Kama ataweka DINI yake iwe kwa manufaa yake. Aiandike historia ya nchi hii bila DINI au WAZEE WAKE kutukuzwa sana kumbe wengi wao walikuwa watambikaji tu. Asimsingizie Mwalimu au kuusemea moyo wake. Hisia, chuki, fitna aziweke kando.
Unashindwa hata kuelewa maana ya hilo neno. Unajua kwanini inaitwa "Founding Father" unajua kwanini inatumika neno "Father" Hiyo idea ya neno "Father" imetokana na Christians Principles.
The Founding Fathers of The United States were Christians who formed a government based on godly principles.
John Adams
The second President (or tenth if you consider John Hanson the first) wrote to Thomas Jefferson on June 28, 1813:
- The general principles on which the fathers achieved independence were. . . . the general principles of Christianity. . . . I will avow that I then believed, and now believe, that those general principles of Christianity are as eternal and immutable as the existence and attributes of God; and that those principles of liberty are as unalterable as human nature.
Mr. Right!
Huko nyuma, kwenye thread hii umeishashauriwa kuwa usikurupukie maongezi. Nguruvi3 alikwambia haya ni maji mazito. He was right japo ulimpuuza. Uwezo wako wa kujenga hoja ni mdogo sana. Jifunze. Kama hutaki kujifunza kwetu, basi jifunze walau kwa mdondoaji na Mohamed Said. Hawa tunakuwa na mtazamo tofauti lakini wanajitahidi sana ukilinganisha na wewe.
Umedai ni tusi kwa watu wa pwani kumwita mtu BABA kama sio baba mzazi. Hapo ulichemsha, period. Na indirectly ukawa umemtukana MS. Nimejaribu kukueleza jinsi neno Baba wa Taifa (Father of the Nation) lilivyotumika kama "Founding father", hujaelewa, umeenda ku-google kama lilivyo na kukutana na mambo ya wamarekani, na sasa unadai neno "father" lina principles za kikristo. Labda nikuulize tena; Umesoma shule gani wewe????!!!??
Sasa nakueleza tena, neno "founding" limetokana na verb "found". Found could be past participle of find.
Found (verb) also means to start something, to establish something...
To found something=kuanzisha, kuasisi;
Founder=muasisi, muanzilishi...
Nyerere is the founder of this Nation, He is the founding father of this nation
Na kwa lugha yenu ya pwani, Nyerere ni Baba wa Taifa.
Natamani uelewe lakini sasa nimeingiwa na wasi wasi na uelewa wako.
Naunga mkono hoja. Kwa nyongeza naomba nikushauri Sheikh Mohamed Said, usitaabike sana kuwajibu wanaobeza au kukuuliza maswali ya kimtego au kejeli. Tafadhali wapuuzilie kwa mbali, kwa kuwa lengo lao ni kupotosha au kuivuruga mada isieleweke ili mradi badala ya kutoa darsa inakuwa kupotezeana muda tu na majibishano yasiyo na tija. Kila la kheri Sheikh Mohamed.
By NGUVUMOJA
Naunga mkono hoja. Kwa nyongeza naomba nikushauri Sheikh Mohamed Said, usitaabike sana kuwajibu wanaobeza au kukuuliza maswali ya kimtego au kejeli. Tafadhali wapuuzilie kwa mbali, kwa kuwa lengo lao ni kupotosha au kuivuruga mada isieleweke ili mradi badala ya kutoa darsa inakuwa kupotezeana muda tu na majibishano yasiyo na tija. Kila la kheri Sheikh Mohamed.
Kichwa cha habari cha Topic kinaitwa 'Historia ya uhuru isimuliwayo na Mohamed Saidi Yakosolewa'.
Nguvumoja,
Naitika Amin kwa dua zako na nakushukuru kwa kunitia moyo.
Tuendelee na darsa Insha Allah:
Mohamed
Kichwa cha habari cha Topic kinaitwa 'Historia ya uhuru isimuliwayo na Mohamed Saidi Yakosolewa'.
Kama mnataka kusimuliana simulizi bila kukosoana na hawa gogovivu, unaweza kufungua thread nyingine mkawa mnapeana ma 'Darsa' kwa raha zenu....lakini hapa utakosolewa tu kama vitu havieleweki!
safi...na atakosolewa pale atakapopindisha...na asipojibu naye ataonekana gogovivu tu!Darsa popote pale.
Hivyo mwache Mohamed said atu darsishe.
Nenren,
Naomba unisaidie Baba wa Taifa wa South Africa ni nani?
How the hell would I know?
If I were a South African, I would probably know.
Anyway, I don't know. But I do know that Nyerere JK ni Baba wa Taifa letu
My not knowing the South Africa's father of nation doesn't invalidate Nyerere being our "baba wa taifa".
WC,
Siku zote lazima imani yako itakuwa kwa manufaa yako na si ya mwingine. Lakini pia kumbuka Mohamed said hajaandika historia ya Tanganyika bali ameandika mchango wa wazee wake ulio sahaulika katika uhuru wa Tanganyika. Soma vizuri kusudio lake kisha leta hoja.
Darsa popote pale.
Hivyo mwache Mohamed said atu darsishe.
,Kichwa cha habari cha Topic kinaitwa 'Historia ya uhuru isimuliwayo na Mohamed Saidi Yakosolewa'.
Kama mnataka kusimuliana simulizi bila kukosoana na hawa gogovivu, unaweza kufungua thread nyingine mkawa mnapeana ma 'Darsa' kwa raha zenu....lakini hapa utakosolewa tu kama vitu havieleweki!
Mzee Mohamed, hapo ndipo unapopotosha tena kwa makusudi historia ya Tanganyika. Ni hapo unapofumbia macho ukweli kwa nia mbaya ya kuwatukuza wa wazee wako wa Gerezani na uislam wao. Usitudanganye kuwa bila hao wazee wako basi Tanganyika isingepata uhuru. Madhira ya ukoloni yaliwataabisha watanganyika wote na ndio maana wakati muafaka ulipofika watanganyika wakaungana mkono wakapambana bila kujali dini wala makabila yao dhidi ya ukoloni. Wewe kwa kiburi cha udini na upwani unafumba macho nakuto uona mchango watanganyika wengine na bado unataka tukuite msomi, mtafiti na mwandishi mahiri wa historia ya Tanganyika!
Barubaru,
Tatizo ni kuwa vita vyote vilipiganwa TANU Office, New Street na vilianza khasa 1950 na Nyerere kavikuta katikati.
Historia ya wazee wangu ndiyo historia yenyewe ya uhuru wa Tanganyika.
Majimbo yalifuatia baadae na kutoa mchango lakini historia ya Dar es Salaam ina ladha ya peke yake.
Hili ndilo tatizo kubwa.
Kwa watu waliozoea ile historia rasmi ukishaleta historia hii tayari ushawatatiza.
John Iliffe bingwa wa historia ya Tangayika alipandisha hamaki aliposoma kitabu changu kiasi cha kuandika "review" kali dhidi yangu ndani ya Cambridge Journal of African History.
Allah kwa hakika ni muweza.
Hebu soma paragraph yangu nilipokuwa nafunga maelezo ya maisha ya Abdulwahid Sykes:
[1] See Buruku, op. cit. p. 105.
Mohamed
Mzee Mohamed, hapo ndipo unapopotosha tena kwa makusudi historia ya Tanganyika. Ni hapo unapofumbia macho ukweli kwa nia mbaya ya kuwatukuza wa wazee wako wa Gerezani na uislam wao. Usitudanganye kuwa bila hao wazee wako basi Tanganyika isingepata uhuru. Madhira ya ukoloni yaliwataabisha watanganyika wote na ndio maana wakati muafaka ulipofika watanganyika wakaungana mkono wakapambana bila kujali dini wala makabila yao dhidi ya ukoloni. Wewe kwa kiburi cha udini na upwani unafumba macho nakuto uona mchango watanganyika wengine na bado unataka tukuite msomi, mtafiti na mwandishi mahiri wa historia ya Tanganyika!
Mzee Mohamed, acha "biasness" hakika haikujengei heshima ya usomi.
Hata wewe umenasa kwenye huo mtego wa watu wa Kivukoni, Kwani unaposema "Tatizo ni kuwa vita vyote vilipiganwa TANU office,New street na vilianza khasa 1950 na Nyerere kavikuta katikati............" una maanisha nini?Gwalihenzi,
Sijasema bila ya wazee wangu uhuru usingepatikana.
Wala sijafumbia macho mchango wa wazalendo wengine.
Walofumbia macho mchango wa wazalendo wengine ni Chuo Cha Kivukoni walipoandika historia ya TANU.
Wao walimtaja Nyerere peke yake.
Kitabu changu ndicho kilichowaleta akina Abdu Sykes, Sheikh Hassan bin Amir na wengineo Dar es Salaam.
Lindi kikawataja Salum Mpunga, Sheikh Yusuf Badi, Yusuf Chembera na wengineo.
Tabora kikawataja Bilal Rehani Waikela, Fundi Muhindi, Dharura bint Abdulrahman na wengineo.
Moshi kikawataja Yusuf Olotu, Gabriel Malekia, Mama Bint Maalim na wengineo.
Tanga kikawataja Hamisi Kheri, Mmka Omari, Bi Mwanamwema na wengineo nk. nk.
Kasome kitabu cha Kivukoni kisa ufananishe na hiki changu.
Mohamed
Hata wewe umenasa kwenye huo mtego wa watu wa Kivukoni, Kwani unaposema "Tatizo ni kuwa vita vyote vilipiganwa TANU office,New street na vilianza khasa 1950 na Nyerere kavikuta katikati............" una maanisha nini?
Nelson Mandela si baba wa taifa la South Afrika japo alikubali kuwekwa kifungoni kwa kipindi kirefu kwa kutetea maslahi ya weusi wa South Africa. Lakin south Afrika hawajampa title ya Baba wa taifa. Je Nyerere amefanya nini kikubwa kuzidi au hata kufikia nusu ya mandela mpaka apewe u baba wa taifa?
Ni lipi kiuchumi ambalo Nyerere amelifanya katika kujenga uchumi imara wa tanganyika mpaka aitwe baba wa taifa? Au wanafunzi wake na wale Pro Nyerere kwa kuwa wapo katika power ndio wanalazimisha hilo?
Acheni unafiki kuweni wawazi na wa kweli katika kutoa hishma hizo.
Poleni sana
Inamaanisha nyerere siye aliyeanzisha harakati za kudai uhuru..
Kama wanavyotufundisha katika historia rasmi..
Nyerere alikuta watu (wenye uchungu) na haki wakiwa mbali sana akadandia treni..
Bahati mbaya akaanza kuwasaliti
Hapo umekosea. Waislamu hatuna cheo cha "Baba" unless ni baba yako mzazi. Kwa watu wa Pwani ni TUSI kumwambia mtu amwite mtu fulani "Baba" yake wakati si " Baba" yake mzazi. Kwa hiyo rekebisha hiyo lugha.
WC, Wewe si mzungumzaji wangu katika historia ya marehemu Bwana Abdu na Nyerere. Mimi Abdu Sykes ni baba yangu.
Tosheka na hilo tu. Sina haja ya kubishana na wewe kuhusu historia ya mtu ambae mimi namfahamu vizuri lau kama nilikuwa mtoto mdogo.
Mohamed
Kama Abdu Sykes ni "baba Mzazi" wa Mohamed Said basi kweli hilo "Tusi la pwani" lirekebishwe.
Mohamed Said said:Mgalanjuka, Kwa adabu za kikwetu mtu yeyote mwenye umri sawa na baba yako unamwita "baba" hali kadhalika mwanamke yeyote umri wa mama yako unamwita "mama."
Na inapokuwa kati ya hao ni rafiki ya baba au mama yako ile heshima ya ubaba na mama huwa juu zaidi.
Huwa hawana jina lingine nje ya hayo. Utamwita "baba" au "mama."
Hizi ndizo mila, desturi na heshima za watu wa pwani.
Mohamed
WC, Siku zote lazima imani yako itakuwa kwa manufaa yako na si ya mwingine. Lakini pia kumbuka Mohamed said hajaandika historia ya Tanganyika bali ameandika mchango wa wazee wake ulio sahaulika katika uhuru wa Tanganyika. Soma vizuri kusudio lake kisha leta hoja.
Barubaru,
Historia ya wazee wangu ndiyo historia yenyewe ya uhuru wa Tanganyika.
FaizaFoxy said:Mohamed Said, nimekutetea sana na ni mwandishi mzuri sana, lakini kweli hukuwa unatetea Uislaam wala Waislaam, unatetea na kuandika Historia ya wazee wako...Nilichokitathmini, ni kuwa unataka ieleweke kuwa Wamanyema na Wazulu ndio waliokuja kuwafungua macho wenyeji na wenyeji wote ni hamnapo hakunapo.
Unaweza kudandia treni alafu ukawa dereva wa hiyo treni ulodandia? Superman ndio huweza hizo actions. Huyu Mzee kumbe alikuwa kama superman.