Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,565
- 7,984
SoA,
Kitabu kilimfikia kupitia mmoja wa vijana ambao wameoa katika familia ya Nyerere.
Huyu kijana alinitafuta tukaonana na akanieleza kuwa yeye alikisoma kitabu na akampelekea Nyerere.
Nyerere akakisoma na akasema kuwa hivi ilivyoandikwa ni sawa hivi ndivyo mambo yalivyokuwa lakini watu hawatamuamini Mohamed Said.
Taarifa nilizopata ni kuwa waliokuwa karibu na Nyerere waliumizwa na kitabu kile khasa ile "aspect" ya mchango Abdu na wa Waislam na wakamsihi na yeye aandike.
Mohamed
Well.. nimependa wakati mwingine unazungumza sense. Kitabu cha Abdulwahid Sykes ni nini kati ya hayo manne!?
Nilikusoma ulivyokuwa unamtisha mzee mwanakijiji, sasa sijui hapa niseme kwamba unajaribu kunitisha ama ndio unanitisha? je una uhakika kwamba na mimi huwa ninatishwa? na kwamba nikitishwa huwa natishika? usivamie pori usilolijua! utaliwa na simba kweupeeeee!!
Sheikh Mohamed,
Kama hutojali, unaweza kutufahamisha kitabu chako kilimfikia Nyerere mwaka gani? na mwezi gani kama unakumbuka.
Mag3, napitia "nondo" zako na nataka ufafanuzi:
1) Naomba tuonyeshe ni wapi hoja imefinyangwafinyangwa.
Mohamed Said said:........ Most areas which are underdeveloped in Tanzania mainland are areas with Muslim majority like Kigoma,Tabora, Kilwa, Mtwara, Lindi etc. These areas are now re-examining themselvesand are gradually turning into local factions of radical Muslim politicsreminiscence of the era of nationalist politics of the 1950s
Nakupa mfano mmoa wa vipande anavyofinyanga finyanga na kuunga unga Mzee Mohamed said.
.Hapa anajaribu kuwasingizia vijana wa kiislam wa kigoma, tabora na Lindi na mtwara kuwa wanakuwa radical kuliko hata wale wa dar.
Ukweli ni kwamba
- kama kuna vijana radical wa Kiislam basi wanatoka mikoa iliyoendelea kama dar na sio Mikoa iliyo nyuma kimaendelo.
- Anajaribu kuhusanisha maendeleo ya mikoa na dini na hujuma ya Nyerere au kanisa kwa mtazamo lakini sijui mikoa ambayo hiana wasilam waislam wengi lakini yenye rasilimali nyingi na maendeleo yake duni yahusishanishwe na hujuma za nani. May be hujuma ya Nyerere ku centraise madaraka yote Dar.
- Mohamed said hataki kuona uzuri wa sera za nyerere ambapo .Pesa ya dhahabu alamsi za mwadui ,nyarugusu zimetukima kujenga dar. Pesa za kahawa,Korosho tumbaku, Pamba zimetukika kujenga miundombinu na makao makuu ya dar ya wazee wake na sio shinyanga,geita, tabora, ana mtwara ya wazee wake wengine.
Kama hujuma za Nyerere basi Tukubaliane hazikuwa hujuma za kidini. Maana hata Pesa ya dhahabu, pamba,Korosho,Alamasi umetua kuendeleza zaidi dar na sio Bukoba, Kahama shinyanga na mtwara. So conflict kama ipo Ni mtazamao na sera za Kisiasa tu na sera. Dini nikulazimisha. Kwa hiyo kama anataka tumchambue nyerere wa mazuri na mabya basi aondoe mtazamo wa Kdini.
- Mohamed Saidi anaulizwa swali jepesi anaonaje muamuzi wa kuhamishia makao makuu dodoma anasema hajui wala hana maoni. Inaonyesha anatumia Dini lakini interest yake zaidi ni Dar.Leo Makao makuu yangekuwa dodoma nadhani hilo nalo lingekuwa katika moja ya mabaya aliyofanya nyerere kuwahuju wazee wa dar na ili apate wwatu wengi lazima atumie na mgongo wa uhujumu Uislam.
Ninachojua Mama Maria alisoma Uganda, na kabla ya kuolewa alifundisha shule ya wasichana Moshi. Sidhani kama alikuwa na elimu ya University lakini alikuwa na elimu ya kutosha kufundisha Moshi--enzi hizo ukimaliza darasa la kumi na kwenda teacher's college unapsngiwa kufundisha Middle School level. Na wakati Mwalimu alipokuwa Edinburgh mama Maria alichukua kozi ya Kiingereza St. Joseph's Dar-es-Salaam.
Nakupa mfano mmoa wa vipande anavyofinyanga finyanga na kuunga unga Mzee Mohamed said.
.Hapa anajaribu kuwasingizia vijana wa kiislam wa kigoma, tabora na Lindi na mtwara kuwa wanakuwa radical kuliko hata wale wa dar.
Ukweli ni kwamba
- kama kuna vijana radical wa Kiislam basi wanatoka mikoa iliyoendelea kama dar na sio Mikoa iliyo nyuma kimaendelo.
- Anajaribu kuhusanisha maendeleo ya mikoa na dini na hujuma ya Nyerere au kanisa kwa mtazamo lakini sijui mikoa ambayo hiana wasilam waislam wengi lakini yenye rasilimali nyingi na maendeleo yake duni yahusishanishwe na hujuma za nani. May be hujuma ya Nyerere ku centraise madaraka yote Dar.
- Mohamed said hataki kuona uzuri wa sera za nyerere ambapo .Pesa ya dhahabu alamsi za mwadui ,nyarugusu zimetukima kujenga dar. Pesa za kahawa,Korosho tumbaku, Pamba zimetukika kujenga miundombinu na makao makuu ya dar ya wazee wake na sio shinyanga,geita, tabora, ana mtwara ya wazee wake wengine.
Kama hujuma za Nyerere basi Tukubaliane hazikuwa hujuma za kidini. Maana hata Pesa ya dhahabu, pamba,Korosho,Alamasi umetua kuendeleza zaidi dar na sio Bukoba, Kahama shinyanga na mtwara. So conflict kama ipo Ni mtazamao na sera za Kisiasa tu na sera. Dini nikulazimisha. Kwa hiyo kama anataka tumchambue nyerere wa mazuri na mabya basi aondoe mtazamo wa Kdini.
- Mohamed Saidi anaulizwa swali jepesi anaonaje muamuzi wa kuhamishia makao makuu dodoma anasema hajui wala hana maoni. Inaonyesha anatumia Dini lakini interest yake zaidi ni Dar.Leo Makao makuu yangekuwa dodoma nadhani hilo nalo lingekuwa katika moja ya mabaya aliyofanya nyerere kuwahuju wazee wa dar na ili apate wwatu wengi lazima atumie na mgongo wa uhujumu Uislam.
SoA,
Kitabu kilimfikia kupitia mmoja wa vijana ambao wameoa katika familia ya Nyerere.
Huyu kijana alinitafuta tukaonana na akanieleza kuwa yeye alikisoma kitabu na akampelekea Nyerere.
Nyerere akakisoma na akasema kuwa hivi ilivyoandikwa ni sawa hivi ndivyo mambo yalivyokuwa lakini watu hawatamuamini Mohamed Said.
Taarifa nilizopata ni kuwa waliokuwa karibu na Nyerere waliumizwa na kitabu kile khasa ile "aspect" ya mchango Abdu na wa Waislam na wakamsihi na yeye aandike.
Mohamed
Kama Nyerere alisema kilichoandikwa na Mohamed Said ni historia ya kweli na ndio anavyojua yeye sasa sijui vp unashindwa kuelewa kuwa alikuwa anatumikia kitu kilicho juu yake (yaani kanisa). Kwa ufupi hebu soma post Mohamed Said kuhusu what happened when baba wa taifa alipokisoma kitabu cha Mohamed na his first response ilikuwa nini? Hebu soma hapa
Mwanakijiji,
Kama ni hilo basi mimi sina haja ya kwenda kwa Mama Maria...nayajua mengi.
Wala sitathubutu kufanya hivyo huyu Bi Mkubwa na sawa na mama yangu.
Kuna vitu kwa ajili ya adabu huelezi watu wala huandiki watu wasome kwa kuwa
si mambo yatakayosaidia kuijua historia ya nchi yetu.
Baada ya uhuru palipitika upasi...tosheka na hilo ndugu yangu na turudi kwenye
yake yatakayotoa mwanga wa kuichambua historia yetu.
Mwanakijiji mimi ni mzao watu hawa...ndio walionileta duniani na kunilea hapa
hapa Dar es Salaam.
Kuna wakati mimi nikitembea Dar es Salaam Gerezani kule nina miaka kama sita
hivi akina mama wakiniita kwa jina la marehemu mama yangu "We mtoto wa Baya."
Nikenda wananishika kichwa na kunifariji kwani wakimkumbuka mama yangu, shoga
yao. Hapo kimoyomoyo wakiniombea dua Allah anikuze.
Hadi leo akina mama hawa wapo na kila n ikiwatembelea kwanza ni chozi kisha
mazungumzo.
Nenda kazungumze na Biti Hassan Machakomo. Bi wa Kizulu huyu jamaa zake akina
Sykes...
Huyu kaiona historia yote toka siku ya kwanza...
Mohamed
SoA,
Kitabu kilimfikia kupitia mmoja wa vijana ambao wameoa katika familia ya Nyerere.
Huyu kijana alinitafuta tukaonana na akanieleza kuwa yeye alikisoma kitabu na akampelekea Nyerere.
Nyerere akakisoma na akasema kuwa hivi ilivyoandikwa ni sawa hivi ndivyo mambo yalivyokuwa lakini watu hawatamuamini Mohamed Said.
Taarifa nilizopata ni kuwa waliokuwa karibu na Nyerere waliumizwa na kitabu kile khasa ile "aspect" ya mchango Abdu na wa Waislam na wakamsihi na yeye aandike.
Mohamed
Nina uhakika wa kutosha tu kuwa huyu mama akifa utatuelezea ambayo hutaki ukijua kabisa hakuna mtu wa kumhoji au yeye mwenyewe kujitetea. Hii ndio MO yako.
Nisahihishe kama nimekosea. Kuna mahali uliandika kuwa reaction ya Nyerere kwa kitabu chako ilikuwa ni kuwa "wakupuuze," unafikiri ni kwa nini alihisi unapaswa kupuuzwa?Ndugu yangu Mwanakijiji mbona nishakueleza kuwa usijitaabishe nisome kisha shika shughuli zako huna haja ya kuniamini. Sasa utakuwa unaniuliza maswali hayo hayo ya kutaka niweke majina ya watu hadharani nami nitakujibu hilo sifanyi tunazunguka hapo hapo kama santuri iliyokwama.
Sitegemei kama utarudi tena na swali hilo tena.
Mohammed,
Mohamed
Mag3 nakurudisha tena kwenye maswali yangu, tafadhali nijibu ili tuendelee, kama ulikosea, japo ukiri makosa na uombe msamaha, maana naona mpaka sasa huna jibu licha ya majibu:
Nakurudisha tena kwenye maswali yangu, tafadhali nijibu ili tuendelee:
1) Naomba tuonyeshe ni wapi hoja imefinyangwafinyangwa.
2) Huyo hajiiti, bali sisi ndio humuita jina lake alilopewa kwao. Hivi wewe hujiita mwenyewe?
Twende taratibu tutafika. Usinijazie mlolongo wa maandishi mpaka nikashindwa kukuelewa ndio maana nafupisha "nondo" zako ili tuzichambuwe kwa raha kabisa.
FaizaFoxy, tofauti na wewe mimi ni binadamu nahitaji kulala, nahitaji kupumzika na nahitaji kufanya kazi na katu si kuwa hapa JF masaa ishirini na nne. Tofauti na wewe, mimi nasukumwa na mapenzi yangu kwa taifa langu ninalolipenda na nawaenzi watu wote waliopigania uhuru wa nchi hii bila kubaguana kidini, kikabila wala kirangi. Naomba hapo tuelewane kwanza.
Pili mchochezi Mohamed Said ambaye ametanguliza chuki dhidi ya Watanzania wenzake kwa sababu tu wanatofautiana kidini mimi sina muda wa kujibizana naye, sasa hapa kisichoeleweka ni kitu gani ? Ninapoingia JF sikurupuki tu nikaanza kujibu mipasho ya Gerezani na mtaa gani vile alikozaliwa FaizaFoxy !
Hapana, nachukua time kusoma maoni mbali mbali halafu nachagua yapi ya maana niyajibu na yapi ni porojo zisizoweza kutusaidia Watanzania kulijenga taifa letu. Tofauti na wewe mimi sipewi briefing (kama una akili kidogo utanielewa) lakini kama akili yako yote imejaa udini nakupa tu pole lakini nakuhakikishia Watanzania walio wengi hata mihadhara ya Mohamed ikifanyika 24/7, watayapima na kuyatafakari kabla ya kuyameza.
Unaniuliza ni yapi yanafinyangwa na mchochezi Mohamed Said mtoto wa Gerezani na huku unajua wazi kuwa simulizi zake zinatokana na hadithi alizosimuliwa na wazee wake. Sisi tuliozaliwa nyakati hizo ilikuwa ni kawaida vijana kukaa na wazee wao wakisikiliza hadithi ambazo nyingi zilihusu mashujaa enzi zao kwa hivyo hadithi za Mohamed Said hazina tofauti na hizo tulizozisikia wengine. Labda tujiulize ni wapi hadithi inaacha kuwa hadithi na kugeuka historia.
Huko ndiko kufinyangwa ninakoelezea, hadithi inalazimishwa kuwa historia lakini kwa lengo kuu la kuleta machafuko na uhasama miongoni mwa jamii ya Watanzania. Hadithi za Wazee wa Mohamed zinalazimishwa kuwa historia ya Tanganyika, duh ! hapa mimi siwezi kuwa na simile, nitapinga na nitatumia uwezo wangu mdogo kuutetea ukweli dhidi ya hizo porojo za Mohamed na Wazee wake wa Gerezani.
Nimeeleza kuwa wazee wa Mohamed hawakujulikana nje ya Dar es Salaam na shahidi wangu ni mimi kwa sababu sikusimuliwa, nilikuwepo. Huko tuliyasikia majina kama Zuberi Mtemvu, Christpoher Kasanga Tumbo, Paul Bomani na wengineo lakini Sykes ? No, never. Sana sana baadaye sana nilishangaa jinsi huu ukoo wa Sykes ulivyopewa upendeleo maalum kwenye nyanja mbali mbali kama biashara na makazi.
Halafu leo anatokea huyu mchochezi na kudai Mwalimu Nyerere aliwakandamiza Waislam kwa chuki zake dhidi ya Uislaam na mfano eti ni huo ukoo wa Sykes. Sasa hapa ukoo wa Balozi Kasanga Tumbo utasemaje ? Huyu shujaa pamoja na madhara aliyopata, nafasi ya kuipinga CCM waziwazi ilipotokea tu mwaka 1992, alikuwa moja wa waanzilishi wa mageuzi. Je ukoo wa Sykes ulikuwa wapi ?
Mtoto wa Kasanga Tumbo hivi sasa yuko kwenye mapambano dhidi ya mfumo fisadi wa CCM, yuko wapi mtoto wa Sykes katika haya mapambano ? Je ni udini au ni kwa sababu ya fadhila walizopewa wazazi wake na serikali za TANU/CCM ? Wana JF Mohamed Said ni mtu hatari katika jamii kwani hivi sasa wazalendo wa kweli wanapigania haki na usawa (katiba mpya), yeye amejikita katika kuchochea mifarakano ya kidini.

Kama umesoma post yangu vizuri nilikataa kujaziwa maandishi mpaka inakuwa hayana maana tena, "try to be specific" ndio maana nikatowa hoja moja tu. Rejea post yako, imesambaa kila mahali na hujaonesha wapi alipofinyagafinyanga.
Wewe umerukia mara vijana, mara kahawa, mara tumbaku mara makao makuu, nashindwa hata kukuelewa. Hebu nioneshe sehemu moja aliyofinyanga ili tuendelee kwa raha.