Historia ya Uhuru isimuliwavyo na Mohammed Said yakosolewa

Historia ya Uhuru isimuliwavyo na Mohammed Said yakosolewa

Taifa linaloongozwa kwa kutumia "gospel of jesus christ" kama alivyosema Nyerere?

Nyerere alisema hivyo, ok! Mi ckuwahi msikia... Ila wewe unafikiri hili taifa linaongozwa na hiyo gospel??? Wanasheria wa dini mbalimbali wasaidie hapa...
Mbona tunasimamia mambo yasiyo na msingi?????? Utaifa mbele dada, alaaa!!
 
Nia ya kuandika kwanza ni kuonyesha kuwa wazee wetu walipambana na wakoloni ili wananchi wa nchi hii wapate heshima wanayostahili kama binadamu na pawepo na haki na usawa kwa wote.

(Watoe Wahindu nk hawana moja katika haya).

Hii ni kati ya Waislam na serikali na wale waliyohodhi serikali na kuchukua nafasi ya wakoloni.

Waislam tunabaguliwa na tumeieleza serikali kwa zaidi ya miaka 30 sasa imetupuuza.

Fanya uchunguzi wako mwenyewe kuhusu ubaguzi. Wakristo wanahodhi 83% za fursa katika nchi hii kwa hila na ubaguzi.

Ushahidi tunao.

Mohamed

Hatutachagua mtu kwa sababu ya dini yake.... Hata kama wakristo wangekuwa 99%, ungetaka tuwaweke watu kwa sababu ya uislamu wao??? Tukifika huko ndo tunaingia kwenye UDINI
 
Micro,

Allah ametukataza Waislam kudhulumu wala kukubali kudhulumiwa.

Mohamed
 
Hatutachagua mtu kwa sababu ya dini yake.... Hata kama wakristo wangekuwa 99%, ungetaka tuwaweke watu kwa sababu ya uislamu wao??? Tukifika huko ndo tunaingia kwenye UDINI

Micro,

Unanitia wasiwasi.
Jitulize na fikiri upya nchi ambayo nafasi zote za maamuzi zimeshikwa na watu wa dini moja na wa dini nyingine ni wapagazi.

Jiulize unakaribisha kitu gani?
Usifanye haraka tafuta jibu na uliza ndugu zako vilevile wakupe mawazo yao.

Kisha rudi tujadili.

Mohamed
 
Micro,

Allah ametukataza Waislam kudhulumu wala kukubali kudhulumiwa.

Mohamed

Ok Moha! Mimi inawezekana sijui dini vizuri....
Sasa kama amesema tusikubali kudhulumiwa, na amekataza tusidhulumu tutafanyaje katika hiyo hali???
Tulishadhulumiwa zamani, sasa tunyamaze tusonge mbele tukatae kudhulumiwa hiyo kuanzia sasa. (SIO KUFOCUS KWENYE KUKUMBUSHA PAST). Mfumo wa sasa tuko kila mahala, hilo halifichiki labda kama tunataka nchi iwe ya kiislamu na tujae peke yetu. Mambo taratibu sheikh..., tusomeshe watoto wakacompete. Na tuwafundishe WASIWE WADINI
 
Nafasi zipi za maamuzi zaidi tunazitaka???????? Urais? Umakamu? Wizara zipi kubwa kubwa?? Mbona karibu zote tunazo sisi??? WHAT ARE WE BLAMING EXACTLY??? Nani amepewa nafasi kwa sababu ya ukristu wake?? Tumweke wazi kama tulivyoweka wazi historia. Na tuseme ni muislamu gani alinyimwa hiyo nafasi kwa sababu ya uislamu wake....
 
Jasusi,

Waislamu wengi hawapigi kura wamepoteza imani kabisa na nchi hii. Nguvu ya chadema ni cha mtoto tu kulinganisha na nguvu ya waislamu mkuu. Umejuliza ile 53% ya wapiga kura ambao hawajapiga kura ni akina nani? Hakuna wa kusikiliza madai ya waislamu nchi hii, vile vile waislamu wenyewe wamegawanyika, pia kuna tatizo la ufahamu wa umuhimu wa kupiga kura. Vyote hivyo vimechangia waislamu wengi hawapigi kura mkuu. Wanalalamika but wengi wao wamekata tamaa. Waislamu wakiungana na kuweka sauti ya pamoja hakuna chama kitashinda uchaguzi nchi hii bila ya support yao nakuhakikishia ndugu yangu.
kama uelewa wako uko hivi basi ww sio mchambuzi makini, toa sc evidence ambazo zinaonesha kuwa Mohamedians wamekata tamaa ndio maana hawapigi kura.
Angalia ndg. yangu usiwe kama wale wa KENYA waliodai wao ndiyo wengi ilipopigwa sensa wakajikuta wanazidiwa na madhehebu ya kikristo pamoja na wapagan. Asiyepiga kura sio wa klushangiliwa hata kidogo na wanazuoni kama ww kama uko kwenye orpodha ya wasomi lkn
 
mimi nadhani kubwa la kuangalia ni hoja za mhmed said kuhusu alicho andika na si kwa alichokiacha,ukweli ni kwamba hatuwezi kukimbia historia maana ndivyo ilivyo......hebu tukubali kua maeneo mengine yalikua na mchango mkubwa mno kuliko dar es salaam ktk harakati za kudai uhuru kwanini nyerere hakutumia sehemu hizo kwenda kufanya harakati hizo?..na mpaka sasa ushahidi wa kimazingira unaonyesha ni kwa namna gani jii hilo[dar es salaam]n lilikua na bado ni muhimu kwa harakati zozote za siasa na ukombozi
 
Micro,

Unanitia wasiwasi.
Jitulize na fikiri upya nchi ambayo nafasi zote za maamuzi zimeshikwa na watu wa dini moja na wa dini nyingine ni wapagazi.

Jiulize unakaribisha kitu gani?
Usifanye haraka tafuta jibu na uliza ndugu zako vilevile wakupe mawazo yao.

Kisha rudi tujadili.

Mohamed
Somalia dini moja kabila moja, hali ikoje?
Nini malengo ya kufocus kwa wazee wa Kariakoo tu, ukaacha MWANZA, TABORA, DODOMA, IRINGA KANDA ya KASkAZINI , MBEYA. note---I smell something fish is going on behind this thread
 
Ok Moha! Mimi inawezekana sijui dini vizuri....
Sasa kama amesema tusikubali kudhulumiwa, na amekataza tusidhulumu tutafanyaje katika hiyo hali???
Tulishadhulumiwa zamani, sasa tunyamaze tusonge mbele tukatae kudhulumiwa hiyo kuanzia sasa. (SIO KUFOCUS KWENYE KUKUMBUSHA PAST). Mfumo wa sasa tuko kila mahala, hilo halifichiki labda kama tunataka nchi iwe ya kiislamu na tujae peke yetu. Mambo taratibu sheikh..., tusomeshe watoto wakacompete. Na tuwafundishe WASIWE WADINI

Nafasi zipi za maamuzi zaidi tunazitaka???????? Urais? Umakamu? Wizara zipi kubwa kubwa?? Mbona karibu zote tunazo sisi??? WHAT ARE WE BLAMING EXACTLY??? Nani amepewa nafasi kwa sababu ya ukristu wake?? Tumweke wazi kama tulivyoweka wazi historia. Na tuseme ni muislamu gani alinyimwa hiyo nafasi kwa sababu ya uislamu wake....
hayo maswali akiyajibu mimi najifuta hapa JF ..zaidi ataleta porojo za kwenye kahawa tu na faiza wake..mkuu wangu ..naona umempiga jamaa kabari na hapa hatotoka atakuja na quotation ndefu ya vitabu vyake alivyoandika
 
Jasusi,

Waislamu wengi hawapigi kura wamepoteza imani kabisa na nchi hii. Nguvu ya chadema ni cha mtoto tu kulinganisha na nguvu ya waislamu mkuu. Umejuliza ile 53% ya wapiga kura ambao hawajapiga kura ni akina nani? Hakuna wa kusikiliza madai ya waislamu nchi hii, vile vile waislamu wenyewe wamegawanyika, pia kuna tatizo la ufahamu wa umuhimu wa kupiga kura. Vyote hivyo vimechangia waislamu wengi hawapigi kura mkuu. Wanalalamika but wengi wao wamekata tamaa. Waislamu wakiungana na kuweka sauti ya pamoja hakuna chama kitashinda uchaguzi nchi hii bila ya support yao nakuhakikishia ndugu yangu.
Kama ni kweli hawa waislamu ni vilaza..madrasa itakuwa imechangia sana ...angalia kwanza
1.Jakaya mrisho kikwete-rais
2.dk Shein -rais zanzibar
3.M.Bilal-makamu
4.S.Hamad-rais zanzibar
5.Lipumba -rais
sasa hawa kama wamegoma kupiga kura ..wanataka msaada gani zaidi? wanataka Mtume gani aje agombee ndio waende kupiga kura ...
kama waislamu hawasikilizwi nchini ..ni wakristo gani ambao wanamaisha mazuri ambao wanasikilizwa na serikali ya Mrisho Kikwete na Mohamed Bilal? au Riziwani anavyokula bata ni mkristo? mnataka waislamu wote muwe kama riziwani au mama salma ...mupewe magari muanze kuzunguka nchi mzima kula mabata? Nope hii kitu haipo . .. mnaamini vitu ambavyo havipo
 
Kama wakristo wangekuwj na chuki na ubaguzi jinsi waislam wanavyofikiri ,muslim wangekuwa hawana chochote katika hili taifa
 
Kama wakristo wangekuwj na chuki na ubaguzi jinsi waislam wanavyofikiri ,muslim wangekuwa hawana chochote katika hili taifa
ponit:kama kweli wakristo wangekuwa na tabia au roho ambazo wanasingiziwa an waislamu ..gap lingekuwa kubwa sana ...
 
Micro,

Allah ametukataza Waislam kudhulumu wala kukubali kudhulumiwa.

Mohamed

Sheikh Mohamed siasa na dini havishikamani hata siku moja umenukuu maneno ya Allah umetaka kuyalenga zaidi kwenye siasa hebu angalia matendo ya waislamu wenzetu yanaendana na hayo uliyosema? Waislamu na Wakristo tunadhulumiwa na mfumo wa siasa uliopo, narudia kusema mfumo huu wa siasa uliopo unalinda maslahi ya wachache; wapo mamilioni ya wakristo wanaishi maisha duni sana; ungekuwa mkweli kama ungepigania dhulma wanayotendewa watanzania.

Chama
Gongo la Mboto DSM
 
Jasusi,

Prof. Haroub yeye aliona shutuma zile lazima zipate jibu lake yeye mwenyewe Nyerere.

Sasa Nyerere mwisho aliona umuhimu wa kueleza upande wake wa kisa na akamwomba Prof. Haroub amtengenezee kamati ya kama watu sita hivi na yeye atazungumza nao maisha yake na wao wataandika.

Kamati ikaundwa chini ya Prof. Haroub lakini Nyerere maradhi yakawa yamemtopea Nyerere hakuweza kutimiza ile azma yake.

Nyerere hakuweza kunipuuza si rahisi kupuuza kitabu kile.

Hakupata mtu kusimama na Nyerere uso kwa uso na kumueleza ukweli kwa kiwango kile.

Kila aliyesoma kazi ile alitoka ndani ya kurasa zile sivyo alivyoingia.

Mohamed

Mohamed sometimes ndiyo maana kuna members humu wanakuita mwongo na wewe hukawii kughafilika. Hicho unachoongea kuhusu Prof. Haroub Othman sicho kilichomsukuma kuandika historia ya Nyerere. Hapa unadanganya just for the sake ya kutimilisha ajenda yako! Hebu soma hapo chini objectively utaelewa ni kwa nini nasema unadanganya. Najua utakuja na porojo kwamba hayo unayosema uliambiwa na yeye mwenyewe Prof.

After our meeting in Dar-es-Salaam, Haroub wrote to both of us exploring the possibility of coming to
the Nordic Africa Institute to complete an important project. His May 12 letter begins, ‘As I told you
in Dar es Salaam, Mwalimu Nyerere was reluctant until few months before he died to writing his
Memoirs.

I discussed with him this issue a number of time. By the time he was ready and asked me
to help him, it was five months before his death
. I feel his history must be written. There could be
others who could write it, and perhaps much better, but I feel I have a moral obligation to do it. It is
in this regard that I am writing to request a fellowship at your Institute so that I could develop ideas
and a program of how to go about it.

This is going to be a major exercise, involving extensive reading,
a lot of interviews, visits t many places and viewing of a lot of pictures and films. In early June, the
Nordic Africa Institute granted him one of the five African Guest Scholars positions, and Haroub was
planning to start his fellowship in Uppsala in early February 2010. This was never meant to be. Along
with Haroub’s death, so also went out of the window the biography of Julius Nyerere. This is a double
loss for Africa, for his family and friends who loved him so much.
 
Mdini ni Nyerere na Kanisa Katoliki waliowahujumu Waislam.

Ushahidi wote tumeuweka hapa ukumbini kwa wote kuuona.

Ikiwa Kanisa Katoliki linabisha watujibu basi au lije na ushahidi wapi Waislam walikaa na kupanga mipango dhidi ya Ukristo.

Wakati wa propaganda na "niceities" umepita sasa tuambiane kweli tuiepushe nchi yetu na janga linalotunyemelea.

Mohamed

Hapana. Hapa nitapingana na wewe mpaka mwisho wa maisha yangu. Nyerere hakuwa mdini. Nyerere alikuwa nationalist. Tofauti zake na Takadir, tofauti zake na Zuberi Mtemvu zilihusu aina ya Tanganyika tunayoitaka. Takadir alitaka Tanganyika inayoongozwa na Waislamu au inayohudumia maslahi ya Waislamu. Mtemvu alitaka Tanganyika itakayohudumia Waafrika weusi na kuangalia ni wapi walikotoka. Nyerere alijua kuna Watanganyika/Watanzania zaidi ya Waislamu. Alipigania Tanganyika hiyo na alifanikiwa kuipata na sisi tuliokuja baada yake tutaitetea Tanganyika/Tanzania hiyo kwa nguvu zetu zote. Kwa sababu wewe unatizama kila kitu kupitia miwani ya kidini unaona kuwa Nyerere alikuwa mdini. Hapana. He was an African nationalist. Udini unao wewe.
 
Mohamed sometimes ndiyo maana kuna members humu wanakuita mwongo na wewe hukawii kughafilika. Hicho unachoongea kuhusu Prof. Haroub Othman sicho kilichomsukuma kuandika historia ya Nyerere. Hapa unadanganya just for the sake ya kutimilisha ajenda yako! Hebu soma hapo chini objectively utaelewa ni kwa nini nasema unadanganya. Najua utakuja na porojo kwamba hayo unayosema uliambiwa na yeye mwenyewe Prof.
Nyambala,
Hapa umevunja mzizi wa fitna!
 
Nyambala,
Hapa umevunja mzizi wa fitna!

Na kwa nyongeza tu Mohamed usome na hapa, sasa sijui na hao wengine walisukumwa na kutaka kuona Mwalimu anajibu shutuma za Mohamed Said?

ank7wp.jpg
 
Back
Top Bottom