Marejeo gani unayoyataka wewe Great thinker?Hivi hii ni Great Thinkers?mbona hatuleti hoja na marejeo yake kama alivyofanya Mohamed,tusimpinge tu kwa kua wewe ulikuwa Mwanza nk,andika hoja kwa marejeo,matusi ya nini humu kama huna cha kuandika na wewe nenda kafanye research then utuletee hapa kama alivyofanya Mohamed.
Kila la Kheri Mohamed Said.
Hii historia ya wazee wako mamluki waliokulia na kutokea gerezani.......jinsi unavyoiweka......badala ya kutupa faraja ya kuifahamu historia amabyo hatukuifahamu....wewe unaiweka katika mtizamo wa kichochezi na kupandikiza chuki za kidini,......pamoja na kukupa wewe baadhi ya maandishi yao kutoka kwenye diaries zao.........je pia wao walikuambia uje ulete uchochezi kwa mgongo wa dini?......kama ni hivyo basi hizo familia za gerezani zina matatizo makubwa sana.......matatizo yanayotokana na mamluki hao kujiona wao wana haki zaidi ya wengine.....tena wazawa......
I declare kuwa............Mohamed Said ni mtu hatari kwa Taifa letu.......mmeambiwa!
ndaryMarejeo gani unayoyataka wewe Great thinker?
Mohamed, nisaidie hapa. Tangazo hilo lilikuwa katika magazeti, majarida au radio na lilikuwa la mwaka gani. ahsanteOgah,
Unanionea mimi bure bila sababu. Uminita mimi mamluki nikakuwekea habari uisome na uamue nani mamluki badala ya kunipa jibu unakuja na hamaki nyingi zaidi.
Sijachoka nakuwekea tena ile ile na safari hii uwanja uko wazi kwa mwanaukumbi yeyote aseme kwa hakililah nani ni mamluki:
"Hivi sasa kuna vitabu viwilivilivyoandikwa na Wakristo wenyewe vinavyothibitisha kuwa Wakristo wametumianyadhifa zao katika serikali kuuhujumu Uislam na Waislam. Jan P van Bergenkatika kitabu chake, Development and Religion in Tanzania,(1981) [1]ametoboa siri kuhusu uadui aliokuwa nao Rais Mstaafu, Nyerere dhidi ya Uislamna Waislam. Kitabu kinaeleza kwa ufasaha jinsi Nyerere wakati alipokuwamadarakani alivyokuwa akifanya mikutano ya siri na viongozi wa Kanisa kuwekamikakati ya kuupa nguvu Ukristo. Katika mikutano hiyo Nyerere aliwahakikishiaviongozi wa Kanisa kuwa anaaunga mkono Ukristo. Kitabu hicho kinaeleza jinsiNyerere alivyotimiza ahadi yake hiyo kwa Kanisa kwa kuhakikisha kuwa anawapaWakristo nafasi za juu katika serikali na chama. Kitabu hiki kilikuwa kinauzwaCatholic Bookshop, Dar es Salaam. Lakini ilipokuja kudhihirikia Kanisa kuwakitabu hiki kilikuwa kinatoa habari nyeti na siri za Kanisa kuhusu njama dhidiya Waislam, kwa haraka sana kikaacha kuuzwa. [1] Hadi hivi sasa kitabuhicho ni marufuku kuletwa tena Tanzania.Kitabu cha pili nicha Dr John C. Sivalon, Kanisa Katoliki na Siasa ya Tanzania Bara 1953 Hadi1985 (1992). [1]Kitabu hiki kinaeleza njama ndani ya serikali kuuhujumu Uislam. Sivalonanafichua kuwa kuanzia mwaka 1961 baada ya Tanganyika kupata uhuru, Kanisalilikuwa na hofu mbili. Hofu ya kwanza ilikuwa umoja wa madhehebu za Kiislamkati ya Sunni, Bohora, Ismailia na Ithnasheri. Hofu ya pili ilikuwa kuhamishwakwa makao makuu ya EAMWS kutoka Mombasa kuja Dar es Salaam. Kanisa lilikuwalinahofu kuwa mali walizokuwanazo Waasia Waislam zikitiwa katika harakati zaWaislam ambao walikuwa na nguvu kubwa katika uwanja wa siasa zitaathiri maslahi ya Ukristo katika Afrika yaMashariki.
Kwa ajili hii Kanisa likatanganza kuwa Uislam ni adui wake naikaanza mikakati ya hujma dhidi ya Uislam ili kuudhoofisha." [1]Mohamed
ndary
Jasusi,
Uliaga.
Karibu.
Njia bora ni hiyo uliyoshauriwa ya kuja na rejea na rejea ni kwenda kwenye chanzo iwe "primary source" au "secondary" kukiweka wazi watu wakisome na inakuwa na nguvu sana kama ikiwa imo katika "paper" au kitabu.
Kwa hii njia nyepesi ya kuandika mistari miwili mitatu katika JF hamtoweza kamwe kupambana na mimi ninakushindeni bila jasho.
Acheni uvivu pindeni migongo fanyeni utafiti njooni na kitu cha kukamatika chenye habari mpya kuhusu uhuru wa Tanganyika.
Nakuhakikishieni mkifanya hivyo mtaingia Cambridge Journal of African History kama nilivyoingia mimi na mtaalikwa katika makongamano duniani wasomi wa nchi nyingine wakiwa na hamu ya kukusikieni mabashar ("live").
Nadhani taarifa mmepata jinsi watu walivyokuwa wakilisubiri gazeti la Mwananchi kila asubuhi wakati zile makala zangu zilipokuwa zinachapishwa gazetini.
Na gazeti liliuzika si mchezo na kila nikikatiza mtaa, "Mohamed tunakusoma bwana hongera."
Mkibakia JF hamtouelimisha umma mtakuwa mnaniachia mimi uwanja.
Mohamed
Ogah,
Unanionea mimi bure bila sababu. Uminita mimi mamluki nikakuwekea habari uisome na uamue nani mamluki badala ya kunipa jibu unakuja na hamaki nyingi zaidi.
Sijachoka nakuwekea tena ile ile na safari hii uwanja uko wazi kwa mwanaukumbi yeyote aseme kwa hakililah nani ni mamluki:
"Hivi sasa kuna vitabu viwilivilivyoandikwa na Wakristo wenyewe vinavyothibitisha kuwa Wakristo wametumianyadhifa zao katika serikali kuuhujumu Uislam na Waislam. Jan P van Bergenkatika kitabu chake, Development and Religion in Tanzania,(1981) [1]ametoboa siri kuhusu uadui aliokuwa nao Rais Mstaafu, Nyerere dhidi ya Uislamna Waislam. Kitabu kinaeleza kwa ufasaha jinsi Nyerere wakati alipokuwamadarakani alivyokuwa akifanya mikutano ya siri na viongozi wa Kanisa kuwekamikakati ya kuupa nguvu Ukristo. Katika mikutano hiyo Nyerere aliwahakikishiaviongozi wa Kanisa kuwa anaaunga mkono Ukristo. Kitabu hicho kinaeleza jinsiNyerere alivyotimiza ahadi yake hiyo kwa Kanisa kwa kuhakikisha kuwa anawapaWakristo nafasi za juu katika serikali na chama. Kitabu hiki kilikuwa kinauzwaCatholic Bookshop, Dar es Salaam. Lakini ilipokuja kudhihirikia Kanisa kuwakitabu hiki kilikuwa kinatoa habari nyeti na siri za Kanisa kuhusu njama dhidiya Waislam, kwa haraka sana kikaacha kuuzwa. [1] Hadi hivi sasa kitabuhicho ni marufuku kuletwa tena Tanzania.Kitabu cha pili nicha Dr John C. Sivalon, Kanisa Katoliki na Siasa ya Tanzania Bara 1953 Hadi1985 (1992). [1]Kitabu hiki kinaeleza njama ndani ya serikali kuuhujumu Uislam. Sivalonanafichua kuwa kuanzia mwaka 1961 baada ya Tanganyika kupata uhuru, Kanisalilikuwa na hofu mbili. Hofu ya kwanza ilikuwa umoja wa madhehebu za Kiislamkati ya Sunni, Bohora, Ismailia na Ithnasheri. Hofu ya pili ilikuwa kuhamishwakwa makao makuu ya EAMWS kutoka Mombasa kuja Dar es Salaam. Kanisa lilikuwalinahofu kuwa mali walizokuwanazo Waasia Waislam zikitiwa katika harakati zaWaislam ambao walikuwa na nguvu kubwa katika uwanja wa siasa zitaathiri maslahi ya Ukristo katika Afrika yaMashariki. Kwa ajili hii Kanisa likatanganza kuwa Uislam ni adui wake naikaanza mikakati ya hujma dhidi ya Uislam ili kuudhoofisha." [1]
Mohamed
Mohamed, nisaidie hapa. Tangazo hilo lilikuwa katika magazeti, majarida au radio na lilikuwa la mwaka gani. ahsante
Mr Zero,
Uhuru ni wako wa kuichambua historia kama unavyopenda simlazimishi mtu kuamini yale niandikayo.
Lengo langu kuu ni kuieleza ile historia ambayo wengu hawakuwa wanaifahamu.
Mohamed
Kumbe hujaufahamu moto wa JF Brother MS............maana ya kupambana ni pana............hapa hata kama inatolewa mistari miwili...........au hata mmoja...............huo huo mstari mmoja unakuwa na hoja ya maana kuliko mistari ya hadithi ambazo kw akiwango kikubwa ni uongo............hao waandishi unaowa-quote na kuweka vipande vyao humu.............haileti maana yeyote ya kuwa wameandika ukweli............ukweli tunaujua sisi wenyewe Watanganyika.............sio atokee MAMLUKI eti atusemee ukweli..............mambo mengi sana umeyaandika Brother MS........nin hakika kabisa moyo wako unakusuta......kwani hayana ukweli........... mfano
1.kuhusu elimu na nambari za mitihani na kuwa iliwatenga Waislamu.......UONGO
2.kuhusu baadhi ya watu kuwa walionewa na hawakupewa nafasi eti kwa kuwa ni Waislamu......UONGO
hiyo mifano hapo juu......najitolea mimi binafsi na ndugu zangu ninakuthibitishia kuwa ni UONGO tena wa mchana kweupe.................!!
Hiii sina namna bora ya kutoa ushahidi lakini kama utapenda mimi ni mfano bora niliyetumia namba badala ya majina mwaka 1988 ndipo nikafaulu kwenda sekondari ..
Kuonewa evidence ya namna nafasi zilitolewa kwa upendleo imeelezwa vizuri kitabuni na nia ya mwalimu ya kueneza na kuendeleza kanisa badala ya Taifa hiyo kama msomaji mzuri inakupa picha..
........miye na ndugu zangu tulifaulu mitihani kabla ya hiyo 1988...........semeni mengine kuhusu JKN (RIP), kwa hili la elimu ni UONGO mkubwa sana...........
Kuna siri nzito kuliko maongezi ya Ikulu kati ya Rais Mwinyi na Profesa Malima? Mbona Mohamed ameweka wazi, kama ni utafiti ina maana alipata ridhaa yao.Duh Nguruvii3..wacha kujiabisha mkuu wangu??
Hivi kweli huelewi maana ya maneno hayo? lini vita ya siri ikatangazwa..hivi unajua utafiti maana yake nini?
Maswali yanajitokeza kwa sababu mtafiti hakuwasiliana na hadhira yake katika taratibu za uandishi wa tafiti zake.Mohamed Sadi; Kwa ajili hii Kanisa likatanganza kuwa Uislam ni adui wake naikaanza mikakati ya hujma dhidi ya Uislam ili kuudhoofisha
Uongo kwa maneno wakati mwenzako anakupa evidence..unaweza kuendelea kama ulivyo-programmed ..who cares..
umetoa evidence (i.e. wewe mwenyewe.....si kusimuliwa kama alivyosimuliwa Brother MS).....nami nimetoa eveidence (i.e. mimi mwenyewe.....si kusimuliwa kama alivyosimuliwa Brother MS).......unaposema "who cares"........it leaves a lot to be desired about you....!
Maswali yanajitokeza kwa sababu mtafiti hakuwasiliana na hadhira yake katika taratibu za uandishi wa tafiti zake.
Labda nichangie kidogo kwa kutumia elimu yangu ya darasa la 5B. Ningekuwa mimi ningeandika hivi.
...Katika kikao kilichokaa tarehe 40 december mwaka 196X, kikiwa na wajumbe X10 waiowakilisha ABCD za wakristo, iliamuliwa kwa njia za siri kuwa uislam ni adui wa wakristo na mikakati dhidi ya hujuma kupangwa.Habari hii imetoka katika chanzo kisichotajwa kwa sababu za maadili ya kiuandishi...
Hapa JF kuna jambo zuri sana, hata ukisema Joti kapigwa utaulizwa 'source please'. Watu wanajua kuwa kila mtu anaweza kusema chochote anachowaza na kukiwekea kinga ya 'ni siri' au ni utafiti ili mradi kukwepa ukweli.
Ikifika hapo inazidi kujidhihiri kuwa utafiti wa Mohamed una mapungufu makubwa na ya wazi, uandishi wake na mawasiliano kati yake na wasomaji una walakini sana.
Kuna siri nzito kuliko maongezi ya Ikulu kati ya Rais Mwinyi na Profesa Malima? Mbona Mohamed ameweka wazi, kama ni utafiti ina maana alipata ridhaa yao.
Linapokuja swali gumu, basi tutasikia kila aina ya visingizio. Kumbuka Mohamed hakubainisha mahali kuwa alikuwa na chanzo ambacho hatakitaja.
Sidhani kama tangazo linalowahusu wakristo hasa viongozi wao kwa mamia linaweza kuwa siri.
Swali hili limeelekezwa kwa mwandishi ambaye amenitahadharisha kutowasiliana nawe ( rejea maswali niliyokupa na majibu ya Mohamed).
Nami naafikiana naye kwasababu kuna alichokiona cha maana.
Brother MS.......hapa sio suala la kuamini na kumeza unachoandika..............hapa ni suala la kuchambua pumba na mchele...........tume-acknowledge mchango wa wazee wako wa gerezani (mamluki) kwenye kupigania uhuru...........lakini mengine ya udini tunasema hapana..........
Kumbe hujaufahamu moto wa JF Brother MS............maana ya kupambana ni pana............hapa hata kama inatolewa mistari miwili...........au hata mmoja...............huo huo mstari mmoja unakuwa na hoja ya maana kuliko mistari ya hadithi ambazo kw akiwango kikubwa ni uongo............hao waandishi unaowa-quote na kuweka vipande vyao humu.............haileti maana yeyote ya kuwa wameandika ukweli............ukweli tunaujua sisi wenyewe Watanganyika.............sio atokee MAMLUKI eti atusemee ukweli..............mambo mengi sana umeyaandika Brother MS........nin hakika kabisa moyo wako unakusuta......kwani hayana ukweli........... mfano
1.kuhusu elimu na nambari za mitihani na kuwa iliwatenga Waislamu.......UONGO
2.kuhusu baadhi ya watu kuwa walionewa na hawakupewa nafasi eti kwa kuwa ni Waislamu......UONGO
hiyo mifano hapo juu......najitolea mimi binafsi na ndugu zangu ninakuthibitishia kuwa ni UONGO tena wa mchana kweupe.................!!
............Ghafla tu SheikhTakadir alisimama wima akishikilia fimbo yake ya kutembea akimuelekezea Nyererehuku akisema, ëHuyu mtu katu hatakuja kutujali sisi atakuja kuwajali nduguzake. Usipoziba ufa utajenga ukutaí.
.........Sheikh Takadir aliiambia kamati hiyo kuwa Nyerere alikuwa akitumiasharti la elimu katika uchaguzi wa kura tatu ili kuwaweka Wakristo wenzakemadarakani kwa hoja kwamba wanazo zile sifa zitakiwazo kushika majukumu yaserikali. .............
.........Kuingizwa kwa watu kama Eliofoo,Mwakangale, Sijaona, Bomani, Kahama na wengine katika Baraza la Kutunga Sheriaili kuwakilisha TANU kuliwatia wasiwasi idadi kubwa ya wanachama Waislamwaliokuwepo makao makuu ya TANU. .....................Mohamed