Historia ya Uhuru isimuliwavyo na Mohammed Said yakosolewa

Hicho kitabu cha kurasa 33 cha Wanafunzi wa darasa la 4 kilichojaa mapicha comes across as an effort in simple regurtitation of common historical facts na sioni ni cha kujivunia kama "msomi". Vinginevyo hicho kijitabu ni mfano mzuri wa maandishi yako mengine ambayo ni pure narrations derived from dubious, prejudiced sources and devoid of acceptable scholarly standards like critical thinking, objectivity, impartiality, reflectivity, etc
 
Ningependa sana kuifahamu historia ya Cecil Matola, Myao ambaye alikuwa mwalimu na President wa AA na TAA hadi alipokufa mwaka 1931...nani mwenye habari zake?
 
Mkuu Mkandara ,Mwalimu Cecil Matola alikuwa rais wa kwanza wa TAA kuna mahali nilisoma nadhani alipata elimu yake Kenya pia aliwahi kufanya kazi huku Kenya sijui kwanini Mzee Said Mohamed hakutaka kumzungumzia.

Ningependa sana kuifahamu historia ya Cecil Matola, Myao ambaye alikuwa mwalimu na President wa AA na TAA hadi alipokufa mwaka 1931...nani mwenye habari zake?
 
Kwanza hilo neno (nililokuwekea nyekundu hapo juu) umelikosea, usahihi ni "regurgitation".

Halafu naomba basi tuoneshe hizo "dubious, prejudiced sources" ili sisi tuzifaham, ukishindwa ujuwe inakurudia wewe.

Ukimaliza hapo utupe wewe (acceptable) "acceptable scholarly standards like critical thinking, objectivity, impartiality, reflectivity," ili tulinganishe.

Ya mwisho ni hii "etc.", Mwalim aliyenifundisha somo la Kiingereza aliniambia ukiona mtu anaandika na kuishia na "etc." ujuwe kaishiwa na maneno, Jee, ni kweli umeishiwa na maneno? au ulikuwa unamaanisha nini?
 
Mkuu Mkandara ,Mwalimu Cecil Matola alikuwa rais wa kwanza wa TAA kuna mahali nilisoma nadhani alipata elimu yake Kenya pia aliwahi kufanya kazi huku Kenya sijui kwanini Mzee Said Mohamed hakutaka kumzungumzia.

Kwa sababu hakuwa Muislamu wa Gerezani au mwenye asili ya Kimanyema na Kizulu.
 
Nafikiri ameishiwa..
 
Wapi nimekosea spelling ya "regurtitation"? Mtu kuandika kakitabu ka darasa la 4 kenye kurasa 33 na mapicha kibao ndiyo cha kujivunia humu? Simulizi za Mohamed Said hazina sifa za Kisomi nilizotaja.
 
Wapi nimekosea spelling ya "regurtitation"? Mtu kuandika kakitabu ka darasa la 4 kenye kurasa 33 na mapicha kibao ndiyo cha kujivunia humu? Simulizi za Mohamed Said hazina sifa za Kisomi nilizotaja.

Msomi, hakuna hilo neno kwenye nyekundu, usahihi wake ni "regurgitation".

Naona hujajibu post yangu, vipi?
 
Ndjabu,

Hapana kitabu hicho "Torch on Kilimanjaro" si katika kazi zangu ninazojivunia. Kitabu hicho niliombwa niandike kuitoa Tanzania kimasomaso kwa sababu huo mradi ulikuwa ni kwa ajili ya lugha ya Kiingereza kwa shule za msingi na kulitakiwa kuwe na vitabu kutoka Afrika ya Mashariki nzima.

Mpaka wakati Oxford Univeristy Press wanaifuata mimi tayari waandishi kutoka Afrika ya Mashariki walikuwa weshaandika vitabu 14 na katika hao hakuna hata mmoja kutoka Tanzania ndipo waliponiomba niandike kitabu kwa ajili ya shule za msingi za Tanzania.
Ndipo nilipoandika kitabu hicho. Katika orodha ya mradi ule kitabu changu ni cha 15. Nakuwekea hapa baadhi ya kazi zangu:

BOOKS

1. TheLife and Times of Abdulwahid Sykes 1924 –1968 The Untold Story of the MuslimStruggle against British Colonialism in Tanganyika,Minerva Press London, 1998 translated into Kiswahili as Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes 1924-1968 Historia Iliyofichwa Kuhusu Harakati zaWaislam Dhidi ya Ukoloni wa Waingereza, Phoenix Publishers, Nairobi, 2002.2. Torch on Kilimanjaro, Oxford University Press, Nairobi 20063. Contributing author AfricanAnthology, The Mermaid of Msambweni,Oxford University Press, 2008 Nairobi 4. Uamuzi wa Busara, Abantu Publications, Dar es Salaam, 2009
5. BrokenDreams, Phoenix Publishers, Nairobi, The Life of Ally KleistSykes (Forthcoming)

PART OFRESEARCH PAPERS/ARTICLES

1. In Praise of Ancestors (1987) Africa Events(London).
2. Abdulwahid Sykes: Founder of Political Movement(1988) Africa Events (London).3. Islam and Politics in Tanzania (1989) Al Haq International (Karachi)
4. The Plight of Tanzanian Muslim (1993) Change (Dar es Salaam).
5. Tanzania - The "Secular" UnsecularState (1995)Change (Dar es Salaam).
6. The Question of Muslim Stagnation in Education in Tanzania - A MuslimRiddle (Paper presented at theConference of the Global World of the Swahili InterculturalDialogue on the Indian Ocean Zanzibar, February 20 - 23, 2003).
7. IslamicEducation and Intellectualism in Eastern Africa ‘Themes from the Pulpit inTanganyika (Tanzania Mainland) 1800 – 2000’(Paper presented at InternationalSymposium on Islamic Civilisation in Eastern Africa Kampala, Uganda organisedby the Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture(IRCICA), Istanbul and the Islamic University in Uganda, Mbale December 15[SUP]th[/SUP] – 17[SUP]th[/SUP] 2003).
8. Sheikh Hassanbin Ameir - The Moving Spirit of Muslim Emancipation in Tanganyika (1950 –1968) (Paper presented at Youth CampOrganised by Zanzibar University, World Assembly of Muslim Youth (WAMY) andTanzania Muslim Students Association (TAMSA) 27[SUP]th[/SUP] February – 4[SUP]th[/SUP]March 2004).
9. Islamic Movement and the Christian Lobby in Tanzania - the Experience ofthe late Prof. Kighoma Ali Malima (1938 – 1995) (PaperPresented to Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) Sokoine University ofAgriculture (SUA) Morogoro 11[SUP]th[/SUP]April 2004).
10. Terrorism in East Africathe Tanzanian Experience (Paper Presented at the Conference on Islam, Terrorism and AfricanDevelopment University of Ibadan, Nigeria 8[SUP]th[/SUP] - 10th February 2006).
11. The Legacy of Sheikh AhmedDeedat (Paper Presentedat International Symposium on Islamic Civilisation in Southern Africa,University of Johannesburg 1 - 3 September, 2006 (the paper was also presented atIslamic Propagation Centre International, Durban).
12. Speaker: ChristianHegemony and the Rise of Muslim Militancy in Tanzania, University of Iowa,A Celebration of East Africa Conference organised by African Studies Programand the US Department of Education through the Undergraduate StudiesInternational and Foreign Language UISFL University of Iowa 22/26 April 2011.
13. Speaker: Islamand Politics in Tanzania Half a Century Later, Northwestern University,Evanston, Illinois 11[SUP]th[/SUP] April, 2011.
14. Speaker: “Erecters of Milestones and Builders ofMonuments in Tanganyika’s History,” Muslim University of Mororgoro, 26 May 2011
AWARDS
Awarded Certificate ofAppreciation by United States Information Services (USIS) for research intopolitical history of Tanganyika and made Member Library of Congress,Washington, DC.

Mohamed
 
Mkuu Mkandara ,Mwalimu Cecil Matola alikuwa rais wa kwanza wa TAA kuna mahali nilisoma nadhani alipata elimu yake Kenya pia aliwahi kufanya kazi huku Kenya sijui kwanini Mzee Said Mohamed hakutaka kumzungumzia.
Najua sana nimesoma tu habari zilizoandikwa kwa ufupi lakini ningependa sana kuelewa historia ya maisha yake kama tulivyoisoma ya kina Kreist na Abdul Wahid toka kwa Mohammed Said. Nachopingana na Mohammed ni matumizi ya dini za wahusika kwa sababu siamini kabisa kwamba wale wakristu waliojihusisha na harakati za Uhuru walikuwa wawakilishi wa kanisa na hakuna mahala wamejulishwa kama wawakilishi wa kanisa na kupewa sifa za kikanisa..Kama ingekuwa hivyo tusingepata hata Uhuru wetu..
 
Wapi nimekosea spelling ya "regurtitation"? Mtu kuandika kakitabu ka darasa la 4 kenye kurasa 33 na mapicha kibao ndiyo cha kujivunia humu? Simulizi za Mohamed Said hazina sifa za Kisomi nilizotaja.

Ndjabu Da Dube,

Nimekuwekea vitabu vyangu vingine na "paper" naomba kupata majibu. Ila sijaweka zile mathalan napita tu katika miji mingi tu duniani jamaa zangu wakijua nipo mjini wananiita katika "majlis" nazungumza.

Naamini nikikuwekea miji hii hapa ndiyo nitakufukuza kabisa utasema, "Hakika mtu huyu kafuzu kwa uongo." Ilimchukua "Immigration Officer" mmoja zaidi ya saa moja kupekua pasi yangu na kujiridhisha kuwa nilikuwa msafiri wa kawaida tu napita na safari zangu.

Kanambia watu hawasafiri namna hii. Hiyo ni zaidi ya miaka 25 iliyopita na nilikuwa bado mtoto sana. Kitabu cha maulid kila mtu anataka kunisoma.

Mohamed

Mohamed
 
Ndugu zangu, nawaageni katika mnakasha huu kwa kuwashauri msome kitabu "The Cross versus The Crescent" Religion and Politics in Tanzania from the 1880s to the 1990s. Kimeandikwa na Lawrence E.Y. Mbogoni na kimechapishwa na Mkuki na Nyota Publishers. Mohamed hana monopoly ya ukweli kwenye historia ya Ukoloni, Ukristo na Uislamu nchini Tanzania. Na naongezea tu, it is more rational and educational. It has been a good debate and I believe we will achieve a peaceful Tanzania where no one is judged by the colour of his skin or the faith of his belief.
 
1) Naamini kwa Kreist umemaanisha kina Kleist kama ndio sawa basi huyo Abdul Wahid ni Kleist pia.

2) Waliojulishwa kama wawakilishi wa kanisa, maarufu sana ni Nyerere na ndio maana kwa sasa kawa mwenye "heri" na anaelekea kwenye "utakatifu", kwa kulitumikia kanisa.
 
Hayawi, hayawi, sasa yamekuwa ! Huko nyuma nilisema;
FaizaFoxy anaingia humu kwa umbo mbali mbali;
Na kuhusu makala ya Mohamed Said kabla hajaudhika;
Sasa hebu shuhudieni anapoudhika FaizaFoxy na kuanza kushusha nondo;
Baada ya kuwashikisha adabu aliowaita wasaliti na wanafik na wao kumpigia magoti akaja Mohamed Said;
Na mimi Mag3 niliwahi kusema hivi huko nyuma;
Kwa mgongo wa dini, uwongo unaweza kudaiwa kuwa ni kweli na wako watu wakaamini bila tafakari yoyote.
Kwa mgongo wa dini, simulizi zaweza kudaiwa ndio historia ya kweli na wako watu wakazipokea bila maswali yoyote.
Kwa mgongoi wa dini, hadithi za Gerezani zaweza kudaiwa ndio historia ya kweli ya Tanganyika na akina Tumaini wengi tu wakanasa.
Hiyo ndiyo hatari ya dini kama inavyotumiwa na FaizaFoxy kama navyoeleza yeye mwenyewe hapa chini;
Kikwete anajaribu sana hata mimi namsifu kwa hilo, vita anayopigwa na Kanisa kwa sasa si ndogo, anastahili kila sifa.
Hapa tunatakiwa tuamini kuwa Kikwete anapigwa vita kwa sababu ni Muislaam. Makala yote haya ya kuandikwa kwa historia mpya, kusahauliwa kwa Manyema na Wazulu na mengine yote ni porojo tu. Ukweli kuwa CCM inaweza ikawekwa benchi mwaka 2015, unawanyima watu (kama FaizaFoxy ?) usingizi kwani CCM ikibwagwa kwa sababu yoyote ile, kuna watu watatamani waikimbie nchi. Hao watu ni Waislaam, Wakristo na Wasiokuwa na dini ambao wametumia nafasi zao katika uongozi wa nchi kujineemesha huku wananchi walio wengi wakitekeseka. Watatumia dini, ukabila, jinsia, rangi na kila aina ya ubaguzi alioupiga vita Mwalimu Nyerere ili wabaki madarakani lakini hawataweza kupambana na nguvu ya Umma uliowachoka. Watatunyanyasa, watatufunga na kama hayo hayatatosha watatumia risasi kung'ang'ania madarakani lakini hata hilo halitawasaidia, the writing is on the wall. A luta continua !
 
makala za Mo Said ni kama zile hadithi za vijarida vya Huba vinavouzwa pale viunga vya buguruni chama.

ukiona makala imejaa maneno kama 'kisa' jua hizo ni hadithi za abunuwasi ambazo mtu huhadithiwa tu na kuanza kujinasibu kuwa anajua.

Jerusalem,

Vipi kuhusu vitabu vyake na papers?

Mohamed
 
Mag3, nimesema hakuna ubishi kuhusu unafik wa Waislaam, hakuna, hakuna, hakuna. Niling'aka kama ulivyoonesha na hili waling'aka pia kina Sheikh Takadiri ndio, kwa kung'aka kwao kukawapelekea kuwa adui wa Nyerere. Waislaam wanafik wapo, kwani BAKWATA ilianzishwa na kina nani? Kawawa alikuwa nani? Songambele si ndio mwanae sijui mjukuu wake aliyekuja kuchukuwa "framed" majina ya wapiganaji wa majimaji kwa msaada wa nani kama si Songambele mwenyewe?.

Hayo hayana ubishi na pia nimesema wenzetu wanafik zaidi, kama Nyerere alivyokuwa mnafik na alivyoweza kuwatumia wanafik kati ya hao hao Waislaam na kuwasahau waliompokea.

Niling'aka na niling'aka unajuwa ni kwanini, nilipoona aaah, hawa Waislaam wanaendelea kukaa kimya wakati Qur'an imebandikwa ndivyo sivyo, mnhhh, mnhhh, haiwezekani, wacha niwarudishe tunapotakiwa tuwepo kwanza kabla ya yote, ni huko kunakotuunganisha Waislaam nako ni kwenye Qur'an, baada ya Mwanakijiji kuona aaahhhh, kumbe hawa ni wamoja na katubu na akaingia "mitini" umemuona tena humu? Huo ndio Uislaam, hakuna kuoneana haya wala hakuna kukaliana kimya ukiona mwenzako ana makosa.
 
Jasusi,

Bon Voyage.

Lakini kabla hujaondoka mimi nakuomba unijibu kitu kimoja.

Vipi kitabu cha Hamza Njozi "Mwembecha Killings" kipigwe marufuku lakini cha Mbogoni "The Cross Versus the Crescent" kiruhusiwe kusomwa?

Mohamed
 
Hivi wewe mbona hueleweki...mkuu

Hayo uliyoandika yana dispute vipi historia ya mohammed said

Nyerere hatoki hata kama unatetea kwasababu ya udini wako kwenye shutuma alizoonyesha mohammed

Kwasababu hizo ni facts na documents zipo wazi...

Sasa kuanza kuwa pinpoint member wa JF na hoja hizo..

Nami nikianza kukufuatilia wewe nita-conclude pia wewe unawakilisha kikundi cha wakristo (kanisa) chenye nia ya kuhodhi madaraka na mali ya serikali..

Sidhani kama mnakasha unaenda hivyo "ondoa prejudices zako kuhusu member wa JF" utakuwa na raha na mjadala

Lakini kama una agenda yako ya kutetea kanisa/nyerere/wakristo hata kama wameharibu historia ya nchi kwa makusudi na udini wao then go ahead tutakula nawe sahani moja..
 
Jasusi,

Bon Voyage.

Lakini kabla hujaondoka mimi nakuomba unijibu kitu kimoja.

Vipi kitabu cha Hamza Njozi "Mwembecha Killings" kipigwe marufuku lakini cha Mbogoni "The Cross Versus the Crescent" kiruhusiwe kusomwa?

Mohamed

Sheikh haondoki huyo alishaaga mara nyingi hapa..

Naomba unisaidii kama vitabu vyako vinaweza kusambazwa katika library za misikiti na shule za kiislamu Tanzania

Je mipango imefanyika?
 
makala za Mo Said ni kama zile hadithi za vijarida vya Huba vinavouzwa pale viunga vya buguruni chama.

ukiona makala imejaa maneno kama 'kisa' jua hizo ni hadithi za abunuwasi ambazo mtu huhadithiwa tu na kuanza kujinasibu kuwa anajua.

Akutukanae hakuchagulii tusi na mdomo haumkatai bwana wake. Wenzako wengine wanawakataza wanafunzi wao kusoma kitabu cha Abdulwahid Sykes na kufanya rejea. Lakini mambo ndiyo haya:

BOOKS
1. TheLife and Times of Abdulwahid Sykes 1924 –1968 The Untold Story of the MuslimStruggle against British Colonialism in Tanganyika,Minerva Press London, 1998 translated into Kiswahili as Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes 1924-1968 Historia Iliyofichwa Kuhusu Harakati zaWaislam Dhidi ya Ukoloni wa Waingereza, Phoenix Publishers, Nairobi, 2002.2. Torch on Kilimanjaro, Oxford University Press, Nairobi 20063. Contributing author AfricanAnthology, The Mermaid of Msambweni,Oxford University Press, 2008 Nairobi 4. Uamuzi wa Busara, Abantu Publications, Dar es Salaam, 2009
5. BrokenDreams, Phoenix Publishers, Nairobi, The Life of Ally KleistSykes (Forthcoming)

PART OFRESEARCH PAPERS/ARTICLES

1. In Praise of Ancestors (1987) Africa Events(London).
2. Abdulwahid Sykes: Founder of Political Movement(1988) Africa Events (London).3. Islam and Politics in Tanzania (1989) Al Haq International (Karachi)
4. The Plight of Tanzanian Muslim (1993) Change (Dar es Salaam).
5. Tanzania - The "Secular" UnsecularState (1995)Change (Dar es Salaam).
6. The Question of Muslim Stagnation in Education in Tanzania - A MuslimRiddle (Paper presented at theConference of the Global World of the Swahili InterculturalDialogue on the Indian Ocean Zanzibar, February 20 - 23, 2003).
7. IslamicEducation and Intellectualism in Eastern Africa ‘Themes from the Pulpit inTanganyika (Tanzania Mainland) 1800 – 2000'(Paper presented at InternationalSymposium on Islamic Civilisation in Eastern Africa Kampala, Uganda organisedby the Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture(IRCICA), Istanbul and the Islamic University in Uganda, Mbale December 15[SUP]th[/SUP] – 17[SUP]th[/SUP] 2003).
8. Sheikh Hassanbin Ameir - The Moving Spirit of Muslim Emancipation in Tanganyika (1950 –1968) (Paper presented at Youth CampOrganised by Zanzibar University, World Assembly of Muslim Youth (WAMY) andTanzania Muslim Students Association (TAMSA) 27[SUP]th[/SUP] February – 4[SUP]th[/SUP]March 2004).
9. Islamic Movement and the Christian Lobby in Tanzania - the Experience ofthe late Prof. Kighoma Ali Malima (1938 – 1995) (PaperPresented to Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) Sokoine University ofAgriculture (SUA) Morogoro 11[SUP]th[/SUP]April 2004).
10. Terrorism in East Africathe Tanzanian Experience (Paper Presented at the Conference on Islam, Terrorism and AfricanDevelopment University of Ibadan, Nigeria 8[SUP]th[/SUP] - 10th February 2006).
11. The Legacy of Sheikh AhmedDeedat (Paper Presentedat International Symposium on Islamic Civilisation in Southern Africa,University of Johannesburg 1 - 3 September, 2006 (the paper was also presented atIslamic Propagation Centre International, Durban).
12. Speaker: ChristianHegemony and the Rise of Muslim Militancy in Tanzania, University of Iowa,A Celebration of East Africa Conference organised by African Studies Programand the US Department of Education through the Undergraduate StudiesInternational and Foreign Language UISFL University of Iowa 22/26 April 2011.
13. Speaker: Islamand Politics in Tanzania Half a Century Later, Northwestern University,Evanston, Illinois 11[SUP]th[/SUP] April, 2011.
14. Speaker: "Erecters of Milestones and Builders ofMonuments in Tanganyika's History," Muslim University of Mororgoro, 26 May 2011
AWARDS

Awarded Certificate ofAppreciation by United States Information Services (USIS) for research intopolitical history of Tanganyika and made Member Library of Congress,Washington, DC.

Mohamed

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…