Prof Griff
JF-Expert Member
- Aug 29, 2008
- 6,772
- 5,258
WC,
Namshukuru Allah sijabezwa ila nilitiwa katika jopo la Dictionary of African Biographies (DAB) kama mtafiti huu ni mradi wa Oxford University Press, New York.
Google hiyo DAB utapata habari zake kamili.
Waingereza wakanitia katika project nyingine ya kuandika kitabu cha historia kwa shule za msingi ili watoto wajifunze Kiingereza na historia ya nchi yao kwa pamoja.
Nimeandika kitabu "Torch on Kilimanjaro" kimechapwa na Oxford University Press, Nairobi.
Oxford Nairobi walifurahishwa na kazi hii wakanitia katika African Anthology kitabu kilichochangiwa na wandishi wengi kutoka Afrika.
Tanzania nasi tumo na mimi ndiye niliyewakilisha kazi mojawapo humo.
Na mambo mengi tu ya kunitia moyo kuwa kazi zangu ni za kisomi.
Nadhani tumefahamiana.
Lakini ukipenda kunipuuza hiyi ni khiyari yako ila ukiwa unataka kujua historia ya kweli, ahlan wasaalan.
Nilichonacho ni amana toka kwa Allah SW na mwenyewe ukijataka amana yako uadilifu ni mie kukukabidhi na hii ndiyo kazi niifanyayo humu JF.
Kuelimisha.
Mohamed
Hicho kitabu cha kurasa 33 cha Wanafunzi wa darasa la 4 kilichojaa mapicha comes across as an effort in simple regurtitation of common historical facts na sioni ni cha kujivunia kama "msomi". Vinginevyo hicho kijitabu ni mfano mzuri wa maandishi yako mengine ambayo ni pure narrations derived from dubious, prejudiced sources and devoid of acceptable scholarly standards like critical thinking, objectivity, impartiality, reflectivity, etc