jombaa napenda kweli unapoandika kama unaimba ngonjera.
yote heri.
lakini kuna tusi kubwa katika makala zako kama la kumdhalilisha Nyerere kuwa alikuwa akinunuliwa mahitaji ya nyumbani kwake na wale wazee wa gerezani?
huyajui matusi wewe.
kajipange.
kumtukana Baba wa Taifa ni kukosa adabu kupindukia.
niwekee hilo tusi nione nitafakari kama nimetukana au unaendeleza makala zako za 'visa'.
we need history, not visa.
Nakiweka tena kisa cha Mzee Mshume Kiyate na Nyerere ukisome upya na uoneshe mahali lilipo tusi:jombaa napenda kweli unapoandika kama unaimba ngonjera.
yote heri.
lakini kuna tusi kubwa katika makala zako kama la kumdhalilisha Nyerere kuwa alikuwa akinunuliwa mahitaji ya nyumbani kwake na wale wazee wa gerezani?
huyajui matusi wewe.
kajipange.
kumtukana Baba wa Taifa ni kukosa adabu kupindukia.
niwekee hilo tusi nione nitafakari kama nimetukana au unaendeleza makala zako za 'visa'.
we need history, not visa.
Nakiweka tena kisa cha Mzee Mshume Kiyate na Nyerere ukisome upya na uoneshe mahali lilipo tusi:jombaa napenda kweli unapoandika kama unaimba ngonjera.
yote heri.
lakini kuna tusi kubwa katika makala zako kama la kumdhalilisha Nyerere kuwa alikuwa akinunuliwa mahitaji ya nyumbani kwake na wale wazee wa gerezani?
huyajui matusi wewe.
kajipange.
kumtukana Baba wa Taifa ni kukosa adabu kupindukia.
niwekee hilo tusi nione nitafakari kama nimetukana au unaendeleza makala zako za 'visa'.
we need history, not visa.
Nakiweka tena kisa cha Mzee Mshume Kiyate na Nyerere ukisome upya na uoneshe mahali lilipo tusi:
"Kuna kisa maarufu kati ya Mzee Mshume na Mwalimu Nyerere. Siku moja Nyerere alikuwaanatoka Magomeni anakuja Kariakoo kuja kuhemea chakula. Alipofika Mwembe Togwa(sasa Fire) akakutana na Mzee Mshume. Mzee Mshume akamuuliza Nyerere anakwendawapi. Nyerere akamwambia kuwa alikua anakwenda sokoni Kariakoo lakiniakamfahamisha Mzee Mshume kuwa alikuwa hana hanta senti moja mfukoni. Mzee Mshume akaingiza mkono mfukoniakatoka noti mbili za shilingi mia moja akampa Nyerere. Fedha hizo kwa wakatiule zilikuwa fedha nyingi sana. Ukitaka kujua thamani ya fedha zile alizopokeaNyerere ikutoshe tu kuwa wakati ule inasemekana nyumba ya vyumba sita kujengaKariakoo ilikuwa inagharimu shilingi mia tano. Kutokana na hali hii MshumeKiyate aliona itakuwa ni kumtwisha Nyerere mzigo ikiwa atakuwa anashughulika nakuwatafutia wanae chakula na wakati huo huo anafanya kazi za TANU. Mzee Mshumeakajitolea kuihudumia nyumba ya Nyerere kwa chakula. Alifanya hivyo hadi uhuruulipopatikana. Baada ya uhuru Nyerere alimwomba Mzee Mshume aache kumleteavikapu vyake kutoka Karikaoo lakini kwa mahaba aliyokuwanayo kwa Nyerere, MamaMaria na watoto wao alikataa na akamtafadhalisha Nyerere aendelee kula chakulachake na kile ambacho kinatolewa na serikali kwake yeye kama mkuu wa nchialimuomba Nyerere awape wageni wake. Baadaya maasi ya wanajeshi wa KAR tarehe 20 Januari, 1964, kuzimwa na Jeshi laKiingereza, TANU ilifanya mkutano mkubwa sana Jangwani. Mzee Mshume kwa niabaya wazee wa TANU alipanda jukwaani na kumvisha Nyerere msuli kama ishara yakumuunga mkono. Picha ya Mzee Mshume akimvisha Nyerere msuli ilichapishwakatika magazeti mengi. Halikadhalika picha nyingine mashuhuri ya Mzee Mshume naNyerere ni ile iliyopigwa Novemba 1962 wakati wa Uchaguzi Mkuu. Picha hiyoinamuonesha Mzee Mshume akiwa amevaa koti, kanzu na kofia amemshika Nyereremkono akimsindikiza kupiga kura. Magazeti ya Chama na Serikali- "Uhuru" na "DailyNews" yamekuwa yakiitumia picha hii kila baada ya miaka mitano katika uchaguziwa rais kama njia ya kuwahamasisha watu kupiga kura na kumchagua Nyerere."
Mohamed
Barubaru, ni vyema ukafahamu kuwa huyo anataka "video" ya Mohammed Said sio asome, bali anatafuta kila njia za kum"discredit", hazipati. Sasa ameona anhaaaa, "video" ndio maana kaikwamisha santuri hapo hapo kwenye "video", "video", "video". Hana zaidi.
Sheikh Mohamed,
Unadili na watu ambao wamepigwa na butwaa kuona kumbe Nyerere alikuwa na watu waliomnyanyua na kumuweka katika stuli akaweza kusimama na kuzungumza. Mshume Kiyake is amongst them a man who devoted all of his wealth to this country independence but yet he died with sadness in his heart. Perhaps wanaosema wewe umewatukana waprove otherwise ili ijulikane kama kweli Mohamed ni muongo au wao ndio waongo.
Mdondoaji,
Ahsante sana.
Abdulwahid Sykes alikufa miezi michache baada ya kukamatwa Sheikh Hassan bin Amir na kuvunjwa kwa EAMWS. Abdu na Dossa ndiyo walomtambulisha Nyerere kwa Sheikh Hassan ili sheikh amuunge mkono Nyerere.
Abdu kafa na kinyongo ndani ya nafsi yake na kujilaumu sana. Siku chache kabla Abdu hajafa alikutana na baba yangu pale Matasalamat Building, Independence Avenue na walizungumza mengi.
Siku zilipofika habari za kifo kwetu baba yangu akanieleza mazungumzo alokuwanayo na Abdu pale Matasalamat Building. Wakati ule habari kubwa ilikuwa vita ya Nyerere na EAMWS.
Mimi hujiuliza hivi kwa nini Allah aliweka katika hali hii ya udogo ule nikawa naona na kusikia mambo haya?
Leo ndugu zangu wanabeza habari za wazee wangu. Mimi nawashukuru kuwa Allah aliwapa hima ya kunieleza habari zote walizojua kuhusu historia ya nchi hii kama vile walikuwa wananisomesha.
Mungu atawalipa Insha Allah.
Mohamed
Udini ,ubaguzi chuki ,ndio naona vinajidiliwa kwenye huu mnakasha hongereni wenzenu wamesahau historia zenu , wanajenga vyuo kila mkoa ,Hosp kila mkoa mkija stuka mtaanza sema mfumu kristo unatawala! Kazi mnayo masheikh wetu.
Udini ,ubaguzi chuki ,ndio naona vinajidiliwa kwenye huu mnakasha hongereni wenzenu wamesahau historia zenu , wanajenga vyuo kila mkoa ,Hosp kila mkoa mkija stuka mtaanza sema mfumu kristo unatawala! Kazi mnayo masheikh wetu. Matatizo yenu mnatwika nyerere naye kajifia siku nyingi badala ya kutafuta suluhisho ,lawama zenu ndio kushindwa kwenu.
pesa gani mmetoa nyie mgekuwa na hela mgelalama ,kila anayetoa hoja humu ni ya kibaguzi na hisia tu hakuna uhalisia naweza nisiijue historia huyo ajuaye kama ataeleza kwa lugha ya chuki ,kuna walakini.Hizi dalili za kuishiwa hoja hebu fafanua udini upi uliouona hapa? Chuki gani inayojengwa hapa? Inaelekea kauli zako za kifedhuli ndio unatuambia sie ila tunakushukuru sana. Waswahili wanasema hewallah haigombi ila jengeni vyuo, hospitali kwa fedha zenu wenyewe na sio pesa za SERIKALI HATUTAKI!!!! Na turudishieni pesa zetu mlizopewa na serikali tutawashukuru sana.
pesa gani mmetoa nyie mgekuwa na hela mgelalama ,kila anayetoa hoja humu ni ya kibaguzi na hisia tu hakuna uhalisia naweza nisiijue historia huyo ajuaye kama ataeleza kwa lugha ya chuki ,kuna walakini.
Lini mtaacha ufisadi wa kuiba mali za umma kupeleka kanisani?
Rudisheni yale majengo ya Tanesco morogoro... ! Hambebeki ndugu zangu ,ni kupayukapayuka ndio mwajua..Endeleeni kulaumu kanisa hizo ni dalili za kutokukubali kuwa hamuwezi timiza wajibu wenu kama tasisi ya imani yenye uwezo wa kujitegemea.
Taja na matumizi yake....hii govt ni ya ajabu kama hela zote hizo zinaingia kanisani Pasipo majukumu ya msingi nyie ndio mwalipa kodi pekee yenu wenzenu hawachangii chochote? !tajeni mlichofanya hata mkashindwa serikali iwasaidie hakuna .mkuu kama utawarithisha tabia ya kulalama kwa jamii inayokuzunga haitasaidia chochote na ndio mlikobobea, wenzenu wao kutatua matatizo yanayoisumbua jamii hawajali kelele zenu,ENDELEA KULALAMA MKUUPesa gani huijui ngoja nikupigie hesabu:-
Bilioni 60 kila mwaka from 1992-2010 = 60,000,000,000 x 18 = Trilion 1.08
Billioni 91 za mwaka 2011= Trilioni 1.08 + Billion 91 = Trilioni 1.2
Jumla ya hela ni TRILIONI 1.2!!!! Jifanye huzijui hizi!
Mdondoaji said:Ila mambo mawili matatu naomba ufafanuzi. Kwanza ilikuwaje hadi Rumaliza alifanikiwa kupenya katika ngome ya wahehe na kupata influence kubwa? Pia BG Martin (1969) (Article nilishaitaja nyuma sina umuhimu wa kuirudia) alisema haya naomba unijibu:-
Taja na matumizi yake....hii govt ni ya ajabu kama hela zote hizo zinaingia kanisani Pasipo majukumu ya msingi nyie ndio mwalipa kodi pekee yenu wenzenu hawachangii chochote? !tajeni mlichofanya hata mkashindwa serikali iwasaidie hakuna .mkuu kama utawarithisha tabia ya kulalama kwa jamii inayokuzunga haitasaidia chochote na ndio mlikobobea, wenzenu wao kutatua matatizo yanayoisumbua jamii hawajali kelele zenu,ENDELEA KULALAMA MKUU
Mdondoaji,
..inawezekana mahusiano ya MKWAWA na RUMALIZA yalihusu biashara ya WATUMWA na PEMBE ZA NDOVU.
Tunashukuru kwa uchambuzi wa familia ya Mkwawa,
Ila mambo mawili matatu naomba ufafanuzi. Kwanza ilikuwaje hadi Rumaliza alifanikiwa kupenya katika ngome ya wahehe na kupata influence kubwa? Pia BG Martin (1969) (Article nilishaitaja nyuma sina umuhimu wa kuirudia) alisema haya naomba unijibu:-
Mkwawa and Rumaliza became blood-brothers, and Rumaliza doubtless gave his ally advice on rebuilding in stone his earth fortress at Kalenga, near Iringa, against the day of German attack. On 30th October 1894 Rumaliza was in the fort with Mkwawa when it was asaulted by the Germans. Mkwawa commited suicide four years later, while Rumaliza escaped to Zanzibar by fishing boat to evade the Germans.
Huu ukaribu wa Rumaliza na Mkwawa ulikuwa wa nini mnaweza kufafanua hadi wa kufa na kufaana?
Labda nikuongezee nondo nyengine Edward Simpson et.al. (2008) katika kitabu chake kinachoitwa Stuggling with History: Islam and Cosmopolitan in Western Indian Ocean anasema:-
The sultan with help of Qadiriyya movement helped islamisation of uhehe and unyamwezi region during the first decade of the twentieth region and after 1880. (1880-1910).
Hapa nauliza je Mkwawa alikufa mwaka gani?
Na pengine hao wazee watuambie after the Germans defeated Wahehe. Moja ya masharti waliyokubaliana baina ya wahehe na wajerumani ni kuwa Wajerumani watatawala wahehe ila wahehe watabakiwa na mambo yao binafsi (Kama anavyoreport Marcia Wright.). Moja ya masuala hayo ufundishwaji wa lugha ya Kiswahili na UISLAMU (references Marcia Wright, 1968, Local roots in German East Africa, Journal of African History, Cambridge University Press)
Jambo hili lilipingwa sana wamissionary wa kijerumani unaweza kutupatia maelezo ya kwanini walilipinga?