Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
Hotuba iliyosomwa Umoja wa Mataifa 1955 imenyambuliwa mle ndani.
Mohamed,
Ungesema hivi tangu mwanzo tusingekuvalia bango. Hotuba aliyoitoa Mwalimu UN 1955 "imenyambuliwa kutokan memoranda ya 1950" Lakini hukusema hivyo. Jinsi ulivyosema/ulivyoandika ni kwamba hotuba iliandikwa na Sykes na Mwalimu akaisoma word for word. Kumbe ile memorandum ya 1950 ilitumika kama hadidu za rejea? Ndio maana nilikuuliza, lini ulipogundua kuwa kura tatu za Tabora zilikuwa ni uamuzi wa busara? Kwa sababu katika kitabu chako, toleo la kwanza, uliandika kuwa ni ushahidi wa kuwabagua Waislamu. Tuendelee.
Hahahahah "Nyundo" zimemlewesha, anaona nyota nyota, si unaona huko juu, mara hii sio historia ni simulizi mara hii ni historia. Ana-haha.
Unajuwa Sheikh Mohamed Said, hii shock si wao tu inaowapata hata sisi Waislaam imetupata kwa kiasi fulani labda sisi imetupata kivingine. Ngoja nikuelezee kwa upande wangu kwa ufupi sana:
Kwanza nnapokisoma ulichokiandika, huwa nnasema hakika Mwenyeezi Mungu ni mwingi wa rehema na shani zote ni zake, huwa nnasema leo angetokea Muislaam mwingine ambae hana mnasaba kabisa na hawa wazee na hakutokea katika jamii na ahli hiyo, sijui hayo matusi yangekuwaje? maana kila wanapotaka kujaribu huwa jibu ni kuwa anaeandika anawafahamu ni wao na anayoyasema ni kweli. Hapo sasa.
Hakuna humu hata mmoja aliyekuja akasema hapana, huyo Mzee uliemtaja hakuwepo na hakuwa na wadhifa huo au hakufanya harakati hizo.
Inayobaki wanaanza, mbona fulani hukumuuliza, mbona fulani hukumuuliza. Hivi ni kweli wao wanashindwa kuwauliza hao wanaowataka wao? Au wanawauliza na majibu ndio hawana pakuyaweka? Hiyo ndio shock inayonipata mimi.
Watu wanakuja na kufanya kila hila kuutowa huu mjadala kutoka kwa wazee na kuupeleka kwenye EPA, wanapoambiwa 83% ni wao, wanaanza kuuliza imetoka wapi, wanashindwa kufanya kautafiti kadogo tu wakaja hapa waseme hapa hiyo asilimia si kweli, asilimia sahihi ni hii hapa kwa ushahidi huu na huu.
Unapowaambia umeiona historia iliyoandikwa Kigamboni na imewasahau wazee waasisi wa AA na TAA na TANU na unapowabainisha kinaga-ubaga, wanashindwa kusema hao wazee si wa ukweli hawakuwepo, kama hilo linawashinda na kweli walikuwepo ni nini zaidi kinachowasumbuwa? Ni rahisi sana kuelewa, ni shock, na masikio yao na bongo zao zimeaminisha kuwa ilikuwa "One man show" sasa kuja kuona si hivyo, inakuwa vigumu sana wao ku "insert" haya ya ukweli.
Shock yangu ni kwanini inawawia vigumu?
Dhulma haidumu hata kama ni karne moja..IKO HIVYO THEN WHAT?????????????????????? Waislamu tunatakiwa tulipize kisasi au....?? Mbona sasa tuna fursa sawa????
Mimi sioni msingi wa hii historia kusimuliwa sasa kama tunaweka maslahi ya taifa mbele na sio ya dini.
Wanasema hata mbuyu ulianza kama mchicha. Baada ya kusoma haya nimegundua tunawashtaki wao kuwa wadini kwa sababu ya udini wetu.
YEYOTE MWENYE AKILI NA AUONE HUU KAMA USHENZI, UPUUZI NA UPUMBAVU, si kwa sababu ni uongo ila kwa sababu ni hatari kwa amani na umoja wa taifa letu lenye miaka 50 sasa.
Miaka yote hiyo mambo haya yalikuwa wapi kusemwa??????
KIKWETE ANAYEPINGA UDINI DAY & NIGHT YUKO WAPI??? Wanasiasa wanajua fika mambo ya kwenye forums, wanaliokoaje taifa letu na hawa masheikh na mapadre wanaopanda mbegu mbaya kwa vijana wetu??
I can describe this by three (3) words: UPUMBAVU, UPUMBAVU & UPUMBAVU
Mwanakijiji,
Unajua kuna baadhi ya hoja nakubaliana na wewe. Ila nasita kuanzishwa kwa Commision for Truth and Unity kwasababu ya historia ya nchi hii. Hembu nikuulize ikianzishwa hiyo commision do you think kweli waislamu wataiamini? If not why? Je unadhani walivyopoteza kumbukumbu za mwanzo sasa hivi ndio watazitokomeza kabisa!!!! Hebu fikiria kwa upande wa pili mwanakijiji. Ndio maana nasema ni vema ikawepo Truth and reconciliation committee kwanza tuwekane sawa na kuombana radhi yaishe. Then turekebishe historia na mwelekeo wa nchi mbele. Vyenginevyo itakuwa ni hadithi ya merry go round!!!!
Mwanakijiji,
Uzuri wa utafiti na kuandika ndiyo huu.
Vipi nimetoa changamoto ya wewe na wenzako kuandika historia kujibu kitabu changu.
Je mmeipokea hiyo changamoto au mmetoa mbukwa?
Mohamed
The problem is that a truth and reconciliation commission presumes some wrongs were done and the facts are indisputable. The historical commission on the other hands inataka kutafuta ukweli wa historia kwanza.. kabla hatujafikia kujua kama kuna wrongs were done.. we need to set the facts straight kwanza.
sasa mzee mohamed? wewe uliandika kitabu ili ujibiwe au ili utoe ilmu kwa watanganyika? halafu, nimeambiwa kuwa historia hiyo ndiyo inakusudiwa kuwa mbadala wa hii iliyopo, na kwa kuanza vitabu vitapelekwa kwenye shule za kiislamu, sasa historia itafundishwaje ilhali wewe mwenyewe unasubiri changamoto za akina mwanakijiji na mag3, huoni kuna shaka hapo sheikh?
M,
Jitulize andika tena vizuri mimi nitakujibu Insha Allah.
Mohamed
samahani kama hati yangu inakukwaza. ila kifaa nitumiacho ndio uwezo wake, nivumilie tafadhali!
IKO HIVYO THEN WHAT?????????????????????? Waislamu tunatakiwa tulipize kisasi au....?? Mbona sasa tuna fursa sawa????
Mimi sioni msingi wa hii historia kusimuliwa sasa kama tunaweka maslahi ya taifa mbele na sio ya dini.
Wanasema hata mbuyu ulianza kama mchicha. Baada ya kusoma haya nimegundua tunawashtaki wao kuwa wadini kwa sababu ya udini wetu.
YEYOTE MWENYE AKILI NA AUONE HUU KAMA USHENZI, UPUUZI NA UPUMBAVU, si kwa sababu ni uongo ila kwa sababu ni hatari kwa amani na umoja wa taifa letu lenye miaka 50 sasa.
Miaka yote hiyo mambo haya yalikuwa wapi kusemwa??????
KIKWETE ANAYEPINGA UDINI DAY & NIGHT YUKO WAPI??? Wanasiasa wanajua fika mambo ya kwenye forums, wanaliokoaje taifa letu na hawa masheikh na mapadre wanaopanda mbegu mbaya kwa vijana wetu??
I can describe this by three (3) words: UPUMBAVU, UPUMBAVU & UPUMBAVU
Mimi ndiyo nimetoa changamoto wao nao waandike kitabu cha kuweza kuwa na hadhi sawa na changu ili ukweli katika historia ya uhuru wa Tanganyika ijulikane.
Shule za Kiislam kwa miaka mingi sasa inasomesha historia hii na hata baadhi wa vijana walimu wa historia katika vyuo vikuu nchini wamevutiwa na kitabu hiki na hukitumia kama rejea katika kufundisha.
Kisa cha mashujaa waliopigania uhuru wa Tanganyika kimevutia wengi.
Mohamed
Ni vitabu gani vinatumika kufundishia historia rasmi ambavyo vinaonesha kuwa harakati za Uhuru zilianza na Nyerere?
Sijui kama MS ni kwa nini unajifanya hujui kwamba kwenye shule zetu kuna aina mbili za vitabu. Vitabu vya kiada na vitabu vya ziada, na hakuna mtu anayekataa kwamba vitabu vyako vinatumika kwenye mashule ya waislamu bali kinachochambuliwa ni yaliyomo ndani ya kitabu chako na madhumuni yake.Mimi ndiyo nimetoa changamoto wao nao waandike kitabu cha kuweza kuwa na hadhi sawa na changu ili ukweli katika historia ya uhuru wa Tanganyika ijulikane.
Shule za Kiislam kwa miaka mingi sasa inasomesha historia hii na hata baadhi wa vijana walimu wa historia katika vyuo vikuu nchini wamevutiwa na kitabu hiki na hukitumia kama rejea katika kufundisha.
Kisa cha mashujaa waliopigania uhuru wa Tanganyika kimevutia wengi.
Mohamed
Nguruvi,
Inasikitisha kuwa hayo ya elimu na afya na mengineyo huelewi kuwa yapo chini ya kanisa na hata hiyo BAKWATA unayoieleza ushapewa kisa chake kuwa inafadhiliwa na kanisa. Sijui kwanini unazunguka mbuyu na mambo yako uwanjani.
We utalambwa.
Kama wanafadhiliwa na kanisa inamana Wanatumia BIBLIA kuendesha kazi zao za kila siku?
Si vibaya hata Jakaya akitumia miongozo ya Quran kuongozea nchi kwani kwenye Quran hakuna mahali kumeandikwa viongozi wanatakiwa kuwalinda mafisadi, badala yake Quran inahimiza kulinda haki na kuwatendea haki wanyonge. Kama Kweli Kikwete angewatendea haki wanyonge na kupambana na mafisadi basi bila shaka wote tungesema Kikwete anatumia Quran kuongoza nchi!!Ahsante kwa kunipa sifa njema.
Kwani hata hii nchi inaongozwa kwa kutumia nini? Soma preface ya Mwembechai Killings umsikie Nyerere anajibu nini alipoulizwa, alisema anatumia "Gospel of Jesus", sasa hicho ni nini?