje baadhi yenu muwe wasemaji wa Mungu na watoa hukumu dhidi ya wenzenu?Kama binadam kamuudhi Mungu, si Mungu ndie mwenye uwezo wa kujua kiasi cha adhabu ya mkosaji? Kwa hiyo wewe mzee Mohamed ni muislam zaidi kuliko waislam wenzako! Kila la kheri mzee wangu.
 
Gwalihenzi,
Dhambi ya ubaguzi ni mbaya sana. Ikimaliza kutafuna jirani inarudi ndani ya nyumba yako.
Anachosema Mohamed ni kuwa BAKWATA si sehemu ya waislam. Anapotaja asilimia 17 ya waislam BAKWATA wamo. Kwa msingi huo ukisoma kitabu cha Mohamed utagundua kuwa ni masimulizi ya kupanga yanayojichanganya.

Eti kuwa na taasisi za watu binafsi ni ghera ya mwenyezi mungu! kweli! msomi anayasema haya. Hajaona tatizo litokanalo na hali hiyo. Hizi si taasisi za waislam ni NGO za watu binafsi. Hivi kamati ya mali za waislam ina shughuli za kiwanja cha Chang'ombe tu!

Matokeo yake hakuna kitu kinachofanyika zaidi ya kusubiri tuhuma dhidi ya watu wengine. Hili lilianza mwaka 1959 na AMNUT ambayo Mohamed anaijua. Mohamed anaamini ukitaka kuwasaidia watanzania ni lazima umtukane Nyerere na kutafuta kila jambo la kusingizia wakristo. Hana habari na afya, elimu n.k. wakati wenzao wakifungua miradi ya umeme, Team Mohamed inazunguka nchi nzima kueneza chuki.

Hilo la BAKWATA huna jibu la kiutu uzima au kisomi ni aibu tupu, tuliache.

Swali la pili.
Mohamed, asilimia 83 ya madaraka ni wakristo, asilimia 17 ni waislam. Hivi unatumia vigezo gani kujua huyu ni mkristo au huyu ni mwislam.
 
Kama kuna kitu kinaniudhi na kama unataka tugombane na niache kujadili kitu na wewe basi endelea kusema mimi natukana.
Sijapatapo kumtukana mtu yoyote maishani mwangu.

Pitia nyuzi zangu zote.

Ama kuhusu Nyerere nimendika historia kama alivyoitengeneza mwenyewe.

Mohamed
 
Kwanini Mohamed aitaje BAKWATA sasa. Kwanini kuwe na taaisisi lukuki.Zile kamati za haki za binadamu, haki za waislam, Istqama, baraza kuu, taaisisi na hiyo ya siri ya Mohamed zinafanya nini. Haya maji ni mazito kwako nakusihi uendelee kusoma. Lililomshinda Manju ataliweza mpiga zumari

Unajua kuna vitu vingine vinakuwa simple lakini kuna watu kama wewe mnavifanya kuwa complicated.

Kama ulivyosema haya ni MAJI MAZITO, na nakuona unaanza kuzama; lakini MS atakusaidia. By the way, naendelea kusoma hii historia ya Ukweli kutoka kwa MS.
 
Mzee Mohamed, katika mabandiko yako yote hili hapa limenifurahisha sana kwani limezidi kuimarisha "atheism" yangu ambayo wewe unaiita "ukafiri". Nimejiuliza maswali mengi sana kuhusu Mungu wenu! iweje baadhi yenu muwe wasemaji wa Mungu na watoa hukumu dhidi ya wenzenu?Kama binadam kamuudhi Mungu, si Mungu ndie mwenye uwezo wa kujua kiasi cha adhabu ya mkosaji? Kwa hiyo wewe mzee Mohamed ni muislam zaidi kuliko waislam wenzako! Kila la kheri mzee wangu.

Gwalihenzi,

Umekwenda mabali zaidi tungekwenda hatua kwa hatua.

Hiyo mifano nimekuwekea kukupa picha ya mambo yalivyo kuhusu wote waliowataabisha Waislam na "reaction" ya Waislam kwa watu hao.
Sasa hayo mengine ya akida hapa si mahali pake.

Tuyaache.
Ila nakunasihi.

Usimcheze shere Allah ukajiona hodari kwa kumkana hadharani watu wakusifie wewe jabali.
Hatari ndugu yangu.

Mohamed
 
Mzee Mohamed, katika mabandiko yako yote hili hapa limenifurahisha sana kwani limezidi kuimarisha "atheism" yangu ambayo wewe unaiita "ukafiri". Nimejiuliza maswali mengi sana kuhusu Mungu wenu! iweje baadhi yenu muwe wasemaji wa Mungu na watoa hukumu dhidi ya wenzenu?Kama binadam kamuudhi Mungu, si Mungu ndie mwenye uwezo wa kujua kiasi cha adhabu ya mkosaji? Kwa hiyo wewe mzee Mohamed ni muislam zaidi kuliko waislam wenzako! Kila la kheri mzee wangu.

Off topic!!! Let's focus on the topic
 
Nguruvi3,

Kama kuna kitu kinaniudhi na kama unataka tugombane na niache kujadili kitu na wewe basi endelea kusema mimi natukana.
Sijapatapo kumtukana mtu yoyote maishani mwangu.

Pitia nyuzi zangu zote.

Ama kuhusu Nyerere nimendika historia kama alivyoitengeneza mwenyewe.

Mohamed

Kuna sehemu ulimuita JKN mwizi......tukapelekeshana wee mpaka ukatumia maneno........na ukaomba radhi ukisema kama kuna watu wamekwazika.......hii ilimaanisha radhi yako ni conditional.....otherwise ulilosema....stands....

kuna sehemu umesema JKN hakuwafanyia fadhila Waislamu, aliwaacha waislamu hoi bin taaban.........

Vijana wa gogovivu wakasema JKN alificha pesa aliyopewa na Kanali Gadafi......wala hukukemea maneno yale.......pamoja na mambo mengine...........wewe kama Mzee wetu/kaka yetu/mwenzetu.....vijana wanapokosea inabidi kuwaasa......ndio utamaduni wetu....au?
 
Back
Top Bottom