Nguruvi3
Platinum Member
- Jun 21, 2010
- 15,773
- 32,431
Nimesoma kuanzia akiwa na Warsha halafu magazetini kisha kitabu miaka 20 iliyopita, pale ambapo sikuelewa sijawahi kupewa jibu. Kukosolewa kwa Mohamed ni kwasababu hataki kujadiliana anataka kusikilizwa kama alivyozoea. Kwa bahati mbaya hapa hatuwezi kukaa kimya tunasikiliza tu na wakati mwingine akichochea chuki, akipandikiza vurugu na akisema uongo. Ni uongo uliotutuka kusema kuwa mabucha ya nguruwe yana uhusiano na umasikini wa Tabora au Mtwara. Kwa wajinga huu ni utafiti kwa wenye akili zao huu ni unafiki. Nasema hivi kwa uhakika kwasababu ameshindwa kuthibitisha au kunausha hayo. Nasema hivi kwasababu Watanzani ni mashahidi kuwa hili linapandikizwa tu kutoka kichwani kwa mtu na kufanywa mada, halina mahusiano hata kwa bahati mbaya.Ritz,
Sadly to say wote hapa hawana intellectual authority to write a book or academic paper to challenge what Mohamed said has presented in front of them. Wengineo humu jamvini wanachokijua ni kutafuta mahali pa kukosoa wakikosa wanabadilisha maneno ili mjadala uonekane hauna maana.
Mohamed Said watu wengine tumemsoma kabla hata Jambo Forums haijaanzisha wala kufikiriwa kuanzishwa. Tunajua wapi tuliona utafiti wake. Na nyie andikeni tuwasome
Uongo dhahiri shahiri tunausoma mubashir, na kama unadhani namuonea nipe jibuMdondoaji;2843841]
He does not have intellectual capacity to defend his own theisis. Do you mean grandiosity and pomp is part of intellect!Ritz,Sadly to say wote hapa hawana intellectual authority to write a book or academic paper to challenge what Mohamed said has presented in front of them
Nilidhani utalichukulia hili positive! Nakuonyesha kwanini nimesema kauli hiyo, na ukiniuliza nitairudia bila kufikiri. Mohamed kasema Tewa S Tewa alikuwa kiongozi wa EAMWS, na Nyerere alipoona ushawaishi wake akafanya njama za kumpeleka ubalozi China. Tewa akakubali nakwenda huko. Siku za mwisho za uhai wake akakukabidhi shajara na makabrasha yake. Sasa hivi unamuona shujaa wa EAMWS bila kujua kuwa alichokifanya kilikuwa usaliti wa kuweka tumbo mbele na si usilam wake. Sasa hapa ukiambiwa ufunge mdomo umetukanawa? Huoni kuwa ushujaa wake unaonekana kwako kwa shajara kwa wenye fikra huyu ni Msaliti mkubwa.Mohamed Said: Barubaru,Ahsante sana.Nguruvi aloweza kufanya kwangu ni kunitukana kunambia "nifunge mdomo."Kapandwa na hamaki