Historia ya Uhuru isimuliwavyo na Mohammed Said yakosolewa

SoA,

Kitabu kilimfikia kupitia mmoja wa vijana ambao wameoa katika familia ya Nyerere.

Huyu kijana alinitafuta tukaonana na akanieleza kuwa yeye alikisoma kitabu na akampelekea Nyerere.

Nyerere akakisoma na akasema kuwa hivi ilivyoandikwa ni sawa hivi ndivyo mambo yalivyokuwa lakini watu hawatamuamini Mohamed Said.

Taarifa nilizopata ni kuwa waliokuwa karibu na Nyerere waliumizwa na kitabu kile khasa ile "aspect" ya mchango Abdu na wa Waislam na wakamsihi na yeye aandike.

Mohamed

Sheikh Mohamed,

Kama hutojali, unaweza kutufahamisha kitabu chako kilimfikia Nyerere mwaka gani? na mwezi gani kama unakumbuka.
 
Mag3 nakurudisha tena kwenye maswali yangu, tafadhali nijibu ili tuendelee, kama ulikosea, japo ukiri makosa na uombe msamaha, maana naona mpaka sasa huna jibu licha ya majibu:

Nakurudisha tena kwenye maswali yangu, tafadhali nijibu ili tuendelee:

quote_icon.png
By Mag3

Kitu kimoja nilicho na hakika nacho kwa asilimia 100% ni kwamba wale wote wenye mapenzi ya kweli kwa taifa letu la Tanzania wanasita sana kuchangia hii hoja inayofinyangwafinyangwa na huyu anayejiita Mohamed Said.
Mag3, napitia "nondo" zako na nataka ufafanuzi:

1) Naomba tuonyeshe ni wapi hoja imefinyangwafinyangwa.

2) Huyo hajiiti, bali sisi ndio humuita jina lake alilopewa kwao. Hivi wewe hujiita mwenyewe?

Twende taratibu tutafika. Usinijazie mlolongo wa maandishi mpaka nikashindwa kukuelewa ndio maana nafupisha "nondo" zako ili tuzichambuwe kwa raha kabisa.
 
Nilikusoma ulivyokuwa unamtisha mzee mwanakijiji, sasa sijui hapa niseme kwamba unajaribu kunitisha ama ndio unanitisha? je una uhakika kwamba na mimi huwa ninatishwa? na kwamba nikitishwa huwa natishika? usivamie pori usilolijua! utaliwa na simba kweupeeeee!!

Haya simba, rudi kwa Mohamed Said achana na FaizaFoxy, mie ukintafuta utanipata si kwenye mjadala huu lakini, naona unatafuta pakutokea, sikupi fursa, mpaka uingie mwenyewe kichakani. Hapo ulipo ndipo panakufaa kwa sasa, pata darsa.
 
Hik
Sheikh Mohamed,

Kama hutojali, unaweza kutufahamisha kitabu chako kilimfikia Nyerere mwaka gani? na mwezi gani kama unakumbuka.

Hik,

Kitabu kilikuja Tanzania miezi ya mwisho 1998 sijua mwezi kwa hakika mpaka nitama nakala yangu nilyotia sahihi na kilimfikia muda mfupi sana toka kitue nchini.

Nasikia nakala ipo katika maktaba yake.

Mohamed
 
Mag3, napitia "nondo" zako na nataka ufafanuzi:

1) Naomba tuonyeshe ni wapi hoja imefinyangwafinyangwa.

Nakupa mfano mmoa wa vipande anavyofinyanga finyanga na kuunga unga Mzee Mohamed said.

.Hapa anajaribu kuwasingizia vijana wa kiislam wa kigoma, tabora na Lindi na mtwara kuwa wanakuwa radical kuliko hata wale wa dar.

Mohamed Said said:
........ Most areas which are underdeveloped in Tanzania mainland are areas with Muslim majority like Kigoma,Tabora, Kilwa, Mtwara, Lindi etc. These areas are now re-examining themselvesand are gradually turning into local factions of radical Muslim politicsreminiscence of the era of nationalist politics of the 1950s

Ukweli ni kwamba

  • kama kuna vijana radical wa Kiislam basi wanatoka mikoa iliyoendelea kama dar na sio Mikoa iliyo nyuma kimaendelo.
  • Anajaribu kuhusanisha maendeleo ya mikoa na dini na hujuma ya Nyerere au kanisa kwa mtazamo lakini sijui mikoa ambayo hiana wasilam waislam wengi lakini yenye rasilimali nyingi na maendeleo yake duni yahusishanishwe na hujuma za nani. May be hujuma ya Nyerere ku centraise madaraka yote Dar.
  • Mohamed said hataki kuona uzuri wa sera za nyerere ambapo .Pesa ya dhahabu alamsi za mwadui ,nyarugusu zimetukima kujenga dar. Pesa za kahawa,Korosho tumbaku, Pamba zimetukika kujenga miundombinu na makao makuu ya dar ya wazee wake na sio shinyanga,geita, tabora, ana mtwara ya wazee wake wengine.

  • Mohamed Saidi anaulizwa swali jepesi anaonaje muamuzi wa kuhamishia makao makuu dodoma anasema hajui wala hana maoni. Inaonyesha anatumia Dini lakini interest yake zaidi ni Dar.Leo Makao makuu yangekuwa dodoma nadhani hilo nalo lingekuwa katika moja ya mabaya aliyofanya nyerere kuwahuju wazee wa dar na ili apate wwatu wengi lazima atumie na mgongo wa uhujumu Uislam.
Kama hujuma za Nyerere basi Tukubaliane hazikuwa hujuma za kidini. Maana hata Pesa ya dhahabu, pamba,Korosho,Alamasi umetua kuendeleza zaidi dar na sio Bukoba, Kahama shinyanga na mtwara. So conflict kama ipo Ni mtazamao na sera za Kisiasa tu na sera. Dini nikulazimisha. Kwa hiyo kama anataka tumchambue nyerere wa mazuri na mabya basi aondoe mtazamo wa Kdini.
 
Nakupa mfano mmoa wa vipande anavyofinyanga finyanga na kuunga unga Mzee Mohamed said.

.Hapa anajaribu kuwasingizia vijana wa kiislam wa kigoma, tabora na Lindi na mtwara kuwa wanakuwa radical kuliko hata wale wa dar.

Ukweli ni kwamba

  • kama kuna vijana radical wa Kiislam basi wanatoka mikoa iliyoendelea kama dar na sio Mikoa iliyo nyuma kimaendelo.
  • Anajaribu kuhusanisha maendeleo ya mikoa na dini na hujuma ya Nyerere au kanisa kwa mtazamo lakini sijui mikoa ambayo hiana wasilam waislam wengi lakini yenye rasilimali nyingi na maendeleo yake duni yahusishanishwe na hujuma za nani. May be hujuma ya Nyerere ku centraise madaraka yote Dar.
  • Mohamed said hataki kuona uzuri wa sera za nyerere ambapo .Pesa ya dhahabu alamsi za mwadui ,nyarugusu zimetukima kujenga dar. Pesa za kahawa,Korosho tumbaku, Pamba zimetukika kujenga miundombinu na makao makuu ya dar ya wazee wake na sio shinyanga,geita, tabora, ana mtwara ya wazee wake wengine.

  • Mohamed Saidi anaulizwa swali jepesi anaonaje muamuzi wa kuhamishia makao makuu dodoma anasema hajui wala hana maoni. Inaonyesha anatumia Dini lakini interest yake zaidi ni Dar.Leo Makao makuu yangekuwa dodoma nadhani hilo nalo lingekuwa katika moja ya mabaya aliyofanya nyerere kuwahuju wazee wa dar na ili apate wwatu wengi lazima atumie na mgongo wa uhujumu Uislam.
Kama hujuma za Nyerere basi Tukubaliane hazikuwa hujuma za kidini. Maana hata Pesa ya dhahabu, pamba,Korosho,Alamasi umetua kuendeleza zaidi dar na sio Bukoba, Kahama shinyanga na mtwara. So conflict kama ipo Ni mtazamao na sera za Kisiasa tu na sera. Dini nikulazimisha. Kwa hiyo kama anataka tumchambue nyerere wa mazuri na mabya basi aondoe mtazamo wa Kdini.

Kama umesoma post yangu vizuri nilikataa kujaziwa maandishi mpaka inakuwa hayana maana tena, "try to be specific" ndio maana nikatowa hoja moja tu. Rejea post yako, imesambaa kila mahali na hujaonesha wapi alipofinyagafinyanga.

Wewe umerukia mara vijana, mara kahawa, mara tumbaku mara makao makuu, nashindwa hata kukuelewa. Hebu nioneshe sehemu moja aliyofinyanga ili tuendelee kwa raha.
 
Ninachojua Mama Maria alisoma Uganda, na kabla ya kuolewa alifundisha shule ya wasichana Moshi. Sidhani kama alikuwa na elimu ya University lakini alikuwa na elimu ya kutosha kufundisha Moshi--enzi hizo ukimaliza darasa la kumi na kwenda teacher's college unapsngiwa kufundisha Middle School level. Na wakati Mwalimu alipokuwa Edinburgh mama Maria alichukua kozi ya Kiingereza St. Joseph's Dar-es-Salaam.

Mkuu,

Elimu za enzi zile historia za zamani. Kama ana degree ungelituambia ana degree au diploma, au masters. Nafahamu darasa la 12 miaka ya mkoloni ilikuwa ni achievement sio ya kitoto but tupe mwanga please ndugu yangu ningelifurahi sana kupata in detail. Mama Maria nampenda sana ni mtu mstaarabu na ni mama wa Taifa letu la Tanzania nauliza ili nitake kufahamu mkuu sina ubaya wowote wala kushindana.
 
Nakupa mfano mmoa wa vipande anavyofinyanga finyanga na kuunga unga Mzee Mohamed said.

.Hapa anajaribu kuwasingizia vijana wa kiislam wa kigoma, tabora na Lindi na mtwara kuwa wanakuwa radical kuliko hata wale wa dar.

Ukweli ni kwamba

  • kama kuna vijana radical wa Kiislam basi wanatoka mikoa iliyoendelea kama dar na sio Mikoa iliyo nyuma kimaendelo.
  • Anajaribu kuhusanisha maendeleo ya mikoa na dini na hujuma ya Nyerere au kanisa kwa mtazamo lakini sijui mikoa ambayo hiana wasilam waislam wengi lakini yenye rasilimali nyingi na maendeleo yake duni yahusishanishwe na hujuma za nani. May be hujuma ya Nyerere ku centraise madaraka yote Dar.
  • Mohamed said hataki kuona uzuri wa sera za nyerere ambapo .Pesa ya dhahabu alamsi za mwadui ,nyarugusu zimetukima kujenga dar. Pesa za kahawa,Korosho tumbaku, Pamba zimetukika kujenga miundombinu na makao makuu ya dar ya wazee wake na sio shinyanga,geita, tabora, ana mtwara ya wazee wake wengine.

  • Mohamed Saidi anaulizwa swali jepesi anaonaje muamuzi wa kuhamishia makao makuu dodoma anasema hajui wala hana maoni. Inaonyesha anatumia Dini lakini interest yake zaidi ni Dar.Leo Makao makuu yangekuwa dodoma nadhani hilo nalo lingekuwa katika moja ya mabaya aliyofanya nyerere kuwahuju wazee wa dar na ili apate wwatu wengi lazima atumie na mgongo wa uhujumu Uislam.
Kama hujuma za Nyerere basi Tukubaliane hazikuwa hujuma za kidini. Maana hata Pesa ya dhahabu, pamba,Korosho,Alamasi umetua kuendeleza zaidi dar na sio Bukoba, Kahama shinyanga na mtwara. So conflict kama ipo Ni mtazamao na sera za Kisiasa tu na sera. Dini nikulazimisha. Kwa hiyo kama anataka tumchambue nyerere wa mazuri na mabya basi aondoe mtazamo wa Kdini.

Kama Nyerere alisema kilichoandikwa na Mohamed Said ni historia ya kweli na ndio anavyojua yeye sasa sijui vp unashindwa kuelewa kuwa alikuwa anatumikia kitu kilicho juu yake (yaani kanisa). Kwa ufupi hebu soma post Mohamed Said kuhusu what happened when baba wa taifa alipokisoma kitabu cha Mohamed na his first response ilikuwa nini? Hebu soma hapa

SoA,

Kitabu kilimfikia kupitia mmoja wa vijana ambao wameoa katika familia ya Nyerere.

Huyu kijana alinitafuta tukaonana na akanieleza kuwa yeye alikisoma kitabu na akampelekea Nyerere.

Nyerere akakisoma na akasema kuwa hivi ilivyoandikwa ni sawa hivi ndivyo mambo yalivyokuwa lakini watu hawatamuamini Mohamed Said.

Taarifa nilizopata ni kuwa waliokuwa karibu na Nyerere waliumizwa na kitabu kile khasa ile "aspect" ya mchango Abdu na wa Waislam na wakamsihi na yeye aandike.

Mohamed
 
Kama Nyerere alisema kilichoandikwa na Mohamed Said ni historia ya kweli na ndio anavyojua yeye sasa sijui vp unashindwa kuelewa kuwa alikuwa anatumikia kitu kilicho juu yake (yaani kanisa). Kwa ufupi hebu soma post Mohamed Said kuhusu what happened when baba wa taifa alipokisoma kitabu cha Mohamed na his first response ilikuwa nini? Hebu soma hapa

M,

Niliwahi kusoma course, "How to read difficult passages" na nilipata grades nzuri sana katika somo hilo. Hawa jamaa zetu kweli ni kiboko ujuzi wangu wote wa "how to read difficult passages" nimeuleta hapa lakini nimeambalia patupu.

Naomba msaada kwa wanaukumbi wenzangu kama kuna mtu ameelewa anisaidie mimi nimeshindwa.

Mohamed
 
Mwanakijiji,

Kama ni hilo basi mimi sina haja ya kwenda kwa Mama Maria...nayajua mengi.
Wala sitathubutu kufanya hivyo huyu Bi Mkubwa na sawa na mama yangu.

Kuna vitu kwa ajili ya adabu huelezi watu wala huandiki watu wasome kwa kuwa
si mambo yatakayosaidia kuijua historia ya nchi yetu.

Baada ya uhuru palipitika upasi...tosheka na hilo ndugu yangu na turudi kwenye
yake yatakayotoa mwanga wa kuichambua historia yetu.

Mwanakijiji mimi ni mzao watu hawa...ndio walionileta duniani na kunilea hapa
hapa Dar es Salaam.

Kuna wakati mimi nikitembea Dar es Salaam Gerezani kule nina miaka kama sita
hivi akina mama wakiniita kwa jina la marehemu mama yangu "We mtoto wa Baya."
Nikenda wananishika kichwa na kunifariji kwani wakimkumbuka mama yangu, shoga
yao. Hapo kimoyomoyo wakiniombea dua Allah anikuze.

Hadi leo akina mama hawa wapo na kila n ikiwatembelea kwanza ni chozi kisha
mazungumzo.

Nenda kazungumze na Biti Hassan Machakomo. Bi wa Kizulu huyu jamaa zake akina
Sykes...

Huyu kaiona historia yote toka siku ya kwanza...

Mohamed

Nina uhakika wa kutosha tu kuwa huyu mama akifa utatuelezea hayo mambo ambayo hutaki ukijua kabisa hakuna mtu wa kumhoji au yeye mwenyewe kujitetea. Hii ndio MO yako.
 
SoA,

Kitabu kilimfikia kupitia mmoja wa vijana ambao wameoa katika familia ya Nyerere.

Huyu kijana alinitafuta tukaonana na akanieleza kuwa yeye alikisoma kitabu na akampelekea Nyerere.

Nyerere akakisoma na akasema kuwa hivi ilivyoandikwa ni sawa hivi ndivyo mambo yalivyokuwa lakini watu hawatamuamini Mohamed Said.

Taarifa nilizopata ni kuwa waliokuwa karibu na Nyerere waliumizwa na kitabu kile khasa ile "aspect" ya mchango Abdu na wa Waislam na wakamsihi na yeye aandike.

Mohamed

Mzee Said hapa ndipo miye nawe huwa tunagongana. "mmoja wa ambao wameoa katika familia ya Nyerere" anaweza kuwa mtu yeyote na anaweza asiwe mtu yeyote. Humtaji kwa hiyo hatuwezi kumhoji. Hata msomi mwingine akienda kutaka kufanya utafiti ataanzia wapi? Lakini pia kwa mara nyingine tena unayaweka maneno ya kusimuliwa kutoka kwa huyo kijana kama historia. Kwamba yeye kakisoma akampelekea Nyerere akakisoma na kukubali kuwa kilichoandikiwa ni kweli. Kwa watu wengi wanaweza kufikiria umesema "NYERERE ALIKUBALI NILICHOANDIKA CHOTE NI KWELI".

Wakati muda wote unafanya utafiti (karibu miaka mitano) Nyerere alikuwepo na alikuwa anakutana na wasomi na waandishi mbalimbali akijibu hoja mbalimbali na wewe unajua fika kabisa Nyerere hakuwahi kuogopa kujadiliana na mtu yeyote hata asiyekubaliana naye wala kuulizwa maswali ambayo labda asingeyapenda. Lakini muda wote huo hukumuuliza ila baada ya kitabu kutoka ndio watu "wengine" ndio wanaenda kumuuliza halafu unatusimulia hayo ambayo watu wamesema na kuyafanya ni ushahidi. Hakuna barua, hakuna maandishi, hakuna tarehe, na hakuna kwa namna yoyote ushahidi wowote ule wa kuonesha kuwa Nyerere alikubaliana na ulichoandika isipokuwa this "single un-named source".

Ndio maana nimedokeza kuwa hii siyo historia ni histohisia... yaani kutumia hisia kuelezea historia.
 
Nina uhakika wa kutosha tu kuwa huyu mama akifa utatuelezea ambayo hutaki ukijua kabisa hakuna mtu wa kumhoji au yeye mwenyewe kujitetea. Hii ndio MO yako.

Unachukuwa kazi ya Mwenyeezi Mungu kuwa na "uhakika wa kutosha tu kuwa huyu mama akifa utatuelezea hayo mambo", ingekuwa muislaam ningekuambia omba "maghfira" kwa Mwenyeezi Mungu. Hakuna ajuae nani atamtangulia mwenzake tuwaombee wote umri mrefu. Waswahili hunena "hujafa hujaumbika".
 
Ndugu yangu Mwanakijiji mbona nishakueleza kuwa usijitaabishe nisome kisha shika shughuli zako huna haja ya kuniamini. Sasa utakuwa unaniuliza maswali hayo hayo ya kutaka niweke majina ya watu hadharani nami nitakujibu hilo sifanyi tunazunguka hapo hapo kama santuri iliyokwama.

Sitegemei kama utarudi tena na swali hilo tena.

Mohammed,
Mohamed
Nisahihishe kama nimekosea. Kuna mahali uliandika kuwa reaction ya Nyerere kwa kitabu chako ilikuwa ni kuwa "wakupuuze," unafikiri ni kwa nini alihisi unapaswa kupuuzwa?
 
Jasusi,

Ile ya kupuuza ilikuwa Dodoma Halmashauri Kuu ya CCM na pale haikuwa kitabu bali siku hizo naandika na gazeti la Africa Events.

Katika gazeti lile kwa kipindi cha miaka 20 hakuna mtu aliyepata kusikia kuwa TANU ilianzishwa na Abdulwahid Sykes. Nilipoandika makala ile na kuwataja Waislam kwa kweli vumbi lilitimka.

Yeye anamjua vyema Abdu Sykes na mchango wa Waislam ndiyo kama nilivyoueleza hapa.

Nadhani akaona kama CCM itaanzisha mnakasha na mimi mengi yataibuka kwa hiyo njia nzuri ni kunipuuza.

Sasa nilipoandika kitabu ndiyo ikawa kimbembe.

Unaweza kupuuza gazeti kwa kuwa muda wake ni mfupi lakini kitabu...

Mohamed
 
Mag3 nakurudisha tena kwenye maswali yangu, tafadhali nijibu ili tuendelee, kama ulikosea, japo ukiri makosa na uombe msamaha, maana naona mpaka sasa huna jibu licha ya majibu:
Nakurudisha tena kwenye maswali yangu, tafadhali nijibu ili tuendelee:
1) Naomba tuonyeshe ni wapi hoja imefinyangwafinyangwa.
2) Huyo hajiiti, bali sisi ndio humuita jina lake alilopewa kwao. Hivi wewe hujiita mwenyewe?
Twende taratibu tutafika. Usinijazie mlolongo wa maandishi mpaka nikashindwa kukuelewa ndio maana nafupisha "nondo" zako ili tuzichambuwe kwa raha kabisa.

FaizaFoxy, tofauti na wewe mimi ni binadamu nahitaji kulala, nahitaji kupumzika na nahitaji kufanya kazi na katu si kuwa hapa JF masaa ishirini na nne. Tofauti na wewe, mimi nasukumwa na mapenzi yangu kwa taifa langu ninalolipenda na nawaenzi watu wote waliopigania uhuru wa nchi hii bila kubaguana kidini, kikabila wala kirangi. Naomba hapo tuelewane kwanza.

Pili mchochezi Mohamed Said ambaye ametanguliza chuki dhidi ya Watanzania wenzake kwa sababu tu wanatofautiana kidini mimi sina muda wa kujibizana naye, sasa hapa kisichoeleweka ni kitu gani ? Ninapoingia JF sikurupuki tu nikaanza kujibu mipasho ya Gerezani na mtaa gani vile alikozaliwa FaizaFoxy !

Hapana, nachukua time kusoma maoni mbali mbali halafu nachagua yapi ya maana niyajibu na yapi ni porojo zisizoweza kutusaidia Watanzania kulijenga taifa letu. Tofauti na wewe mimi sipewi briefing (kama una akili kidogo utanielewa) lakini kama akili yako yote imejaa udini nakupa tu pole lakini nakuhakikishia Watanzania walio wengi hata mihadhara ya Mohamed ikifanyika 24/7, watayapima na kuyatafakari kabla ya kuyameza.

Unaniuliza ni yapi yanafinyangwa na mchochezi Mohamed Said mtoto wa Gerezani na huku unajua wazi kuwa simulizi zake zinatokana na hadithi alizosimuliwa na wazee wake. Sisi tuliozaliwa nyakati hizo ilikuwa ni kawaida vijana kukaa na wazee wao wakisikiliza hadithi ambazo nyingi zilihusu mashujaa enzi zao kwa hivyo hadithi za Mohamed Said hazina tofauti na hizo tulizozisikia wengine. Labda tujiulize ni wapi hadithi inaacha kuwa hadithi na kugeuka historia.

Huko ndiko kufinyangwa ninakoelezea, hadithi inalazimishwa kuwa historia lakini kwa lengo kuu la kuleta machafuko na uhasama miongoni mwa jamii ya Watanzania. Hadithi za Wazee wa Mohamed zinalazimishwa kuwa historia ya Tanganyika, duh ! hapa mimi siwezi kuwa na simile, nitapinga na nitatumia uwezo wangu mdogo kuutetea ukweli dhidi ya hizo porojo za Mohamed na Wazee wake wa Gerezani.

Nimeeleza kuwa wazee wa Mohamed hawakujulikana nje ya Dar es Salaam na shahidi wangu ni mimi kwa sababu sikusimuliwa, nilikuwepo. Huko tuliyasikia majina kama Zuberi Mtemvu, Christpoher Kasanga Tumbo, Paul Bomani na wengineo lakini Sykes ? No, never. Sana sana baadaye sana nilishangaa jinsi huu ukoo wa Sykes ulivyopewa upendeleo maalum kwenye nyanja mbali mbali kama biashara na makazi.

Halafu leo anatokea huyu mchochezi na kudai Mwalimu Nyerere aliwakandamiza Waislam kwa chuki zake dhidi ya Uislaam na mfano eti ni huo ukoo wa Sykes. Sasa hapa ukoo wa Balozi Kasanga Tumbo utasemaje ? Huyu shujaa pamoja na madhara aliyopata, nafasi ya kuipinga CCM waziwazi ilipotokea tu mwaka 1992, alikuwa moja wa waanzilishi wa mageuzi. Je ukoo wa Sykes ulikuwa wapi ?

Mtoto wa Kasanga Tumbo hivi sasa yuko kwenye mapambano dhidi ya mfumo fisadi wa CCM, yuko wapi mtoto wa Sykes katika haya mapambano ? Je ni udini au ni kwa sababu ya fadhila walizopewa wazazi wake na serikali za TANU/CCM ? Wana JF Mohamed Said ni mtu hatari katika jamii kwani hivi sasa wazalendo wa kweli wanapigania haki na usawa (katiba mpya), yeye amejikita katika kuchochea mifarakano ya kidini.
 
Nilikuonya mapema, usinijie na mlolongo mrefu usiokuwa na mpango, umeamuwa kufanya yaleyale, hilo wala sikulaumu sana najuwa ni upeo wako ndipo ulipokufikisha.

Baada ya pumba zooote hizo, hujajibu maswali yangu yaliokuwa mepesi sana. Jee, hayajibiki niendelee kwingine?
 
Mag3,

Nilishakuambia ukinitaja tu nitakujibu. Salama yako nikalie mbali:

Soma hii:

"Muslims were thrilled by Sheikh Kassim's khutbas and his sudden change against the establishment andNyerere, his mentor. Muslims inthousands now thronged the Mtoro Mosque to come and listen to Sheikh Kassim'sFriday khutbas. Mtoro Mosqueovernight became a centre of resistance against forces opposing Mwinyi's rule.Sheikh Kassim called upon Muslims to rise up and over-throw the Christian dominatedgovernment which had oppressed them since independence. Sheikh Kassim's khutbas were recorded in cassettes anddistributed by the Ansar Sunna movementthroughout the country. The press scandalised, ridiculed and poked fun atPresident Mwinyi with impunity, at times even questioning his appointments ofMuslim functionaries. The press also insinuated on the dropping from thecabinet of Kingunge Ngombale Mwiru, Getrude Mongela and Joseph Warioba as beinginfluenced by religious sentiments. [1] Included in this war of words were selectedMuslim Ministers. It seemed Christians were irked that those powerfulportfolios were in Muslims hands. The government and party owned media seemedto have lost allegiance to the government including loyalty to the presidenthimself. President Ali Hassan Mwinyi,Prof. Kighoma Malima, Fatma Said Ali, Hassan Diria then Minister of ForeignAffairs and International Co-operation and Mustapha Nyang'anyi became favouritetargets of ridicule by the private tabloids. Sheikh Kassim mobilised Muslims tostand firm behind President Mwinyi and all Muslims in his cabinet. TheChristian lobby was quietly waiting for the chance to get even with "Muslimfundamentalist" and teach them a lesson. That chance came during Easterholidays in 1993 in the form of pork riots."

Hii ndiyo historia ya nchi yetu hakuna wa kuikataa la kujiuliza ni vipi nchi yetu imefika hali hii? Hiyo ililkuwa miaka ya 1990s sasa tuko 2011 Waislam wanazungumzo mfumokristo. Haya hayataondoka ila tumeyakabili na kutafuta dawa.

Mohamed

https://www.jamiiforums.com/#_ftnref1 [1] See"Mwinyi's Dilemma," New Afrcan, June,1989, Also Tanzania's Religious Politics," New African, November, 1989. Also see "Religious Controversyin Tanzania,"Africa Events, November, 1989 andWarsha, ''Fitina inayotukabili Waislam 14 Julai, 1989, Dhul Haj,'' 1409 H.

Kama umesoma post yangu vizuri nilikataa kujaziwa maandishi mpaka inakuwa hayana maana tena, "try to be specific" ndio maana nikatowa hoja moja tu. Rejea post yako, imesambaa kila mahali na hujaonesha wapi alipofinyagafinyanga.

Wewe umerukia mara vijana, mara kahawa, mara tumbaku mara makao makuu, nashindwa hata kukuelewa. Hebu nioneshe sehemu moja aliyofinyanga ili tuendelee kwa raha.

Summarised

Huyu nyerere wa kanisa iweje atumie pesa za pamba, kahawa alamasi na dhahabu kujenga miundombinu ya mikoa wa dar na sio mindombinu ya mkoa wa shinyyaga au mwadui, au kahama , Nragusu.?
 
Back
Top Bottom