Historia ya Uhuru isimuliwavyo na Mohammed Said yakosolewa

Nyerere amhoji nini na Mohamed Said kashusha "nyundo" wakati Nyerere yu hai na kisha kujibu Profeessor Haroub akamwambia Nyerere ajibu, Nyerere akabana, analo jibu? ulitaka ujibiwe nini zaidi? na mmoja wenu aliuliza kuhusu hilo la Nyerere kuulizwa na Professor Haroub, akapewa jibu ya kitabu na kinakopatikana yaliyopo hayo maneno, vipi mmehakiki kuwa ni sawa au si sawa? hamjarudi, mnazunguka. Hoja hujibiwa na hoja na si viroja.
Alimhoji Fundikira, Mama Maria, Salim, Mwinyi, Malima, Jumbe, Natepe, Moyo, Kyaruzi, Kirlo. Umeulizwa lini aliomba kukutana na Nyerere. Kama hakuweza kumtafuta marhum Fundikira mtaani alikuwa na hoja ya kumtafuta Nyerere kweli.

Alimhoji Kitundu au Rajabu Diwani. Watu wote anaosema habari zao ni marehemu ndio nafasi ya kuwasingizia kwani hawapo.
Walio hai hawezi kwasababu msomi kama Shivji atamwambia ukweli.

Tena bahati mbaya kwa kughafilikiwa ameanza mpango wa kuwasingizi walio hai kama Nyerere Foundation. Mohamed akina Salim na Butiku wapo hai wazee wetu hawa, tafadhali ndugu yangu.

Sasa anatoa ushahidi, yeye ni kiongozi wa waislam, sijui waislam walimchagu wapi na kwanini ajifiche hadi pale maneno yanapomponyoka, maana ni huyo huyo Mohamed alisema hataki BAKWATA, sasa hao si waislam. Yeye ni kiongozi wa kundi gani katika yale ninayoyataja kila siku. Ameshakiri kuwa anaandika historia ya Wazee wake na mtaa wa kipata na Gerezani(ushahidi), akakiri kuwa anaandika historia ya Uislam. Hayo yote hakuna tabu ana haki kama raia mwingine. Asichoandika ni historia ya Tanganyika na tusichokitaka ni kutumia majina ya dini kwa ajenda za kisiasa, kutumia historia kwa kuleta mfarakano. Haya hatuyakubali Watanzania.

Anayedhani ni uongo, muulizeni Mohamed kama si kweli kakiri.
 
Basi hata kuna mjadala? nimepitia kusoma hizo posts na hakuna yoyote ambayo naweza kusema inahitaji maelezo ya ziada ndio maana nikaziachia.

Umeridhiika "radhia tan maridhia" si ungempa japo Mohamed Said Ahsante kwa kukupa darsa basi, ikiwa umekishi kiu yako mpaka ukaamuwa "hakuna" unayoweza "kusema inahitaji maelezo ya ziada" inabidi ungetoa japo ahsante, ni uungwana tu. Hizo ulizoteremshiwa ukakosa la kusema ndio mimi huziita NYUNDO.
 
Asichoandika ni historia ya Tanganyika na tusichokitaka ni kutumia majina ya dini kwa ajenda za kisiasa, kutumia historia kwa kuleta mfarakano. Haya hatuyakubali Watanzania.

Umesema kwa maneno machache ambayo yangetosha kumaliza mjadala. Kama Bw. Said anataka kuwaandikia Waislamu tu na ni historia ya Waislamu na mchango wao katika uhuru hilo sawa lakini akiisha dai kuwa anaandika historia ya Tanganyika hawezi tena kuzuia watu wengine kuihoji. Na hata akiandika historia ya Uislamu katika Tanganyika bado kanuni ni zile zile ni lazima awe mkweli wa historia.
 
Alimhoji Fundikira, Mama Maria, Salim, Mwinyi, Malima, Jumbe, Natepe, Moyo, Kyaruzi, Kirlo. Umeulizwa lini aliomba kukutana na Nyerere. Kama hakuweza kumtafuta marhum Fundikira mtaani alikuwa na hoja ya kumtafuta Nyerere kweli.

Alimhoji Kitundu au Rajabu Diwani. Watu wote anaosema habari zao ni marehemu ndio nafasi ya kuwasingizia kwani hawapo.
Walio hai hawezi kwasababu msomi kama Shivji atamwambia ukweli.

Tena bahati mbaya kwa kughafilikiwa ameanza mpango wa kuwasingizi walio hai kama Nyerere Foundation. Mohamed akina Salim na Butiku wapo hai wazee wetu hawa, tafadhali ndugu yangu.

Sasa anatoa ushahidi, yeye ni kiongozi wa waislam, sijui waislam walimchagu wapi na kwanini ajifiche hadi pale maneno yanapomponyoka, maana ni huyo huyo Mohamed alisema hataki BAKWATA, sasa hao si waislam. Yeye ni kiongozi wa kundi gani katika yale ninayoyataja kila siku. Ameshakiri kuwa anaandika historia ya Wazee wake na mtaa wa kipata na Gerezani(ushahidi), akakiri kuwa anaandika historia ya Uislam. Hayo yote hakuna tabu ana haki kama raia mwingine. Asichoandika ni historia ya Tanganyika na tusichokitaka ni kutumia majina ya dini kwa ajenda za kisiasa, kutumia historia kwa kuleta mfarakano. Haya hatuyakubali Watanzania.

Anayedhani ni uongo, muulizeni Mohamed kama si kweli kakiri.

Kwanini ulazimishe akawaulize wote hao? kama "Nyundo" zake zinafuliwa kwingine kwanini wewe utake aende kwa mhunzi wako au kwanini hajaenda kwa mhunzi wako? Nani kamuuliza nani hajamuuliza si hoja hiyo, hao walioandika historia kutoka Kigamboni waliwafuata wote hao kuwauliza? au waliwafuata aliowafuata Mohamed Said? kila mtu ana "sources" zake za kupatia information.

Kumbuka Mohamed Said kaandika historia na si "news", ulitaka amuulize Nyerere kuhusu kuanzishwa kwa AA au TAA angeyajuwa? wakati hayo yameanzishwa hata Nyerere hajafika Dar kutoka Butima. Ulitaka Mohamed Said akamuulize Salim Ahmed Salim kuhusu Mashado Plantan? hivi unaelewa haswa unachokiuliza au ili mradi uulize tu?

Hivi mbona anaposema kuna data zimenyofolewa kwenye National Archive ambazo ni za historia ya nchi hii hamuulizi kwanini zimenyofolewa? na nani aliyezinyofoa na kwa nini Serikali isijibu, ikiwa vitu na nyaraka muhimu zinapotea mikononi mwa Serikali katika kitengo cha kutunza Nyaraka zinaondolewa bila taarifa wala "trace" halafu mnataka "source" ziwe kwa haohao wenye dhamana ya kutunza nyaraka na zinanyofolewa na hawatoi jibu? Kuweni realistic japo kidogo.
 
Hujakatazwa kuhoji na ndio maana Mohamed Said yupo hapa kujibu hoja. Na unapojibiwa hoja usikae kimya, uje kama ulivyokuja baada ya mimi kuku-press sana, ukakiri kuwa baada ya hoja ya Mohamed Said ukawa huna tena la kuongeza katika hilo. Sasa uende kwa hoja na si viroja usizunguke zunguke leta hoja ujibiwe, ukiwa huna la ziada katika majibu useme kama ulivyosema hapo juu. Ukiwa na ziada uendelee kuuliza au kuleta hoja mbadala katika mada, hapo ndio mnakasha unaponoga na kila mtu anaondoka karidhika, lakini unapopotosha (post #162) (maana lile lilikuwa si swali) ukapewa ukweli ulivyo (Nyundo) (post #167) ukaingia mitini, kimyaaaa, aaaahhhh mpaka kuna mtu aka "comment" humu akisema leo mwanakijiji anaoneka "amateur". Unajuwa kwa nini alisema hivyo? huna haja ya kunijibu, jibu mimi nnalo.
 
Vipi, nimekushika pazuri?

Mm, hayo ya kushikana tena, hapana !

FaizaFoxy, ngoja nikupe angalizo moja.

Wakati tunapata uhuru;

  • Dar es Salaam ilikuwa na watu chini ya 200,000.
  • Tanganyika ilikuwa na watu karibu karibu 9,000,000
Lakini hivi sasa;

  • Dar es Salaam ina watu wanaokaribia 4,000,000
  • Tanzania hata hivyo ina watu karibu ya 40,000,000
Try and do the maths - ni hayo tu.
 
Alimhoji Fundikira, Mama Maria, Salim, Mwinyi, Malima, Jumbe, Natepe, Moyo, Kyaruzi, Kirlo. Umeulizwa lini aliomba kukutana na Nyerere. Kama hakuweza kumtafuta marhum Fundikira mtaani alikuwa na hoja ya kumtafuta Nyerere kweli.

Alimhoji Kitundu au Rajabu Diwani. Watu wote anaosema habari zao ni marehemu ndio nafasi ya kuwasingizia kwani hawapo.
Walio hai hawezi kwasababu msomi kama Shivji atamwambia ukweli.

Tena bahati mbaya kwa kughafilikiwa ameanza mpango wa kuwasingizi walio hai kama Nyerere Foundation. Mohamed akina Salim na Butiku wapo hai wazee wetu hawa, tafadhali ndugu yangu.

Sasa anatoa ushahidi, yeye ni kiongozi wa waislam, sijui waislam walimchagu wapi na kwanini ajifiche hadi pale maneno yanapomponyoka, maana ni huyo huyo Mohamed alisema hataki BAKWATA, sasa hao si waislam. Yeye ni kiongozi wa kundi gani katika yale ninayoyataja kila siku. Ameshakiri kuwa anaandika historia ya Wazee wake na mtaa wa kipata na Gerezani(ushahidi), akakiri kuwa anaandika historia ya Uislam. Hayo yote hakuna tabu ana haki kama raia mwingine. Asichoandika ni historia ya Tanganyika na tusichokitaka ni kutumia majina ya dini kwa ajenda za kisiasa, kutumia historia kwa kuleta mfarakano. Haya hatuyakubali Watanzania.

Anayedhani ni uongo, muulizeni Mohamed kama si kweli kakiri.

Ndio maana nawaambia Uislaam hamuujuwi, kuwa kiongozi wa Kiislaam hakuna ulazima wa kuitisha kura ukachaguliwa au barua itoke vatikan kukupa uongozi, la hasha, Waislaam hatuna hiyo. Ndio maana mpaka leo Muislaam yoyote anaweza kuwa Imaam (kiongozi) na akawaongoza wengine bila kuchaguliwa na bila kuwa na chama wala mrengo wowote ule, vigezo vyetu tunavyo ukivitaka visome utavipata sitaki kuvianzisha hapa iwe ndio "route" ya kuchomokea. Hapa nakupa darsa dogo tu uelewe kuwa hilo unaloliuliza wewe halina "validity" katika Uislaam. Sidanganyiiiki.
 
Kwanini ulazimishe akawaulize wote hao? kama "Nyundo" zake zinafuliwa kwingine kwanini wewe utake aende kwa mhunzi wako au kwanini hajaenda kwa mhunzi wako? Nani kamuuliza nani hajamuuliza si hoja hiyo, hao walioandika historia kutoka Kigamboni waliwafuata wote hao kuwauliza? au waliwafuata aliowafuata Mohamed Said? kila mtu ana "sources" zake za kupatia information.

Kumbuka Mohamed Said kaandika historia na si "news", ulitaka amuulize Nyerere kuhusu kuanzishwa kwa AA au TAA angeyajuwa? wakati hayo yameanzishwa hata Nyerere hajafika Dar kutoka Butima. Ulitaka Mohamed Said akamuulize Salim Ahmed Salim kuhusu Mashado Plantan? hivi unaelewa haswa unachokiuliza au ili mradi uulize tu?

Hivi mbona anaposema kuna data zimenyofolewa kwenye National Archive ambazo ni za historia ya nchi hii hamuulizi kwanini zimenyofolewa? na nani aliyezinyofoa na kwa nini Serikali isijibu, ikiwa vitu na nyaraka muhimu zinapotea mikononi mwa Serikali katika kitengo cha kutunza Nyaraka zinaondolewa bila taarifa wala "trace" halafu mnataka "source" ziwe kwa haohao wenye dhamana ya kutunza nyaraka na zinanyofolewa na hawatoi jibu? Kuweni realistic japo kidogo.

FF,

Hakika wewe ni kiboko jibu msumari kabisa lakini hapa nitaongeza kitu kidogo kuhusu kumhoji Nyerere.

Kuna mmoja wa watoto wa rafiki ya Nyerere nilifanyanae mahojiano. Wakati wa harakati yeye alikuwa na fahamu zake na akiwajua vyema wote Nyerere na Abdu Sykes.

Huyu bwana akanipa ushauri kuwa kwa kuwa naandika kitabu cha historia ya uhuru ni lazima nimuhoji Nyerere. Akajitolea kunifanyia miadi.

Huyu bwana hakurudi kwangu hadi leo na tunaonana. Kwa kuwa mimi nilikuwa najua somo hilo kwa Nyerere ni kiti nyeti sikuona haja ya kumfedhehesha huyu ndugu yangu.

Kitabu kilipotoka alinambia, "Mohamed kitabu kizuri lakini maswali yote uliyouliza mle hakuna wa kukujibu."

Huyu bwana aliyejitolea kunifanyia ile miadi baba yake ni mmoja wa "great intellectulas of the 1950s" ukiwa mtu ana akili ya kudodosa na umekisoma kitabu changu atakuwa ushamtambua ni nani.

Insha Allah nitakuja wakati ukiwadia kueleza vipi kitabu kilimfikia Nyerere na baada ya kusoma alisema nini.

Mohamed
 
Mm, hayo ya kushikana tena, hapana !

FaizaFoxy, ngoja nikupe angalizo moja.

Wakati tunapata uhuru;

  • Dar es Salaam ilikuwa na watu chini ya 200,000.
  • Tanganyika ilikuwa na watu karibu karibu 9,000,000
Lakini hivi sasa;

  • Dar es Salaam ina watu wanaokaribia 4,000,000
  • Tanzania hata hivyo ina watu karibu ya 40,000,000
Try and do the maths - ni hayo tu.

Nakurudisha tena kwenye maswali yangu, tafadhali nijibu ili tuendelee:

quote_icon.png
By Mag3

Kitu kimoja nilicho na hakika nacho kwa asilimia 100% ni kwamba wale wote wenye mapenzi ya kweli kwa taifa letu la Tanzania wanasita sana kuchangia hii hoja inayofinyangwafinyangwa na huyu anayejiita Mohamed Said.
Mag3, napitia "nondo" zako na nataka ufafanuzi:

1) Naomba tuonyeshe ni wapi hoja imefinyangwafinyangwa.

2) Huyo hajiiti, bali sisi ndio humuita jina lake alilopewa kwao. Hivi wewe hujiita mwenyewe?

Twende taratibu tutafika. Usinijazie mlolongo wa maandishi mpaka nikashindwa kukuelewa ndio maana nafupisha "nondo" zako ili tuzichambuwe kwa raha kabisa.
 
FF,

Hakika wewe ni kiboko jibu msumari kabisa lakini hapa nitaongeza kitu kidogo kuhusu kumhoji Nyerere.

Kuna mmoja wa watoto wa rafiki ya Nyerere nilifanyanae mahojiano. Wakati wa harakati yeye alikuwa na fahamu zake na akiwajua vyema wote Nyerere na Abdu Sykes.

Huyu bwana akanipa ushauri kuwa kwa kuwa naandika kitabu cha historia ya uhuru ni lazima nimuhoji Nyerere. Akajitolea kunifanyia miadi.

Huyu bwana hakurudi kwangu hadi leo na tunaonana. Kwa kuwa mimi nilikuwa najua somo hilo kwa Nyerere ni kiti nyeti sikuona haja ya kumfedhehesha huyu ndugu yangu.

Aah wapi!! Wewe mwenyewe hukufanya jitihada ya kumhoji Nyerere unasubiri watu wengine wafanye umemtaja Prof. Othman sasa unatutajia mtu asiye na jina na ambaye huwezi kumtaja kwani tunaweza kumuuliza kama kweli alipanga kukufanya mihadi au hata alijaribu na kwanini haikufanikiwa. Mzee Said nina uhakika huyo bwana akitutoka utamtaja kwa jina kwa sababu hatutaweza kumuuliza.

Kitabu kilipotoka alinambia, "Mohamed kitabu kizuri lakini maswali yote uliyouliza mle hakuna wa kukujibu."

na sisi tunatakiwa kuamini ndivyo alivyosema hivyo kwa sababu umetutaarifu hivyo?

Huyu bwana aliyejitolea kunifanyia ile miadi baba yake ni mmoja wa "great intellectulas of the 1950s" ukiwa mtu ana akili ya kudodosa na umekisoma kitabu changu atakuwa ushamtambua ni nani.
Sidhani kama huyu mtu yupo angejali sana kutajwa hasa kama ni mtu ambaye a. kweli alikuwa na nafasi ya kuwea kukuunganisha na Nyerere kuliko mtu mwingine yeyote na b. kwa vile mtu huyu hawezi kuhojiwa hawezi kuwa shahidi.

Insha Allah nitakuja wakati ukiwadia kueleza vipi kitabu kilimfikia Nyerere na baada ya kusoma alisema nini.

Mohamed

Aah wapi! hukumhoji. Je tangu uandikie kitabu mwaka 1998 umejaribu kunana na Mama Maria Nyerere ambaye aliwajua wazee wako bila ya shaka na alimjua Mwalimu na Abdulwahid vizuri tu?
 
Ndio maana nawaambia Uislaam hamuujuwi, kuwa kiongozi wa Kiislaam hakuna ulazima wa kuitisha kura ukachaguliwa au barua itoke vatikan kukupa uongozi, la hasha, Waislaam hatuna hiyo. Ndio maana mpaka leo Muislaam yoyote anaweza kuwa Imaam (kiongozi) na akawaongoza wengine bila kuchaguliwa na bila kuwa na chama wala mrengo wowote ule, vigezo vyetu tunavyo ukivitaka visome utavipata sitaki kuvianzisha hapa iwe ndio "route" ya kuchomokea. Hapa nakupa darsa dogo tu uelewe kuwa hilo unaloliuliza wewe halina "validity" katika Uislaam. Sidanganyiiiki.

Faiza,

Ungelikuwa mwanamme ningelikuvisha kilemba na kukupa kashda.

Somesha mwanangu somesha...wape urithi wa mtukufu wa darja.

Mimi nikifika hafla yoyote ya Waislam basi wakiniona nyuma hunivuta mbele na kama ni maulid huwekwa
sawasawa na kinara katikati ya masheikh wakubwa ambao mimi siwezi hata kubeba viatu vyao.

Mimi najua kwa nini wanafanya hivi na nashukuru kuwa ndugu zangu wananipenda.

Mimi sijaalikwa na BAKWATA tu hao ndiyo "wasonijua."

Mohamed
 
Umesema kwa maneno machache ambayo yangetosha kumaliza mjadala. Kama Bw. Said anataka kuwaandikia Waislamu tu na ni historia ya Waislamu na mchango wao katika uhuru hilo sawa lakini akiisha dai kuwa anaandika historia ya Tanganyika hawezi tena kuzuia watu wengine kuihoji. Na hata akiandika historia ya Uislamu katika Tanganyika bado kanuni ni zile zile ni lazima awe mkweli wa historia.

Hii ni tuhuma nzito sana, tafadhali tuoneshe ni wapi Mohamed Said hajawa "mkweli" katika aliyoyaandika.
 
Alimhoji Fundikira, Mama Maria, Salim, Mwinyi, Malima, Jumbe, Natepe, Moyo, Kyaruzi, Kirlo. Umeulizwa lini aliomba kukutana na Nyerere. Kama hakuweza kumtafuta marhum Fundikira mtaani alikuwa na hoja ya kumtafuta Nyerere kweli.

Alimhoji Kitundu au Rajabu Diwani. Watu wote anaosema habari zao ni marehemu ndio nafasi ya kuwasingizia kwani hawapo.
Walio hai hawezi kwasababu msomi kama Shivji atamwambia ukweli.

Tena bahati mbaya kwa kughafilikiwa ameanza mpango wa kuwasingizi walio hai kama Nyerere Foundation. Mohamed akina Salim na Butiku wapo hai wazee wetu hawa, tafadhali ndugu yangu.

Sasa anatoa ushahidi, yeye ni kiongozi wa waislam, sijui waislam walimchagu wapi na kwanini ajifiche hadi pale maneno yanapomponyoka, maana ni huyo huyo Mohamed alisema hataki BAKWATA, sasa hao si waislam. Yeye ni kiongozi wa kundi gani katika yale ninayoyataja kila siku. Ameshakiri kuwa anaandika historia ya Wazee wake na mtaa wa kipata na Gerezani(ushahidi), akakiri kuwa anaandika historia ya Uislam. Hayo yote hakuna tabu ana haki kama raia mwingine. Asichoandika ni historia ya Tanganyika na tusichokitaka ni kutumia majina ya dini kwa ajenda za kisiasa, kutumia historia kwa kuleta mfarakano. Haya hatuyakubali Watanzania.

Anayedhani ni uongo, muulizeni Mohamed kama si kweli kakiri.

Nafikiri ndugu yangu hapa unaonyesha kuwa umekata tamaa kabisa na kuonyesha wazi kuwa umekosa suala au uvumilivu katika kupata darsa hii.

Napenda nikurejeshe katika nutufa nzima ya uandishi na mapokeo hususan wa makala kama hii. Makala hizi ambayo Sheikh wetu Mohamed Said ameiweka kwetu ni ya kichunguzi wa udadisi kuhusu historia ya Tanganyika na ametoa reference zake na sources zake.

Tunaamini kuwa darsa hususan ya historia mara nyingi tunapata kutokana na simulizi mbalimbali za wazee ikiwa pamoja na matukio malimbali ya kihistoria na maandiko mbalimbali ya mambo ya zamani. napenda kukujuza alichofanya Mohamed Said na kupitia nyanja hizo zote na kuweka makala yake na kuandika kitabu kama fasihi andishi ambayo kila mtu atakuwa na haki kamili ya kuisoma na kuweza kuuliza suala kama analo lakini pia kupingana nae kwa baadhi ya mambo kama unaona ameandika ndivyo sivyo.

Sasa ni wajibu wako kwa kuona kuwa amewahoji watu ambao wewe unahisi kuwa hawakuwa wazuri katika kutoa hicho alichoandika wakati huo huo wewe unaowatu unaojuwa kabisa kuwa ni watu makini. Ni wajibu wako kuwaendea watu hao na kuwahoji na kupata maelezo yao na kama kweli utakuwa muungwa na kutaka kuitendea haki jamii basi nawe utoe kitabu chako au hata makala yako kupingana na Mohamed said.

Napenda kukujuza kuwa elimu si darasani tu hata mitaani kuna elimu inapatikana suala ni wewe kuamua ni kipi sahihi unachohitaji. barzani tupo wengi tunasoma mjadala huu na kujifunza mengi sana na tutazidi kufurahi kama na wewe au hata mimi kama napinga jambo basi nilifanie kazi kwa kuhoji au kudadisi kwa wazee watano au sita kisha kuleta hoja yenye mashiko katika kupinga jambo.
na kama unaona historia hiyo inakukera kwa namna yoyote ni vizuri ukae kimya na kusoma tu pasi na ku comment chochote kwa nia ya kuelewa na pindi ukipata nafasi basi utadadisi katika kuelewa zaidi.

Mwisho ningefurahi sana kama ungewahoji hao wazee nilio bold hapo juu wakupe ukweli kuthibitisha au kukanusha hichi alichoeleza Mohamed said.

Kila lenye kheir
 
Aah wapi!! Wewe mwenyewe hukufanya jitihada ya kumhoji Nyerere unasubiri watu wengine wafanye umemtaja Prof. Othman sasa unatutajia mtu asiye na jina na ambaye huwezi kumtaja kwani tunaweza kumuuliza kama kweli alipanga kukufanya mihadi au hata alijaribu na kwanini haikufanikiwa.

mtu yupo angejali sana kutajwa hasa kama ni mtu ambaye a. kweli alikuwa na nafasi ya kuwea kukuunganisha na Nyerere kuliko mtu mwingine yeyote na b. kwa vile mtu huyu hawezi kuhojiwa hawezi kuwa shahidi.

Aah wapi! hukumhoji. Je tangu uandikie kitabu mwaka 1998 umejaribu kunana na Mama Maria Nyerere ambaye aliwajua wazee wako bila ya shaka na alimjua Mwalimu na Abdulwahid vizuri tu?

Mwanakijiji,

Siku nyingi nishakueleza kuwa usijitaabishe. Huna ulazima wa kuniamini.
Lakini nitakuambia kitu kimoja hapa ukumbini.

Darsa ninalotoa wengi wamenufaika watanyanyuka jamvini watu wajuzi wa
historia ya uhuru wa Tanganyika.

Huyo sikumweka jina kwa uungwana lakini nakuongeza kitu katika huyo ndugu
yangu yeye alikuwa mmoja wa "couriers" wa makaratasi ya TAA kutoka kwa baba
yake akiyachukua kwenye begi lake la nguo wakati wa likizo akija Dar es Salaam
kwa Abdulwahid na basi maarufu la wakati ule AK Nanji.

Katika uandishi kuna adab zake humtaji mtu jina lake mpaka mwenyewe apende
vinginevyo unaweza kumfedhehesha bure.

Mohamed
 
Mohamed Said kuna swali nimekuuliza post #512 hujanijibu bado!
 
Aah wapi!! Wewe mwenyewe hukufanya jitihada ya kumhoji Nyerere unasubiri watu wengine wafanye umemtaja Prof. Othman sasa unatutajia mtu asiye na jina na ambaye huwezi kumtaja kwani tunaweza kumuuliza kama kweli alipanga kukufanya mihadi au hata alijaribu na kwanini haikufanikiwa. Mzee Said nina uhakika huyo bwana akitutoka utamtaja kwa jina kwa sababu hatutaweza kumuuliza.

na sisi tunatakiwa kuamini ndivyo alivyosema hivyo kwa sababu umetutaarifu hivyo?

Sidhani kama huyu mtu yupo angejali sana kutajwa hasa kama ni mtu ambaye a. kweli alikuwa na nafasi ya kuwea kukuunganisha na Nyerere kuliko mtu mwingine yeyote na b. kwa vile mtu huyu hawezi kuhojiwa hawezi kuwa shahidi.

Aah wapi! hukumhoji. Je tangu uandikie kitabu mwaka 1998 umejaribu kunana na Mama Maria Nyerere ambaye aliwajua wazee wako bila ya shaka na alimjua Mwalimu na Abdulwahid vizuri tu?

Hivi kwanini usichukue nafasi hii adimu kwenda Kuwa hoji hao unaosema ili wao nao waje na upande wao wa hadithi alafu utekee hapa tuone kipi kweli na kipi uongo?kukazania kwamba MS ni mzushi hauta eleweka kwani kunabaadhi yetu hapa tunajua ya MS kabla hata yeye hajayaleta.
Kwakua wewe unao watu ambao unadai maelezo yao hata kua "hearsay" nenda upate maelezo yao kwani "angles" tayari MS ameshakupa.baadae kwa kutumia ujuzi wako na ile "radio" sijui podcast yako utatuwekea hata sauti achilia mbali maelezo
 
Jasusi rudia topic ili ujue hoja kamili ya hii article.

Kuwa na mfumo kristo au secular siyo hoja- muhimu ni kuwa na mfumo ambao una haki, usiokuwa na dhulma. Wakristo, Waislam na binadamu sote tuna agenda moja- maisha mazuri kwa raia wote bila ya ubaguzi wowote.

Waislamu wanapigania haki yao ya msingi; na dhulma inayofanywa kwa misingi ya ubaguzi wa Kidini. Waislamu wanataka system yenye haki bila ya kuwa na upendeleo wowote.

USA walikuwa na Civil Right movement in 1961-1969 kupigania haki za msingi kwa raia wote bila ya kujali rangi zao, dini zao, au gender zao. Kabla ya Uhuru Tanganyika ilikuwa na issue kama hiyo. Waislam wakawa kipaumbele ktk Uhuru-lakni matokeo yake Nyerere akawatosa.

Sasa hivi Muslims wanataka another Independent ambayo itawakomboa ktk system hii ya dhulma.

Haya sasa, tazama watu kama hawa wasio na uwezo wa kutafuna kabla ya kumeza wanavyoziamini hizi porojo za kichochezi anazoziendeleza huyo anayejiita Mohamed Said. Eti wazee wake Mohamed Said wa Gerezani ndio walioanzisha TAA, duh ! Hawa wapiga debe wa Mohamed Said naona alisahau kuwaandaa, wamebaki wanakurupuka kwa kudakia wasioyajua.

Hivi kwanini usichukue nafasi hii adimu kwenda Kuwa hoji hao unaosema ili wao nao waje na upande wao wa hadithi alafu utekee hapa tuone kipi kweli na kipi uongo?kukazania kwamba MS ni mzushi hauta eleweka kwani kunabaadhi yetu hapa tunajua ya MS kabla hata yeye hajayaleta. Kwakua wewe unao watu ambao unadai maelezo yao hata kua "hearsay" nenda upate maelezo yao kwani "angles" tayari MS ameshakupa.baadae kwa kutumia ujuzi wako na ile "radio" sijui podcast yako utatuwekea hata sauti achilia mbali maelezo

Sanda Matuta, hivi ni kitu gani hakieleweki hapa ? Mchochezi Mohamed Said yeye reference yake ni wazee wake ambao hatuwezi kuwahoji kwa sababu ni marehemu. Walio hai hathubutu kuwahoji kwa sababu anajua mengi ya anayodai kusimuliwa si kweli na yametiwa chumzi.
 
Aah wapi!! Wewe mwenyewe hukufanya jitihada ya kumhoji Nyerere unasubiri watu wengine wafanye umemtaja Prof. Othman sasa unatutajia mtu asiye na jina na ambaye huwezi kumtaja kwani tunaweza kumuuliza kama kweli alipanga kukufanya mihadi au hata alijaribu na kwanini haikufanikiwa. Mzee Said nina uhakika huyo bwana akitutoka utamtaja kwa jina kwa sababu hatutaweza kumuuliza.

na sisi tunatakiwa kuamini ndivyo alivyosema hivyo kwa sababu umetutaarifu hivyo?

Sidhani kama huyu mtu yupo angejali sana kutajwa hasa kama ni mtu ambaye a. kweli alikuwa na nafasi ya kuwea kukuunganisha na Nyerere kuliko mtu mwingine yeyote na b. kwa vile mtu huyu hawezi kuhojiwa hawezi kuwa shahidi.

Aah wapi! hukumhoji. Je tangu uandikie kitabu mwaka 1998 umejaribu kunana na Mama Maria Nyerere ambaye aliwajua wazee wako bila ya shaka na alimjua Mwalimu na Abdulwahid vizuri tu?

Mwanakijiji,

Kila wakti nimekuwa nakurudisha katika miiko na kanuni za kiuandishi kwa kuamini ni mwandishi wa habari na labda inakuwa imekupuruchuka na kujaribu kukukumbusha.

lakini sasa narudia kuamini kile ambacho waandishi wengi hususan wa Tanzania ni wapenzi sana wa kuandika habari za matukio na habari. Na mara nyingi sana wana kwepa kuandika makala za kiuchunguzi. Sasa kama hufahamu kaanun na taratibu za kuandika makala za kichunguzi basi ndio maana unauliza kile unachouliza.

lakini katika makala yoyote nawe una nafasi kukubaliana nayo au hata kupingana nayo cha msingi nawe inakupasa ufanye uchunguzi wa kile kilichoandikwa kwa kutafuta sources na references mbalimbali.

nakupa darsa kabla hujahukumu basi lete reference au hata source uliyotumia kupinga makala hii.

Nakukumbusha uandishi ni ethics na rules.
 
Hivi kwanini usichukue nafasi hii adimu kwenda Kuwa hoji hao unaosema ili wao nao waje na upande wao wa hadithi alafu utekee hapa tuone kipi kweli na kipi uongo?kukazania kwamba MS ni mzushi hauta eleweka kwani kunabaadhi yetu hapa tunajua ya MS kabla hata yeye hajayaleta.
Kwakua wewe unao watu ambao unadai maelezo yao hata kua "hearsay" nenda upate maelezo yao kwani "angles" tayari MS ameshakupa.baadae kwa kutumia ujuzi wako na ile "radio" sijui podcast yako utatuwekea hata sauti achilia mbali maelezo

Sanda ndugu yangu,

Hujawaelewa hawa kwani tangia thread nyengine wengine tulishaiona farasa ya mbali kuwa nia na madhumuni yao ni kutafuta weakness za habari hii ili kuifanya haina maana. Wanajua anachozungumzia MS ni 100% true ila kwasababu wao hawataki kusikia hilo ndio unaona kila mmoja anajitutumua kuuliza mahali anapohisi kuna mapungufu. Niliwauliza kule thread nyengine je Professor Susan naye mzushi aliyepata PhD ya historia kuandika maisha ya bibi titi mohamed? Niliwauliza Professor Thomas naye alikuwa mzushi kwa kupata PhD yake katika historia kwa kuandika ubaguzi uliokuwa ukiendelea zanzibar. Professor Ghassany naye mzushi aliyepata PhD yake HARVARD UNIVERSITY kwa kuandika maovu aliyoyafanya Nyerere kule zanzibar. Dr Ziddy naye aliyepata PhD kwa kufanya utafiti kuhusu maisha ya Sheikh Hassan bin Ameir?

Iwe Tanzania tu habari hizi ni uzushi lakini nje ya Tanzania yote yanafahamika na kueleweka na kuwa proven. Wanajitia sintofahamu nyingi. Niliwauliza kwanini wasiandike basi historia za babu zao na baba zao (au bibi zao na mama zao) nao tuzisome? Kwanini wasiende kuwahoji akina rais mstaafu mwinyi, Mama Nyerere, na wengineo wakapata kusema upande wao yanayosemwa ni ukweli au uongo? Zama zinabadilika wazee ukweli ukidhihiri uongo hujitenga hebu fanyeni utafiti na nyie mtoe kajitabu ka historia tukasome nasie tuijue historia ya nchi yetu.
 
Haya sasa, tazama watu kama hawa wasio na uwezo wa kutafuna kabla ya kumeza wanavyoziamini hizi porojo za kichochezi anazoziendeleza huyo anayejiita Mohamed Said. Eti wazee wake Mohamed Said wa Gerezani ndio walioanzisha TAA, duh ! Hawa wapiga debe wa Mohamed Said naona alisahau kuwaandaa, wamebaki wanakurupuka kwa kudakia wasioyajua.

Kuteleza ni kawaida hata wewe darasani hukuwahi kupata 100% masomo yote. That is not the point hapa turejee katika mada usitupeleke kusikofaa mkuu unaweza ukamrekebisha tukaendelea na mjadala.
 
Back
Top Bottom