FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Summarised
Huyu nyerere wa kanisa iweje atumie pesa za pamba, kahawa alamasi na dhahabu kujenga miundombinu ya mikoa wa dar na sio mindombinu ya mkoa wa shinyyaga au mwadui, au kahama , Nragusu.?
Una uhakika na ulisemalo au unakisia tu? Nyerere anang'atuka mitaa ya Dar haipitiki kwa tope, hata lami aliyoiacha mkoloni imebanduka banduka, benki kuu imechomwa moto, haina senti nyekundu, hakuna miundo mbinu yoyote aliyoitengeneza Nyerere Dar Es Salaam na kwa hili hata huko kwingine, watu walikuwa wakienda Mwanza tu inabidi wazunguke kwenda Kenya wakati wake, na barabara hizohizo alizikuta zikipitika na Tanganyika bus. Miundo mbinu ipi aliyoijenga Nyerere, si Tanzania hii labda akhera? Hayo maviwanda ya kutaifisha yamekufa kabla yake, dhulma inadumu?