micro_almunia
Senior Member
- Jan 16, 2011
- 134
- 37
Taifa linaloongozwa kwa kutumia "gospel of jesus christ" kama alivyosema Nyerere?
umoja wa 83% vs 17%?
Nia ya kuandika kwanza ni kuonyesha kuwa wazee wetu walipambana na wakoloni ili wananchi wa nchi hii wapate heshima wanayostahili kama binadamu na pawepo na haki na usawa kwa wote.
(Watoe Wahindu nk hawana moja katika haya).
Hii ni kati ya Waislam na serikali na wale waliyohodhi serikali na kuchukua nafasi ya wakoloni.
Waislam tunabaguliwa na tumeieleza serikali kwa zaidi ya miaka 30 sasa imetupuuza.
Fanya uchunguzi wako mwenyewe kuhusu ubaguzi. Wakristo wanahodhi 83% za fursa katika nchi hii kwa hila na ubaguzi.
Ushahidi tunao.
Mohamed
Hatutachagua mtu kwa sababu ya dini yake.... Hata kama wakristo wangekuwa 99%, ungetaka tuwaweke watu kwa sababu ya uislamu wao??? Tukifika huko ndo tunaingia kwenye UDINI
Micro,
Allah ametukataza Waislam kudhulumu wala kukubali kudhulumiwa.
Mohamed
Micro,
Unanitia wasiwasi.
Jitulize na fikiri upya nchi ambayo nafasi zote za maamuzi zimeshikwa na watu wa dini moja na wa dini nyingine ni wapagazi.
Jiulize unakaribisha kitu gani?
Usifanye haraka tafuta jibu na uliza ndugu zako vilevile wakupe mawazo yao.
Kisha rudi tujadili.
Mohamed
kama uelewa wako uko hivi basi ww sio mchambuzi makini, toa sc evidence ambazo zinaonesha kuwa Mohamedians wamekata tamaa ndio maana hawapigi kura.Jasusi,
Waislamu wengi hawapigi kura wamepoteza imani kabisa na nchi hii. Nguvu ya chadema ni cha mtoto tu kulinganisha na nguvu ya waislamu mkuu. Umejuliza ile 53% ya wapiga kura ambao hawajapiga kura ni akina nani? Hakuna wa kusikiliza madai ya waislamu nchi hii, vile vile waislamu wenyewe wamegawanyika, pia kuna tatizo la ufahamu wa umuhimu wa kupiga kura. Vyote hivyo vimechangia waislamu wengi hawapigi kura mkuu. Wanalalamika but wengi wao wamekata tamaa. Waislamu wakiungana na kuweka sauti ya pamoja hakuna chama kitashinda uchaguzi nchi hii bila ya support yao nakuhakikishia ndugu yangu.
Somalia dini moja kabila moja, hali ikoje?
Micro,
Unanitia wasiwasi.
Jitulize na fikiri upya nchi ambayo nafasi zote za maamuzi zimeshikwa na watu wa dini moja na wa dini nyingine ni wapagazi.
Jiulize unakaribisha kitu gani?
Usifanye haraka tafuta jibu na uliza ndugu zako vilevile wakupe mawazo yao.
Kisha rudi tujadili.
Mohamed
Ok Moha! Mimi inawezekana sijui dini vizuri....
Sasa kama amesema tusikubali kudhulumiwa, na amekataza tusidhulumu tutafanyaje katika hiyo hali???
Tulishadhulumiwa zamani, sasa tunyamaze tusonge mbele tukatae kudhulumiwa hiyo kuanzia sasa. (SIO KUFOCUS KWENYE KUKUMBUSHA PAST). Mfumo wa sasa tuko kila mahala, hilo halifichiki labda kama tunataka nchi iwe ya kiislamu na tujae peke yetu. Mambo taratibu sheikh..., tusomeshe watoto wakacompete. Na tuwafundishe WASIWE WADINI
hayo maswali akiyajibu mimi najifuta hapa JF ..zaidi ataleta porojo za kwenye kahawa tu na faiza wake..mkuu wangu ..naona umempiga jamaa kabari na hapa hatotoka atakuja na quotation ndefu ya vitabu vyake alivyoandikaNafasi zipi za maamuzi zaidi tunazitaka???????? Urais? Umakamu? Wizara zipi kubwa kubwa?? Mbona karibu zote tunazo sisi??? WHAT ARE WE BLAMING EXACTLY??? Nani amepewa nafasi kwa sababu ya ukristu wake?? Tumweke wazi kama tulivyoweka wazi historia. Na tuseme ni muislamu gani alinyimwa hiyo nafasi kwa sababu ya uislamu wake....
Kama ni kweli hawa waislamu ni vilaza..madrasa itakuwa imechangia sana ...angalia kwanzaJasusi,
Waislamu wengi hawapigi kura wamepoteza imani kabisa na nchi hii. Nguvu ya chadema ni cha mtoto tu kulinganisha na nguvu ya waislamu mkuu. Umejuliza ile 53% ya wapiga kura ambao hawajapiga kura ni akina nani? Hakuna wa kusikiliza madai ya waislamu nchi hii, vile vile waislamu wenyewe wamegawanyika, pia kuna tatizo la ufahamu wa umuhimu wa kupiga kura. Vyote hivyo vimechangia waislamu wengi hawapigi kura mkuu. Wanalalamika but wengi wao wamekata tamaa. Waislamu wakiungana na kuweka sauti ya pamoja hakuna chama kitashinda uchaguzi nchi hii bila ya support yao nakuhakikishia ndugu yangu.
Umoja wa 83% vs 17%?
ponit:kama kweli wakristo wangekuwa na tabia au roho ambazo wanasingiziwa an waislamu ..gap lingekuwa kubwa sana ...Kama wakristo wangekuwj na chuki na ubaguzi jinsi waislam wanavyofikiri ,muslim wangekuwa hawana chochote katika hili taifa
Micro,
Allah ametukataza Waislam kudhulumu wala kukubali kudhulumiwa.
Mohamed
Jasusi,
Prof. Haroub yeye aliona shutuma zile lazima zipate jibu lake yeye mwenyewe Nyerere.
Sasa Nyerere mwisho aliona umuhimu wa kueleza upande wake wa kisa na akamwomba Prof. Haroub amtengenezee kamati ya kama watu sita hivi na yeye atazungumza nao maisha yake na wao wataandika.
Kamati ikaundwa chini ya Prof. Haroub lakini Nyerere maradhi yakawa yamemtopea Nyerere hakuweza kutimiza ile azma yake.
Nyerere hakuweza kunipuuza si rahisi kupuuza kitabu kile.
Hakupata mtu kusimama na Nyerere uso kwa uso na kumueleza ukweli kwa kiwango kile.
Kila aliyesoma kazi ile alitoka ndani ya kurasa zile sivyo alivyoingia.
Mohamed
After our meeting in Dar-es-Salaam, Haroub wrote to both of us exploring the possibility of coming to
the Nordic Africa Institute to complete an important project. His May 12 letter begins, ‘As I told you
in Dar es Salaam, Mwalimu Nyerere was reluctant until few months before he died to writing his
Memoirs.
I discussed with him this issue a number of time. By the time he was ready and asked me
to help him, it was five months before his death. I feel his history must be written. There could be
others who could write it, and perhaps much better, but I feel I have a moral obligation to do it. It is
in this regard that I am writing to request a fellowship at your Institute so that I could develop ideas
and a program of how to go about it.
This is going to be a major exercise, involving extensive reading,
a lot of interviews, visits t many places and viewing of a lot of pictures and films. In early June, the
Nordic Africa Institute granted him one of the five African Guest Scholars positions, and Haroub was
planning to start his fellowship in Uppsala in early February 2010. This was never meant to be. Along
with Haroub’s death, so also went out of the window the biography of Julius Nyerere. This is a double
loss for Africa, for his family and friends who loved him so much.
Mdini ni Nyerere na Kanisa Katoliki waliowahujumu Waislam.
Ushahidi wote tumeuweka hapa ukumbini kwa wote kuuona.
Ikiwa Kanisa Katoliki linabisha watujibu basi au lije na ushahidi wapi Waislam walikaa na kupanga mipango dhidi ya Ukristo.
Wakati wa propaganda na "niceities" umepita sasa tuambiane kweli tuiepushe nchi yetu na janga linalotunyemelea.
Mohamed
Nyambala,Mohamed sometimes ndiyo maana kuna members humu wanakuita mwongo na wewe hukawii kughafilika. Hicho unachoongea kuhusu Prof. Haroub Othman sicho kilichomsukuma kuandika historia ya Nyerere. Hapa unadanganya just for the sake ya kutimilisha ajenda yako! Hebu soma hapo chini objectively utaelewa ni kwa nini nasema unadanganya. Najua utakuja na porojo kwamba hayo unayosema uliambiwa na yeye mwenyewe Prof.
Nyambala,
Hapa umevunja mzizi wa fitna!