Unashindwa hata kuelewa maana ya hilo neno. Unajua kwanini inaitwa "Founding Father" unajua kwanini inatumika neno "Father" Hiyo idea ya neno "Father" imetokana na Christians Principles.
The Founding Fathers of The United States were Christians who formed a government based on godly principles.
John Adams
The second President (or tenth if you consider John Hanson the first) wrote to Thomas Jefferson on June 28, 1813:
- The general principles on which the fathers achieved independence were. . . . the general principles of Christianity. . . . I will avow that I then believed, and now believe, that those general principles of Christianity are as eternal and immutable as the existence and attributes of God; and that those principles of liberty are as unalterable as human nature.
Mr. Right!
Huko nyuma, kwenye thread hii umeishashauriwa kuwa usikurupukie maongezi. Nguruvi3 alikwambia haya ni maji mazito.
He was right japo ulimpuuza. Uwezo wako wa kujenga hoja ni mdogo sana. Jifunze. Kama hutaki kujifunza kwetu, basi jifunze walau kwa mdondoaji na Mohamed Said. Hawa tunakuwa na mtazamo tofauti lakini wanajitahidi sana ukilinganisha na wewe.
Umedai ni tusi kwa watu wa pwani kumwita mtu BABA kama sio baba mzazi. Hapo ulichemsha, period. Na
indirectly ukawa umemtukana MS. Nimejaribu kukueleza jinsi neno Baba wa Taifa (Father of the Nation) lilivyotumika kama "
Founding father", hujaelewa, umeenda ku-
google kama lilivyo na kukutana na mambo ya wamarekani, na sasa unadai neno "
father" lina
principles za kikristo. Labda nikuulize tena; Umesoma shule gani wewe????!!!??
Sasa nakueleza tena, neno "
founding" limetokana na
verb "found".
Found could be past participle of find.
Found (verb) also means to start something, to establish something...
To found something=kuanzisha, kuasisi;
Founder=muasisi, muanzilishi...
Nyerere is the founder of this Nation, He is the founding father of this nation
Na kwa lugha yenu ya pwani, Nyerere ni Baba wa Taifa.
Natamani uelewe lakini sasa nimeingiwa na wasi wasi na uelewa wako.