Historia ya Uhuru isimuliwavyo na Mohammed Said yakosolewa

Historia ya Uhuru isimuliwavyo na Mohammed Said yakosolewa

Kama ataweka DINI yake iwe kwa manufaa yake. Aiandike historia ya nchi hii bila DINI au WAZEE WAKE kutukuzwa sana kumbe wengi wao walikuwa watambikaji tu. Asimsingizie Mwalimu au kuusemea moyo wake. Hisia, chuki, fitna aziweke kando.

WC,

Siku zote lazima imani yako itakuwa kwa manufaa yako na si ya mwingine. Lakini pia kumbuka Mohamed said hajaandika historia ya Tanganyika bali ameandika mchango wa wazee wake ulio sahaulika katika uhuru wa Tanganyika. Soma vizuri kusudio lake kisha leta hoja.

Unashindwa hata kuelewa maana ya hilo neno. Unajua kwanini inaitwa "Founding Father" unajua kwanini inatumika neno "Father" Hiyo idea ya neno "Father" imetokana na Christians Principles.

The Founding Fathers of The United States were Christians who formed a government based on godly principles.

John Adams
The second President (or tenth if you consider John Hanson the first) wrote to Thomas Jefferson on June 28, 1813:
  • The general principles on which the fathers achieved independence were. . . . the general principles of Christianity. . . . I will avow that I then believed, and now believe, that those general principles of Christianity are as eternal and immutable as the existence and attributes of God; and that those principles of liberty are as unalterable as human nature.

Mr. Right!
Huko nyuma, kwenye thread hii umeishashauriwa kuwa usikurupukie maongezi. Nguruvi3 alikwambia haya ni maji mazito. He was right japo ulimpuuza. Uwezo wako wa kujenga hoja ni mdogo sana. Jifunze. Kama hutaki kujifunza kwetu, basi jifunze walau kwa mdondoaji na Mohamed Said. Hawa tunakuwa na mtazamo tofauti lakini wanajitahidi sana ukilinganisha na wewe.

Umedai ni tusi kwa watu wa pwani kumwita mtu BABA kama sio baba mzazi. Hapo ulichemsha, period. Na indirectly ukawa umemtukana MS. Nimejaribu kukueleza jinsi neno Baba wa Taifa (Father of the Nation) lilivyotumika kama "Founding father", hujaelewa, umeenda ku-google kama lilivyo na kukutana na mambo ya wamarekani, na sasa unadai neno "father" lina principles za kikristo. Labda nikuulize tena; Umesoma shule gani wewe????!!!??

Sasa nakueleza tena, neno "founding" limetokana na verb "found". Found could be past participle of find.
Found (verb) also means to start something, to establish something...

To found something=kuanzisha, kuasisi;
Founder=muasisi, muanzilishi...
Nyerere is the founder of this Nation, He is the founding father of this nation
Na kwa lugha yenu ya pwani, Nyerere ni Baba wa Taifa.

Natamani uelewe lakini sasa nimeingiwa na wasi wasi na uelewa wako.
 
Nenren,

Naomba unisaidie Baba wa Taifa wa South Africa ni nani?
 
Naunga mkono hoja. Kwa nyongeza naomba nikushauri Sheikh Mohamed Said, usitaabike sana kuwajibu wanaobeza au kukuuliza maswali ya kimtego au kejeli. Tafadhali wapuuzilie kwa mbali, kwa kuwa lengo lao ni kupotosha au kuivuruga mada isieleweke ili mradi badala ya kutoa darsa inakuwa kupotezeana muda tu na majibishano yasiyo na tija. Kila la kheri Sheikh Mohamed.

Nguvumoja,

Naitika Amin kwa dua zako na nakushukuru kwa kunitia moyo.
Tuendelee na darsa Insha Allah:
"Tuhuma zile dhidi ya Aga Khan na EAMWShazikuweza kuthibitishwa na Halmashauri Kuu ya TANU ikaliacha jambo lile kwawakati ule. Lakini Nyerere alikuwa amefedheheka. Kuanzia hapo akajenga chukidhidi ya Bibi Titi na kumweka Rajab Diwani na Selemani Kitundu karibu yake.Katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 1965 Bibi Titi na Tewa wakapoteza viti vyao kwawatu ambao walikuwa hata hawafahamiki ñ A.M. Mtanga na Ramadhani Dollah.Iliaminika kuwa Nyerere alikuwa anahusika na kuanguka kwa Bibi Titi na Tewa. Kuanziahapo mambo yakawa dhahiri. Nyerere alikuwa amewatangazia vita wote wawili, BibiTiti na Tewa. Nyerere alikuwa sasa ana imani kuwa wale maadui zake wawiliwalikuwa wamekwisha kisiasa. Lakini kilichokuwa kkimuudhi Nyerere zaidi ilikuwataarifa ambazo alikuwa akizipata kuwa Tewa alikuwa akipewa mapokezi makubwasana na Waislam katika ziara zake huko mikoani kama rais wa EAMWS. [1]Sasa mwaka wa 1968, Bibi Titi na Tewawalipokwenda kumuona Nyerere kuhusu jambo lililokuwa linawahusu Waislam,Nyerere alikuwa amejitayarisha vyema. Kiwanuka ameueleza mkutano huu vizurisana:ÖViongozi hawa wawili wa Waislam walimuelezaMwalimu masikitiko yao jinsi radio ya serikali na magazeti ya TANU yalivyokuwayakiandika habari kuhusu matatizo yale ya Waislam. Walidai kuwa TANU ilikuwaikichanganya dini na siasa. Waliokuwa wakimtahadharisha kuhusu jambo hilohawakuwa wengine ila marafiki zake wa zamani na wa kutumainiwa, Tewa na BibiTiti. Marafiki wa kutumainiwa kwa sababu ilikuwa Titi aliyemuunga mkono Nyererekatika siku za mwanzo za TANU, pale Suleiman Takadir ñ mmoja wa wazee wa TANU ñaliposema kuwa TANU ilikuwa na Ukristo kama Mwalimu na Rupia, rais na makamowake walivyokuwa Wakristo. Yeye mwenyeweakiwa Muislam hasa, aliipatia TANU ushindi kwa kuthibitisha kuwa Tanzania,Tanganyika kama ilivyokuwa ikijulikana wakati ule, ilikuwa mbele, na Uislamunafuata nyuma. Leo, alikuwa anazungumzia jambo ambalo yeye mwenyewealilishinda katika miaka ya 1950. Jibu walilopata kutoka kwa Mwalimu lilikuwala kusisimua. Mpashaji wangu habari anasema lilikuwa jibu la mkato. ëMmeamuakunipiga vita, jiandaeni.í [1]Mwalimu Nyerere alikuwa anawaambia Tewa SaidTewa na Bibi Titi Mohamed uso kwa macho wajiandae kwa kile kilichokuwa dhahiri:vita ya msalaba dhidi ya umoja wa Waislam. Sheikh Suleiman Takadir aliyaonahaya na aliiomba TANU toka mwaka wa 1958 pawepo na uhakika kuwa Wakristo ambaowalikuwa wanapanda migongo ya Waislam na kuchukua uongozi hawatakuja kuwafanyiauadui Waislam pale Waislam watakapokuwa sasa wanataka kugawana madaraka yakuongoza nchi sawa na Wakristo baada ya uhuru. Tewa Said Tewa, muasisi wa TANU,waziri katika serikali ya kwanza ya uhuru, balozi katika Jamuhuri ya watu waChina na Rais wa baraza la Tanzania la EAMWS, pamoja na Bibi Titi, mwanamkealiowakusanya wanawake wote nyuma ya Mwalimu Nyerere na TANU, walikuwawakisemwa na Nyerere kama vile watoto wadogo wa shule waliokuwa watukutu kwasababu tu, walikuja kumfahamisha Rais kuhusu kukiukwa kwa maadili ambayoilihitaji yeye ashughulikie mara moja na kutoa uamuzi.Ulipofika mwezi Oktoba, ëmgogoroí ukachukuamwelekeo mpya pale Makamo wa Rais wa Tanzania, Abeid Amani Karume,alipoishambulia EAMWS kuwa ni chombo cha unyonyaji. [1] Kutokea hapo Karume akawaanafanya mashambulizi na kutoa shutuma kwa EAMWS, wakati mwingine akijaribukufafananisha uhusiano wa EAMWS na Waislam katika mtazamo wa Ki-Marxist, akidaikuwa jumuiya ile kilikuwa ëchombo cha makabaila wakubwa na kilikuwa chini yaokikiwanyonya watu wa chinií. [1]Mgogoro ulipozidi kukua mashambulizi yakahama sasa kutoka EAMWS na kuhamiakwenye mafunzo ya msingi katika Qurían Tukufu. Katika mkutano wa hadharaZanzibar, Karume alitoa changamoto kwa Muislam yeyote ajitokeze bila ya wogakupinga kauli zake mbili kuwa "Hakuna tofauti kati ya Uislam na Ukristoí, naëKufunga siyo lazima."Lakini juu ya mashambulizi dhidi ya uongozi waWaislam kutoka serikalini, Nyererealikuwa hana uwezo wa kumgusa Mufti Sheikh Hassan bin Amir. [1]Sheikh Hassan bin Amir alikuwa na nguvu sana kiasi cha kwamba si Nyerere auyeyote yule kuweza kumgusa kwa wakati ule. Sheikh Hassan alikuwa kwenye siasakabla ya vijana waliokuwa katika TANU na nafasi yake katika umma wa Kiislam nauzalendo wake ulikuwa hauna shaka. Sheikh Hassan bin Amir aliingizwa TAA kwamara ya kwanza mwaka 1950 na Abdulwahid Sykes akiwa mwanakamati katika Kamatindogo ya siasa ya TAA. Kwa ajili hii basi, akawa mmoja wa wale waliotia sahihiile memoranda iliyotayarishwa na TAA kwenda kwa Gavana wa Tanganyika, EdwardTwining kuhusu mabadiliko ya katiba ya Tanganyika. TANU ilipoasisiwa, SheikhHassan bin Amir alikuwa akikiwakatia watu kadi za TANU msikitini hukuakidarsisha. Baadhi ya wanachama shupavu wa TANU ambao Sheikh Hassan bin Amiraliwaingiza katika TANU ni Sheikh Mussa Rehani ambae alipewa kadi yake ndani yamsikiti Kigoma. Wakati Nyerere alipokuja TAA Dar es Salaam mwaka 1953, alimkutaSheikh Hassan bin Amir mwenyeji katika siasa. Baada ya uhuru Sheikh Hassan binAmir alijiuzulu siasa, kutokana na kauli yake alisema kuwa, ili awatumikieWaislam vyema."

Mohamed
 
quote_icon.png
By NGUVUMOJA

Naunga mkono hoja. Kwa nyongeza naomba nikushauri Sheikh Mohamed Said, usitaabike sana kuwajibu wanaobeza au kukuuliza maswali ya kimtego au kejeli. Tafadhali wapuuzilie kwa mbali, kwa kuwa lengo lao ni kupotosha au kuivuruga mada isieleweke ili mradi badala ya kutoa darsa inakuwa kupotezeana muda tu na majibishano yasiyo na tija. Kila la kheri Sheikh Mohamed.

Nguvumoja,
Naitika Amin kwa dua zako na nakushukuru kwa kunitia moyo.
Tuendelee na darsa Insha Allah:

Mohamed
Kichwa cha habari cha Topic kinaitwa 'Historia ya uhuru isimuliwayo na Mohamed Saidi Yakosolewa'.
Kama mnataka kusimuliana simulizi bila kukosoana na hawa gogovivu, unaweza kufungua thread nyingine mkawa mnapeana ma 'Darsa' kwa raha zenu....lakini hapa utakosolewa tu kama vitu havieleweki!
 
Darsa popote pale.

Hivyo mwache Mohamed said atu darsishe.

Nenren,

Naomba unisaidie Baba wa Taifa wa South Africa ni nani?

How the hell would I know?
If I were a South African, I would probably know.
Anyway, I don't know. But I do know that Nyerere JK ni Baba wa Taifa letu
My not knowing the South Africa's father of nation doesn't invalidate Nyerere being our "baba wa taifa".
 
Nelson Mandela si baba wa taifa la South Afrika japo alikubali kuwekwa kifungoni kwa kipindi kirefu kwa kutetea maslahi ya weusi wa South Africa. Lakin south Afrika hawajampa title ya Baba wa taifa. Je Nyerere amefanya nini kikubwa kuzidi au hata kufikia nusu ya mandela mpaka apewe u baba wa taifa?

Ni lipi kiuchumi ambalo Nyerere amelifanya katika kujenga uchumi imara wa tanganyika mpaka aitwe baba wa taifa? Au wanafunzi wake na wale Pro Nyerere kwa kuwa wapo katika power ndio wanalazimisha hilo?

Acheni unafiki kuweni wawazi na wa kweli katika kutoa hishma hizo.

Poleni sana

WC,

Siku zote lazima imani yako itakuwa kwa manufaa yako na si ya mwingine. Lakini pia kumbuka Mohamed said hajaandika historia ya Tanganyika bali ameandika mchango wa wazee wake ulio sahaulika katika uhuru wa Tanganyika. Soma vizuri kusudio lake kisha leta hoja.

Barubaru,

Tatizo ni kuwa vita vyote vilipiganwa TANU Office, New Street na vilianza khasa 1950 na Nyerere kavikuta katikati.

Historia ya wazee wangu ndiyo historia yenyewe ya uhuru wa Tanganyika.

Majimbo yalifuatia baadae na kutoa mchango lakini historia ya Dar es Salaam ina ladha ya peke yake.
Hili ndilo tatizo kubwa.

Kwa watu waliozoea ile historia rasmi ukishaleta historia hii tayari ushawatatiza.
John Iliffe bingwa wa historia ya Tangayika alipandisha hamaki aliposoma kitabu changu kiasi cha kuandika "review" kali dhidi yangu ndani ya Cambridge Journal of African History.

Allah kwa hakika ni muweza.

Hebu soma paragraph yangu nilipokuwa nafunga maelezo ya maisha ya Abdulwahid Sykes:

https://www.jamiiforums.com/#_ftnref1 [1] See Buruku, op. cit. p. 105.

Mohamed
 
Darsa popote pale.

Hivyo mwache Mohamed said atu darsishe.

Barubaru,

Tatizo ni kuwa vita vyote vilipiganwa TANU Office, New Street na vilianza khasa 1950 na Nyerere kavikuta katikati.

Historia ya wazee wangu ndiyo historia yenyewe ya uhuru wa Tanganyika.

Majimbo yalifuatia baadae na kutoa mchango lakini historia ya Dar es Salaam ina ladha ya peke yake.
Hili ndilo tatizo kubwa.

Kwa watu waliozoea ile historia rasmi ukishaleta historia hii tayari ushawatatiza.
John Iliffe bingwa wa historia ya Tangayika alipandisha hamaki aliposoma kitabu changu kiasi cha kuandika "review" kali dhidi yangu ndani ya Cambridge Journal of African History.

Allah kwa hakika ni muweza.

Hebu soma paragraph yangu nilipokuwa nafunga maelezo ya maisha ya Abdulwahid Sykes katika kitabu changu:
[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD="width: 744, bgcolor: transparent"]
"On 9 th December, 1961 TANU captured state power from the British ending seventy-five years of colonial rule.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 744, bgcolor: transparent"]Abdallah Kleist Sykes had prophesied when he told Mzee bin Sudi way back in 1933, “Let us struggle...those who will come after us will finish the rest.” [1] The political biography of the late Abdulwahid is inseparable from the history of TANU and that of nationalism in Tanganyika. Abdulwahid’s political record is yet to be surpassed. He gave direction to a labour movement, founded a political party and made a President."

Mohamed
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Kichwa cha habari cha Topic kinaitwa 'Historia ya uhuru isimuliwayo na Mohamed Saidi Yakosolewa'.
Kama mnataka kusimuliana simulizi bila kukosoana na hawa gogovivu, unaweza kufungua thread nyingine mkawa mnapeana ma 'Darsa' kwa raha zenu....lakini hapa utakosolewa tu kama vitu havieleweki!
,

Ndugu zangu,

Kwa hakika ni shida kukubali kuwa ipo historia nyingine ambayo wengi hawakuwa wanaijua. Kuna historia nzuri sana ya "labour movement" kupitia Dar es Salaam Dockworkers Union chama cha makuli ambacho Abdu alikuwa ndiye katibu mwaka 1948 akiwa na umri wa miaka 24. Hebu soma paragraph yangu nilipokuwa nafunga maelezo ya maisha ya Abdulwahid Sykes, nimegusia vuguvugu hilo.:
[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD="width: 744, bgcolor: transparent"]"On 9 th December, 1961 TANU captured state power from the British ending seventy-five years of colonial rule.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 744, bgcolor: transparent"]Abdallah Kleist Sykes had prophesied when he told Mzee bin Sudi way back in 1933, "Let us struggle...Those who will come after us will finish the rest." [1] The political biography of the late Abdulwahid is inseparable from the history of TANU and that of nationalism in Tanganyika. Abdulwahid's political record is yet to be surpassed. He gave direction to a labour movement, founded a political party and made a President."
Insha Allah iko siku nitatoa darsa yake hapa ni kisa cha aina yake na ndiyo mambo yaliyopandisha hamasa za wananchi kuiunga mkono TAA na hivyo kusafisha njia kwa TANU kuungwa mkono.

Abdulwahid kamwe asingeliweza kuunda TANU bila ya kutanguliwa na haya. Kwa kweli ni bahati mbaya sana kuwa historia hii inawachoma baadhi ya watu lakini tufanyeje hayo yote yalitendeka hatuwezi kujidai kuwa hayakuwapo kwani ni sehemu ya historia ya nchi yetu.

Ni mambo haya ndiyo yanayofanya kitabu changu kisomwe na watu wajiulize maswali mengi.

Mohamed
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Barubaru,

Tatizo ni kuwa vita vyote vilipiganwa TANU Office, New Street na vilianza khasa 1950 na Nyerere kavikuta katikati.

Historia ya wazee wangu ndiyo historia yenyewe ya uhuru wa Tanganyika.

Majimbo yalifuatia baadae na kutoa mchango lakini historia ya Dar es Salaam ina ladha ya peke yake.
Hili ndilo tatizo kubwa.

Kwa watu waliozoea ile historia rasmi ukishaleta historia hii tayari ushawatatiza.
John Iliffe bingwa wa historia ya Tangayika alipandisha hamaki aliposoma kitabu changu kiasi cha kuandika "review" kali dhidi yangu ndani ya Cambridge Journal of African History.

Allah kwa hakika ni muweza.

Hebu soma paragraph yangu nilipokuwa nafunga maelezo ya maisha ya Abdulwahid Sykes:

[1] See Buruku, op. cit. p. 105.

Mohamed
Mzee Mohamed, hapo ndipo unapopotosha tena kwa makusudi historia ya Tanganyika. Ni hapo unapofumbia macho ukweli kwa nia mbaya ya kuwatukuza wa wazee wako wa Gerezani na uislam wao. Usitudanganye kuwa bila hao wazee wako basi Tanganyika isingepata uhuru. Madhira ya ukoloni yaliwataabisha watanganyika wote na ndio maana wakati muafaka ulipofika watanganyika wakaungana mkono wakapambana bila kujali dini wala makabila yao dhidi ya ukoloni. Wewe kwa kiburi cha udini na upwani unafumba macho nakuto uona mchango watanganyika wengine na bado unataka tukuite msomi, mtafiti na mwandishi mahiri wa historia ya Tanganyika!
Mzee Mohamed, acha "biasness" hakika haikujengei heshima ya usomi.
 
Gwalihenzi,

Sijasema bila ya wazee wangu uhuru usingepatikana.

Wala sijafumbia macho mchango wa wazalendo wengine.
Walofumbia macho mchango wa wazalendo wengine ni Chuo Cha Kivukoni walipoandika historia ya TANU.
Wao walimtaja Nyerere peke yake.

Kitabu changu ndicho kilichowaleta akina Abdu Sykes, Sheikh Hassan bin Amir na wengineo Dar es Salaam.
Lindi kikawataja Salum Mpunga, Sheikh Yusuf Badi, Yusuf Chembera na wengineo.
Tabora kikawataja Bilal Rehani Waikela, Fundi Muhindi, Dharura bint Abdulrahman na wengineo.
Moshi kikawataja Yusuf Olotu, Gabriel Malekia, Mama Bint Maalim na wengineo.
Tanga kikawataja Hamisi Kheri, Mmka Omari, Bi Mwanamwema na wengineo nk. nk.

Kasome kitabu cha Kivukoni kisa ufananishe na hiki changu.

Hata wewe umenasa kwenye huo mtego wa watu wa Kivukoni, Kwani unaposema "Tatizo ni kuwa vita vyote vilipiganwa TANU office,New street na vilianza khasa 1950 na Nyerere kavikuta katikati............" una maanisha nini?
 
Inamaanisha nyerere siye aliyeanzisha harakati za kudai uhuru..

Kama wanavyotufundisha katika historia rasmi..

Nyerere alikuta watu (wenye uchungu) na haki wakiwa mbali sana akadandia treni..

Bahati mbaya akaanza kuwasaliti
 
Nelson Mandela si baba wa taifa la South Afrika japo alikubali kuwekwa kifungoni kwa kipindi kirefu kwa kutetea maslahi ya weusi wa South Africa. Lakin south Afrika hawajampa title ya Baba wa taifa. Je Nyerere amefanya nini kikubwa kuzidi au hata kufikia nusu ya mandela mpaka apewe u baba wa taifa?

Ni lipi kiuchumi ambalo Nyerere amelifanya katika kujenga uchumi imara wa tanganyika mpaka aitwe baba wa taifa? Au wanafunzi wake na wale Pro Nyerere kwa kuwa wapo katika power ndio wanalazimisha hilo?

Acheni unafiki kuweni wawazi na wa kweli katika kutoa hishma hizo.

Poleni sana

Unafiki wetu uko wapi? Au sielewi maana ya neno unafiki? Kuna uhusiano gani kati ya kumwita Nyerere "baba wa Taifa" na kutomwita Mandela baba wa Taifa la A.kusini? Kwani ni lini tumemfanya Mandela kuwa Official reference kwa mambo ya ubaba wa Taifa? Yaani tukiwa tunasifia kikosi cha Taifa stars cha akina Peter Tino, Jela Mtagwa, utasema ni unafiki kwa vile hatujasifia timu ya Afrika kusini? Nyie vipi lakini???

On the other hand, Naomba sincere answer from you:
Hivi unaumiaje Nyerere akiitwa baba wa Taifa? Unasikia uchungu gani? kitu gani kinapungua kwenye mwili wako au maisha yako?
 
Inamaanisha nyerere siye aliyeanzisha harakati za kudai uhuru..

Kama wanavyotufundisha katika historia rasmi..

Nyerere alikuta watu (wenye uchungu) na haki wakiwa mbali sana akadandia treni..

Bahati mbaya akaanza kuwasaliti

Unaweza kudandia treni alafu ukawa dereva wa hiyo treni ulodandia? Superman ndio huweza hizo actions. Huyu Mzee kumbe alikuwa kama superman.
 
Hapo umekosea. Waislamu hatuna cheo cha "Baba" unless ni baba yako mzazi. Kwa watu wa Pwani ni TUSI kumwambia mtu amwite mtu fulani "Baba" yake wakati si " Baba" yake mzazi. Kwa hiyo rekebisha hiyo lugha.
WC, Wewe si mzungumzaji wangu katika historia ya marehemu Bwana Abdu na Nyerere. Mimi Abdu Sykes ni baba yangu.

Tosheka na hilo tu. Sina haja ya kubishana na wewe kuhusu historia ya mtu ambae mimi namfahamu vizuri lau kama nilikuwa mtoto mdogo.
Mohamed

Kama Abdu Sykes ni "baba Mzazi" wa Mohamed Said basi kweli hilo "Tusi la pwani" lirekebishwe.

Mohamed Said said:
Mgalanjuka, Kwa adabu za kikwetu mtu yeyote mwenye umri sawa na baba yako unamwita "baba" hali kadhalika mwanamke yeyote umri wa mama yako unamwita "mama."

Na inapokuwa kati ya hao ni rafiki ya baba au mama yako ile heshima ya ubaba na mama huwa juu zaidi.
Huwa hawana jina lingine nje ya hayo. Utamwita "baba" au "mama."

Hizi ndizo mila, desturi na heshima za watu wa pwani.
Mohamed

WC, Siku zote lazima imani yako itakuwa kwa manufaa yako na si ya mwingine. Lakini pia kumbuka Mohamed said hajaandika historia ya Tanganyika bali ameandika mchango wa wazee wake ulio sahaulika katika uhuru wa Tanganyika. Soma vizuri kusudio lake kisha leta hoja.

Barubaru,
Historia ya wazee wangu ndiyo historia yenyewe ya uhuru wa Tanganyika.
FaizaFoxy said:
Mohamed Said, nimekutetea sana na ni mwandishi mzuri sana, lakini kweli hukuwa unatetea Uislaam wala Waislaam, unatetea na kuandika Historia ya wazee wako...Nilichokitathmini, ni kuwa unataka ieleweke kuwa Wamanyema na Wazulu ndio waliokuja kuwafungua macho wenyeji na wenyeji wote ni hamnapo hakunapo.

Kaazi kweli kweli.................................
 
Unaweza kudandia treni alafu ukawa dereva wa hiyo treni ulodandia? Superman ndio huweza hizo actions. Huyu Mzee kumbe alikuwa kama superman.

Tatizo lake usaliti na ubaguzi wa wananchi kwasababu za kidini period..

Mengine yote anaweza kusameheka kama binadamu..lakini hili la ubaguzi wa kidini..

Ili awe hero for the church and not for the nation..tutasema tu hata kama mnakasirika ..

Ili haya mambo yasijiruidie kwa kizazi kijacho..lol
 
Back
Top Bottom