FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Natoa ushauri kwa wanaouliza maswali, badala ya kuanza kutoa hadithi ndeeeefu inayoweza kuandika kitabu au vitabu vingine, kwanini hamuulizi swali moja moja? Nna uhakika italeta raha zaidi. Mwanakijii, Nguruvi, Ogah, na wenzenu wote changamoto hiyo.
Ulizeni swali moja moja likishajibiwa tuendelee na lingine, Mohamed Said kasema ana mengi ya kueleza, tukienda kwa mpango huo tutaweza kujadili kwa mantiki. Na maswali atayokwepa kuuliza tutajuwa kwanini.
Tuanze.