Historia ya Uhuru isimuliwavyo na Mohammed Said yakosolewa

Historia ya Uhuru isimuliwavyo na Mohammed Said yakosolewa

Mwambieni alete tu lakini atawapa nyie ambao hamna ujasiri wa kufanya intellectual criticism kwa sababu mshakubali prima facie and by doing that your doing all of us a huge disservice. I'm quite sure yeyote kati yenu akiamua tu kidogo kufanya ukosoaji wa madai ya Bw. Said anaweza kujikuta anasikia uchungu. Ila inahitaji ujasiri kweli kumkosoa mtu ambaye tayari umekubali hata kabla hujasikia amesema nini. Na ninaombea kuwa wanaofanya hivyo si wasomi bali wanatumia imani kuamua na siyo uwezo wao waliopewa na Mwenyezi Mungu kuhoji, kuuliza, kusahihisha na hatimaye kuboresha kile wanachosikia.

Ukiona watu wanaoitwa wasomi - au wanaoamini kuwa ni wasomi - wanakubali maelezo ya msomi mwenzio bila kujaribu kuyakosoa basi ujue wana maslahi ambayo ni kinyume na kuutafuta ukweli kwani kwao ukweli siyo kile kinachosemwa bali yule anayesema. A tradegy of sort if you will.

So in your thinking msomi wa kweli ni yule mwenye kucriticise sio? Hivi unafahamu the difference between critique and criticism Mwanakijiji?

Hakuna aliyemeza article za mohamed said at first sight (prima facie). Mie kabla sijamsoma Mohamed Said nilishasoma vitabu vingi na kujua mengi kumbuka nilishawahi kufanya mjadala na Sheikh Ali Nabwa nikajiona nina mapungufu sana katika ufahamu wangu historia. I used to believe in the same context kama wewe. Nikaanza kusoma vitabu vya historia pale maktaba kuu zanzibar. Nikahamia Dar. Na pia kupitia article za watu nje ya nchi. Mkuu there is more that meets the eye. ushauri wangu ni hivi hebu kuwa na open thinking. Soma kama vile hujui kitu ili uweze kujua (sheikh wetu madras alikuwa akituambia hivyo).

Hakuna mtu anamaslahi mzee this is an intellectual challenge which you do not have the authority to challenge labda akina Dr Kiyaruzi, Professor Shivji na wengineo ndio wanaweza ila sio wewe.
 
Mie sijamcriticise Mohamed Said nor wale wazee wa kigamboni nachosema kuna tatizo somewhere na hivyo kuna haja ukawepo mjadala wa wazi kujadiliana haya masuala kwa manufaa ya taifa letu mbeleni (truth and reconciliation committee) ingelikuwa Mohamed Said ameingia katika anga zangu za nilichosomea angeona jinsi nilivyotambaa na ningelimcriticise kama kungelikuwa na haja hiyo . Therefore, I will like to conclude that you have no intellectual authority to question Mohamed Said or narudia tena NO RESEARCH NO RIGHT TO SPEAK.

ni point nzuri lakini unachoshindwa kuelewa - au hutaki kukielewa - ni kuwa umepewa akili na Mwenyezi Mungu kufikiria. Katika kujua kuna kuuliza maswali na katika kuuliza maswali ni lazima ujue unataka kuuliza nini. Kushindwa kwako kumcriticize M. Said ni dalili kuwa hujui uulize nini au unashindwa kuuliza kwa sababu huamini kuwa nawe una uwezo huo wa kuhoji. Miye siyo mwandishi wa historia lakini naamini nami nimepewa uwezo wa kuhoji ninachosikia. Mtu hawezi kuja na kuniambia ati Mtume Mohammed alihamia Medina mwaka 700AD nami nikakubali tu kwa sababu aliyesema ni Shehe. Nina uhakika hata wewe utajua kosa lililopo japo kwa mtu mwingine anaweza asijue kosa hilo.

Unlike you my emotions are always in check when doing this intellectual exercises. I know how I feel at all time and control my feelings sishtushwi na mtu kutukana kanisa, ukristu, yesu au vyovyote vile. Simtukani mtu yeyote wala kumbeza mtu kwa sababu ya udhaifu wake katika kutumia uwezo wa kufikiria aliojaliwa na mwenyezi Mungu. Naita kitu kwa kadiri nikionavyo. So.. soma taratibu waweza kuvunja viwili vitatu katika kujenga hoja na kutafakari bila kuacha wimbi la hisia likubebe kama tsunami na kujikuta unapoteza mabehewa katika garimoshi la mawazo.
 
Hakuna mtu anamsalahi mzee hali this is an intellectual challenge which you do not have the authority to challenge labda akina Dr Kiyaruzi, Professor Shivji na wengineo ndio wanaweza ila sio wewe.

Believe me.. unlike you.. naweza kumchallenge mtu yeyote ambaye ameumbwa na ana ubongo kama mimi. Believe me I can. If you can't.. I don't blame you.. si wote wenye uwezo huo. Pole kwa hiyo we kaa pembeni niache miye nizungumze na Shehe Said hapa maana najifunza mengi kweli kweli na si utani kuna mengi ambayo nayajua leo hii kuhusu historia yetu (siyo ya wazee wake) kuliko nilivyokuwa najua mwanzoni na maswali yangu si ubishi tu bali ni katika kujua bila kulazimishwa kukubali bila kuridhika kiakili.
 
Mwambieni alete tu lakini atawapa nyie ambao hamna ujasiri wa kufanya intellectual criticism kwa sababu mshakubali prima facie and by doing that your doing all of us a huge disservice. I'm quite sure yeyote kati yenu akiamua tu kidogo kufanya ukosoaji wa madai ya Bw. Said anaweza kujikuta anasikia uchungu. Ila inahitaji ujasiri kweli kumkosoa mtu ambaye tayari umekubali hata kabla hujasikia amesema nini. Na ninaombea kuwa wanaofanya hivyo si wasomi bali wanatumia imani kuamua na siyo uwezo wao waliopewa na Mwenyezi Mungu kuhoji, kuuliza, kusahihisha na hatimaye kuboresha kile wanachosikia.

Ukiona watu wanaoitwa wasomi - au wanaoamini kuwa ni wasomi - wanakubali maelezo ya msomi mwenzio bila kujaribu kuyakosoa basi ujue wana maslahi ambayo ni kinyume na kuutafuta ukweli kwani kwao ukweli siyo kile kinachosemwa bali yule anayesema. A tradegy of sort if you will.

Wasomi ambao wanakuja na data za kupotosha zikipigwa nyundo, zinachakachuliwa. Kuna post yangu moja niliijibu ya Mwita humu ikaongezewa neno Tanganyika na ikabadilishwa maneno, nani anawapa haki wasomi kubadili maneno? Kuna post ulibandika wewe na nikaitaja sana namba 162 iliyojibiwa na Mohamed Said katika post 167 ikachakachuliwa na sasa haipo kwenye namba hizo na sijui kama ipo kwingine au imebanduliwa kabisa. Huo ndio usomi?

Ikiwa ni elimu, msituone hatujaenda shule, ingawa ni wachache lakini tupo tulioenda shule kwa kadri yetu, tena sana tu.
 
Mwanakijiji,

Kosoa bila hofu nami Insha Allah nitajitahidi kujibu pale ninapoweza nikishindwa nitakufahamisha kuwa hilo sijui na tutasonga mbele.

Ningependa sana kusikia kwako kipi umekipata kipya kutoka kwangu.

Mohamed

Shehe si utani nimejifunza mengi sana kuliko unavyofikiria, na kinyume na wengine wanaofikiria nakupa wakati mgumu hivi hivi la hasha bali ni kwa sababu naamini mwanadamu ameumbwa kufikiri siyo kufikiriwa. Kati ya mengi ambayo nimeyasoma kwako katika kazi zako nyingi najua ni yapi ni historia, ni yapi hisia zako, ni yapi ya uanaharakati na ni yapi madongo ya kisiasa tu. Na ninaburudika na kuelemika kwa wakati mmoja. Maana mwanzoni nilikuwa nasikia tu jina lako bila kukukosoma lakini sikuwa na maoni yoyote hadi nilipoanza kukusoma mimi mwenyewe ninaamini kwa kazi yako nyingi umetuletea sehemu kiduchu tu ya historia ya taifa letu japo ndio hivyo tena inaletwa kwenye sahani ya dini lakini ndiyo hivyo kila mtu na kijiko, umma au vidole vyake kula.
 
Believe me.. unlike you.. naweza kumchallenge mtu yeyote ambaye ameumbwa na ana ubongo kama mimi. Believe me I can. If you can't.. I don't blame you.. si wote wenye uwezo huo. Pole kwa hiyo we kaa pembeni niache miye nizungumze na Shehe Said hapa maana najifunza mengi kweli kweli na si utani kuna mengi ambayo nayajua leo hii kuhusu historia yetu (siyo ya wazee wake) kuliko nilivyokuwa najua mwanzoni na maswali yangu si ubishi tu bali ni katika kujua bila kulazimishwa kukubali bila kuridhika kiakili.

Mimi nakuomba uni challenge mimi, katika chochote unachokitaka wewe. Nakuhakikishia huwezi, huna uwezo, na hata robo ya knowledge niliokuwa nayo, AlhamduliLlah, huipati. Funguwa nyuzi kwa mada yoyote uipendayo wewe, mimi nakuja tupige debate, kwa masharti yoyote utakayoyaweka wewe, na nnakupa "handicap" ya kuwajumuisha na wenzako uwapendao, na mimi ntabaki pekee. Unanchekesha!
 
Ikiwa ni elimu, msituone hatujaenda shule, ingawa ni wachache lakini tupo tulioenda shule kwa kadri yetu, tena sana tu.

Naam.. ila wajua kuwa siyo wote walioenda shule wameelimika wengine walienda wakafaulu mitihani na kupata vyeti lakini hawakuwa na uwezo wa kufikiri nje ya kile kilichomo kitabuni. Kuelimika ni zaidi ya kukaa darasani!
 
Mimi nakuomba uni challenge mimi, katika chochote unachokitaka wewe. Nakuhakikishia huwezi, huna uwezo, na hata robo ya knowledge niliokuwa nayo, AlahamduliLlah, huipati. Funguwa nyuzi kwa mada yoyote uipendayo wewe, mimi nakuja tupige debate, kwa masharti yoyote utakayoyaweka wewe, na nnakupa "handicap" ya kuwajumuisha na wenzako uwapendao, na mimi ntabaki pekee. Unanchekesha!

NIngekuwa na huo muda wa kukupa hiyo heshima. Wewe wala si saizi yangu hata ndotoni husogei nilipo miye.
 
Shehe si utani nimejifunza mengi sana kuliko unavyofikiria, na kinyume na wengine wanaofikiria nakupa wakati mgumu hivi hivi la hasha bali ni kwa sababu naamini mwanadamu ameumbwa kufikiri siyo kufikiriwa. Kati ya mengi ambayo nimeyasoma kwako katika kazi zako nyingi najua ni yapi ni historia, ni yapi hisia zako, ni yapi ya uanaharakati na ni yapi madongo ya kisiasa tu. Na ninaburudika na kuelemika kwa wakati mmoja. Maana mwanzoni nilikuwa nasikia tu jina lako bila kukukosoma lakini sikuwa na maoni yoyote hadi nilipoanza kukusoma mimi mwenyewe ninaamini kwa kazi yako nyingi umetuletea sehemu kiduchu tu ya historia ya taifa letu japo ndio hivyo tena inaletwa kwenye sahani ya dini lakini ndiyo hivyo kila mtu na kijiko, umma au vidole vyake kula.

Nyundo zimeanza kukukolea. Si ulikuwa ukileta kejeli humu 'Ahhh wapi'? sio wewe? sasa kiko wapi? kaa upate darsa hapa.
 
Mwanakijiji,

Napenda nikufahamishe kitu kimoja ambacho huenda labda mimi sijakiweka vyema ndiyo maana mara kwa mara unamtaja Mama Maria.

Nyerere aliondokea nyumbani kwa Abdulwahid Sykes kwenda Musoma kumuoa Mama Maria. Mama yake Nyerere Bi Mugaya, mama yake Abdu na Ally Sykes Bi Mluguru, Bi Mwamvua mkewe Abdu pamoja na Dossa na Mama yake Mama Ally (mama yake Dossa) waliishi kama ndugu.

Bi/ Mluguru alikuwa akifua nguo za Abdu na Nyerere kwenye ndoo moja na akizianika uani kwake na kuzipiga pasi. Yako mengi sana.

Wote hao wakishinda nyumbani kwa Bi Mluguru. Opposite na nyumba hiyo akiishi shangazi yangu Sikuzani bint Salum na muwewe Msafiri Mgawe. Shangazi yangu wakati ule ni msichana mdogo.

Yote haya kayaona. Shangazi yangu yu hai anaishi Temeke Dar es Salaam. Hadi Mama Maria anaanzisha biashara ya kuuza mafuta ya taa Mtaa wa Mchikichiki siku za mwanzo za TANU... Hii ndiyo historia ya hawa watu ni historia ya "sacrifice, love and devotion."

Kokote mimi ninapoihadithia historia hii hawakosi watu kutokwa na machozi hasa ninapoingia kueleza fitna ilipoingia kati ya watu hawa baada ya uhuru kupatikana hadi leo utadhani hawakupata kujuana kiasi sisi leo tunabishana kwa vitu ambavyo wala kwa wakati ule havikuwa vikubwa.

Nyerere siku alipokwenda kuhani kifo cha Dossa Mlandizi. Alizungumza hadi akalia.

Na sielezi haya kwa masimango naeleza haya ili muone roho za wazee wetu zilikuwaje. Dossa kafa masikini kwa ajili ya TANU.

Abdu alifilisika biashara yake ya Petrol Station kwa ajili ya TANU na mtu aliyemuokoa alikuwa Nazerali kwa kumkopesha fedha na dhamana nyumba yake ya Stanley.

Mohamed
 
Nyundo zimeanza kukukolea. Si ulikuwa ukileta kejeli humu 'Ahhh wapi'? sio wewe? sasa kiko wapi? kaa upate darsa hapa.

Ala.. kwani zile zilikuwa kejeli? NIlikuwa nakataa tu kuburuzwa kwa maneno. Na kinyume na weye miye najifunza bila kulazimishwa napambanua ninachoambiwa na ninakosoa bila hofu wala hiana. Nakuhakikishia hata wewe ukianza kuuliza maswali sahihi waweza kujikuta unaelimika.
 
Nyerere siku alipokwenda kuhani kifo cha Dossa Mlandizi. Alizungumza hadi akalia.

Huyu huyu Nyerere aliyekuwa anachukia Uislamu na Waislamu na akamlilia Dossa?

Na sielezi haya kwa masimango naeleza haya ili muone roho za wazee wetu zilikuwaje. Dossa kafa masikini kwa ajili ya TANU.

Abdu alifilisika biashara yake ya Petrol Station kwa ajili ya TANU na mtu aliyemuokoa alikuwa Nazerali kwa kumkopesha fedha na dhamana nyumba yake ya Stanley.

Mohamed

NImesoma baadhi ya haya kwenye kitabu chako lakini hujajibu hilo swali kwanini hujatafuta muda kuzungumza na Mama Maria Nyerere au nawe unaamini kuwa hajasoma hivyo siyo mtu wa kumuuliza au hafai kuulizwa?
 
Wasomi ambao wanakuja na data za kupotosha zikipigwa nyundo, zinachakachuliwa. Kuna post yangu moja niliijibu ya Mwita humu ikaongezewa neno Tanganyika na ikabadilishwa maneno, nani anawapa haki wasomi kubadili maneno? Kuna post ulibandika wewe na nikaitaja sana namba 162 iliyojibiwa na Mohamed Said katika post 167 ikachakachuliwa na sasa haipo kwenye namba hizo na sijui kama ipo kwingine au imebanduliwa kabisa. Huo ndio usomi?

Ikiwa ni elimu, msituone hatujaenda shule, ingawa ni wachache lakini tupo tulioenda shule kwa kadri yetu, tena sana tu.

Faiza,

Ndio maana nikamuuliza Mwanakijiji anajua tofauti ya critique and criticism? Hebu achukue Webster Dictionary asome tofauti yake itamsaidia kuboresha mjadala. Hatukushambulii mkuu ila hapa kwenye historia una mapungufu ambayo wewe mwenyewe huyaoni unafikiri ndio usomi lakini usomi hauendi hivyo.
 
NIngekuwa na huo muda wa kukupa hiyo heshima. Wewe wala si saizi yangu hata ndotoni husogei nilipo miye.

Nisogee ulipo wewe? huko mimi nimekuacha zamaaaani, inabaki historia.

Kama umeshindwa hiyo "challenge" yako mwenyewe uliyoiweka, futa kauli kuwa unaweza kum challenge yoyote. Huniwezi, hata robo. Nakuambia huna, huna, huna. Usijipime kabisa kimo na mimi si maji yako kabisa, kaa hapa tukupe darsa.

Hapa nimeshaiparaganya kauli yako "naweza kumchallenge mtu yeyote ambaye ameumbwa na ana ubongo kama mimi. Believe me I can." "within strokes of few lines" umeshasahau umekiandika nini halafu unataka kujidai unaweza "kumchallenge mtu yeyote". Utaumbuka.
 
Faiza,

Ndio maana nikamuuliza Mwanakijiji anajua tofauti ya critique and criticism? Hebu achukue Webster Dictionary asome tofauti yake itamsaidia kuboresha mjadala. Hatukushambulii mkuu ila hapa kwenye historia una mapungufu ambayo wewe mwenyewe huyaoni unafikiri ndio usomi lakini usomi hauendi hivyo.

Naona unajipa shida ya bure tu maneno yote mawili yanahusiana na asili yake ni moja na labda wewe huyajui maana yake na kuweza kuyatofautisha vizuri. Ningetaka kutumia neno "critique" ningelitumia nililolitumia ndio nalimaanisha. Halafu kushambuliwa sidhani kama mna uwezo huo.
 
Wasomi ambao wanakuja na data za kupotosha zikipigwa nyundo, zinachakachuliwa. Kuna post yangu moja niliijibu ya Mwita humu ikaongezewa neno Tanganyika na ikabadilishwa maneno, nani anawapa haki wasomi kubadili maneno? Kuna post ulibandika wewe na nikaitaja sana namba 162 iliyojibiwa na Mohamed Said katika post 167 ikachakachuliwa na sasa haipo kwenye namba hizo na sijui kama ipo kwingine au imebanduliwa kabisa. Huo ndio usomi?

Ikiwa ni elimu, msituone hatujaenda shule, ingawa ni wachache lakini tupo tulioenda shule kwa kadri yetu, tena sana tu.

Duuh! pole sana Da Faiza...hii ndio JF tuliyoizoea na mamodereta wetu. Kwa taarifa tuu huyu Mwanakijiji yeye pia no modereta na anauwezo wakufanya yoote hayo aliyoyafanya. We have been here for longtime na hii ndio ''organisation behaviour '' yetu..tartiiibu utatueelewa. Hii posts kufutwa au kunyofolewa ..n.k. muuliza sana the famous '' Malaria Sugu'' atakupa khabari zake.
 
Nyundo zimeanza kukukolea. Si ulikuwa ukileta kejeli humu 'Ahhh wapi'? sio wewe? sasa kiko wapi? kaa upate darsa hapa.

Naomba niandike Kiingereza.

Usually when I am abroad they would give my profile to the audience before I speak. And always it is "...Mohamed Said wrote this and this and this..." a long introduction praising me.

Honestly I feel bad about that.

In my response when I stand up to speak I only say these words, "Thanks for your generous introduction."

Mwanakijiji nakushukuru kwa kuniadhimisha na wewe nakuombea dua Allah akuongoze uujue ukweli tuwe
pamoja katika kupigania haki.

Amin.
 
Nisogee ulipo wewe? huko mimi nimekuacha zamaaaani, inabaki historia.

Kama umeshindwa hiyo "challenge" yako mwenyewe uliyoiweka, futa kauli kuwa unaweza kum challenge yoyote. Huniwezi, hata robo. Nakuambia huna, huna, huna. Usijipime kabisa kimo na mimi si maji yako kabisa, kaa hapa tukupe darsa.

Hapa nimeshaiparaganya kauli yako "naweza kumchallenge mtu yeyote ambaye ameumbwa na ana ubongo kama mimi. Believe me I can." "within strokes of few lines" umeshasahau umekiandika nini halafu unataka kujidai unaweza "kumchallenge mtu yeyote". Utaumbuka.

Believe me I can. DON'T DOUBT IT.
 
sasa two wrongs make it right? kama hao wazee hawakuwahoji wahusika wengine wakati wakiwa hai ni kosa kubwa la uandishi na hivyo historia yao haiwezi kuwa kamili. Ukikubali hili ni lazima ukubali la M. Said vile vile. Je unakubali kuwa kwa kushindwa kuwahoji baadhi ya wahusika anaowataja Bw. Said hajaitendea haki historia anayoidai kutupatia?

What if they are both right (wazee wa kigamboni na Mohamed Said). Unajuaje pengine Mohamed Said alikuwa hana access kwa Nyerere au Nyerere hataki kuongea nae? Umejuaje, kama Mama Maria naye hataki kuongea na Mohamed Said? Umejuaje wazee wa kigamboni waliandika historia kwa maamrisho ya state house? Matokeo yake wakaandika historia ya superman Nyerere? Hizo ndio limitation na mapungufu ya utafiti ambao wewe au mtu mwengine anaweza kuuendeleza zaidi tukafaidika. Nakuhamasisha uuendeleze utafiti mkuu ili tujifunze zaidi.
 
Ala.. kwani zile zilikuwa kejeli? NIlikuwa nakataa tu kuburuzwa kwa maneno. Na kinyume na weye miye najifunza bila kulazimishwa napambanua ninachoambiwa na ninakosoa bila hofu wala hiana. Nakuhakikishia hata wewe ukianza kuuliza maswali sahihi waweza kujikuta unaelimika.

Kwa kuwa huna ilmu ya aadab siwezi kukuhukumu, kama ni mjuzi wa Kiswahili hata kwa kujifunza si lazima iwe lugha "mama" kwako basi utajuwa kuwa "Aaaah wapi?" ni kejeli, labda kejeli kwako ni kawaida na ndio maana hujui kejeli ni nini. Elimu na ufahamu wangu nimekuambia hata robo huupati usijifanye punguani.
 
Back
Top Bottom