Historia ya Uhuru isimuliwavyo na Mohammed Said yakosolewa

Historia ya Uhuru isimuliwavyo na Mohammed Said yakosolewa

Mzee MS, mimi si mwandishi lkn kuna kitu kinanitatiza, wengi tunasoma tu kila post ktk mjadala huu, ukirudi ktk page ya 123 kuna post umeirudia nadhani mara tano au zaidi!! sijui kiuandishi inamaanisha nini... Lakini nadhani utakuwa umewasaidia wasomaji wengi kama utafuta post ulizorudirudia kama hizo. Asante!
 
Punainen,

Huwa nazirudia kwa kuwa maswali yanajirudia.
Hizo post wako wengine hawajaziona hivyo nikizifuta nitakuwa nimewakosesha.

Mohamed
 
Mgalanjuka,

Kwa adabu za kikwetu mtu yeyote mwenye umri sawa na baba yako unamwita "baba" hali kadhalika mwanamke yeyote umri wa mama yako unamwita "mama."

Hakuna jina jingine nje ya hapo.

Na inapokuwa kati ya hao ni rafiki ya baba au mama yako ile heshima ya ubaba na mama huwa juu zaidi.
Huwa hawana jina lingine nje ya hayo.

Utamwita "baba" au "mama."
Hizi ndizo mila, desturi na heshima za watu wa pwani.

Mohamed
Khaaa! hapa lugha gongana! Kuna mheshimiwa mwingine
wa pwani hapo juu kaandika tena kwa herufi kubwa kuwa kwa watu wa pwani ukimuita mtu asiye mzazi wako kuwa baba ni tusi kubwa!!! Sasa sijui nani hapo ni mtu wa pwani na anasema ukweli....
Kwenye mjadala huu tayari tuna 'vichaka' viwili, 1-Mtu/watu wa pwani...hivi na vile...
2-Umenitukana/nimetukanwa... kwa hiyo sijibu...
Kaazi kweli kweli.
 
Punainen,

Huwa nazirudia kwa kuwa maswali yanajirudia.
Hizo post wako wengine hawajaziona hivyo nikizifuta nitakuwa nimewakosesha.

Mohamed
Asante mzee, ila nadhani hujanielewa, ukipata mda rudi kwenye hiyo page niliyokupa uone. Ni sawa na hii uliyonijibu sasa hivi ungei-post mfululizo mara tano au zaidi.
 
Hardwood,

Historia yetu imeanza mbali sana na haikuwa kazi nyepesi.
Tulianza kupambana na Nyerere toka miaka ya 1970.

Sasa unatusikia hadhir kwa kuwa Waislam wameamka wanadai haki zao.

Mauaji ya Rwanda tafuta chanzo chake.
Haikuwa kwa serikali kukaa kimya.

Chanzo ni jamii moja kujiona bora.
Serikali hii iko kimya kwa kuwa imepwelewa.

Wanaujua ukweli ila hawana bado ujasiri wa kufanya mazungumzo ya kuondoa dhulma.
Wanategemea labda tatizo hili litajiondosha lenyewe.

Mohamed
Mohamed,
Mauaji ya Rwanda yaliasisiwa na kulelewa na serikali ya Wahutu. Serikali ilikaa kimya kwa sababu yenyewe ndiyo iliyokuwa inatekeleza mauaji dhidi ya Watutsi. Anachosema Hardwood ni kwamba mahubiri yako yanawachochea Waislamu wawaone Wakristo kuwa ndio maadui wao. Waislamu wanakabiliwa na maadui wanaowakabili Watanzani wote kwa ujumla ambao ni ujinga, maradhi, na ufukara.
Tunaweza kuamua kupambana nayo kwa pamoja au tunaweza kuamua kujitenga kila mtu na lake huku kundi moja likinyooshea kidole kundi jingine kuwa ndio adui wao.
 
Nikuulize kidogo??

Wewe unawachukia waislamu?? je uko tayari kupambana nao??

What makes you think kwamba waislamu wanawachukia wakristo?? na wakristo ni maadui zao???

Waislamu wana tatizo na serikali inatakiwa kutoa majibu???

Matagemeo yetu si wewe jasusi (Mkristo utoe majibu kwa niaba ya serikali) bali ungekuwa muungwana na unawapenda waislamu ungeshirikiana nao kuona ukweli wa mambo na dhulma wanazosema??
 
Nanren,

Kumwita Nyerere baba wa taifa kama kweli alistahikhi swifa hiyo hakuna shida lakini kama hakustahikhi bali wale aliowafadhili kwa aina moja au nyingine ndio waliopenda aitwe hivyo kwa kuwa wapo kwenyye power ni makosa makubwa sana.

Ndiyo anastahili, Sifa za huyu mzee ziko wazi, waulize hata watoto wa chekechea watakuambia hilo

Hata mtu akiwa dikteta lazima kuna watu wake aliwabeba na kuwatazama kwa namna moja au nyingine wakimzunguka na kumsifia katika utawala wake kuwa anafanya mema. Na watu hao hata siku moja hawatathubutu kuona mtawala yule dikteta anaondolewa madarakani na hata kama ataamua kuachia madaraka hao hao watu wake watataka azidi kupewa hishima za kutukuka na kukumbukwa.

As long as Nyerere hakuwa Dikteta, unachosema wewe kinamhusu Idd Amin, Saddam Hussein,Hitler, Mobutu and the alike. Nyerere hana sifa hizo.

Nikirudi kwa Nyerere na uhuru wa tanganyika. Hapa cha msingi ni kuwa Tanganyika walipewa uhuru wao ofisini sio kwa mapambano au kuigania kwa vita kama nchi nyingi nyingine ambapo viongozi majemadari wa vita vile ndio waliokuwa viongozi wa kwanza mara baada kumshinda na kumng'oa mkoloni. Kwa tanganyika hakukuwa na rabsha zozote zile.

Gandhi ni baba wa taifa wa India, unajua jinsi gani alivyoendesha harakati za uhuru...Non-violent

Nyerere anajulikana fika alikuwa mwl pale Pugu Secondary tena mwl wa kawaida na mwenye kipato cha kawaida sana. Tunakubaliana wazi kuwa yeye sio muasisi wa vuguvugu la uhuru wa Tanganyika. Tukumbuke kuwa kulikuwa na TAA na vyama vingine vya siasa ambavyo vilikuwapo wakti huo na vyote vilikuwa na maofisi yao.

Ndio maana alisisitiza kuitwa mwalimu na si Dr. Dr. By the way, ulitaka awe na billions ngapi na Bungalows ngapi ili umwone muhimu katika harakati za uhuru?

Sasa tuwaangalie hawa wafadhili wa hivi vyama hata TANU, nani alitoa nyumba yake kuwa ofisi ya Tanu? Nani alitoa nyumba yake kuja kukaa Nyerere pale alipoacha kazi na kuhamia Dar es salaam? Nani alihakikisha anapata fedha na mahitaji yake ya kila siku nyumbani kwake na familia yake? Na alihakikisha wanapata fedha na wale waliojitolea fedha zao kuhakikisha Nyerere anakwenda UNO kudai uhuru?

Unataka tumwite Sabodo baba wa Chadema? Au Rostam Aziz baba wa CCM? hawa hawatoi Nyumba bali mabilioni.

Kumbuka lazima kulikuwa na watu waliojitolea kwa hali na mali kuhakikisha Nyerere anakwenda kudai uhuru na kuisha salama kabisa mpaka ukapatikana uhuru.

Hata baada ya Uhuru hukuwahi kusikia Nyerere alijengewa Nyumba na JKT? Babu yangu aliuza shamba kuchangia TANU lakini sidhani kama anastahili kupewa "hishma" ya ubaba wa taifa kwa kuuza shamba lake.

Je watu hao waliojitolea mali zao wamepewa hishma gani? Kwanini hishma apewe pekee mfadhiliwa na mfadhili asipewe hishma hiyo? naomba jibu lako hapo.

Oww! kumbe walikuwa wanapanda ili wavune? Heshima gani unataka apewe mfadhili? Aitwe baba wa Taifa kwa kutoa Nyumba na mali? Mali, mali, mali!! we ni fisadi?
 
Mohamed,
Mauaji ya Rwanda yaliasisiwa na kulelewa na serikali ya Wahutu. Serikali ilikaa kimya kwa sababu yenyewe ndiyo iliyokuwa inatekeleza mauaji dhidi ya Watutsi. Anachosema Hardwood ni kwamba mahubiri yako yanawachochea Waislamu wawaone Wakristo kuwa ndio maadui wao. Waislamu wanakabiliwa na maadui wanaowakabili Watanzani wote kwa ujumla ambao ni ujinga, maradhi, na ufukara.
Tunaweza kuamua kupambana nayo kwa pamoja au tunaweza kuamua kujitenga kila mtu na lake huku kundi moja likinyooshea kidole kundi jingine kuwa ndio adui wao.

Jasusi,
Mimi si mtu wa nipe nikupe lakini upo ushahidi mkubwa sana dhidi ya Nyerere kuhusika na kuupiga vita Uislam.
Utakapohitajika Insha Allah utatolewa.

Mohamed
 
Nikuulize kidogo??

Wewe unawachukia waislamu?? je uko tayari kupambana nao??

What makes you think kwamba waislamu wanawachukia wakristo?? na wakristo ni maadui zao???

Mohamed Said anajaribu kutuambia hivyo. Au wewe humsomi?

Waislamu wana tatizo na serikali inatakiwa kutoa majibu???

Matagemeo yetu si wewe jasusi (Mkristo utoe majibu kwa niaba ya serikali) bali ungekuwa muungwana na unawapenda waislamu ungeshirikiana nao kuona ukweli wa mambo na dhulma wanazosema??

Kama serikali inawadhulum kwa nini utaje Ukristo? Acha siasa, unazunguka-zunguka kama pia.
 
Mohamed Said anajaribu kutuambia hivyo. Au wewe humsomi?

Mgalanjuka,

Hebu tupate darsa kidogo:

[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD="width: 744, bgcolor: transparent"] "Christianity is a relatively a new religion in Tanzania, having been introduced into the country during the eighteenth century by professional missionaries. The Church and the African Christian are a phenomenon of colonialism. Having this common factor the behaviour of the Church in the history of all Africa is that of loyalty and cooperation to the colonising authority. The Church gradually managed to create a special relationship between the colonial government and the educated African Christian whom it had trained in its mission schools. The African Christian therefore became a beneficiary of the colonial system. Muslims suffered as a people whose faith was antagonistic to that of the coloniser. The African Christian on the other hand was loyal to the colonial government in pre-independence Tanganyika and came to control the government in post-independence Tanzania. [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 744, bgcolor: transparent"] Muslims suffered as colonised subjects singled out for discrimination by being denied education opportunities, curtailing any chances for self-advancement. The survival of Muslims as a people and Islam as a religion therefore lay in the total overthrow of the colonial state. The Church maintained its pre-independence position by courting the new government. This alliance between the Church and government, built by Church conformity to the political systems and nurtured by government cooperation, served Christianity well. The Church managed to create for itself an environment conducive to operating without any suspicion or hindrance from the government. From this special relationship, over time the Church devised for itself a powerful base out of the African Christian it had trained in its mission schools. The Church used this special relationship with the colonial and later with independence government to build for itself a domain in which its followers came to control almost all the important positions in the executive, the legislature and the judiciary in free Tanzania. In its mere hundred years, theChurch managed to create its own hierarchy to control and permeate every sector of Tanzanian society. [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 744, bgcolor: transparent"] [h=6]When the British took over Tanganyika (as Tanzania was then known) from the Germans after the First Word War, by then the Germans had done more than their fair share in opening up Tanganyika for Christian influencthrough various Christian establishments. Tanganyika was divided among different Christian organisations originating from various European countries. The Catholic Church, which is the most influential, was already established in Tanganyika. White Fathers were in Tabora, Karema, Kigoma, Mbeya, Mwanza and Bukoba; Holy Ghost Fathers-in Morogoro and Kilimanjaro; Benedictine Fathers in Peramiho and Ndanda; Capuchin Fathers-in Dar es Salaam; Consolata Fathers-in Iringa and in Meru; Passionist Fathers-in Dodoma; Pallotine Fathers-in Mbulu; Maryknoll Fathers-in Musoma; and Rosmillian Fathers-in Iringa.[1] For more than a hundred years the Church concentrated its effort in moulding citizens, most of them African Christians, who would be loyal to both the Church and State. It is through the mission-trained bureaucrats that the Church indirectly controls and influence decisions in the government and ruling party, the CCM, with Muslims and Islam increasingly made irrelevant.[/h] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 744, bgcolor: transparent"] [h=6]By the mid-1960s the Church in Tanzania became a multi-million dollar charity institution with donors and well-wishers from all over the Christian World. It now owns its own hospitals, fleet of small private planes, air strips, printing presses and publishing houses, radio stations and newspapers. The Church was and still is so influential and pervasive, that at times government and party bureaucrats, particularly Christians, are at loss to distinguish where their allegiance and loyalty lies. Is it with the government or with the Church? It is this confusion in loyalty and church-state relations which helped to create mistrust between Muslims and the government soon after independence. The government was perceived by Muslims as a Church institution where Muslims were outsiders and mere spectators. Soon after independence the Church redefined its role vis-à-vis the new state. During colonial rule the Church maintained an image of seeming to respect the line of demarcation between religion and politics. Church-state confrontation was unheard of." [/h] [/TD]
[/TR]
[/TABLE]

https://www.jamiiforums.com/#_ftnref1 [1]See KiongoziNo. 6, June 1950. For more information on missionary penetration in East Africa, see M. Langley& T. Kiggins: A Serving People, Oxford University Press, Nairobi, 1974, p. 19.

Kama serikali inawadhulum kwa nini utaje Ukristo? Acha siasa, unazunguka-zunguka kama pia.
[TABLE="class: cke_editor"]
[TR]
[TD="class: cke_contents"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: cke_bottom"]
Auto-Saved

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Mohamed Said anajaribu kutuambia hivyo. Au wewe humsomi?

Kama serikali inawadhulum kwa nini utaje Ukristo? Acha siasa, unazunguka-zunguka kama pia.

Mimi namsoma na kumuelewa inawezekana wewe unamsoma lakini hutaki kumuelewa??

Kwanini unataja ukristo?? yes kwasababu viongozi wa kikristo wanaofanya kazi serikalini akiwemo nyerere wanaisaidia kanisa (kwa kutumia nafasi zao) badala ya kusaidia taifa ..hilo ndilo swala ukristo linapokuja kwenye maandishi..

Hakuna anayezunguka kama pia..wewe ndio unaitetea serikali kwasababu inakupendelea wewe mkristo kuna lingine???
 
Ndiyo anastahili, Sifa za huyu mzee ziko wazi, waulize hata watoto wa chekechea watakuambia hilo

As long as Nyerere hakuwa Dikteta, unachosema wewe kinamhusu Idd Amin, Saddam Hussein,Hitler, Mobutu and the alike. Nyerere hana sifa hizo.

Gandhi ni baba wa taifa wa India, unajua jinsi gani alivyoendesha harakati za uhuru...Non-violent

Ndio maana alisisitiza kuitwa mwalimu na si Dr. Dr. By the way, ulitaka awe na billions ngapi na Bungalows ngapi ili umwone muhimu katika harakati za uhuru?
[/FONT]
Unataka tumwite Sabodo baba wa Chadema? Au Rostam Aziz baba wa CCM? hawa hawatoi Nyumba bali mabilioni.

Hata baada ya Uhuru hukuwahi kusikia Nyerere alijengewa Nyumba na JKT? Babu yangu aliuza shamba kuchangia TANU lakini sidhani kama anastahili kupewa "hishma" ya ubaba wa taifa kwa kuuza shamba lake.

Oww! kumbe walikuwa wanapanda ili wavune? Heshima gani unataka apewe mfadhili? Aitwe baba wa Taifa kwa kutoa Nyumba na mali? Mali, mali, mali!! we ni fisadi?

Mkuu Mgalanjuka usihangaike na hawa wapuuzi kama Barubaru, huyu alishaikana Tanzania akapata hifadhi hukooo.. walikotoka masultani na bado wana hii ndoto kuwa kuna siku Usultani utarudi. Lengo lao kubwa ni kujaribu kuivunja misingi aliyoijenga Mwalimu, kazi ambayo mimi nimewaapia kuwa hawataiweza kamwe kwani misingi hiyo haikujengwa kwa matope bali kwa zege na chuma. Waacheni watu kama Barubaru waendelee na ndoto zao za mchana.

Kuijenga, kuieneza na kuiendesha TANU kulihitaji hela na hiyo hela ilitokana na michango ya wanachama mbalimbali Tanganyika nzima na walifanya hivyo kutokana na imani yao kwa Raisi wa TANU ambaye hakuwa mwingine bali Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Nikitoa mfano mdogo tu mwaka 1958 kati ya shilingi 1,575,981/= zilizofika makao makuu ya TANU, zaidi ya nusu zilitoka Jimbo la Ziwa (shilingi 590,408/= kati ya hizo zikitoka Sukumaland !)

Hiyo ina maana kuwa nusu iliyobakia ndiyo ilichangwa na majimbo saba yaliyobaki ! Jimbo lililofuatia ni Jimbo la Kaskazini likifuatiwa na jimbo la Nyanda za Juu kusini. Kwenye hii listi Jimbo la Mashariki (Pwani) sidhani hata kama ilishika namba halafu eti leo Wazee wa Gerezani wakumbukwe kwa michango ya kitoweo au kitanda cha kulalia, mbona Mwalimu aliishawapa ahsante ? Kwangu hizi ni soga tu za kuwasimulia wajukuu na hazihitaji kuandikwa kama historia.
 
Mohamed,
Mauaji ya Rwanda yaliasisiwa na kulelewa na serikali ya Wahutu. Serikali ilikaa kimya kwa sababu yenyewe ndiyo iliyokuwa inatekeleza mauaji dhidi ya Watutsi. Anachosema Hardwood ni kwamba mahubiri yako yanawachochea Waislamu wawaone Wakristo kuwa ndio maadui wao. Waislamu wanakabiliwa na maadui wanaowakabili Watanzani wote kwa ujumla ambao ni ujinga, maradhi, na ufukara.
Tunaweza kuamua kupambana nayo kwa pamoja au tunaweza kuamua kujitenga kila mtu na lake huku kundi moja likinyooshea kidole kundi jingine kuwa ndio adui wao.

Jasusi,

Rwanda genocide imesababishwa na jamii moja ya watu kujiona bora kuliko wengine. Wahutu waliona wao wanakuwa second class citizen by the Tutsi who have been in power for centuries. The same problem exist in Tanzania bila ya nyie kufahamu. Waislamu ndio wanakabiliwa na maadui wa jamii nao ni ujinga, maradhi na ufukara but vile vile wanakabiliwa na mfumo kristo unaowakandamiza kila kukicha.

Siamini kila mtu akipambana nao peke yao atafanikiwa but mapatano na uelewano tunaweza kufanikiwa. Hatuwezi kuwa pamoja bila kwanza kujengeka imani kati ya waislamu na wakristo. Imani hiyo inapatikana kwanza kuyatatua mavidonda yaliyopo kwa muda mrefu. Otherwise hali itabika hiyo hiyo kila siku haibadiliki
 
Mimi namsoma na kumuelewa inawezekana wewe unamsoma lakini hutaki kumuelewa??

Kwanini unataja ukristo?? yes kwasababu viongozi wa kikristo wanaofanya kazi serikalini akiwemo nyerere wanaisaidia kanisa (kwa kutumia nafasi zao) badala ya kusaidia taifa ..hilo ndilo swala ukristo linapokuja kwenye maandishi..

Hakuna anayezunguka kama pia..wewe ndio unaitetea serikali kwasababu inakupendelea wewe mkristo kuna lingine???

Ahh! Hivi kiongozi wa serikali ya Tanzania ni nani vile? makamu wake? Ebo! Sasa si serikali tena bali "viongozi wa kikristo wanaofanya kazi serikalini". Take that slap on your face.
 
Mkuu Mgalanjuka usihangaike na hawa wapuuzi kama Barubaru, huyu alishaikana Tanzania akapata hifadhi hukooo.. walikotoka masultani na bado wana hii ndoto kuwa kuna siku Usultani utarudi. Lengo lao kubwa ni kujaribu kuivunja misingi aliyoijenga Mwalimu, kazi ambayo mimi nimewaapia kuwa hawataiweza kamwe kwani misingi hiyo haikujengwa kwa matope bali kwa zege na chuma. Waacheni watu kama Barubaru waendelee na ndoto zao za mchana.

Kuijenga, kuieneza na kuiendesha TANU kulihitaji hela na hiyo hela ilitokana na michango ya wanachama mbalimbali Tanganyika nzima na walifanya hivyo kutokana na imani yao kwa Raisi wa TANU ambaye hakuwa mwingine bali Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Nikitoa mfano mdogo tu mwaka 1958 kati ya shilingi 1,575,981/= zilizofika makao makuu ya TANU, zaidi ya nusu zilitoka Jimbo la Ziwa (shilingi 590,408/= kati ya hizo zikitoka Sukumaland !)

Hiyo ina maana kuwa nusu iliyobakia ndiyo ilichangwa na majimbo saba yaliyobaki ! Jimbo lililofuatia ni Jimbo la Kaskazini likifuatiwa na jimbo la Nyanda za Juu kusini. Kwenye hii listi Jimbo la Mashariki (Pwani) sidhani hata kama ilishika namba halafu eti leo Wazee wa Gerezani wakumbukwe kwa michango ya kitoweo au kitanda cha kulalia, mbona Mwalimu aliishawapa ahsante ? Kwangu hizi ni soga tu za kuwasimulia wajukuu na hazihitaji kuandikwa kama historia.

Kuwa na heshima Sister, acha jazba.

By the way, kama hizi ni soga tu, mbona unapoteza muda wako kuzijibu? Anyway, unasema haziihitaji kuandikwa, naona umesahau!! mbona zimeshaandikwa tayari, ndiyo maana tunazisoma hapa.
 
Mkuu Mgalanjuka usihangaike na hawa wapuuzi kama Barubaru, huyu alishaikana Tanzania akapata hifadhi hukooo.. walikotoka masultani na bado wana hii ndoto kuwa kuna siku Usultani utarudi. Lengo lao kubwa ni kujaribu kuivunja misingi aliyoijenga Mwalimu, kazi ambayo mimi nimewaapia kuwa hawataiweza kamwe kwani misingi hiyo haikujengwa kwa matope bali kwa zege na chuma. Waacheni watu kama Barubaru waendelee na ndoto zao za mchana.

Kuijenga, kuieneza na kuiendesha TANU kulihitaji hela na hiyo hela ilitokana na michango ya wanachama mbalimbali Tanganyika nzima na walifanya hivyo kutokana na imani yao kwa Raisi wa TANU ambaye hakuwa mwingine bali Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Nikitoa mfano mdogo tu mwaka 1958 kati ya shilingi 1,575,981/= zilizofika makao makuu ya TANU, zaidi ya nusu zilitoka Jimbo la Ziwa (shilingi 590,408/= kati ya hizo zikitoka Sukumaland !)

Hiyo ina maana kuwa nusu iliyobakia ndiyo ilichangwa na majimbo saba yaliyobaki ! Jimbo lililofuatia ni Jimbo la Kaskazini likifuatiwa na jimbo la Nyanda za Juu kusini. Kwenye hii listi Jimbo la Mashariki (Pwani) sidhani hata kama ilishika namba halafu eti leo Wazee wa Gerezani wakumbukwe kwa michango ya kitoweo au kitanda cha kulalia, mbona Mwalimu aliishawapa ahsante ? Kwangu hizi ni soga tu za kuwasimulia wajukuu na hazihitaji kuandikwa kama historia.

[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD]Betrayal of Ideals

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 744, bgcolor: transparent"]On 5 th November, 1985, before he stepped down as president, Nyerere delivered an emotional speech to elders of Dar es Salaam. Most of them were former members of TANU-the townsman who supported Nyerere during the struggle for independence[1] Nyerere acknowledged the role of Muslims in those difficult days. Nyerere told his audience that the imbalances between Muslims and Christians which his government had inherited from the British were rectified under his rule:
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 744, bgcolor: transparent"]"And they (Muslims) gave us chance through our education policies, to correct the imbalances which we have done. I am now in the happy position of sometimes not knowing whether a new member of Parliament, a Minister, or a Principal Secretary in our government ministries, is a Muslim or a Christian or neither unless their first name happens to give it away. And even that is not a sure guide in Tanzania, for we have Christians with Muslim names, Muslims with Christian names. This religious tolerance and freedom is your creation; what I have done is to speak up for those values on your behalf." [2]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 744, bgcolor: transparent"]The speech was a farce. The truth is that three decades after independence Muslim are not better off than they were under colonialism. Sivalon has revealed that the Church has been able to create its own lobby which controls 75% of the seats in the parliament. Among these seats 70% are held by Catholics and the rest are divided among Muslims and Christian denominations.[3]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 744, bgcolor: transparent"]Since independence, when the Church felt threatened, it managed to check and keep in control post-independence Muslim drive with relative ease. The government was able to expend political power to slow down a Muslim drive for power sharing in the government. The Church ensured that the overthrow of the colonial state was not a setback to Christianity, although it was to be expected that the Church would have suffered with the fall of colonialism. Throughout its hundred years of existence, the Church was comfortable in its role as a true saviour of not only of the souls but also of the people. It felt secure and did not encounter a situation demanding it to assert its position or flex its muscles against the government because they controlled the source of its power.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 744, bgcolor: transparent"]It is important at this juncture to study the actual workings of Christian partisan politics in the government and its negative impact on Islam. The Ministry of Education has been deliberately selected as an example because of its importance to the society and its uniqueness. In this ministry one can, vividly observe the influence of Christianity in the distribution of important appointments, the imbalances between Muslims and Christians in the hierarchy and how religion seem to control those appointments. This is very important, because it was in this ministry, when for the first time a Muslim minister was appointed, that the Church intervened openly to protest against this and other appointments that followed. The government bowed under pressure and a Muslim minister, Professor Kighoma Ali Malima was removed from the ministry.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 744, bgcolor: transparent"]In 1987 Professor Malima became the first Muslim Minister of Education. Eight previous ministers were Christians. There were accusations that the ministry was a Christian stronghold, particularly when at one time a pastor was appointed minister to head the ministry. When Professor Malima became minister of education he thought it was imperative that some changes be effected in the ministry to win back the confidence of Muslims. There were accusations that the ministry was discriminating against Muslim youths, barring them from higher institutions of learning and was frustrating the career advancement of Muslims functionaries in the ministry.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 744, bgcolor: transparent"]Having seen this imbalance between Muslims and Christians in the ministry, Professor Malima appointed four Muslim directors to head different departments in the ministry and wrote a confidential report to President Ali Hassan Mwinyi [4]on the state of affairs he had found in the ministry. In that report [5] Professor Malima mentioned the stagnation of Muslims in education. This report somehow got leaked to the press and to other Christian personalities including former President Nyerere and then CCM Chairman Julius Nyerere.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 744, bgcolor: transparent"]The marginalisation of Muslims is so obvious and glaring in Tanzania that it does not require statistical proof. Any social scientist familiar with Tanzania will not fail to notice this fact. It is noticeable and evident in all spheres of life. The first serious attempt to bring the problem of marginalisation to the attention of Muslims was done by one Muslim youth organisation-Muslim Writers, popularly known as Warsha. In 1981 in a method of interacting with the general Muslim population never seen before, a research was conducted and the findings were published and distributed to all Muslims in Tanzania, showing low figures of Muslim admission into institutions of higher learning.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 744, bgcolor: transparent"]Aboud Jumbe, [6] former President of Zanzibar and First Vice-President of Tanzania, has made a statistical analysis of Muslim placement in the government, the parliament and in institutions of higher learning. The figures are shocking. In some institutions Muslims are noticeable by their absence. Jumbe's expose was the second serious documented attempt to put this problem out in the open with the hope that the government would feel compelled and obligated to rectify the anomaly.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 744, bgcolor: transparent"]Other attempts have been made in the past by individuals such as Sheikh Abubakar Mwilima, then member of the National Executive of the party to try to put this problem to the government and the ruling party. Unique in this is the fact that all those who have tried to put this problem before the government agenda have not survived. Their political life or career was curtailed-Chief Abdallah Said Fundikira, Tewa Said Tewa, Bibi Titi Mohamed, Mufti Sheikh Hassan bin Amir, Mussa Kwikima, Sheikh Abubakar Mwilima, Professor Kighoma Ali Malima and others. It is from this point that Muslims began to whisper about conspiracy against them. This came to be confirmed later when Christian writers began to research on the effect of Christianity on state administration; and not caring about the repercussions of their findings to Muslims they detailed how Muslims have been sidelined with government connivance.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 744, bgcolor: transparent"]The Church for the second time since 1963 felt threatened once again. But this time the scenario had changed. There were no Muslims in the government who would be used to protect the Church as there was already tension between Muslims and Christians. Malima was branded a Muslim ‘fundamentalist'. Professor Malima was summoned to appear before the Central Committee (CC) and National Executive Committee (NEC) of the Party and was accused of fomenting religious animosity. This issue was discussed in Dodoma under the chairmanship of Julius Nyerere. But instead of discussing Malima's report and find solution to the Muslim stagnation, the victim and not the perpetrator of the crime was put on trial; focus shifted to appointments of four Muslim directors in the Ministry of Education. Professor Malima was found to have overstepped the norms built in the ministry for many years and was therefore relieved of his post. It is believed that Nyerere was the force behind the removal of Professor Malima from the Ministry of Education. President Mwinyi had succumbed to the powerful Christian lobby. The secular state had failed Muslims once again.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 744, bgcolor: transparent"]For a country which strives for equality of its people it was surprising that Muslims would be left to lag behind and effort to redress the imbalance would meet with hostility from the very system which claims to uphold equality and justice. Saddening is the fact that none of the Muslim members of the CC rose up in support of Professor Malima regarding a fact which all knew was true. Interesting is the fact that a Muslim, CCM Regional Chairman for Coast Region, Masudi Mtandika, joined the Christian camp in the CC in the attack on Professor Malima. Mtandika's stand was a reminiscent of Diwani and Kitundu attack on Bibi Titi Mohamed when TANU-CC was discussing the EAMWS in 1963. A campaign of hate and misinformation against Professor Malima was unleashed by the press. No Muslim in the Parliament dared to stand and defend Professor Malima.
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[1] See footnoteno.19.
[2] Daily News, 6 th November, 1985

[3] Sivalon,op.cit. p. 49.
[4] AliHassan Mwinyi : President 1985-1995

[5] See Kiongozi, July 15 th-31 th, 1993.
[6] AboudJumbe, The Partner-Ship, AmanaPublishers, Dar es Salaam,1995, pp. 125-138.

Ahh! Hivi kiongozi wa serikali ya Tanzania ni nani vile? makamu wake? Ebo! Sasa si serikali tena bali "viongozi wa kikristo wanaofanya kazi serikalini". Take that slap on your face.

Kiswahili ngumu kuelewa kipi usichoelewa hapo? mfano mzuri ni Nyerere alivyotumia madaraka yake vibaya kusaidia kanisa na taifa..same applies kwa kwa experts serikalini walioandaa MoU..ya kanisa na serikali ni dhambi hiyo hiyo kutoka kwa nyerere inaendelea maana imeaota mizizi..
 
Mgalanjuka said:
Ahh! Hivi kiongozi wa serikali ya Tanzania ni nani vile? makamu wake? Ebo! Sasa si serikali tena bali "viongozi wa kikristo wanaofanya kazi serikalini". Take that slap on your face.

Mgalanjuka, mambo yenyewe yako hivi - Wanaotumikia mfumoKristo Tanzania ni hawa;
  1. Raisi wa Jamhuri ya Tanzania - Al Haj Kanali Dr. Jakaya Mrisho Kikwete
  2. Makamu Raisi - Dr. Mohamed Gharib Bilal
  3. Raisi wa Zanzibar - Dr. Ali Mohamed Shein
  4. Makamu wa kwanza - Maalim Seif Sharif Hamad
  5. Makamu wa pili - Seif Ali Iddi
  6. Waziri wa Fedha - Mustafa Mkulo.
  7. Waziri wa Elimu - Dr. Shukuru Kawambwa
  8. Waziri wa Ulinzi - Dr. Hussein Mwinyi
  9. Waziri wa Mambo ya Ndani - Shamsi Vuai Nahidha
  10. Mkuu wa Polisi (IGP) - Said Mwema
  11. Mkuu wa Usalama (TISS) - Rashid Othman
  12. Jaji Mkuu - Mohamed Chande Othman
  13. Jaji Kiongozi - Fakihi Jundu
Na wengine wengi tu............
 
Mag3, hiyo orodha yako hapo juu may come across as very arbitrary, kwa sababu ziilizo wazi. La msingi hapa ni kwamba kama tatizo la hawa Waswahilina wenye "siasa" au "mtazamo" mikali ni so-called "Mfumo Kristo", basi waje na pendekezo la suluhisho la "mfumo" wanaodhani ndiyo dominant kwa faida ya Watanzania wote wenye imani tofauti, na siyo kuishia kulalamika tu seemingly endlessly kutokana na mitazamo yao ambayo imeonyesha kuwa ni potofu na yenye walakini mkubwa.

That being said, hypothetically speaking, suppose everything they've argued is right, correct and justified, tungependa kujua wana mapendekezo yavitu gani vifanyike kurekebisha "mfumo" uliopo hivi sasa ili uwaridhishe siyo tu wao, bali huo "mfumo" wanaoutaka wao uwe kwa faida ya Watanzania wengineo ambao siyo Waislamu.
 
Back
Top Bottom