Historia ya Uhuru isimuliwavyo na Mohammed Said yakosolewa

jombaa napenda kweli unapoandika kama unaimba ngonjera.

yote heri.

lakini kuna tusi kubwa katika makala zako kama la kumdhalilisha Nyerere kuwa alikuwa akinunuliwa mahitaji ya nyumbani kwake na wale wazee wa gerezani?

huyajui matusi wewe.

kajipange.

kumtukana Baba wa Taifa ni kukosa adabu kupindukia.

niwekee hilo tusi nione nitafakari kama nimetukana au unaendeleza makala zako za 'visa'.

we need history, not visa.

Kwani si kweli?
 
Nakiweka tena kisa cha Mzee Mshume Kiyate na Nyerere ukisome upya na uoneshe mahali lilipo tusi:

"Kuna kisa maarufu kati ya Mzee Mshume na Mwalimu Nyerere. Siku moja Nyerere alikuwaanatoka Magomeni anakuja Kariakoo kuja kuhemea chakula. Alipofika Mwembe Togwa(sasa Fire) akakutana na Mzee Mshume. Mzee Mshume akamuuliza Nyerere anakwendawapi. Nyerere akamwambia kuwa alikua anakwenda sokoni Kariakoo lakiniakamfahamisha Mzee Mshume kuwa alikuwa hana hanta senti moja mfukoni. Mzee Mshume akaingiza mkono mfukoniakatoka noti mbili za shilingi mia moja akampa Nyerere. Fedha hizo kwa wakatiule zilikuwa fedha nyingi sana. Ukitaka kujua thamani ya fedha zile alizopokeaNyerere ikutoshe tu kuwa wakati ule inasemekana nyumba ya vyumba sita kujengaKariakoo ilikuwa inagharimu shilingi mia tano. Kutokana na hali hii MshumeKiyate aliona itakuwa ni kumtwisha Nyerere mzigo ikiwa atakuwa anashughulika nakuwatafutia wanae chakula na wakati huo huo anafanya kazi za TANU. Mzee Mshumeakajitolea kuihudumia nyumba ya Nyerere kwa chakula. Alifanya hivyo hadi uhuruulipopatikana. Baada ya uhuru Nyerere alimwomba Mzee Mshume aache kumleteavikapu vyake kutoka Karikaoo lakini kwa mahaba aliyokuwanayo kwa Nyerere, MamaMaria na watoto wao alikataa na akamtafadhalisha Nyerere aendelee kula chakulachake na kile ambacho kinatolewa na serikali kwake yeye kama mkuu wa nchialimuomba Nyerere awape wageni wake.
Baadaya maasi ya wanajeshi wa KAR tarehe 20 Januari, 1964, kuzimwa na Jeshi laKiingereza, TANU ilifanya mkutano mkubwa sana Jangwani. Mzee Mshume kwa niabaya wazee wa TANU alipanda jukwaani na kumvisha Nyerere msuli kama ishara yakumuunga mkono. Picha ya Mzee Mshume akimvisha Nyerere msuli ilichapishwakatika magazeti mengi. Halikadhalika picha nyingine mashuhuri ya Mzee Mshume naNyerere ni ile iliyopigwa Novemba 1962 wakati wa Uchaguzi Mkuu. Picha hiyoinamuonesha Mzee Mshume akiwa amevaa koti, kanzu na kofia amemshika Nyereremkono akimsindikiza kupiga kura. Magazeti ya Chama na Serikali- "Uhuru" na "DailyNews" yamekuwa yakiitumia picha hii kila baada ya miaka mitano katika uchaguziwa rais kama njia ya kuwahamasisha watu kupiga kura na kumchagua Nyerere."

Mohamed
 
Baadaya maasi ya wanajeshi wa KAR tarehe 20 Januari, 1964, kuzimwa na Jeshi laKiingereza, TANU ilifanya mkutano mkubwa sana Jangwani. Mzee Mshume kwa niabaya wazee wa TANU alipanda jukwaani na kumvisha Nyerere msuli kama ishara yakumuunga mkono. Picha ya Mzee Mshume akimvisha Nyerere msuli ilichapishwakatika magazeti mengi. Halikadhalika picha nyingine mashuhuri ya Mzee Mshume naNyerere ni ile iliyopigwa Novemba 1962 wakati wa Uchaguzi Mkuu. Picha hiyoinamuonesha Mzee Mshume akiwa amevaa koti, kanzu na kofia amemshika Nyereremkono akimsindikiza kupiga kura. Magazeti ya Chama na Serikali- “Uhuru” na “DailyNews” yamekuwa yakiitumia picha hii kila baada ya miaka mitano katika uchaguziwa rais kama njia ya kuwahamasisha watu kupiga kura na kumchagua Nyerere."

Mohamed
 
Nakiweka tena kisa cha Mzee Mshume Kiyate na Nyerere ukisome upya na uoneshe mahali lilipo tusi:

"Kuna kisa maarufu kati ya Mzee Mshume na Mwalimu Nyerere. Siku moja Nyerere alikuwaanatoka Magomeni anakuja Kariakoo kuja kuhemea chakula. Alipofika Mwembe Togwa(sasa Fire) akakutana na Mzee Mshume. Mzee Mshume akamuuliza Nyerere anakwendawapi. Nyerere akamwambia kuwa alikua anakwenda sokoni Kariakoo lakiniakamfahamisha Mzee Mshume kuwa alikuwa hana hanta senti moja mfukoni. Mzee Mshume akaingiza mkono mfukoniakatoka noti mbili za shilingi mia moja akampa Nyerere. Fedha hizo kwa wakatiule zilikuwa fedha nyingi sana. Ukitaka kujua thamani ya fedha zile alizopokeaNyerere ikutoshe tu kuwa wakati ule inasemekana nyumba ya vyumba sita kujengaKariakoo ilikuwa inagharimu shilingi mia tano. Kutokana na hali hii MshumeKiyate aliona itakuwa ni kumtwisha Nyerere mzigo ikiwa atakuwa anashughulika nakuwatafutia wanae chakula na wakati huo huo anafanya kazi za TANU. Mzee Mshumeakajitolea kuihudumia nyumba ya Nyerere kwa chakula. Alifanya hivyo hadi uhuruulipopatikana. Baada ya uhuru Nyerere alimwomba Mzee Mshume aache kumleteavikapu vyake kutoka Karikaoo lakini kwa mahaba aliyokuwanayo kwa Nyerere, MamaMaria na watoto wao alikataa na akamtafadhalisha Nyerere aendelee kula chakulachake na kile ambacho kinatolewa na serikali kwake yeye kama mkuu wa nchialimuomba Nyerere awape wageni wake.
Baadaya maasi ya wanajeshi wa KAR tarehe 20 Januari, 1964, kuzimwa na Jeshi laKiingereza, TANU ilifanya mkutano mkubwa sana Jangwani. Mzee Mshume kwa niabaya wazee wa TANU alipanda jukwaani na kumvisha Nyerere msuli kama ishara yakumuunga mkono. Picha ya Mzee Mshume akimvisha Nyerere msuli ilichapishwakatika magazeti mengi. Halikadhalika picha nyingine mashuhuri ya Mzee Mshume naNyerere ni ile iliyopigwa Novemba 1962 wakati wa Uchaguzi Mkuu. Picha hiyoinamuonesha Mzee Mshume akiwa amevaa koti, kanzu na kofia amemshika Nyereremkono akimsindikiza kupiga kura. Magazeti ya Chama na Serikali- "Uhuru" na "DailyNews" yamekuwa yakiitumia picha hii kila baada ya miaka mitano katika uchaguziwa rais kama njia ya kuwahamasisha watu kupiga kura na kumchagua Nyerere."

Mohamed

Sheikh Mohamed,

Unadili na watu ambao wamepigwa na butwaa kuona kumbe Nyerere alikuwa na watu waliomnyanyua na kumuweka katika stuli akaweza kusimama na kuzungumza. Mshume Kiyake is amongst them a man who devoted all of his wealth to this country independence but yet he died with sadness in his heart. Perhaps wanaosema wewe umewatukana waprove otherwise ili ijulikane kama kweli Mohamed ni muongo au wao ndio waongo.
 
Barubaru, ni vyema ukafahamu kuwa huyo anataka "video" ya Mohammed Said sio asome, bali anatafuta kila njia za kum"discredit", hazipati. Sasa ameona anhaaaa, "video" ndio maana kaikwamisha santuri hapo hapo kwenye "video", "video", "video". Hana zaidi.

FF,

Unajua wakati mwingine ndimi zetu huwa nzito kujinasibu kwa ajili ya mafunzo yetu. Basi kama anadhani anaweza kunifedhehesha mimi kwa njia hizo ni kwa kuwa hanijui.

Angelikuwa mjanja angewauliza watu wenye kunifahamu tayari angelishapata jibu.

Mimi sitomwopoa haraka huyu.

Mohamed
 
Sheikh Mohamed,

Unadili na watu ambao wamepigwa na butwaa kuona kumbe Nyerere alikuwa na watu waliomnyanyua na kumuweka katika stuli akaweza kusimama na kuzungumza. Mshume Kiyake is amongst them a man who devoted all of his wealth to this country independence but yet he died with sadness in his heart. Perhaps wanaosema wewe umewatukana waprove otherwise ili ijulikane kama kweli Mohamed ni muongo au wao ndio waongo.

Mdondoaji,

Ahsante sana.

Abdulwahid Sykes alikufa miezi michache baada ya kukamatwa Sheikh Hassan bin Amir na kuvunjwa kwa EAMWS. Abdu na Dossa ndiyo walomtambulisha Nyerere kwa Sheikh Hassan ili sheikh amuunge mkono Nyerere.

Abdu kafa na kinyongo ndani ya nafsi yake na kujilaumu sana. Siku chache kabla Abdu hajafa alikutana na baba yangu pale Matasalamat Building, Independence Avenue na walizungumza mengi.

Siku zilipofika habari za kifo kwetu baba yangu akanieleza mazungumzo alokuwanayo na Abdu pale Matasalamat Building. Wakati ule habari kubwa ilikuwa vita ya Nyerere na EAMWS.

Mimi hujiuliza hivi kwa nini Allah aliweka katika hali hii ya udogo ule nikawa naona na kusikia mambo haya?

Leo ndugu zangu wanabeza habari za wazee wangu. Mimi nawashukuru kuwa Allah aliwapa hima ya kunieleza habari zote walizojua kuhusu historia ya nchi hii kama vile walikuwa wananisomesha.

Mungu atawalipa Insha Allah.

Kuna rafiki yangu aliwahi kuniambia wewe degree ulizozisomea zote hazikufai kwani ulitakiwa kufanya PhD ya Historia. Kuna mtu amenambia nina partial knowledge anyway that is his/her opinion ila kwa mujibu wa Library yangu niliyonayo kuna mambo tukiyaanza kuyashusha humu jamvini kutakuwa hakukaliki (watu watakesha wakijibu hoja tu). Ila tutosheke na nondo zako maana sheikh wangu wa chuoni (madras) alikuwa anasema kila sheikh ana mimbari yake ya kujidai hivyo tukienda kumtembelea sheikh mwengine huwa tunafunzwa adabu ya kutokuzidi kutoa katika kile sheikh tuliyemkuta anakizungumza kuepusha kuharibu mazingira.

Huu uwanja ni wako wa kujidai mie hapa msikilizaji na mtazamaji but kwasasa nateremsha references tu. Atakayetaka akajisomee tunaweza tusifanane uelewa but that is not my job.
 
Udini ,ubaguzi chuki ,ndio naona vinajidiliwa kwenye huu mnakasha hongereni wenzenu wamesahau historia zenu , wanajenga vyuo kila mkoa ,Hosp kila mkoa mkija stuka mtaanza sema mfumu kristo unatawala! Kazi mnayo masheikh wetu.
 
Hizi dalili za kuishiwa hoja hebu fafanua udini upi uliouona hapa? Chuki gani inayojengwa hapa? Inaelekea kauli zako za kifedhuli ndio unatuambia sie ila tunakushukuru sana. Waswahili wanasema hewallah haigombi ila jengeni vyuo, hospitali kwa fedha zenu wenyewe na sio pesa za SERIKALI HATUTAKI!!!! Na turudishieni pesa zetu mlizopewa na serikali tutawashukuru sana.
 
Udini ,ubaguzi chuki ,ndio naona vinajidiliwa kwenye huu mnakasha hongereni wenzenu wamesahau historia zenu , wanajenga vyuo kila mkoa ,Hosp kila mkoa mkija stuka mtaanza sema mfumu kristo unatawala! Kazi mnayo masheikh wetu. Matatizo yenu mnatwika nyerere naye kajifia siku nyingi badala ya kutafuta suluhisho ,lawama zenu ndio kushindwa kwenu.
 
Lini mtaacha ufisadi wa kuiba mali za umma kupeleka kanisani?
 
Hizi dalili za kuishiwa hoja hebu fafanua udini upi uliouona hapa? Chuki gani inayojengwa hapa? Inaelekea kauli zako za kifedhuli ndio unatuambia sie ila tunakushukuru sana. Waswahili wanasema hewallah haigombi ila jengeni vyuo, hospitali kwa fedha zenu wenyewe na sio pesa za SERIKALI HATUTAKI!!!! Na turudishieni pesa zetu mlizopewa na serikali tutawashukuru sana.
pesa gani mmetoa nyie mgekuwa na hela mgelalama ,kila anayetoa hoja humu ni ya kibaguzi na hisia tu hakuna uhalisia naweza nisiijue historia huyo ajuaye kama ataeleza kwa lugha ya chuki ,kuna walakini.
 
Pesa gani huijui ngoja nikupigie hesabu:-

Bilioni 60 kila mwaka from 1992-2010 = 60,000,000,000 x 18 = Trilion 1.08

Billioni 91 za mwaka 2011= Trilioni 1.08 + Billion 91 = Trilioni 1.2

Jumla ya hela ni TRILIONI 1.2!!!! Jifanye huzijui hizi!
 
Lini mtaacha ufisadi wa kuiba mali za umma kupeleka kanisani?

Rudisheni yale majengo ya Tanesco morogoro... ! Hambebeki ndugu zangu ,ni kupayukapayuka ndio mwajua..Endeleeni kulaumu kanisa hizo ni dalili za kutokukubali kuwa hamuwezi timiza wajibu wenu kama tasisi ya imani yenye uwezo wa kujitegemea.
 
Jengo la Morogoro kwanza kuna mgogoro kuwa yale majengo yalikuwa ya waislamu before Azimio la Arusha. Baada Serikali ikayachukua na Tanesco ndio wakapewa. Baadae chini ya Mkapa ndio akayatoa majengo yale kuwa ya chuo cha MUM. Hivyo kama nihivyo na nyie muanze kufikiria VIWANJA VYOTE SERIKALI ILIVYOVICHUKUA BAADA YA AZIMIO LA ARUSHA VIRUDISHWE KWA WAMILIKI WAKE!!!
 
Pesa gani huijui ngoja nikupigie hesabu:-

Bilioni 60 kila mwaka from 1992-2010 = 60,000,000,000 x 18 = Trilion 1.08

Billioni 91 za mwaka 2011= Trilioni 1.08 + Billion 91 = Trilioni 1.2

Jumla ya hela ni TRILIONI 1.2!!!! Jifanye huzijui hizi!
Taja na matumizi yake....hii govt ni ya ajabu kama hela zote hizo zinaingia kanisani Pasipo majukumu ya msingi nyie ndio mwalipa kodi pekee yenu wenzenu hawachangii chochote? !tajeni mlichofanya hata mkashindwa serikali iwasaidie hakuna .mkuu kama utawarithisha tabia ya kulalama kwa jamii inayokuzunga haitasaidia chochote na ndio mlikobobea, wenzenu wao kutatua matatizo yanayoisumbua jamii hawajali kelele zenu,ENDELEA KULALAMA MKUU
 
Mdondoaji said:
Ila mambo mawili matatu naomba ufafanuzi. Kwanza ilikuwaje hadi Rumaliza alifanikiwa kupenya katika ngome ya wahehe na kupata influence kubwa? Pia BG Martin (1969) (Article nilishaitaja nyuma sina umuhimu wa kuirudia) alisema haya naomba unijibu:-

Mdondoaji,

..inawezekana mahusiano ya MKWAWA na RUMALIZA yalihusu biashara ya WATUMWA na PEMBE ZA NDOVU.
 
Hatulalami..tunapinga uwizi wa mali za umma kwenda kanisani wewe endelea kutetea ufisadi kwasabb ya udini wako sisi tutaendelea kupinga..

Matumizi ni pamoja na kununua biblia, rozari etc..kwasababu hakuna auditing inafanyaika..ok uwizi mtupu
 
Mdondoaji,

..inawezekana mahusiano ya MKWAWA na RUMALIZA yalihusu biashara ya WATUMWA na PEMBE ZA NDOVU.

Nipatie maelezo ya haya maneno:-

Further investigation by the germans revealed that the letter (Mecca Letter) had originated from Zanzibar. It had been composed by , or written for , the family of Muhammad bin Khalfan bin Khamis Al-Barwani better known as RUMALIZA, a member of the QADIRIYYA tariqa, and famous slave trader and ivory merchant.

(reference B.G. Martin, 1969)
 
Tunashukuru kwa uchambuzi wa familia ya Mkwawa,

Ila mambo mawili matatu naomba ufafanuzi. Kwanza ilikuwaje hadi Rumaliza alifanikiwa kupenya katika ngome ya wahehe na kupata influence kubwa? Pia BG Martin (1969) (Article nilishaitaja nyuma sina umuhimu wa kuirudia) alisema haya naomba unijibu:-

Mkwawa and Rumaliza became blood-brothers, and Rumaliza doubtless gave his ally advice on rebuilding in stone his earth fortress at Kalenga, near Iringa, against the day of German attack. On 30th October 1894 Rumaliza was in the fort with Mkwawa when it was asaulted by the Germans. Mkwawa commited suicide four years later, while Rumaliza escaped to Zanzibar by fishing boat to evade the Germans.

Huu ukaribu wa Rumaliza na Mkwawa ulikuwa wa nini mnaweza kufafanua hadi wa kufa na kufaana?

Labda nikuongezee nondo nyengine Edward Simpson et.al. (2008) katika kitabu chake kinachoitwa Stuggling with History: Islam and Cosmopolitan in Western Indian Ocean anasema:-

The sultan with help of Qadiriyya movement helped islamisation of uhehe and unyamwezi region during the first decade of the twentieth region and after 1880. (1880-1910).

Hapa nauliza je Mkwawa alikufa mwaka gani?

Na pengine hao wazee watuambie after the Germans defeated Wahehe. Moja ya masharti waliyokubaliana baina ya wahehe na wajerumani ni kuwa Wajerumani watatawala wahehe ila wahehe watabakiwa na mambo yao binafsi (Kama anavyoreport Marcia Wright.). Moja ya masuala hayo ufundishwaji wa lugha ya Kiswahili na UISLAMU (references Marcia Wright, 1968, Local roots in German East Africa, Journal of African History, Cambridge University Press)

Jambo hili lilipingwa sana wamissionary wa kijerumani unaweza kutupatia maelezo ya kwanini walilipinga?

Mdondoaji,

Ahante kwa darsa hili nami nasoma.
Mungu akujaze kheri.

Mohamed
 
Back
Top Bottom