Historia ya Uhuru isimuliwavyo na Mohammed Said yakosolewa

WC,

Namshukuru Allah sijabezwa ila nilitiwa katika jopo la Dictionary of African Biographies (DAB) kama mtafiti huu ni mradi wa Oxford University Press, New York.

Google hiyo DAB utapata habari zake kamili.

Waingereza wakanitia katika project nyingine ya kuandika kitabu cha historia kwa shule za msingi ili watoto wajifunze Kiingereza na historia ya nchi yao kwa pamoja.

Nimeandika kitabu "Torch on Kilimanjaro" kimechapwa na Oxford University Press, Nairobi.

Oxford Nairobi walifurahishwa na kazi hii wakanitia katika African Anthology kitabu kilichochangiwa na wandishi wengi kutoka Afrika.

Tanzania nasi tumo na mimi ndiye niliyewakilisha kazi mojawapo humo.

Na mambo mengi tu ya kunitia moyo kuwa kazi zangu ni za kisomi.

Nadhani tumefahamiana.

Lakini ukipenda kunipuuza hiyi ni khiyari yako ila ukiwa unataka kujua historia ya kweli, ahlan wasaalan.
Nilichonacho ni amana toka kwa Allah SW na mwenyewe ukijataka amana yako uadilifu ni mie kukukabidhi na hii ndiyo kazi niifanyayo humu JF.

Kuelimisha.

Mohamed

Hicho kitabu cha kurasa 33 cha Wanafunzi wa darasa la 4 kilichojaa mapicha comes across as an effort in simple regurtitation of common historical facts na sioni ni cha kujivunia kama "msomi". Vinginevyo hicho kijitabu ni mfano mzuri wa maandishi yako mengine ambayo ni pure narrations derived from dubious, prejudiced sources and devoid of acceptable scholarly standards like critical thinking, objectivity, impartiality, reflectivity, etc
 
Ningependa sana kuifahamu historia ya Cecil Matola, Myao ambaye alikuwa mwalimu na President wa AA na TAA hadi alipokufa mwaka 1931...nani mwenye habari zake?
 
Mkuu Mkandara ,Mwalimu Cecil Matola alikuwa rais wa kwanza wa TAA kuna mahali nilisoma nadhani alipata elimu yake Kenya pia aliwahi kufanya kazi huku Kenya sijui kwanini Mzee Said Mohamed hakutaka kumzungumzia.

Kwanza hilo neno (nililokuwekea nyekundu hapo juu) umelikosea, usahihi ni "regurgitation".

Halafu naomba basi tuoneshe hizo "dubious, prejudiced sources" ili sisi tuzifaham, ukishindwa ujuwe inakurudia wewe.

Ukimaliza hapo utupe wewe (acceptable) "acceptable scholarly standards like critical thinking, objectivity, impartiality, reflectivity," ili tulinganishe.

Ya mwisho ni hii "etc.", Mwalim aliyenifundisha somo la Kiingereza aliniambia ukiona mtu anaandika na kuishia na "etc." ujuwe kaishiwa na maneno, Jee, ni kweli umeishiwa na maneno? au ulikuwa unamaanisha nini?
 
Kwa sababu hakuwa Muislamu wa Gerezani au mwenye asili ya Kimanyema na Kizulu.
 
Kwanza hilo neno (nililokuwekea nyekundu hapo juu) umelikosea, usahihi ni "regurgitation".

Halafu naomba basi tuoneshe hizo "dubious, prejudiced sources" ili sisi tuzifaham, ukishindwa ujuwe inakurudia wewe.

Ukimaliza hapo utupe wewe (acceptable) "acceptable scholarly standards like critical thinking, objectivity, impartiality, reflectivity," ili tulinganishe.

Ya mwisho ni hii "etc.", Mwalim aliyenifundisha somo la Kiingereza aliniambia ukiona mtu anaandika na kuishia na "etc." ujuwe kaishiwa na maneno, Jee, ni kweli umeishiwa na maneno? au ulikuwa unamaanisha nini?

Nafikiri ameishiwa..
 
Wapi nimekosea spelling ya "regurtitation"? Mtu kuandika kakitabu ka darasa la 4 kenye kurasa 33 na mapicha kibao ndiyo cha kujivunia humu? Simulizi za Mohamed Said hazina sifa za Kisomi nilizotaja.
 
Msomi, hakuna hilo neno kwenye nyekundu, usahihi wake ni "regurgitation".

Naona hujajibu post yangu, vipi?
 
Hicho kitabu cha kurasa 33 cha Wanafunzi wa darasa la 4 kilichojaa mapicha comes across as an effort in simple regurtitation of common historical facts na sioni ni cha kujivunia kama "msomi". Vinginevyo hicho kijitabu ni mfano mzuri wa maandishi yako mengine ambayo ni pure narrations derived from dubious, prejudiced sources and devoid of acceptable scholarly standards like critical thinking, objectivity, impartiality, reflectivity, etc

Ndjabu,

Hapana kitabu hicho "Torch on Kilimanjaro" si katika kazi zangu ninazojivunia. Kitabu hicho niliombwa niandike kuitoa Tanzania kimasomaso kwa sababu huo mradi ulikuwa ni kwa ajili ya lugha ya Kiingereza kwa shule za msingi na kulitakiwa kuwe na vitabu kutoka Afrika ya Mashariki nzima.

Mpaka wakati Oxford Univeristy Press wanaifuata mimi tayari waandishi kutoka Afrika ya Mashariki walikuwa weshaandika vitabu 14 na katika hao hakuna hata mmoja kutoka Tanzania ndipo waliponiomba niandike kitabu kwa ajili ya shule za msingi za Tanzania.
Ndipo nilipoandika kitabu hicho. Katika orodha ya mradi ule kitabu changu ni cha 15. Nakuwekea hapa baadhi ya kazi zangu:

BOOKS

1. TheLife and Times of Abdulwahid Sykes 1924 –1968 The Untold Story of the MuslimStruggle against British Colonialism in Tanganyika,Minerva Press London, 1998 translated into Kiswahili as Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes 1924-1968 Historia Iliyofichwa Kuhusu Harakati zaWaislam Dhidi ya Ukoloni wa Waingereza, Phoenix Publishers, Nairobi, 2002.2. Torch on Kilimanjaro, Oxford University Press, Nairobi 20063. Contributing author AfricanAnthology, The Mermaid of Msambweni,Oxford University Press, 2008 Nairobi 4. Uamuzi wa Busara, Abantu Publications, Dar es Salaam, 2009
5. BrokenDreams, Phoenix Publishers, Nairobi, The Life of Ally KleistSykes (Forthcoming)

PART OFRESEARCH PAPERS/ARTICLES

1. In Praise of Ancestors (1987) Africa Events(London).
2. Abdulwahid Sykes: Founder of Political Movement(1988) Africa Events (London).3. Islam and Politics in Tanzania (1989) Al Haq International (Karachi)
4. The Plight of Tanzanian Muslim (1993) Change (Dar es Salaam).
5. Tanzania - The "Secular" UnsecularState (1995)Change (Dar es Salaam).
6. The Question of Muslim Stagnation in Education in Tanzania - A MuslimRiddle (Paper presented at theConference of the Global World of the Swahili InterculturalDialogue on the Indian Ocean Zanzibar, February 20 - 23, 2003).
7. IslamicEducation and Intellectualism in Eastern Africa ‘Themes from the Pulpit inTanganyika (Tanzania Mainland) 1800 – 2000’(Paper presented at InternationalSymposium on Islamic Civilisation in Eastern Africa Kampala, Uganda organisedby the Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture(IRCICA), Istanbul and the Islamic University in Uganda, Mbale December 15[SUP]th[/SUP] – 17[SUP]th[/SUP] 2003).
8. Sheikh Hassanbin Ameir - The Moving Spirit of Muslim Emancipation in Tanganyika (1950 –1968) (Paper presented at Youth CampOrganised by Zanzibar University, World Assembly of Muslim Youth (WAMY) andTanzania Muslim Students Association (TAMSA) 27[SUP]th[/SUP] February – 4[SUP]th[/SUP]March 2004).
9. Islamic Movement and the Christian Lobby in Tanzania - the Experience ofthe late Prof. Kighoma Ali Malima (1938 – 1995) (PaperPresented to Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) Sokoine University ofAgriculture (SUA) Morogoro 11[SUP]th[/SUP]April 2004).
10. Terrorism in East Africathe Tanzanian Experience (Paper Presented at the Conference on Islam, Terrorism and AfricanDevelopment University of Ibadan, Nigeria 8[SUP]th[/SUP] - 10th February 2006).
11. The Legacy of Sheikh AhmedDeedat (Paper Presentedat International Symposium on Islamic Civilisation in Southern Africa,University of Johannesburg 1 - 3 September, 2006 (the paper was also presented atIslamic Propagation Centre International, Durban).
12. Speaker: ChristianHegemony and the Rise of Muslim Militancy in Tanzania, University of Iowa,A Celebration of East Africa Conference organised by African Studies Programand the US Department of Education through the Undergraduate StudiesInternational and Foreign Language UISFL University of Iowa 22/26 April 2011.
13. Speaker: Islamand Politics in Tanzania Half a Century Later, Northwestern University,Evanston, Illinois 11[SUP]th[/SUP] April, 2011.
14. Speaker: “Erecters of Milestones and Builders ofMonuments in Tanganyika’s History,” Muslim University of Mororgoro, 26 May 2011
AWARDS
Awarded Certificate ofAppreciation by United States Information Services (USIS) for research intopolitical history of Tanganyika and made Member Library of Congress,Washington, DC.

Mohamed
 
Mkuu Mkandara ,Mwalimu Cecil Matola alikuwa rais wa kwanza wa TAA kuna mahali nilisoma nadhani alipata elimu yake Kenya pia aliwahi kufanya kazi huku Kenya sijui kwanini Mzee Said Mohamed hakutaka kumzungumzia.
Najua sana nimesoma tu habari zilizoandikwa kwa ufupi lakini ningependa sana kuelewa historia ya maisha yake kama tulivyoisoma ya kina Kreist na Abdul Wahid toka kwa Mohammed Said. Nachopingana na Mohammed ni matumizi ya dini za wahusika kwa sababu siamini kabisa kwamba wale wakristu waliojihusisha na harakati za Uhuru walikuwa wawakilishi wa kanisa na hakuna mahala wamejulishwa kama wawakilishi wa kanisa na kupewa sifa za kikanisa..Kama ingekuwa hivyo tusingepata hata Uhuru wetu..
 
Wapi nimekosea spelling ya "regurtitation"? Mtu kuandika kakitabu ka darasa la 4 kenye kurasa 33 na mapicha kibao ndiyo cha kujivunia humu? Simulizi za Mohamed Said hazina sifa za Kisomi nilizotaja.

Ndjabu Da Dube,

Nimekuwekea vitabu vyangu vingine na "paper" naomba kupata majibu. Ila sijaweka zile mathalan napita tu katika miji mingi tu duniani jamaa zangu wakijua nipo mjini wananiita katika "majlis" nazungumza.

Naamini nikikuwekea miji hii hapa ndiyo nitakufukuza kabisa utasema, "Hakika mtu huyu kafuzu kwa uongo." Ilimchukua "Immigration Officer" mmoja zaidi ya saa moja kupekua pasi yangu na kujiridhisha kuwa nilikuwa msafiri wa kawaida tu napita na safari zangu.

Kanambia watu hawasafiri namna hii. Hiyo ni zaidi ya miaka 25 iliyopita na nilikuwa bado mtoto sana. Kitabu cha maulid kila mtu anataka kunisoma.

Mohamed

Mohamed
 
Ndugu zangu, nawaageni katika mnakasha huu kwa kuwashauri msome kitabu "The Cross versus The Crescent" Religion and Politics in Tanzania from the 1880s to the 1990s. Kimeandikwa na Lawrence E.Y. Mbogoni na kimechapishwa na Mkuki na Nyota Publishers. Mohamed hana monopoly ya ukweli kwenye historia ya Ukoloni, Ukristo na Uislamu nchini Tanzania. Na naongezea tu, it is more rational and educational. It has been a good debate and I believe we will achieve a peaceful Tanzania where no one is judged by the colour of his skin or the faith of his belief.
 
Najua sana nimesoma tu habari zilizoandikwa kwa ufupi lakini ningependa sana kuelewa historia ya maisha yake kama tulivyoisoma ya kina Kreist na Abdul Wahid toka kwa Mohammed Said. Nachopingana na Mohammed ni matumizi ya dini za wahusika kwa sababu siamini kabisa kwamba wale wakristu waliojihusisha na harakati za Uhuru walikuwa wawakilishi wa kanisa na hakuna mahala wamejulishwa kama wawakilishi wa kanisa na kupewa sifa za kikanisa..Kama ingekuwa hivyo tusingepata hata Uhuru wetu..

1) Naamini kwa Kreist umemaanisha kina Kleist kama ndio sawa basi huyo Abdul Wahid ni Kleist pia.

2) Waliojulishwa kama wawakilishi wa kanisa, maarufu sana ni Nyerere na ndio maana kwa sasa kawa mwenye "heri" na anaelekea kwenye "utakatifu", kwa kulitumikia kanisa.
 
Hayawi, hayawi, sasa yamekuwa ! Huko nyuma nilisema;
FaizaFoxy ni mfano halisi wa hali inayotubidi sisi sote wapenda amani wa nchi hii bila kujali dini wala kabila tupambane nayo bila kurudi nyuma. FaizaFoxy represents a symbol, an institution and a state sponsored legion which has all state resources at its disposal. FaizaFoxy hahitaji kulala, kula hata kwenda uani, anachohitaji ni kubadilisha umbo tu kidogo na naona sasa anatishia hata kuwaumbua kwa majina wachangiaji.........
FaizaFoxy anaingia humu kwa umbo mbali mbali;
Tanzania hakuna shaka tumeonewa sana, lakini tumeonewa tu, kwa weakness zetu. Mbona Ithnasharia hawaonewi, nyie pigeni kelele wao wanapeta, mbona mabohora hawaonewi, nyie pigeni kelele wao wanapeta, mbona mbaniani hawaobewi? nyie pigeni kelele wao wanapeta. Uislaam si unafik. Mpaka leo unafik wa Waislaam upo Kariakoo, kuna Masjid Manyema, kuna Masjid Wamanga (ibadhi) kuna Masjid Makonde. Mbona sijaona Kanisa Makonde wala Kanisa Sukuma? kama si unafik ni nini?

Nyerere ni A+ student, no matter katokea wapi, alikuwa ni msomi na anakipaji na mwerevu. Huo ni ukweli usiopingika. Capacity yake ndio ilimfanye awe wa maana hata alipokuja Dar. Na hiyo capacity yake ndio ilimuwezesha kuona weakness za wenyeji wake. Na ndio aliitumia na kuwazidi ujanja, si kwa kupenda bali kwa makusudi kabisa, "hivi hawa wanafik" tukiwaacha watawale si wataleta balaa. Na ndivyo ilivyokuwa na ndivyo ilivyo mpaka sasa.

Sikiliza niwaambie, Waislaam ni wanafik na ndio maana hawaendelei wala kunufaika, awe Rais Muislaam au Mkristo au hana dini. Unafik wa Waislaam unawapelekea kutokuwa na mshikamano kama wanavyofundishwa. Hawana maana hata kidogo.
Na kuhusu makala ya Mohamed Said kabla hajaudhika;
Sheikh Mohamed shusha darsa, mnakasha na uendelee, kumbuka hii ni historia nyingine unaiweka humu, hakuna muandishi yoyote Mtanzania wa historia aliyokwisha fanya haya unayoyafanya wewe hapa JF. Washukuriwe JF kwa kuendelea kuuweka huu mjadala, kwani nakumbuka wameshaifunga mingine ghafla kabla ya huu.

Tupeleke kwenye bahari ya historia ya Tanganyika na nnajuwa kuna mengi sana toka na kabla hata ya Vasco Da Gama kuja kwake na kubaki baharini (Vasco Da Gama inasemekana hajagusa ardhi ya nchii hii alibaki jahazini) Iwache hii nyuzi ndio iwe chachu ya kuijuwa nchi yetu, iwache hii nyuzi ndio iwe chachu kuujuwa mchango wa Waislaam na wasio Waislaam katika nchi hii, kila mwenye lake alishushe hapa, lenye maana tutalipokea, lisilo na maana tutaliacha kama lilivyo, kila mmoja wetu akitoka hapa awe anaweza japo kwa uchache kuiongelea historia ya nchi hii.

Ni wengi leo wamemjuwa Abdul Wahid Sykes, Mshume Kiyate, kina Plantan, tumejuwa kuwa chuo kikuu cha kwanza Tanzania uwanja kautoa Rupia, tumejuwa kuwa Kimweri na Mkwawa walikuwa Waislaam (unless proven otherwise), tumemjuwa Sisso ni nani (ni bahati kubwa kuwa nnamuelewa Mzee Rashid Sisso kwani akija kwetu, sikutegemea kuna siku ntamuona kaandikwa kwa sifa njema). Ni mengi mengi sana tunayofaidika nayo, usitukoseshe darsa Sheikh Mohamed, na nimeanza kukopi zile posts nnazoona zina umuhimu kwa upande wangu kwani wengine humu wameshaonyesha mchezo mbaya wa kuzifuta posts, wanapobanwa.
Sasa hebu shuhudieni anapoudhika FaizaFoxy na kuanza kushusha nondo;
Sasa inanifanya niamini maneno ya Zomba (my cousin) ameni PM na kuniambia hakuna cha Mohamed Said wala Mwanakijiji wote hao ni system na wanawacheza shere. Ahsante Zomba kwa kunitanabahisha hayo, sasa sitopoteza usingizi wangu. Na nimeona ukweli.

Mohamed Said, nimekutetea sana na ni mwandishi mzuri sana, lakini kweli hukuwa unatetea Uislaam wala Waislaam, unatetea na kuandika Historia ya wazee wako, na hata Uislaam unapoandikwa ndivyo sivyo hukuweza hata kutanabahi na japo kuuweka msimamo wako Kiislaam na wala kusema kweli hapo kuna kosa.

Nilichokitathmini, ni kuwa unataka ieleweke kuwa Wamanyema na Wazulu ndio waliokuja kuwafungua macho wenyeji na wenyeji wote ni hamnapo hakunapo.

Naamini, Waislaam mlichokipanda ndio mnachokivuna. Mmeshindwa hata kuitetea aya ya Qur'an ilivyobandikwa ndivyo sivyo, mtaweza kuutetea Uislaam? Mtabaki kutetea wazee wenu, alifanya hivi walikuwa hivi wakawa vile, na hao wazee wenu kwa unafik wao ndio wakawapa msemo na nguvu watu kama kina Nyerere. Kawawa na Songambele na Mustafa Nyang'anyi walitokea wapi? Uislaam kwa jina tu hautoshi na vitendo na mshikamano wa Waislaam ndio unaoonesha Uislaam wa kweli.

Leo mmeshindwa kutetea aya ya Qur'an inayosimamisha Uislaam, mtaweza kuwateteta Umma wa Kiislam. Wanafik wakubwa.
Baada ya kuwashikisha adabu aliowaita wasaliti na wanafik na wao kumpigia magoti akaja Mohamed Said;
Mwanakijiji,
Huenda usiwe unajua UTUKUFU WA QUR'AN na ndiyo maana unashindwa kufahamu kwa nini ni lazima utake radhi.
Sote Waislam ambao tulighafilika na kufanya uchunguzi tumeingiwa na simanzi baada ya FF kutuzindua.
Taka radhi kwa hisani yako kwani kwa kufanya hivyo utakuwa umefanya kitu cha uungwana kupita kiasi.
Hili si suala la nani kashinda nani kashindwa.
Mohamed
Na mimi Mag3 niliwahi kusema hivi huko nyuma;
Mohamed Said represents a tool and a very convenient tool kwa sababu ni rahisi kuteka sehemu ya jamii kwa kutumia udini. Fikiria mtu anakubaliana na hoja kuwa serikali inayoongozwa na Waislaam inawadhulumu Waislaam hao hao kwa sababu inaongozwa kwa mfumoKristo ! Huu Mfumo Kristo unaowapa nafasi viongozi wote wa juu serikalini kuwa Waislaam kwa nia ya kuukandamiza Uislaam na kudhulumu Waislaam...!..kwa mtu asiye na upungufu wa akili, mambo mengine ni vigumu kuyaamini. Halafu "scholar" anayetoa madai haya eti sasa ameamua kuandika kitabu cha historia na rejea kuu ikiwa ni masimulizi ya wazee wake ambao kwa madai yao ndio waliopigania uhuru wa Tanganyika, upuuzi mtupu.
Kwa mgongo wa dini, uwongo unaweza kudaiwa kuwa ni kweli na wako watu wakaamini bila tafakari yoyote.
Kwa mgongo wa dini, simulizi zaweza kudaiwa ndio historia ya kweli na wako watu wakazipokea bila maswali yoyote.
Kwa mgongoi wa dini, hadithi za Gerezani zaweza kudaiwa ndio historia ya kweli ya Tanganyika na akina Tumaini wengi tu wakanasa.
Hiyo ndiyo hatari ya dini kama inavyotumiwa na FaizaFoxy kama navyoeleza yeye mwenyewe hapa chini;
Kikwete anajaribu sana hata mimi namsifu kwa hilo, vita anayopigwa na Kanisa kwa sasa si ndogo, anastahili kila sifa.
Hapa tunatakiwa tuamini kuwa Kikwete anapigwa vita kwa sababu ni Muislaam. Makala yote haya ya kuandikwa kwa historia mpya, kusahauliwa kwa Manyema na Wazulu na mengine yote ni porojo tu. Ukweli kuwa CCM inaweza ikawekwa benchi mwaka 2015, unawanyima watu (kama FaizaFoxy ?) usingizi kwani CCM ikibwagwa kwa sababu yoyote ile, kuna watu watatamani waikimbie nchi. Hao watu ni Waislaam, Wakristo na Wasiokuwa na dini ambao wametumia nafasi zao katika uongozi wa nchi kujineemesha huku wananchi walio wengi wakitekeseka. Watatumia dini, ukabila, jinsia, rangi na kila aina ya ubaguzi alioupiga vita Mwalimu Nyerere ili wabaki madarakani lakini hawataweza kupambana na nguvu ya Umma uliowachoka. Watatunyanyasa, watatufunga na kama hayo hayatatosha watatumia risasi kung'ang'ania madarakani lakini hata hilo halitawasaidia, the writing is on the wall. A luta continua !
 
makala za Mo Said ni kama zile hadithi za vijarida vya Huba vinavouzwa pale viunga vya buguruni chama.

ukiona makala imejaa maneno kama 'kisa' jua hizo ni hadithi za abunuwasi ambazo mtu huhadithiwa tu na kuanza kujinasibu kuwa anajua.

Jerusalem,

Vipi kuhusu vitabu vyake na papers?

Mohamed
 
Hayawi, hayawi, sasa yamekuwa ! Huko nyuma nilisema;

FaizaFoxy anaingia humu kwa umbo mbali mbali;

Na kuhusu makala ya Mohamed Said kabla hajaudhika;

Sasa hebu shuhudieni anapoudhika FaizaFoxy na kuanza kushusha nondo;

Baada ya kuwashikisha adabu aliowaita wasaliti na wao kumpigia magoti akaja Mohamed Said;

Na mimi Mag niliwahi kusema hivi huko nyuma;

Kwa mgongo wa dini, uwongo unaweza kudaiwa kuwa ni kweli na wako watu wakaamini bila tafakari yoyote.
Kwa mgongo wa dini, simulizi zaweza kudaiwa ndio historia ya kweli na wako watu wakazipokea bila maswali yoyote.
Kwa mgongoi wa dini, hadithi za Gerezani zaweza kudaiwa ndio historia ya kweli ya Tanganyika na akina Tumaini wengi tu wakanasa.
Hiyo ndiyo hatari ya dini kama inavyotumiwa na FaizaFoxy kama navyoeleza yeye mwenyewe hapa chini;

Hapa tunatakiwa tuamini kuwa Kikwete anapigwa vita kwa sababu ni Muislaam. Makala yote haya ya kuandikwa kwa historia mpya, kusahauliwa kwa Manyema na Wazulu na mengine yote ni porojo tu. Ukweli kuwa CCM inaweza ikawekwa benchi mwaka 2015, unawanyima watu (kama FaizaFoxy ?) usingizi kwani CCM ikibwagwa kwa sababu yoyote ile, kuna watu watatamani waikimbie nchi. Hao watu ni Waislaam, Wakristo na Wasiokuwa na dini ambao wametumia nafasi zao katika uongozi wa nchi kujineemesha huku wananchi walio wengi wakitekeseka. Watatumia dini, ukabila, jinsia, rangi na kila aina ya ubaguzi alioupiga vita Mwalimu Nyerere ili wabaki madarakani lakini hawataweza kupambana na nguvu ya Umma uliowachoka. Watatunyanyasa, watatufunga na kama hayo hayatatosha watatumia risasi kung'ang'ania madarakani lakini hata hilo halitawasaidia, the writing is on the wall. A luta continua !

Mag3, nimesema hakuna ubishi kuhusu unafik wa Waislaam, hakuna, hakuna, hakuna. Niling'aka kama ulivyoonesha na hili waling'aka pia kina Sheikh Takadiri ndio, kwa kung'aka kwao kukawapelekea kuwa adui wa Nyerere. Waislaam wanafik wapo, kwani BAKWATA ilianzishwa na kina nani? Kawawa alikuwa nani? Songambele si ndio mwanae sijui mjukuu wake aliyekuja kuchukuwa "framed" majina ya wapiganaji wa majimaji kwa msaada wa nani kama si Songambele mwenyewe?.

Hayo hayana ubishi na pia nimesema wenzetu wanafik zaidi, kama Nyerere alivyokuwa mnafik na alivyoweza kuwatumia wanafik kati ya hao hao Waislaam na kuwasahau waliompokea.

Niling'aka na niling'aka unajuwa ni kwanini, nilipoona aaah, hawa Waislaam wanaendelea kukaa kimya wakati Qur'an imebandikwa ndivyo sivyo, mnhhh, mnhhh, haiwezekani, wacha niwarudishe tunapotakiwa tuwepo kwanza kabla ya yote, ni huko kunakotuunganisha Waislaam nako ni kwenye Qur'an, baada ya Mwanakijiji kuona aaahhhh, kumbe hawa ni wamoja na katubu na akaingia "mitini" umemuona tena humu? Huo ndio Uislaam, hakuna kuoneana haya wala hakuna kukaliana kimya ukiona mwenzako ana makosa.
 
Ndugu zangu, nawaageni katika mnakasha huu kwa kuwashauri msome kitabu "The Cross versus The Crescent" Religion and Politics in Tanzania from the 1880s to the 1990s. Kimeandikwa na Lawrence E.Y. Mbogoni na kimechapishwa na Mkuki na Nyota Publishers. Mohamed hana monopoly ya ukweli kwenye historia ya Ukoloni, Ukristo na Uislamu nchini Tanzania. Na naongezea tu, it is more rational and educational. It has been a good debate and I believe we will achieve a peaceful Tanzania where no one is judged by the colour of his skin or the faith of his belief.

Jasusi,

Bon Voyage.

Lakini kabla hujaondoka mimi nakuomba unijibu kitu kimoja.

Vipi kitabu cha Hamza Njozi "Mwembecha Killings" kipigwe marufuku lakini cha Mbogoni "The Cross Versus the Crescent" kiruhusiwe kusomwa?

Mohamed
 
Hayawi, hayawi, sasa yamekuwa ! Huko nyuma nilisema;

FaizaFoxy anaingia humu kwa umbo mbali mbali;

Na kuhusu makala ya Mohamed Said kabla hajaudhika;

Sasa hebu shuhudieni anapoudhika FaizaFoxy na kuanza kushusha nondo;

Baada ya kuwashikisha adabu aliowaita wasaliti na wanafik na wao kumpigia magoti akaja Mohamed Said;

Na mimi Mag3 niliwahi kusema hivi huko nyuma;

Kwa mgongo wa dini, uwongo unaweza kudaiwa kuwa ni kweli na wako watu wakaamini bila tafakari yoyote.
Kwa mgongo wa dini, simulizi zaweza kudaiwa ndio historia ya kweli na wako watu wakazipokea bila maswali yoyote.
Kwa mgongoi wa dini, hadithi za Gerezani zaweza kudaiwa ndio historia ya kweli ya Tanganyika na akina Tumaini wengi tu wakanasa.
Hiyo ndiyo hatari ya dini kama inavyotumiwa na FaizaFoxy kama navyoeleza yeye mwenyewe hapa chini;

Hapa tunatakiwa tuamini kuwa Kikwete anapigwa vita kwa sababu ni Muislaam. Makala yote haya ya kuandikwa kwa historia mpya, kusahauliwa kwa Manyema na Wazulu na mengine yote ni porojo tu. Ukweli kuwa CCM inaweza ikawekwa benchi mwaka 2015, unawanyima watu (kama FaizaFoxy ?) usingizi kwani CCM ikibwagwa kwa sababu yoyote ile, kuna watu watatamani waikimbie nchi. Hao watu ni Waislaam, Wakristo na Wasiokuwa na dini ambao wametumia nafasi zao katika uongozi wa nchi kujineemesha huku wananchi walio wengi wakitekeseka. Watatumia dini, ukabila, jinsia, rangi na kila aina ya ubaguzi alioupiga vita Mwalimu Nyerere ili wabaki madarakani lakini hawataweza kupambana na nguvu ya Umma uliowachoka. Watatunyanyasa, watatufunga na kama hayo hayatatosha watatumia risasi kung'ang'ania madarakani lakini hata hilo halitawasaidia, the writing is on the wall. A luta continua !

Hivi wewe mbona hueleweki...mkuu

Hayo uliyoandika yana dispute vipi historia ya mohammed said

Nyerere hatoki hata kama unatetea kwasababu ya udini wako kwenye shutuma alizoonyesha mohammed

Kwasababu hizo ni facts na documents zipo wazi...

Sasa kuanza kuwa pinpoint member wa JF na hoja hizo..

Nami nikianza kukufuatilia wewe nita-conclude pia wewe unawakilisha kikundi cha wakristo (kanisa) chenye nia ya kuhodhi madaraka na mali ya serikali..

Sidhani kama mnakasha unaenda hivyo "ondoa prejudices zako kuhusu member wa JF" utakuwa na raha na mjadala

Lakini kama una agenda yako ya kutetea kanisa/nyerere/wakristo hata kama wameharibu historia ya nchi kwa makusudi na udini wao then go ahead tutakula nawe sahani moja..
 
Jasusi,

Bon Voyage.

Lakini kabla hujaondoka mimi nakuomba unijibu kitu kimoja.

Vipi kitabu cha Hamza Njozi "Mwembecha Killings" kipigwe marufuku lakini cha Mbogoni "The Cross Versus the Crescent" kiruhusiwe kusomwa?

Mohamed

Sheikh haondoki huyo alishaaga mara nyingi hapa..

Naomba unisaidii kama vitabu vyako vinaweza kusambazwa katika library za misikiti na shule za kiislamu Tanzania

Je mipango imefanyika?
 
makala za Mo Said ni kama zile hadithi za vijarida vya Huba vinavouzwa pale viunga vya buguruni chama.

ukiona makala imejaa maneno kama 'kisa' jua hizo ni hadithi za abunuwasi ambazo mtu huhadithiwa tu na kuanza kujinasibu kuwa anajua.

Akutukanae hakuchagulii tusi na mdomo haumkatai bwana wake. Wenzako wengine wanawakataza wanafunzi wao kusoma kitabu cha Abdulwahid Sykes na kufanya rejea. Lakini mambo ndiyo haya:

BOOKS
1. TheLife and Times of Abdulwahid Sykes 1924 –1968 The Untold Story of the MuslimStruggle against British Colonialism in Tanganyika,Minerva Press London, 1998 translated into Kiswahili as Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes 1924-1968 Historia Iliyofichwa Kuhusu Harakati zaWaislam Dhidi ya Ukoloni wa Waingereza, Phoenix Publishers, Nairobi, 2002.2. Torch on Kilimanjaro, Oxford University Press, Nairobi 20063. Contributing author AfricanAnthology, The Mermaid of Msambweni,Oxford University Press, 2008 Nairobi 4. Uamuzi wa Busara, Abantu Publications, Dar es Salaam, 2009
5. BrokenDreams, Phoenix Publishers, Nairobi, The Life of Ally KleistSykes (Forthcoming)

PART OFRESEARCH PAPERS/ARTICLES

1. In Praise of Ancestors (1987) Africa Events(London).
2. Abdulwahid Sykes: Founder of Political Movement(1988) Africa Events (London).3. Islam and Politics in Tanzania (1989) Al Haq International (Karachi)
4. The Plight of Tanzanian Muslim (1993) Change (Dar es Salaam).
5. Tanzania - The "Secular" UnsecularState (1995)Change (Dar es Salaam).
6. The Question of Muslim Stagnation in Education in Tanzania - A MuslimRiddle (Paper presented at theConference of the Global World of the Swahili InterculturalDialogue on the Indian Ocean Zanzibar, February 20 - 23, 2003).
7. IslamicEducation and Intellectualism in Eastern Africa ‘Themes from the Pulpit inTanganyika (Tanzania Mainland) 1800 – 2000'(Paper presented at InternationalSymposium on Islamic Civilisation in Eastern Africa Kampala, Uganda organisedby the Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture(IRCICA), Istanbul and the Islamic University in Uganda, Mbale December 15[SUP]th[/SUP] – 17[SUP]th[/SUP] 2003).
8. Sheikh Hassanbin Ameir - The Moving Spirit of Muslim Emancipation in Tanganyika (1950 –1968) (Paper presented at Youth CampOrganised by Zanzibar University, World Assembly of Muslim Youth (WAMY) andTanzania Muslim Students Association (TAMSA) 27[SUP]th[/SUP] February – 4[SUP]th[/SUP]March 2004).
9. Islamic Movement and the Christian Lobby in Tanzania - the Experience ofthe late Prof. Kighoma Ali Malima (1938 – 1995) (PaperPresented to Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) Sokoine University ofAgriculture (SUA) Morogoro 11[SUP]th[/SUP]April 2004).
10. Terrorism in East Africathe Tanzanian Experience (Paper Presented at the Conference on Islam, Terrorism and AfricanDevelopment University of Ibadan, Nigeria 8[SUP]th[/SUP] - 10th February 2006).
11. The Legacy of Sheikh AhmedDeedat (Paper Presentedat International Symposium on Islamic Civilisation in Southern Africa,University of Johannesburg 1 - 3 September, 2006 (the paper was also presented atIslamic Propagation Centre International, Durban).
12. Speaker: ChristianHegemony and the Rise of Muslim Militancy in Tanzania, University of Iowa,A Celebration of East Africa Conference organised by African Studies Programand the US Department of Education through the Undergraduate StudiesInternational and Foreign Language UISFL University of Iowa 22/26 April 2011.
13. Speaker: Islamand Politics in Tanzania Half a Century Later, Northwestern University,Evanston, Illinois 11[SUP]th[/SUP] April, 2011.
14. Speaker: "Erecters of Milestones and Builders ofMonuments in Tanganyika's History," Muslim University of Mororgoro, 26 May 2011

Back
Top Bottom