Historia ya Uhuru isimuliwavyo na Mohammed Said yakosolewa

Historia ya Uhuru isimuliwavyo na Mohammed Said yakosolewa

Umeandika tena kwa herufi kubwa kuwa '....na mwishoni hata MAHITAJI YA KAWAIDA YA VIONGOZI WA KANISA' halafu umemalizia kuwa '....wakati hayo yakiendelea *waislamu* ilikuwa mambo magumu sana kwao kimaisha'
Ukiwa mtu wa haki, mkweli, unayetetea ukweli na haki...utajitahidi kuweka mizani ya haki ktk mambo yako, kama juu utaweka VIONGOZI WA... na huku chini utaweka VIONGOZI WA... kama juu utaweka WAKRISTO au WABUDHA nk.. na huku chini utaweka WAISLAMU au WAPAGANI nk... siyo juu unaweka VIONGOZI WA KANISA, chini unaweka jumla tu 'waìslam' mtu atakuuliza na wakristo jee??? Au wakristo wote ni viongozi wa kanisa??!!
 
Huu ni muswiba mkubwa sana.

Inna Lillahi wainna Illaihi Rajihunna.

Mfano wa watu hawa umebainishwa katika Qur'an (al baqarah) 2: 14-16.

Barubaru,

Ningependa nikufungulie jambo.

Katika darsa iliyopita nilieleza mtu aliyekamatwa na kuwekwa kizuizini wakati wa sakata la EAMWS kisha Dossa Aziz akenda kwa Nyerere na huyu mtu akaachiwa.

Sikutaja jina la mtu huyu.
Huyu alikuwa Ahmed Rashad Ali rafiki kipenzi wa Abdulwahid Sykes.

Ahmed Rashad Ali Alizaliwa 1917 na alijuana na Abdulwahid mwaka 1939 Dar es Salaam wakati wa "sports" jamaa wa Zanzibar na Dar wakitembeleana wakati wa Easter Holidays

Watu hawa wawili walikuwa marafiki kwa umri wao wote hadi Abdulwahid alipofariki mwaka 1968.
Ahmed Rashad Ali ana historia yake mwenyewe katika harakati za kupigania uhuru wa Tanganyika na katika mapinduzi ya Zanzibar.

Ahmad Rashad Ali alinifahamisha mengi katika maisha ya siasa ya Abdulwahid kuanzia utoto wake hadi walipokutana India baada ya Vita Kuu ya Pili Abdu akitokea Burma kama askari katika jeshi la KAR. Ahmed Rashad siku zote akisema, "Abdu ndiye aliyeasisi TANU katika wale wote waasisi 17. Sikiza maneno yangu na wewe mwenyewe fanya utafiti wako hilo utaligundua. Baba yake Abdu ndiye aliyeasisi African Association haiwezekani Abdu awe ndani ya chama hicho kama raisi halafu iwe Nyerere ndiye aje aasisi TANU. Huo ni muhali" Mzee Rashad akilisema hili mara nyingi sana kunambia.

Hebu tuangalie maisha ya Ahmed Rashad Ali:

"Ahmed Rashad Ali[1] -Radio ya Afrika Huru,1952Mwaka wa 1950 kilizuka chama Zanzibar kilichokuwa kikiendeshwa chini kwa chinikikiitwa ëHaki za Kibinadamuí hiki ndicho kilichokuwa chama cha kwanza visiwani kilichokuwa na msisimko wa siasa.Mtu aliyesababisha harakati hizi mpya alikuwa Ahmed Rashad Ali akishirikiana narafiki yake Ahmed Said Kharus maarufu kwa jina la Bamanga. Ahmed Rashad Alialikuwa na ngozi nyeusi ingawa alikuwa na asili ya damu ya Kiarabu kama ilivyokwa Wazanzibari wengi. Bamanga alikuwa hawezi kujificha, yeye alikuwa mweupekabisa kama Mwarabu alivyo. Kumekuwapo na kuoana kati ya Waarabu na Waafrikakiasi cha kupoteza kabisa damu ya Kiarabu iliyokuwa haina mchanganyiko. Wakatiule pale kisiwani Unguja kulikuwa na uvumi kuwa Bamanga alipokuwa Kenya alipata kushughulika na Mau Mau na kwaajili hii akapewa jina la utani, Aterere neno la Kikuyu lenye maana ënjoohapaí. Bamanga alikuwa anatoka kwenye ukoo wenye kujiweza wa Kiarabu. Baba yakealikuwa District Commissioner. Ahmed Said Kharus au kama alivyozoeleka kwa jinalake la kupanga Bamanga alikuw akisikika mara nyingi akiwalaumu Waarabu kwamateso mengi yaliyokuw yakiwafika Waafrika kama vile yeye hakuwa Mwarabu. Bamanga alikuwa mpiganajimasumbwi na kwa kuwa alikuwa na jumbo kubwa mchezo huu ulimfaa sana. Rafiki yake Ahmed Rashad Ali, yeye alikuwamweusi na ingekuwa taabu sana kwake yeye kujinasibu na Urabu ingawa alikuwa nadamu ya Kiarabu. Tofauti na Kharus, Rashad alikuwa msomi wa kuweza kuchambuamambo ya siasa kwa upeo wa hali ya juu kabisa. Yeye alipata masomo yake palevisiwani kisha akapelekwa Indai kuendelea na masomo ya juu. Rashad alisomaAnjuman Islam High School Bombay. Rashad kama alivyokuwa rafiki yake Kharusalikuwa anatoka kwenye ukoo wenye kujiweza. Ahmed Said Kharus na Ahmed RashadAli walikutanisha fikra zao zilizojaa yake waliyoyaona nje ya Unguja, Kenya naIndia na wakaamua kuanzisha vuguvugu la siasa ili kuwatetea wanyonge. Rashadakiwa kijana mdogo akisoma India alishuhudia kwa macho yake jinsi Mohamed AliJinnah na Mahatma Ghandi walivyokuwa wakiendesha kampeni dhidi ya ukoloni waWaingereza. Haukupita muda Bamanga na Rashad wakawa wamepata wafuasi. Hii kwaohaikuwa vigumu kw kuwa wote wawili walikuwa maarufu mjini Unguja. Bamanga umaarufuwake ukiwa unataokana na kuwa mwana-masumbwi na Rashad alikuwa mcheza kriketiwa sifa na vilevile akicheza mpira. Rashad akiwa mwanafunzi katika miaka yamwishoni ya 1940 alicheza mpira wa kulipwa India na akawa nahodha wa timu yaZanzibar kwa miaka saba. Ingawa vijana hawa wanamapinduzi walikuwawakisukumwa na yale waliyoshuhudia Kenya na India hali ya siasa Zanzibarilikuwa kidogo tofauri na Kenya na India. Zanzibar madarka ya serikali yalikuwayamejigawanya kati ya sultan na serikali ya Uingereza. Lakini kwa hakika hasamadaraka halisi alikuwanayo Mwingereza. Sultan alikuwa tu pale akionaekana kamamfalme wa visiwa lakini nguvu yote na madaraka ya kutawala nchi yalikuwa chiniya Mwingereza. HK ilikuwa ikawaeleza wakulima wajione kuwa wao ni masikini natabaka maalum lililokuwa likidhulumiwa haki zao na matajri waliokuwa namashamba. Wakati ule watu wengi wa tabaka la chini walikuwa wameajiriwa katikamshamba ya karafuu na viunga vya minazi. Rashad na Kharus wakawa wamewezakuwapata viongozi kati ya watu waliokuwa wakitumika katika haya mashamba.Viongozi hawa wakawa wanapita katika mashamba wakiwaleza wakulima na wakwezikuwa wao ni watu wenye kudhulumiwa. Ikawa wakulima wanafahmishwa kwa lughanyepeai sana vipi wanadhulumiwa. Walikuwa wakieleza kwa mbata zinavunwa kilabaada ya mwezi mmoja. Katika kipindi cha hii miezi mitatu mbata inauzwa nakusafirishwa nje ya nje nchi. Matajri waKiarabu na Kihindi walikuwa ndiyo wamiliki wa mashamba hayo ya karafuu na viungavya minazi. Hasira za wakulima na wakwezi zikawa zinaelekezwa kwa Waarabu naWahindi. Hawa ndiyo wakawa wanaonekana kuwa ndiyo wanyonyaji wakubwa.Waingereza wakawa wameachwa pembeni kwa kuonekana wao walikuwa ni watawala,hawamiliki chochote katika mali zilizokuwa visiwani. Ikawa kwa njia hiiWaingereza wamesalimika kwa kutoonekana kuwa kuwapo kwao pale visiwani hakukuwana madhara yoyote makubwa kwa wananchi. Viongozi wa HK wakawa wanawauliza wakulimawajiulize hivi mali yote ile wanayaifanyika kazi inakwenda wapi na ni nanianaenufaika na jasho lao. Na ni mpaka lini wao watendelea kukaa kimya hukuwanadhulumiwa. Ikawa tabaka lile la watu masikini wanaanza kutafsiri shida zaokutokana na utajiri waliokuwanao Waarabu na Wahindi, utajri ambao walikuwawakiuona kila uchao kwa macho yao mawili. Ikawa sasa badala ya Mwarabu kuonekana kama mwajiri au jirani mtaaniakaanza kuonekana kama mnyonyaji na dhalimu. Baada ya kufanikiwa katikakuwaamsha watu, Rashad na Kharusi wakatayarisha makaratasi yaliyokuwa yakitoaonyo kwa seriklai kuwa unyonyaji wa Waarabu na Wahindi dhidi ya Waafrika ukomemara moja ama sivyo itatokea balaa. Mkaratasi haya yalisambazwa kwa siri nayakaweza kumfikia British Resident, Sultan Sayyid Khalifa bin Haroub, mudiri,masheha na takriban watu wengi pale Zanzibar. Kazi hii yote ilifanyika usikummoja tu wa Jumamosi kuamkia Jumapili. Watu walipoamaka siku ya pili yake kilanyumba ilikuwa imapata tangazo lile lililokuwa likiashiria uasi. Makaratasiyale yakawa yemesambaa Mwera, Tunguu, Tumbatu, Mjini, Vikokotoni, Kizimkazi, Makunduchina sehemu nyingine pale Zanzibar. Baadhi ya makaratasi yalikuwa yametumbukizwakatika madirisha ya magari ya Wazungu. Jambo kama lile lilikuwa halijapatakuoenekana mle visiwani. Ikawa watu wamepata mshangao uliojaa fadhaa na hofukubwa. Swali kubwa likiwa hawa ni akina nani hasa waliofanya mambo haya yakutisha. Watu waliogopa zaidi pale walipopat habari kuwa tangazo lillelilifikishwa hadi ndani ya kasri ya Sultan Sayyid Khalifa Bin Haroub nanyumbani kwa British Resident. Vipi Rashad na Kharus waliweza kufanikiwakufanya hivi ni kisa kirefu kinachohitaji wasaa kukieleza lakini kwa ufupiupelelezi ulifanywa na viongozi hawa wawili wa HK wakatiwa mbarani nakufikishwa mahakamani. Kesi hii ilikuwa ya aina yake katika visiwa vy Unguja naPemba. Mwanasheria wa Kiparsii, Parves Talati alimtetea Rashad. Rashadalishinda kesi ile lakini kwa kuwa alikuwa amepatikana na kesi akafukuzwa kazina kwa sheria asingeweza tena kuajiriwa na serikali ya Zanzibar maishani mwake.Rashad alikuwa ameajiriwa na ëSauti ya Ungujaí kama mtangazaji. Ikawa sasamaisha kwake ni magumu hasa pale alipoanzwa kuandamwa na kutizamwa jicho bayana serikali kama Mkomunisti. Serikali aliyotaka kupambana nayo sasa ikawainarejesha mapigo dhidi yake. Yeye na sahib wake Kharus walikuwa wamejaribukuwaleta watu pamoja wadai haki zao lakini baada ya wao kutiwa mbaroni HKikafa. Watu walikuwa bado hawajawa na ari wale ujuzi wa kuhimili mapambano.Hata hivyo Rashad aliamua kuendeleza vita ile nje ya mipaka ya Zanzibar.Ikabidi Rashad akimbie Zanzibar aende Misri. Kwa waliokuwa na uwezo wa kuonambali ilikuwa dhahiri kuwa Zanzibar ilikuwa inabadilika na si muda mrefuwatu wataanza kudai haki zao.Kilichokuwa kikingijewa ni uongozi thabiti. [1] Rashad alimwandikia Gamal Abdel Nasser rais waMisri barua yenye kurasa sita kuhusu mateso yanayowakabili wananchi wa Zanzibarchini ya usultani. Rashad alimuomba Nsser ampe kazi ya utangazaji katika Sautiya Cairo ili aueleze umma wa dunia madhila ya ukoloni wa Waingereza. Nasseralikuwa ameongoza mapinduzi yaliyompindua Mfalme Farouk. Barua hii ya Rashadilimuathiri sana. Nasser aliwasiliana na Rashad kupitia Ubalozi wa MisriBombay.Rashad alifanya hivi kwa kutambua kuwa mipango yake ya kuondoka Zanzibarlazima ifanywe nje au sivyo haitafainikwa kwa kuwa serikali ilikuwa ikimtazamana angeweza kukamatwa wakati wowote. Nasser aliafiki na mipango yoteiliyopendekezwa na Nasser. Rashad alisafiri hadi Bombay na akawasili Bombaymwezi November 1952 na aliondoka Bombaykuelekea Cairo Februari 1953. Hivi ndivyo Ahmed Rashad Ali alivyopata kaziRadio ya Cairo (Sauti ya Cairo). Kituo hiki kikiwa kimeanzishwa na Gamal AbdelNasser mara tu baada ya mapinduzi ya Misri ya mwaka 1952 yaliyofanywa nakikundi cha wanamapinduzi waliojiita Free Officers. Madhumuni ya kituo hikiilikuwa kueneza propaganda kwa niaba ya vyama vya kupigania uhuru vya Afrika.Baadhi ya wanamapinduzi waliopata kutangaza katika kituo hicho ni Sam Nujoma,ambae baadae alikuja kuwa rais wa Namibia, na Reuben Kamanga, ambae nae alikujakuwa makamo wa rais wa Zambia. Kanyama Chiume wa Nyasaland alikuwa vilevileakipewa nafasi kutangaza kwa watu wake kila alipokuwa Cairo. Kituo hikikilikuwa Zamalek Street katikati ya jiji la Cairo na serikali ya Misri ilitoaofisi na huduma za makatibu mukhtasi na wafasiri wa lugha mbalimbali kwa vyamavyote vya wapigania uhuru.Sauti ya Cairo ilikuchukua msimamo mkali katikamatangazo yake na ikaja kupendwa sana Afrika ya Mashariki. Kulitaja jina laRashad ikawa sawa na kutaja Sauti ya Cairo. Halikadhalika mbali na Sauti yaCairo, Rashad alianzisha matangazo mengine kupitia radio ya msituni ikiitwaëRadio ya Afrika Huruí. Radio hii vilevile ilikuwa ikifadhiliwa na Nasser.Katika Radio ya Afrika Huru kulikuwa hakuna ustaarabu wala staha. Wakoloniwalikuwa wakitukanwa dhahri shahri bila ya kificho. Katika Sauti ya CairoRashad alipiga muziki wa kawaida wa kuburudisha. Lakini katika Radio ya AfrikaHuru alikuwa akipiga nyimbo za kijeshina za kimapinduzi kutoka Afrika ya Mashariki. Nyimbo hizi ndizo zilizoongezautamu katika matangazo ya Rashad. Rashad alifanikiwa sana katika matangazo yakekiasi kwamba serikali ya Uingereza ililalamika kwa serikali ya Misri kuwamatangazo hayo yakomeshwe mara moja ama sivyo Uingereza itakata misaada kwaMisri. Uingereza ilimwita Rashad ëyule mkomunisti kutoka Zanzibarí. Nasseralipuuza vitisho hivyo na akamuamuru Mohamed Faik, mtu wa karibu sana kwaNasser na ndiye aliyekuwa waziri wake wa mambo ya Afrika kumuambia Rashadaendelee na kazi yake nzuri. Ombi la Nasser kwa Rashad lilikuwa Malkia pekeeyake ndiye astahiwe, waliobaki wote wapigwe vigongo. Wasikilizaji wa Rashadwakisikia akisema ëmajibwa meupeí hawakupata tabu kumjua hao mbwa walikuwanani. Katika siku za mwanzo za vita baridi kufuatiakumalizika kwa Vita Kuu ya Pili kulikuwapo katika Tanganyika mwamko mpya wakuipenda Urusi kama taifa linalotetea wanyonge. Mashado ndiye aliyekuwaakiongoza kampeni ya kuwafahamisha Watanganyika siasa na misimamo ya Urusikuhusu makoloni. Mashado katika tahariri na makala zake aliitukuza Urusi bilakifani. Mashado alikuwa msikilizaji maarufu wa matangazo ya Ahmed Rashad kutokaCairo akiushambulia ëubeberu na vibaraka wakeí, wakati mwingine akiwaitaWaingereza ëmajibwaí. Ilikuwa kutoka kituo hiki cha redio ndipo Mashado alipatabaadhi ya tahariri na makala zake. Katika siku zile Waafrika wachache waliwezakumudu kuwa na redio kwa hiyo ilikuwa jambo la kawaida kuwakuta watu mjini Dares Salaam wakiwa wamesimama karibu na duka la Mwarabu au hotel hasa wakati wamagharibi wakimsikiliza Ahmad Rashad na matangazo yake kutoka ëSauti ya Cairoí.Gazeti la Mashado na matangazo ya Rashad redioni yalikuwa chanzo cha kuitiashime TANU na kuwa mwiba wa koo dhidi ya propaganda za wakoloni. Inasikitishakuwa nchi kama Kenya ambayo Nasser aliipa kila aina ya msaada iliipa mgongoMisri mara tu ilipopata uhuru wake na badala yake ikaikumbatia Israel."

Mohamed
 
Mohames said.

Hakika ninajifunza mengi sana kutoka kwako kwani umechimba sana mambo haya kiasi kila siku nikikusoma napata jambo moja jipya ninaloweza kujifunza.

Ahmad rashad Ali nilimfahamu kama mzee wetu na nilimjua kama mtu wa story sana na mnyenyekevu na aliyewahi kujeruhiwa na historia za Tanganyika baada tu ya uhuru wake. Lakin sikujua haya mengine unayonipa.

Hakika ni furaha kubwa kupata darsa hili ili kujua mengi yaliyofichwa .

Allah akubarik sana
 
WC,

Kwa maneno mafupi sana. Hebu tupembulie na kutubainishia ni kitu gani hasa Nyerere aliifanyia Tanganyika mpaka apewe swifa ya Ubaba wa Taifa?.

Naomba u list down swifa hizo kama zipo.

-Rais wa Kwanza na muasisi wa Tanzania.
-Tanzania isiyo na DINI wala KABILA.
-Alilinda kwa nguvu MALI na RASILMALI za NCHI hii.
-Sera nzuri mno kwa huduma za jamii. Mimi na wewe tusingekutana humu kama si elimu bure niliosoma.
-TANU na baadaye CCM yenye nguvu na mtandao mpana sana.
-Ukombozi wa majirani zetu toka ukoloni.
Ya Mwalimu ni mengi mno kama haumchukii, haumwonei wivu kwa namna yoyote ile. Mpo mnaomchukia kwa misimamo yake, kwa dini yake, kwa kutofautiana na wazee wenu, kwa USAFI wake, kwa maamuzi yake mbalimbali,...
 
Je hizo ni sababu tosha za mtu kupewa title ya Ubaba wa Taifa.

Kumbuka kuwa kuna waasisi wengi sana wa Uhuru wenu ambao walihamasisha kupatikana kwa uhuru huo. Na kumbuka kila penye watu zaidi ya wawili lazima pawe na kiongozi. Nyerere alipewa uongozi huo na kuwa rais wa kwanza wa Tanganyika huru. Je hao washirika wake na waliomfadhili wataitwaje? Kule kwetu Zanzibar wote walio ongoza mapinduzi walipewa hadhi ya kuwa MBM ( member wa baraza la mapinduzi) na mwenyekiti wao ni Rais wa Znz. Vipi huko Bara wanapewa hadhi gani? Kwanini apewe Nyerere pekee kuwa baba wa Taifa. Kwanini nao wasiwe wajomba au mababu au ammi wa Taifa lenu.

Nafikiri sababu hii haitoshi kabisa kupewa U Baba wa Taifa.

Nikija kwenye Sera Nzuri. Nafikiri utakumbuka farsafa yake ya maendeleo ya Tanganyika. Alikuwa anasema ili Tanganyika iendelee inahitaji vitu vinne. Watu, Ardhwi, Siasa safi na uongozi bora.. Sasa nikuulize je Tanganyika imekosa nini hapo mpaka jinsi siku zinavyokwenda inazidi kuwa masikini zaidi? Je wajua chanzo cha umasikini wa tanganyika ni yeye Nyerere na sera zake? Ni kipi nyerere alifanikiwa kiuchumi huko Tanganyika?

Kuhusu Elimu. Kumbuka hakuna elimu ya bure. Mimi baba yangu alikuwa mfanya biashara na alilipa kodi kubwa sana Serikalini. Hivyo najinasibu nimesoma kwa kodi za baba yangu na sio bure. Kama mzee wako alikuwa alipi kodi basi ndio ulisoma bure na kama alilipa kodi basi ni matunda ya kodi yake ndio nawe ukasoma.

Moja ya Kudidimiza uchumi wa Tanganyika ni pale Nyerere alipojitolea kusaidia nchi nyingine wakati nchi yake inadidimia. Tukuulize je umenufaika nini na kusaidia nchi nyingine kupata uhuru. Je Tanganyika ilinufaika na nini zaidi ya swifa binafsi kwa Nyerere.

Nakuomba utupe sababu makini sana zinazoweza kutuingia akilini na kujua kwanini awe Baba wa taifa lenu.
Tudadavuie je amesaidia nini katika uhuru wenu? je amesaidia nini katika kukuza uchumi wenu? etc
 
Sifa zote hizo ulizompa Nyerere hakuna wa kuzipinga isipokuwa hiyo ya udini hapo ndipo lilipo tatizo na tatizo hilo limeonekana na Bergen na Sivalon na narudia kusema tena ni kitu kilichomtaabisha sana Prof. Haroub Othman kiasi cha kumuomba Nyerere aandike na yeye maisha yake ili historia ipate na maelezo ya upande wa pili kuwa nini kilitokea baada ya uhuru.

Hebu soma hapo chini:
[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD="width: 744, bgcolor: transparent"] At the moment there are two books in existence written by non-Muslims which proves that Christians have used their positions in the government to subvert Islam and Muslims. Jan P van Bergen in his book, Development and Religion in Tanzania, (1981) [1] divulges very incriminating information on former President Nyerere. The book gives details of how during his rule Nyerere used to have private confidential meetings with Bishops to discuss the future of Tanzania. In those meetings Nyerere is reported to have assured Bishops of his continued support to Christianity. The work reveals how Nyerere guaranteed Christians a privileged position and backed his promise by appointing them to important positions in his government and party. This book was on sale at the Catholic Bookshop, Dar es Salaam, and was hurriedly withdrawn from sale after it was realised that it was revealing highly confidential and sensitive information on Islam. [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 744, bgcolor: transparent"] The second book is by Dr John C. Sivalon, who in his expose, Kanisa Katoliki na Siasa ya Tanzania Bara 1953 Hadi 1985, [2] unmasks a conspiracy in the government to subvert Islam. Sivalon revealed that the Catholic Church as far back as 1961 was worried by two prospects. First, was the unity between the Muslim madhheb (sect) of Sunni, Bohora, Ismailia and Ithnasheri in Tanganyika; and the second, was the transfer of the headquarters of the East African Muslim Welfare Society (EAMWS) from Mombasa to Dar es Salaam. The Church was worried that the resources in the hands of rich Asian Muslim community in East Africa, coupled with the political power of African Muslims, particularly in Tanganyika, would endanger Christian interests in East Africa. The Church therefore declared Islam as its enemy in the country and plotted to thwart its progress.[3] There are also two works by Muslim writers focusing on post-independence relations between the government and Muslims. The first is an undergraduate dissertation by Dr K. Mayanja Kiwanuka, ‘The Politics of Islam in Bukoba District' (1973);[4] and the second is a research paper ‘Islam and Politics in Tanzania' (1989)[5]
Mohamed
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

https://www.jamiiforums.com/#_ftnref1 [1] Jan P van Bergen, Religion and Development in Tanzania,(Madras, 1981). passim.
[2] John C. Sivalon, Kanisa Katoliki na Siasa ya Tanzania Bara1953 Hadi 1985, (Ndanda, 1992).
[3] Ibid. p 37.
[4] K. MayanjaKiwanuka, The Politics of Islam in BukobaDistrict (1973), B.A. Thesis, University of Dar es Salaam.
[5] MohamedSaid, ‘Islam and Politics in Tanzania'(1989) and Tewa's unpublished manuscript ‘A Probe in the History of Islam in Tanzania',and Waikela's papers and newspaper cuttings on the crisis were of great help. This paper was laterpublished by Al Haq International (Karachi) Vol. 1 No. 3August - December 1993, underthe same heading.

Mohames said.

Hakika ninajifunza mengi sana kutoka kwako kwani umechimba sana mambo haya kiasi kila siku nikikusoma napata jambo moja jipya ninaloweza kujifunza.

Ahmad rashad Ali nilimfahamu kama mzee wetu na nilimjua kama mtu wa story sana na mnyenyekevu na aliyewahi kujeruhiwa na historia za Tanganyika baada tu ya uhuru wake. Lakin sikujua haya mengine unayonipa.

Hakika ni furaha kubwa kupata darsa hili ili kujua mengi yaliyofichwa .

Allah akubarik sana

Amin Amin Amin.

Mzee Rashad alikuwa msomi makini na mimi nilikuwa mwanafunzi wake.
Nilikuwa sipungui nyumbani kwake.

Yeye kwa hakika rafiki yake khasa alikuwa mjomba wake Abdu Sykes Bwana Omar Ali Amira huyu alikuwa Muarab na ni mtoto wa Bi Miski bint Simleleo.

Sasa nataka nikuangushie bomu likumalize kabisa.

Bi Miski ndiye mama yake mzazi Chief Adam Sapi Mkwawa kwa hiyo Abdu Sykes Bi Miski ni bibi mzaa mama.

Angalia historia ilivyokuwa kitu cha kushangaza. Sykes Mbuwane ndiye aliyeshiriki vita dhidi ya Mtwa Mkwawa na katika ukoo huo huo wa Mkwawa ndipa aliozaliwa bibi yake Abdu Sykes.

Alipokufa Omar Ali Amira Mzee Rashad akipenda kunambia, "Abdu akanirithi nikawa rafiki yake na mimi na Abdu tulikutana ofisi za Arab Association mtaa wa Jamuhuri na Chagga yeye alikuja pale na huyu mjomba wake na kwa kuwa mimi nilikuwa kijana sawa na Abdu nikapewa Abdu anitembeze Dar es Salaam."

Insha Allah kuna mengi nilisoma kwa Mzee Rashad taratibu nitayaweka hapa jamvini kwa faida yetu sote.

Mzee Rashad alikuwa ni hazina.

Mohamed
 
Siku za hivi karibuni kumeibuka hoja kuhusu mchango wa Waislam katika mambo mbalimbali ya nchi hii. Nyingi zikihusu kupigania Uhuru na ukandamizaji wa kanisa katika Elimu. Kimsingi hakuna ubaya watu kuelezea mchango wa sehemu ya jamii moja katika mambo ya msingi ya nchi yao. Kinachoniumiza mimi ni kuhusisha kanisa katika mambo yanayodaiwa kupotoshwa katika kuandika historia. Pamoja kwamba Uhuru umepatikana wakati ndio nazaliwa lakini kuna wazee kule kijijini kwetu walijihusisha na harakati za kutaka Uhuru wa nchi hii. Bahati mbaya wakurya nao hawajapata nafasi ya kuandika mchango wao katika kudai uhuru. Sijui ni nini hasa kinacholengwa na historia hii ya uhuru lakini naamini hakuna jamii moja inayoweza kudai kwamba ndio ilileta Uhuru wa nchi hii. Huko kwetuu wazee walichanga ng'ombe na mbuzi kwa ajili ya TANU lakini sijaona majina yao popote katika historia. Itoshe tu kusema tulipata uhuru wetu na tutafute namna ya kuifanya nchi hii iondokane na umaskini uliokithiri kwenye rasilimali tele. Aidha, nashindwa kuelewa CHADEMA inahusishwaje na ukristo maana mara kwa mara nimeona watu wakilalamikia utendaji mbovu wa serikali iliyopo madarakani haraka haraka Waislam wanalaani na kutetea maovu hata ya wazi wazi. Akili za kawaida zinaonyesha wanaitetea CCM kwa kuwa inaongozwa na Mwislam mwenzao. Yafaa tukumbuke kwamba mikataba mibovu inaumiza wote bila kujali dini. Kwa hiyo inalazimisha wote tulaani anayetuletea mambo ya kututuesa sisi na watoto wetu bila kujali dini yake. Nawaomba tupanue mawazo yetu tuangalie nchi kwa mapana na sio kwa miwani ya dini
 
Njabu,

Nami nakupa mfano mdogo ulinganishe na huo wako:

Wakuu wa Shule za Umma Kanda ya Dar es Salaam

[TABLE="class: MsoTableGrid"]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"]Aina ya Shule[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Wakristo[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Waislamu[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Jumla[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"]Serikali[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]11[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]0[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]11[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"]Kata [/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]200[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]15[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]215[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Serikali inakataa kutunga sera za kuondoa upendeleo wa
Wakristo katika elimu na kuendeleza ulaghai dhidi ya
Waislam

Vitu kama hivi ndivyo ambavyo vinanifanya kuone kuwa wewe ni mchochezi zaidi ya mtafuta haki! Umetuwekea statistics ambazo zitawafurahisha wakina Barubaru na wenzake bila kueleza lolote la maana. Haujatuambia hizo shule ni za awali, msingi, sekondari au nini? Haujutuambia msingi wa wewe kuamini kuwa hao uliowabandika hapa ni wenye dini hizo. Kumbuka kuna wakina Moses wengi tu ambao ni waislamu na wakina Ali ambao ni wakristu. Kutumia majina si ushahidi tosha. Haujatuambia ni mwaka gani hizi statistics zilichukuliwa. Mbaya katika yote ni kama kweli wewe ni mtafiti mahiri ni lazima utajua kuwa data za mwaka mmoja hazionyeshi dalili ya systematic ubaguzi. Tutajuaje kama kuna mwaka ambapo wamisheni walimu wakuu walikuwa wachache kuliko waislamu? Tutajuaje kama kuibuka kwa shule nyingi za kiislamu kunapunguza idadi ya waislamu wenye sifa za uongozi katika shule hizi? Ili kuonyesha bias, angalau ungefanya yafuatayo:
  1. Ungetumia takwimu za muda mrefu. Kwa vile Nyerere yupo sana katika darubini lako basi takwimu hizo zingeanza wakati wake.
  2. Ungetuwekea uzoefu na qualifications za walimu waliokuwa wakifundisha kwa wakati huo pamoja na dini zao.
  3. Ungetueleza basis yako ya kujua dini ya mtu.
  4. Ungetuelezea matokeo ya mitihani ya wanafunzi wakati wa uongozi wa watu wa dini tofauti.
  5. Umetuambia shule za kata ziko 200 na wakuu wa shule waislamu 15. Namba hizi zinatia shaka kwa jinsi tu zilivyo! Angalia hapa takwimu wanazotoa wenzako halafu utueleze zako ulitolea wapi? SEKTA YA ELIMU MKOA WA DAR ES SALAAM
Na haya ni mapungufu machache tu ya data zako unazotumia kujenga hoja yako ya unachoita mfumokristo.

Amandla.......
 
Inakuwaje unasema 'hapana' halafu unaandika 'ndio?' Unasema tusiangalie nchi kwa miwani ya dini, sawa, lakini ww unafanya kinyume chake! Umewatambuaje wanaolalamikia utendaji mbovu wa serikali kuwa sio waislam? Na pia umewatambuaje wanaoitetea CCM kuwa ni waislam na kwa sababu ya uislam wa rais? Unataka kutoa kibanzi kwenye jicho la mwenzio kumbe kwako kuna boriti?
 
Vitu kama hivi ndivyo ambavyo vinanifanya kuone kuwa wewe ni mchochezi zaidi ya mtafuta haki! Umetuwekea statistics ambazo zitawafurahisha wakina Barubaru na wenzake bila kueleza lolote la maana. Haujatuambia hizo shule ni za awali, msingi, sekondari au nini? Haujutuambia msingi wa wewe kuamini kuwa hao uliowabandika hapa ni wenye dini hizo. Kumbuka kuna wakina Moses wengi tu ambao ni waislamu na wakina Ali ambao ni wakristu. Kutumia majina si ushahidi tosha. Haujatuambia ni mwaka gani hizi statistics zilichukuliwa. Mbaya katika yote ni kama kweli wewe ni mtafiti mahiri ni lazima utajua kuwa data za mwaka mmoja hazionyeshi dalili ya systematic ubaguzi. Tutajuaje kama kuna mwaka ambapo wamisheni walimu wakuu walikuwa wachache kuliko waislamu? Tutajuaje kama kuibuka kwa shule nyingi za kiislamu kunapunguza idadi ya waislamu wenye sifa za uongozi katika shule hizi? Ili kuonyesha bias, angalau ungefanya yafuatayo:
  1. Ungetumia takwimu za muda mrefu. Kwa vile Nyerere yupo sana katika darubini lako basi takwimu hizo zingeanza wakati wake.
  2. Ungetuwekea uzoefu na qualifications za walimu waliokuwa wakifundisha kwa wakati huo pamoja na dini zao.
  3. Ungetueleza basis yako ya kujua dini ya mtu.
  4. Ungetuelezea matokeo ya mitihani ya wanafunzi wakati wa uongozi wa watu wa dini tofauti.
  5. Umetuambia shule za kata ziko 200 na wakuu wa shule waislamu 15. Namba hizi zinatia shaka kwa jinsi tu zilivyo! Angalia hapa takwimu wanazotoa wenzako halafu utueleze zako ulitolea wapi? SEKTA YA ELIMU MKOA WA DAR ES SALAAM
Na haya ni mapungufu machache tu ya data zako unazotumia kujenga hoja yako ya unachoita mfumokristo.

Amandla.......

Siku zote Data zinajieleza pasi na shaka yoyote.
Hebu rekebisha miwani yako upitie tena jedwali kwa nia ya kuelewa na sio kwa nia ya kupinga kisha lete hoja.
Wakuu wa Shule za Umma Kanda ya Dar es Salaam

[TABLE="class: cms_table_MsoTableGrid"]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"]Aina ya Shule
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Wakristo
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Waislamu
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Jumla
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"]Serikali
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]11
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]0
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]11
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"]Kata
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]200
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]15
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]215
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Serikali inakataa kutunga sera za kuondoa upendeleo wa
Wakristo katika elimu na kuendeleza ulaghai dhidi ya
Waislam

Mimi nilitegemea ulete argument ya kuwa data zimechakachuliwa na hivyo kutupa data sahihi au hata kuleta data za Tanzania nzima tokea kuasisiwa kwake 1964.
 
Siku zote Data zinajieleza pasi na shaka yoyote.
Hebu rekebisha miwani yako upitie tena jedwali kwa nia ya kuelewa na sio kwa nia ya kupinga kisha lete hoja.
Wakuu wa Shule za Umma Kanda ya Dar es Salaam

[TABLE="class: cms_table_MsoTableGrid"]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"]Aina ya Shule[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Wakristo[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Waislamu[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Jumla[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"]Serikali[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]11[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]0[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]11[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"]Kata [/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]200[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]15[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]215[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Serikali inakataa kutunga sera za kuondoa upendeleo wa
Wakristo katika elimu na kuendeleza ulaghai dhidi ya
Waislam

Mimi nilitegemea ulete argument ya kuwa data zimechakachuliwa na hivyo kutupa data sahihi au hata kuleta data za Tanzania nzima tokea kuasisiwa kwake 1964.
Katika hao wakuu wa shule, Wazaramo ni wangapi, Wamanyema wangapi pia? Hili nalo ni muhimu pia. Mtu anazaliwa na kabila lake kwanza. Haya ya DINI na mengine yanafuata baadae. Makabila mengi mwamko wa elimu umekuja baadae sana hasa ambako makanisa yalichelewa kufika. Halafu mbona wenzetu WAHINDI na WAARABU hawaonekani kwenye ajira hizi?
 
Vitu kama hivi ndivyo ambavyo vinanifanya kuone kuwa wewe ni mchochezi zaidi ya mtafuta haki! Umetuwekea statistics ambazo zitawafurahisha wakina Barubaru na wenzake bila kueleza lolote la maana. Haujatuambia hizo shule ni za awali, msingi, sekondari au nini? Haujutuambia msingi wa wewe kuamini kuwa hao uliowabandika hapa ni wenye dini hizo. Kumbuka kuna wakina Moses wengi tu ambao ni waislamu na wakina Ali ambao ni wakristu. Kutumia majina si ushahidi tosha. Haujatuambia ni mwaka gani hizi statistics zilichukuliwa. Mbaya katika yote ni kama kweli wewe ni mtafiti mahiri ni lazima utajua kuwa data za mwaka mmoja hazionyeshi dalili ya systematic ubaguzi. Tutajuaje kama kuna mwaka ambapo wamisheni walimu wakuu walikuwa wachache kuliko waislamu? Tutajuaje kama kuibuka kwa shule nyingi za kiislamu kunapunguza idadi ya waislamu wenye sifa za uongozi katika shule hizi? Ili kuonyesha bias, angalau ungefanya yafuatayo:
  1. Ungetumia takwimu za muda mrefu. Kwa vile Nyerere yupo sana katika darubini lako basi takwimu hizo zingeanza wakati wake.
  2. Ungetuwekea uzoefu na qualifications za walimu waliokuwa wakifundisha kwa wakati huo pamoja na dini zao.
  3. Ungetueleza basis yako ya kujua dini ya mtu.
  4. Ungetuelezea matokeo ya mitihani ya wanafunzi wakati wa uongozi wa watu wa dini tofauti.
  5. Umetuambia shule za kata ziko 200 na wakuu wa shule waislamu 15. Namba hizi zinatia shaka kwa jinsi tu zilivyo! Angalia hapa takwimu wanazotoa wenzako halafu utueleze zako ulitolea wapi? SEKTA YA ELIMU MKOA WA DAR ES SALAAM
Na haya ni mapungufu machache tu ya data zako unazotumia kujenga hoja yako ya unachoita mfumokristo.

Amandla.......

FM,

Inawezekana hakika wewe usituelewe lakini tuliowakusudia tunaelewananao vizuri sana.
Tumetokanao mbali sana toka enzi za Warsha.

Mohamed
 
Je hizo ni sababu tosha za mtu kupewa title ya Ubaba wa Taifa.

Kumbuka kuwa kuna waasisi wengi sana wa Uhuru wenu ambao walihamasisha kupatikana kwa uhuru huo. Na kumbuka kila penye watu zaidi ya wawili lazima pawe na kiongozi. Nyerere alipewa uongozi huo na kuwa rais wa kwanza wa Tanganyika huru. Je hao washirika wake na waliomfadhili wataitwaje? Kule kwetu Zanzibar wote walio ongoza mapinduzi walipewa hadhi ya kuwa MBM ( member wa baraza la mapinduzi) na mwenyekiti wao ni Rais wa Znz. Vipi huko Bara wanapewa hadhi gani? Kwanini apewe Nyerere pekee kuwa baba wa Taifa. Kwanini nao wasiwe wajomba au mababu au ammi wa Taifa lenu.

Nafikiri sababu hii haitoshi kabisa kupewa U Baba wa Taifa.

Nikija kwenye Sera Nzuri. Nafikiri utakumbuka farsafa yake ya maendeleo ya Tanganyika. Alikuwa anasema ili Tanganyika iendelee inahitaji vitu vinne. Watu, Ardhwi, Siasa safi na uongozi bora.. Sasa nikuulize je Tanganyika imekosa nini hapo mpaka jinsi siku zinavyokwenda inazidi kuwa masikini zaidi? Je wajua chanzo cha umasikini wa tanganyika ni yeye Nyerere na sera zake? Ni kipi nyerere alifanikiwa kiuchumi huko Tanganyika?

Kuhusu Elimu. Kumbuka hakuna elimu ya bure. Mimi baba yangu alikuwa mfanya biashara na alilipa kodi kubwa sana Serikalini. Hivyo najinasibu nimesoma kwa kodi za baba yangu na sio bure. Kama mzee wako alikuwa alipi kodi basi ndio ulisoma bure na kama alilipa kodi basi ni matunda ya kodi yake ndio nawe ukasoma.

Moja ya Kudidimiza uchumi wa Tanganyika ni pale Nyerere alipojitolea kusaidia nchi nyingine wakati nchi yake inadidimia. Tukuulize je umenufaika nini na kusaidia nchi nyingine kupata uhuru. Je Tanganyika ilinufaika na nini zaidi ya swifa binafsi kwa Nyerere.

Nakuomba utupe sababu makini sana zinazoweza kutuingia akilini na kujua kwanini awe Baba wa taifa lenu.
Tudadavuie je amesaidia nini katika uhuru wenu? je amesaidia nini katika kukuza uchumi wenu? etc
Mkuu Barubaru, ebu nipe darsa maana inaelekea unafahamu sana historia ya kwenu Zanzibar ambako wote walioongoza mapinduzi walienziwa! kwani shujaa wa mapinduzi Kasim Hanga alienziwaje?
 
Mkuu Barubaru, ebu nipe darsa maana inaelekea unafahamu sana historia ya kwenu Zanzibar ambako wote walioongoza mapinduzi walienziwa! kwani shujaa wa mapinduzi Kasim Hanga alienziwaje?

Gwalihenzi pokea kijidarsa lakini ukitaka darsa kamili sema tu Insha Allah nitakupa.
Hivi ndivyo Nyerere alivyomtunuku Abdullah Kassim Hanga:
"Hakika ni wazi Hanga hakutegemea mapinduzi aliyoyaasisiyangemgeukia na kuwa sababu ya yeye kutolewa roho kwa kuuliwa kishenzi. Jambola kusikitisha ni kuwa hadi pale alipokamatwa na kuwekwa jela Ukonga nakufikishwa mbele ya mkutano wa hadhara na kuadhiriwa na Nyerere tayari alikuwakeshapoteza kila kitu achilia mbali dira ya mapinduzi aliyokusudia ingeongozaZanzibar. Hanga hakuwa kamwe na uwezo wa kumfanya Karume lolote kwani Karumetayari alikuwa chini ya mbawa za Nyerere, ngome ambayo Hanga asingewezakuitikisa achalia mbali kuisogelea na kuibomoa. Muungano baina ya Tanganyika na Zanzibar ilikuwa hirizi tosha ya kumkingaKarume.Katika mkasa wa kuuliwa kwaHanga ndipo msemaji mmoja akasema, “Maiti toka makaburini mwao walionyeshaujuzi wa kufanya miujiza na uchawi wao kwani laiti kifo cha Hangakingesababishwa na wale waliyopinduliwa kisasi chake kingekuwa cha kutisha.Ilibidi Hanga kwa miujiza ya maiti zile auliwe na wale wale aliowawekamadarakani watu ambao hapakuwepo na sababu ya wao kumuona adui.” Halikudondokachozi kwa kifo cha Hanga. Kila aliyepata mnong’ono wa kuuliwa kwake alikuwakimya kama vile ile taarifa ya kifo haimuhusu.” Hakika dunia inazunguka.

Mohamed
 
Gwalihenzi pokea kijidarsa lakini ukitaka darsa kamili sema tu Insha Allah nitakupa.
Hivi ndivyo Nyerere alivyomtunuku Abdullah Kassim Hanga:
"Hakika ni wazi Hanga hakutegemea mapinduzi aliyoyaasisiyangemgeukia na kuwa sababu ya yeye kutolewa roho kwa kuuliwa kishenzi. Jambola kusikitisha ni kuwa hadi pale alipokamatwa na kuwekwa jela Ukonga nakufikishwa mbele ya mkutano wa hadhara na kuadhiriwa na Nyerere tayari alikuwakeshapoteza kila kitu achilia mbali dira ya mapinduzi aliyokusudia ingeongozaZanzibar. Hanga hakuwa kamwe na uwezo wa kumfanya Karume lolote kwani Karumetayari alikuwa chini ya mbawa za Nyerere, ngome ambayo Hanga asingewezakuitikisa achalia mbali kuisogelea na kuibomoa. Muungano baina ya Tanganyika na Zanzibar ilikuwa hirizi tosha ya kumkingaKarume.Katika mkasa wa kuuliwa kwaHanga ndipo msemaji mmoja akasema, "Maiti toka makaburini mwao walionyeshaujuzi wa kufanya miujiza na uchawi wao kwani laiti kifo cha Hangakingesababishwa na wale waliyopinduliwa kisasi chake kingekuwa cha kutisha.Ilibidi Hanga kwa miujiza ya maiti zile auliwe na wale wale aliowawekamadarakani watu ambao hapakuwepo na sababu ya wao kumuona adui." Halikudondokachozi kwa kifo cha Hanga. Kila aliyepata mnong'ono wa kuuliwa kwake alikuwakimya kama vile ile taarifa ya kifo haimuhusu." Hakika dunia inazunguka.

Mohamed
Mzee Mohamed, mwambie Barubaru asikimbilie kusifia kila kitu cha Zanzibar, kwani kunawalioongoza mapinduzi ya Zanzibar ambao hawakuenziwa hata kidogo na badala yake walichinjwa kwakuhofiwa tu!
 
Mzee Mohamed, mwambie Barubaru asikimbilie kusifia kila kitu cha Zanzibar, kwani kunawalioongoza mapinduzi ya Zanzibar ambao hawakuenziwa hata kidogo na badala yake walichinjwa kwakuhofiwa tu!

Gwalihenzi,

Naamini unaelewa kuwa waliopindua serikali ya Zanzibar walikuwa mamluki wa Kimakonde kutoka mashamba ya mkonge ya Kipumbwi na Sakura Tanga.

Naamini pia unajua ni nani aliwatuma na sababu haikuwa kuwasaidia ASP peke yake bali ilikuwapo sababu nyingine...

Mohamed
 
Hivi huyu Mag3 alishaelezea ile Historia yake ya makabila 50 ya Mara kudai Uhuru?
 
Gwalihenzi pokea kijidarsa lakini ukitaka darsa kamili sema tu Insha Allah nitakupa.
Hivi ndivyo Nyerere alivyomtunuku Abdullah Kassim Hanga:
"Hakika ni wazi Hanga hakutegemea mapinduzi aliyoyaasisiyangemgeukia na kuwa sababu ya yeye kutolewa roho kwa kuuliwa kishenzi. Jambola kusikitisha ni kuwa hadi pale alipokamatwa na kuwekwa jela Ukonga nakufikishwa mbele ya mkutano wa hadhara na kuadhiriwa na Nyerere tayari alikuwakeshapoteza kila kitu achilia mbali dira ya mapinduzi aliyokusudia ingeongozaZanzibar. Hanga hakuwa kamwe na uwezo wa kumfanya Karume lolote kwani Karumetayari alikuwa chini ya mbawa za Nyerere, ngome ambayo Hanga asingewezakuitikisa achalia mbali kuisogelea na kuibomoa. Muungano baina ya Tanganyika na Zanzibar ilikuwa hirizi tosha ya kumkingaKarume.Katika mkasa wa kuuliwa kwaHanga ndipo msemaji mmoja akasema, “Maiti toka makaburini mwao walionyeshaujuzi wa kufanya miujiza na uchawi wao kwani laiti kifo cha Hangakingesababishwa na wale waliyopinduliwa kisasi chake kingekuwa cha kutisha.Ilibidi Hanga kwa miujiza ya maiti zile auliwe na wale wale aliowawekamadarakani watu ambao hapakuwepo na sababu ya wao kumuona adui.” Halikudondokachozi kwa kifo cha Hanga. Kila aliyepata mnong’ono wa kuuliwa kwake alikuwakimya kama vile ile taarifa ya kifo haimuhusu.” Hakika dunia inazunguka.

Mohamed
Duh mkuu wangu bado unaliendeleza barza.... Heee ama kweli wajua kuuza kitabu... Kwa hili la Hanga nakuomba sana tena sana funga safari nenda Zanzibar mtafute Nassoro Moyo atakueleza kwa ufasaha kilichotokea (kama atapenda) maana yeye na marehemu H. Hanga walikuwa kundi moja..
 
Back
Top Bottom