Historia ya Uhuru isimuliwavyo na Mohammed Said yakosolewa

Wewe unaweza kuuliza swali la maana linalohitaji kujibiwa na msomi? unafikiri tunaimba mapambio kanisani?

Uliza swali kwa taratibu za mjadala utajibiwa ki-academic..siyo kashfa na matusi..watu wengine wana heshima zao..na wamelelewa kidini ..

Nasema hivii, "Mwamedi Saidi ameshindwa na kujaribu kwa kila namna kukwepa kujibu maswsali na hoja husika kuhusu maandishi yake mwenyewe. Ushahidi usiopingika unaonyesha kuwa Mwamedi Saidi ni msomi feki kwa vigezo vyote vya viwango na usomi unaokubalika kimataifa isipokuwa labda vile vya madrassah."
 
Kama wewe ndio kipimo cha standard za upi kasoma na upi hajasoma ok

Lakini kama kipimo cha usomi kuna standard na namna zake kupima ikiwemo uwezo wa

Ku-publish kwenye peer reviewed journals then wewe utabaki kubwabwaji na hisia zako..

Zilizotokana na kuw "arrogant and Incompetent" leta paper moja uliyo publish hata journal CBE??
 
Topical,

Hapa tulipofika panatosha ni bora kuendelea na mnakasha na wengine.
Vinginevyo itakuwa ni matusi zaidi.

Hapana haja ndugu yangu haya ni majadiliano na wengi wanatusoma humu.
Mimi wanangu wananisoma humu itakuwa vibaya kwetu sote wanetu kusoma matusi tunayotukanwa.

Mohamed
 
Turudishe mnakasha pahala pake...Brother MS endeleza darsa la simulizi...lakini pia ujibu maswali uliyoulizwa...

Ogah,

Insha Allah nitajitahidi kujibu pale nitakapoweza.

Sasa tuendelee tuko 1959 AMNUT ishaundwa ili kulinda maslahi ya Waislam katika Tangnayika huru...:
"Lengo kuu la AMNUT lilikuwa ni kulindahaki na maslahi ya Waislam ambayo ilikuwa ikihisi yalikuwa hatarini katikaserikali iliyoshikiliwa na Wakristo. Abdulkarim alikwenda Tabora kujaribukutafuta kuungwa mkono AMNUT lakini matokeo yalikuwa ya kukatisha tamaa.Abdulkarim alichagua Tabora kwa sababu ilikuwa mahali penye athari kubwa yaUislamu. Hata hivyo Abdulkarim alifanikiwa kupokea mwaliko kutoka kwa AliMuhsin Al Barwani kiongozi wa Zanzibar Nationality Party (ZNP) ahudhuriemkutano wa kamati kuu na awakilishe suala la AMNUT. Mkutano huu ulifanyikakatika ofisi ya ZNP Darajani huko Zanzibar. Ali Muhsin alimwambia Abdulkarimkwamba ZNP haiwezi kujifungamanisha na tatizo la Uislam kwa sababu ZNP haikuwainaamini kama Ukristo una uwezo wa kuhatarisha Uislam hasa ukichukulia kuwaWaislam ni wengi nchini Tanganyika. Waislam wa Tanganyika walikataa kuiungamkono AMNUT wakihisi sera zake zilikuwa za kuwagawa watu kwa misingi ya dini.Kwa ajili hii basi AMNUT haikuwa na maslahi ya wananchi. Lakini pigo kubwa kwa AMNUT lilikujakutoka kwa masheikh wa Tanga. Masheikh na waalimu wa Qurían mjini Tanga walitiasahihi azimio la pamoja kuipinga AMNUT. Azimio hilo lilisema kuwa AMNUT ingezuajanga. Masheikh walisisitiza kwamba wataiunga mkono TANU mpaka uhuru upatikanekwa sababu wana imani na malengo yake.[1]AMNUT ikikabiliwa na mashambulio kama hayo kutoka tabaka ambayo ilidaiinawakilisha maslahi yao, chama hicho hakikuweza kustawi. Haukupita muda mrefuAMNUT ikafa. Mwaka 1960, Plantan sasa akiwa nje ya AMNUT na siasa, alitoa kaulimoja iliyokuwa kama anatoa buriani kuteremsha pazia na kuaga jukwaa la siasa.Plantan aliwaambia Waislam kwamba hata kwa miaka mia moja hawataweza kuwafikiaWakristo. Baada ya kauli hiii hakuna kilichosikika kuhusu Ramadhani MashadoPlantan. Aliishi miaka ya mwisho ya maisha yake hapo Gerezani, akitumia wakatiwake baina ya nyumba yake na msikiti wa jirani ambao alikuwa akiufagia kuuwekasafi akisubiri mauti yaje akasimame mbele ya haki.Nyerere alikubali ukweli kuwa kulikuwa naupogo baina ya Waislam na Wakristo hususan katika elimu ambayo itawazuia Waislamkushika nafasi za uongozi katika serikali ya wananchi. Nyerere aliwaombaWaislam waweke matumaini yao kwa TANU ambayo itaanzisha mabadiliko ya lazimakuwainua Waislam kwenye nafasi za usawa pamoja na Wakristo mara tu uhuruutakapopatikana. Lakini hili, Nyerere aliwakumbusha Waislam mara kwa mara kuwalinaweza kufanyika tu kwenye Tanganyika huru na siyo chini ya utawala waKiingereza. Waislam katika TANU, kwa upande wao, waliamini kwamba ilikuwakinyume kwao kuanzisha chama cha kisiasa chini ya maslahi ya kikundi kimojakama ndiyo lengo la kudai uhuru. Hili, wengi waliamini, lingesaidia kuundavikundi vingi na kusababisha mfarakano. Kwa kweli madai yaliyokuwa yakitolewana AMNUT hayakuwa madai ambayo yangetolewa kwa TANU katika wakati ule. Vita vyamwaka 1947 kati ya India na Pakistanvilivyosababisha kupoteza maisha ya watu wengi, vilikuwa bado vinakumbukwa nawatu wengi. Chanzo cha ugomvi huo kilikuwa ushindani baina ya Waislam naWahindu. Kabla ya mwaka 1947 India na Pakistan zilikuwa nchi moja chini yaukoloni wa Mwingereza. Waislam na Wahindu walipigania uhuru pamoja nawalifarakana mara tu ilipokuwa wazi kuwa Uingereza ingetoa uhuru kwa India.Watu wengi nchini Tanganyika walihofia kwamba kuruhusu fikra kama zilezilizotolewa na Sheikh Takadir kuota mizizi kulikuwa kukaribisha ile hali yaIndia na Pakistan Tanganyika. Nyerere alionya kuwa hakutaka hali kama ile ijekuisibu Tanganyika."

Mohamed
 
Ogah, Sasa tuendelee tuko 1959 AMNUT ishaundwa ili kulinda maslahi ya Waislam katika Tangnayika huru...: "Lengo kuu la AMNUT lilikuwa ni kulindahaki na maslahi ya Waislam ambayo ilikuwa ikihisi yalikuwa hatarini katikaserikali iliyoshikiliwa na Wakristo... Mohamed
......
Mohamed Said;2590418]AMNUT ilipokuja viongozi hawa wa Kiislam walikiona chama kile kama nuksi inayotaka kuwabagua watu
kwa misingi ya dini na hivyo kuleta vita na kuwapa Waingereza sababu ya kutotoa uhuru.AMNUT ikapigwa vita na haikuweza kufanikiwa.Mohamed
?
 
Ogah,

Insha Allah nitajitahidi kujibu pale nitakapoweza.

Sasa tuendelee tuko 1959 AMNUT ishaundwa ili kulinda maslahi ya Waislam katika Tangnayika huru...:
"Lengo kuu la AMNUT lilikuwa ni kulindahaki na maslahi ya Waislam ambayo ilikuwa ikihisi yalikuwa hatarini katikaserikali iliyoshikiliwa na Wakristo. Abdulkarim alikwenda Tabora kujaribukutafuta kuungwa mkono AMNUT lakini matokeo yalikuwa ya kukatisha tamaa.Abdulkarim alichagua Tabora kwa sababu ilikuwa mahali penye athari kubwa yaUislamu. Hata hivyo Abdulkarim alifanikiwa kupokea mwaliko kutoka kwa AliMuhsin Al Barwani kiongozi wa Zanzibar Nationality Party (ZNP) ahudhuriemkutano wa kamati kuu na awakilishe suala la AMNUT. Mkutano huu ulifanyikakatika ofisi ya ZNP Darajani huko Zanzibar. Ali Muhsin alimwambia Abdulkarimkwamba ZNP haiwezi kujifungamanisha na tatizo la Uislam kwa sababu ZNP haikuwainaamini kama Ukristo una uwezo wa kuhatarisha Uislam hasa ukichukulia kuwaWaislam ni wengi nchini Tanganyika. Waislam wa Tanganyika walikataa kuiungamkono AMNUT wakihisi sera zake zilikuwa za kuwagawa watu kwa misingi ya dini.Kwa ajili hii basi AMNUT haikuwa na maslahi ya wananchi. Lakini pigo kubwa kwa AMNUT lilikujakutoka kwa masheikh wa Tanga. Masheikh na waalimu wa Qurían mjini Tanga walitiasahihi azimio la pamoja kuipinga AMNUT. Azimio hilo lilisema kuwa AMNUT ingezuajanga.

Mohamed

hapa inabidi utupatie ufafanuzi. Katika maandishi yako mengine huko nyuma ulisema kuwa Waislamu hawakuwa na tatizo na Nyerere kabla ya 1963 na kuwa ilikuwa ni 1963 pale Kamati Kuu ya TANU ilipovunja baraza la ushauri la wazee wa TANU lililowahi kuongozwa na Shehe Takadir na ambalo lilikuwa na Waislamu watupu. Lakini unasema AMNUT mwaka 1959 iliundwa kwa ajili ya maslahi ya Waislamu. Ina maana kabla ya 1963 na kusema kweli 1959 tayari kulikuwa na kundi la Waislamu ambalo lilikuwa linaona linakandamizwa na Wakristu. Sivyo?
 
Kwa maelezo ya Mohamed, baraza la wazee ndilo lilifanikisha safari ya kwanza ya mwalimu UN mwaka 1955.
Hadi mwaka 1963 baraza hilo lilikuwa la waislam tupu likiwa na idadi ya wajumbe 170.

Mwenyekiti wa baraza alikuwa sheikh Takadir, sina uhakika mwenyekiti wa chama cha TANU na rais hakuwa mjumbe!
Kwa vile lilikuwa na wajumbe 170 waislam watupu, na kamati kuu ilikuwa na asilimia 98 waislam watupu, ilikuwaje vyombo vyote viwili vyenye nguvu katika chama na serikali kuzidiwa nguvu na Nyerere peke yake kwa ushawishi wa kuvunja baraza. Je, ni Nyerere au ni waislam wakishirikiana na Nyerere waliovunja baraza la wazee la TANU. Ufafanuzi tafadhali
 
Namshukuru Mungu asiye na DINI. Kwenye sikukuu ya jana ujinga huu wa watu kubaguana, kuonewa, sikuuona wala kuusikia. Misikiti ilipambwa kwa kanzu na makoti ya bei mbaya. Mambo mengi alioyaandika Mohamed yalishapitwa na wakati. Yanapaswa kuwa historia kama yalikuwepo kweli.
 
Nguruvi3,

Umeuliza swali la msingi kabisa.
Nakuomba ufanye subira usome darsa zima ndipo utakujakuelewa hali ya siasa ilikuwaje wakati ule.

Nimeanza na ugomvi kati ya Sheikh Suleiman Takadir na Nyerere mwaka 1958. Hiki kisa TANU wakikiogopa hata kukieleza halikadhalika Nyerere mwenyewe kikimtia hofu.

Baada ya kueleza sintofahamu ile nimekuja kueleza kuanzishwa kwa AMNUT 1959 na nimemalizia kwa kueleza jinsi Waislam walivyokabiliana na matatizo hayo yote.

Sasa nataka kuingia kwenye Muslim Congress 1962 uhuru ushapatikana 1961 na yaliyofuatia.

Nina hakika maswali mengi yatapata majibu ndani ya historia hii ambayo kwa hakika huijui.

Nakuomba vuta subira hadi tufike mwisho Insha Allah.

WC,

Hiyo ndiyo dua yetu sote.
Historia kwa hakika hii nielezayo ishapita linalotukabili ni hii dhulma dhidi ya Waislam ndiyo tunayoomba isifumbiwe macho.

83% kwa 17% si uadilifu hata kidogo.

Mohamed
 
hapa inabidi utupatie ufafanuzi. Katika maandishi yako mengine huko nyuma ulisema kuwa Waislamu hawakuwa na tatizo na Nyerere kabla ya 1963 na kuwa ilikuwa ni 1963 pale Kamati Kuu ya TANU ilipovunja baraza la ushauri la wazee wa TANU lililowahi kuongozwa na Shehe Takadir na ambalo lilikuwa na Waislamu watupu. Lakini unasema AMNUT mwaka 1959 iliundwa kwa ajili ya maslahi ya Waislamu. Ina maana kabla ya 1963 na kusema kweli 1959 tayari kulikuwa na kundi la Waislamu ambalo lilikuwa linaona linakandamizwa na Wakristu. Sivyo?

MM,

Umeuliza swali la msingi kabisa.
Nakuomba ufanye subira usome darsa zima ndipo utakujakuelewa hali ya siasa ilikuwaje wakati ule.

Nimeanza na ugomvi kati ya Sheikh Suleiman Takadir na Nyerere mwaka 1958. Hiki kisa TANU wakikiogopa hata kukieleza halikadhalika Nyerere mwenyewe kikimtia hofu.

Baada ya kueleza sintofahamu ile nimekuja kueleza kuanzishwa kwa AMNUT 1959 na nimemalizia kwa kueleza jinsi Waislam walivyokabiliana na matatizo hayo yote.

Sasa nataka kuingia kwenye Muslim Congress 1962 uhuru ushapatikana 1961 na yaliyofuatia.

Nina hakika maswali mengi yatapata majibu ndani ya historia hii ambayo kwa hakika huijui.

Nakuomba vuta subira hadi tufike mwisho Insha Allah.

Mohamed
 
WC,

Hiyo ndiyo dua yetu sote.
Historia kwa hakika hii nielezayo ishapita linalotukabili ni hii dhulma dhidi ya Waislam ndiyo tunayoomba isifumbiwe macho.

83% kwa 17% si uadilifu hata kidogo.

Mohamed
Hata hiyo DHULMA sijui ni kwa lipi! Hiyo 83% kwa 17% nayo ni utata mtupu. Fafanua Mohamed. Ni katika yapi hasa, haya:
-Vyeo, madaraka, ajira?
-Nafasi za masomo sekondari, vyuoni?
-Viwanja, ardhi?
- NGOs, vyama vya siasa?
-Magazeti, redio, Tv, globu?
-Idadi ya waumini?
- Uanzishwaji na uendeshaji wa shule, vyuo?
-Tufute BAKWATA, TEC, TCC?
 
Nasema hivii, "Mwamedi Saidi ameshindwa na kujaribu kwa kila namna kukwepa kujibu maswsali na hoja husika kuhusu maandishi yake mwenyewe. Ushahidi usiopingika unaonyesha kuwa Mwamedi Saidi ni msomi feki kwa vigezo vyote vya viwango na usomi unaokubalika kimataifa isipokuwa labda vile vya madrassah."

Kwani usomi unapimwa na watu au kuna taasisi maalum za kuthibitisha usomi wako. Lakini vile vile siku zote dua la kuku halimpati mwewe.

Pole sana.
 
Hata hiyo DHULMA sijui ni kwa lipi! Hiyo 83% kwa 17% nayo ni utata mtupu. Fafanua Mohamed. Ni katika yapi hasa, haya:
-Vyeo, madaraka, ajira?
-Nafasi za masomo sekondari, vyuoni?
-Viwanja, ardhi?
- NGOs, vyama vya siasa?
-Magazeti, redio, Tv, globu?
-Idadi ya waumini?
- Uanzishwaji na uendeshaji wa shule, vyuo?
-Tufute BAKWATA, TEC, TCC?

WC,

Kamati Maalum ya Maandalizi ya Makongamano ya Waislam Dhidi Mfumokristo Tanzania imetoa kitabu "Mfumokristo na Dhulma Dhidi ya Haki za Waislam Nchini" kitabu kimeweka yote hayo wazi.

Softcopy itawekwa humu ukumbini Insha Allah kwa manufaa ya wote.

Tunasubiri kwa hamu ili mradi zisiwe ni haki zinazofanana na hizi Cameron anazowaombea hawa jamaa. Zisiirudishe nchi yetu kwenye DINI na UDINI.
 
MM,

Umeuliza swali la msingi kabisa.
Nakuomba ufanye subira usome darsa zima ndipo utakujakuelewa hali ya siasa ilikuwaje wakati ule.

Nimeanza na ugomvi kati ya Sheikh Suleiman Takadir na Nyerere mwaka 1958. Hiki kisa TANU wakikiogopa hata kukieleza halikadhalika Nyerere mwenyewe kikimtia hofu.

Baada ya kueleza sintofahamu ile nimekuja kueleza kuanzishwa kwa AMNUT 1959 na nimemalizia kwa kueleza jinsi Waislam walivyokabiliana na matatizo hayo yote.

Sasa nataka kuingia kwenye Muslim Congress 1962 uhuru ushapatikana 1961 na yaliyofuatia.

Nina hakika maswali mengi yatapata majibu ndani ya historia hii ambayo kwa hakika huijui.

Nakuomba vuta subira hadi tufike mwisho Insha Allah.

Mohamed

Ahali yangu,

Nimejifunza mengi sana kutokana na Makala yako mambo ambayo wengi wanaopenda kusoma kwa nia ya kufahamu basi darsa linakuwa zuri sana lakini kwa wale wanaosoma kwa nia ya kupinga basi itakuwa shida kwao. Kwani siku zote wao wanataka kurahisisha mambo kwa kutaka kutoa majibu rahisi kwa masuala mazito ulioandika kwa tafiti zako.

Kwa mtu makini, Hata Nyerere mwenyewe alikipata kitabu chako (kwani kilitoka zaidi ya miaka miwili kabla kufariki kwake, na ninavyomjua Nyerere alivyokuwa msomi wa vitabu laazima atakuwa amekisoma) Lakini hakuthubutu kuandika kupinga maandiko hayo.Kwani aljua ni lazima atulie na kufanya utafiti kidogo kabla kujibu au alikubaliana na kilichomo ndanimwe.

Mimi nakushauri tuendelee na mnakasha huu kwani tuna kiu ya kutaka kujua mengi.

Watu wengi wanaokupinga mimi kwa masuala yao wanaouliza utaona ima hawajakusoma vizuri au kutaka kupinga sababu ya uchache wa elimu hususan hii ya utafiti lakini pia kuguswa na kusukumwa na udini. Kupenda dhulma iendelee huko Tanzania.

Challenge ambazo wote tumewapa nao basi wafanye utafiti na kuuweka hapa barzani lakini hawana jipya. Kwani kuna nyanja nyingi na motion nyingi wanazoweza kuandika utafiti wao. Mtu anaweza kuandika kuhusu mchango wa Michezo hususan kandanda (simba na yanga) katika uhuru wa Tanganyika au hata mchango wa burudani kama taarabu katika uhuru wa tanganyika. Hivi vinaweza kuwa sawa na wewe ulipoamua kusema mchango wa wazee wako wa gerezani na kariakoo katika uhuru wa Tanganyika. Kwani nyanja hizo zote za kandanda (simba na yanga), au Taarabu historia yake imefichika na kujificha.

sasa zote kuna uwezekano mkubwa wa kuongeza kile kilichosahaulika na kufichwa kwa nia ya kuandika historia iliyo sahihi.
 
Ahali yangu,
Kwa mtu makini, Hata Nyerere mwenyewe alikipata kitabu chako (kwani kilitoka zaidi ya miaka miwili kabla kufariki kwake, na ninavyomjua Nyerere alivyokuwa msomi wa vitabu laazima atakuwa amekisoma) Lakini hakuthubutu kuandika kupinga maandiko hayo.Kwani aljua ni lazima atulie na kufanya utafiti kidogo kabla kujibu au alikubaliana na kilichomo ndanimwe.

Mimi nakushauri tuendelee na mnakasha huu kwani tuna kiu ya kutaka kujua mengi.

Watu wengi wanaokupinga mimi kwa masuala yao wanaouliza utaona ima hawajakusoma vizuri au kutaka kupinga sababu ya uchache wa elimu hususan hii ya utafiti lakini pia kuguswa na kusukumwa na udini. Kupenda dhulma iendelee huko Tanzania.

Challenge ambazo wote tumewapa nao basi wafanye utafiti na kuuweka hapa barzani lakini hawana jipya. Kwani kuna nyanja nyingi na motion nyingi wanazoweza kuandika utafiti wao. sasa zote kuna uwezekano mkubwa wa kuongeza kile kilichosahaulika na kufichwa kwa nia ya kuandika historia iliyo sahihi.
Wengine tumemsoma Mohamed miaka 20 iliyopita na tunamjua si kupitia mnakasha huu bali kwenye viwanja vingine.

Kama unakumbuka, Nyerere alipostaafu kila gazeti ndani na nje ya nchi, kila mwanasiasa kama Kambona, Fundikira, Katumbo Sanga n.k walitoa maneno makali sana ya kejeli dhidi yake. Hakuwahi kujibu tuhuma hizo kwasababu wakati mwingine ukibishana na Mjinga watu wanaweza wasielewe tofauti. Lakini pia Nyerere hana sababu ya kumjibu mtu kama Mohamed Said, dunia ndiyo inaweza kumjibia kama tuonavyo. Huyu ni moja ya wanasiasa maarufu wa karne wanaojulikana duniani, na ni haki kutojishughulisha na simulizi ziszo na majibu za Mohamed Said.

By the way, Nyerere ndiye mhusika alitakiwa afanye tafiti gani kumjibu Mohamed. Yeye amefanya kazi na Sykes hadi picha ya soksi ndeeeefu anayoongelea mtafiti Kiongozi Sheikh Mohamed kila siku ipo. Anayetakiwa kufanya utafiti ni yule aliyesimuliwa. Nyerere afanye ili iwe nini!!
Hivi inahitaji utafiti kumjibu Mohamed, tunahityaji taa ya kandili mchana maana mwanga uliopo hautoshi.

Ama kweli ukipenda chongo huita kengeza, licha ya wana jamvi kuonyesha udhaifu wa hali ya juu bado kuna watu wanaita masimulizi utafiti, sijui yale ya Dr Koch n.k tutaita nini.

Umeona jinsi tunavyovuta nyuzi zinazo contradict maneno ya mtafiti Sheikh Mohamed. Leo anaongea hili jioni neno lile lile analitolea maelezo tofauti. Mfano anasema AMNUT ilianzishwa kulinda masilahi ya waislam, halafu anasema waislam waliikataa kwasababu itakuwa udini.!!!????

Ahal wangu baru baru, rejea nyuzi uone jinsi Mzee wetu anavyojikanyaga. Hapa si pale gogo vivu, ni JF tunasoma maneno si mistari na tutakuwa naye samba samba ili kuhakikisha kuwa azma yake ya kuleta vurugu nchi haifanikiwi.

Endelea kukata kiu sisi tiulishakata kiu miaka 20 iliyopita kwa version ya english na kiswahili ,kwa makala Nasaha, Annur n.k. na wakti mwingine kumsikiliza mubashar, kama hatukumuelewa miaka 20 it is unlikely tutamwelewa leo.
Tunachojua, hakuna utafiti, ni hadithi za kusikia alizoshadidia na uongo uliopambwa kwa lugha nzuri mashallah. Tunachuja chuya na bahati mbaya mchele unaonekana kidogo sana.

Hatupingi simulizi zake na hutakatai anayosema, tunachokataa ni kile kisichokuwepo, au amekificha na uchochezi usio na shaka wa kutaka kulitumbukiza taifa katika matatizo kwa makusudi kabisa. Tupo naye ili historia isje muacha nje.
 
WC,

Kamati Maalum ya Maandalizi ya Makongamano ya Waislam Dhidi Mfumokristo Tanzania imetoa kitabu "Mfumokristo na Dhulma Dhidi ya Haki za Waislam Nchini" kitabu kimeweka yote hayo wazi.

Softcopy itawekwa humu ukumbini Insha Allah kwa manufaa ya wote.

Mohamed

Tunasubiri kwa hamu kubwa sana.
 
Wengine tumemsoma Mohamed miaka 20 iliyopita na tunamjua si kupitia mnakasha huu bali kwenye viwanja vingine.

Kama unakumbuka, Nyerere alipostaafu kila gazeti ndani na nje ya nchi, kila mwanasiasa kama Kambona, Fundikira, Katumbo Sanga n.k walitoa maneno makali sana ya kejeli dhidi yake. Hakuwahi kujibu tuhuma hizo kwasababu wakati mwingine ukibishana na Mjinga watu wanaweza wasielewe tofauti. Lakini pia Nyerere hana sababu ya kumjibu mtu kama Mohamed Said, dunia ndiyo inaweza kumjibia kama tuonavyo. Huyu ni moja ya wanasiasa maarufu wa karne wanaojulikana duniani, na ni haki kutojishughulisha na simulizi ziszo na majibu za Mohamed Said.

By the way, Nyerere ndiye mhusika alitakiwa afanye tafiti gani kumjibu Mohamed. Yeye amefanya kazi na Sykes hadi picha ya soksi ndeeeefu anayoongelea mtafiti Kiongozi Sheikh Mohamed kila siku ipo. Anayetakiwa kufanya utafiti ni yule aliyesimuliwa. Nyerere afanye ili iwe nini!!
Hivi inahitaji utafiti kumjibu Mohamed, tunahityaji taa ya kandili mchana maana mwanga uliopo hautoshi.

Ama kweli ukipenda chongo huita kengeza, licha ya wana jamvi kuonyesha udhaifu wa hali ya juu bado kuna watu wanaita masimulizi utafiti, sijui yale ya Dr Koch n.k tutaita nini.

Umeona jinsi tunavyovuta nyuzi zinazo contradict maneno ya mtafiti Sheikh Mohamed. Leo anaongea hili jioni neno lile lile analitolea maelezo tofauti. Mfano anasema AMNUT ilianzishwa kulinda masilahi ya waislam, halafu anasema waislam waliikataa kwasababu itakuwa udini.!!!????

Ahal wangu baru baru, rejea nyuzi uone jinsi Mzee wetu anavyojikanyaga. Hapa si pale gogo vivu, ni JF tunasoma maneno si mistari na tutakuwa naye samba samba ili kuhakikisha kuwa azma yake ya kuleta vurugu nchi haifanikiwi.

Endelea kukata kiu sisi tiulishakata kiu miaka 20 iliyopita kwa version ya english na kiswahili ,kwa makala Nasaha, Annur n.k. na wakti mwingine kumsikiliza mubashar, kama hatukumuelewa miaka 20 it is unlikely tutamwelewa leo.
Tunachojua, hakuna utafiti, ni hadithi za kusikia alizoshadidia na uongo uliopambwa kwa lugha nzuri mashallah. Tunachuja chuya na bahati mbaya mchele unaonekana kidogo sana.

Hatupingi simulizi zake na hutakatai anayosema, tunachokataa ni kile kisichokuwepo, au amekificha na uchochezi usio na shaka wa kutaka kulitumbukiza taifa katika matatizo kwa makusudi kabisa. Tupo naye ili historia isje muacha nje.

Je unaweza kutuwekea kitabu walichaoandika Kasanga Tumbo, Kambona au hata Fundikiri kuhusiana na uhuru wa Tanganyika. Maana yake naona unachanganya mambo makuu mawili, Mohojiano na utafiti.

Kumbuka mahojiano yanaongozwa na yule anayekuhoji kutegemea yeye amekusudia kupata nini cha kufurahisha yeye ikiwa pamoja na kuuza habari ile na mara zote anahojiwa mtu mmoja tu. tafiti ni kule kuwahoji watu mbalimbali zaidi ya mmoja kisha kuandika makala au kijitabu kuhusu tukio husika.

Lakini pia elewa kusudio zima la utafiti wa Mohamed Said ni kuijuza jamii ile historia au mchango wa wazee wake wa Kariakoo na gerezani katika uhuru wa Tanganyika. Sasa kutokana na historia hiyo kumeweka wazi na kumtaja Nyerere moja kwa moja naye kama kutokana na kutajwa kule kulikuwa kuna lugha za kuongezewa au kupunguziwa jambo dhidi yake na kwa sie tunavyomjua alivyokuwa anapenda kutukuzwa ( nakumbuka alipenda kusema kuwa zidumu fikra za mwenyekiti wa CCM hata zikiwa pumba)basi lazima angetia neno hapo.

lakini kwa kuwa alikaa kimya hata kwenye hotba zake hajagusia kupinga basi pasi na shaka yoyote kilichoandikwa kitakuwa kimesahaulika na hivyo ni budu kiongezewe kwenye historia yenu.

Sioni kwa nini watu wanakuwa wabishi wa kuelewa na kusikiliza darsa mwanzo mpaka mwisho kabla kuleta masuala yenye muelekeo na muono wa kisomi zaidi kuli yale ya kejeli.
 
Back
Top Bottom