Historia ya Uhuru isimuliwavyo na Mohammed Said yakosolewa

Historia ya Uhuru isimuliwavyo na Mohammed Said yakosolewa

Go figure...indeed strange that he thought he would get away with this...

Kwa kweli mtapata tabu labda mfanye kama alivyokushaurini FF.

Andikeni kitabu.

Nendeni kwa Mama Maria, Mkapa na wengine wengi sana.

Mimi nimekupeni "cue" nishakusafishieni njia.

Sasa hicho kitabu chenu ndiyo kitakuwa jibu la kitabu changu.

Lakini kwa kutaka kujibu kitabu changu kwa sentensi katika JF mtakesha na mimi.

Mwenzenu mimi baada ya kuona wazee wangu wametolewa katika historia nimeandika hilo buku leo unaona nyote mmemjua Mshume Kiyate, Sheikh Hassan bin Amir, Rashid Sisso, Tatu bint Mzee, Bi Mluguru bint Mussa na wengine wengi.

Mmejua kuwa hotuba ya Nyerere iliandikwa toka 1950. Mmejua kuwa kuna historia ya TANU iliyoandikwa siku za mwanzo za uhuru ikapotea na mengine mengi...

Vipi mtachukua hii changamoto?

Mohamed

Hili ni swali zuri sana; kwa kweli siyo changamoto kama unavyoiona na ni changamoto ambayo naamini itakuja kujibiwa na Waislamu wengine. Toka mwanzo wa historia yetu yamekuwepo makundi mbalimbali ya kisiasa. Hata kwenye suala la dini ni hivyo hivyo. Kitu ambacho wengi tumefanikiwa katika mjadala huu ni kuonesha kuwa:

a. Ulichoandika katika kitabu hiki siyo historia bali ni simulizi tu ambalo halina ushahidi wa historia zaidi ya hisia.
b. Unatumia dini kuangalia historia na kuweka tafsiri ya kidini kwa kutumia historia na kudai "wazee" wako si kwa sababu ni wazee wa historia yetu bali ni kwa sababu ya kuwa unakubaliana nao kuwa ni dini moja.
c. Wapo watu ambao nina uhakika nao wazee wao walikuwa ni Waislamu na walikuwa upande mwingine kabisa wa kina Takadir na kina Sheikh Amir.

Hivyo watakuja Watanzania ambao wataiokoa historia yetu kutoka mikononi mwa mtazamo wa kidini na kuiweka mahala pake hasa. Wale ambao watawaunganisha wazee wetu katika umoja wao na uzalendo wao siyo kwa dini zao bali kwa Utanganyika na Utanzania wao. Litakapotokea hilo kitabu chako kitabakia kama simulizi la majaribio tu na mapungufu yake yatawekwa bayana. Ninatumaini hili litatokea mapema zaidi.
 
Una evidence kuwa JK fisadi? Mnamzushia tu JK kila siku subirini kesi ya Ridhiwani na Dr Slaa imalizike mtaelewa JK kama fisadi au la. Hao niliwataja kila mmoja ana liscandal lake kuanzia waliouza wanyama na ardhi kwa waarabu hadi kwa wauzaji wa nyumba za serikali. Turudi katika mada mnacho cha kukosoa kuhusu kazi mohamed said.

Wewe kama hujui kitu ukae kimya using'ang'anie upupu kwa kuwa raisi ni wa dini yako.

Mbna mkapa anatuhuma za kuihujumu serikali na wakrito hawamtetei?
Mdondoaji utadondolewa.
 
Hili ni swali zuri sana; kwa kweli siyo changamoto kama unavyoiona na ni changamoto ambayo naamini itakuja kujibiwa na Waislamu wengine. Toka mwanzo wa historia yetu yamekuwepo makundi mbalimbali ya kisiasa. Hata kwenye suala la dini ni hivyo hivyo. Kitu ambacho wengi tumefanikiwa katika mjadala huu ni kuonesha kuwa:

a. Ulichoandika katika kitabu hiki siyo historia bali ni simulizi tu ambalo halina ushahidi wa historia zaidi ya hisia.
b. Unatumia dini kuangalia historia na kuweka tafsiri ya kidini kwa kutumia historia na kudai "wazee" wako si kwa sababu ni wazee wa historia yetu bali ni kwa sababu ya kuwa unakubaliana nao kuwa ni dini moja.
c. Wapo watu ambao nina uhakika nao wazee wao walikuwa ni Waislamu na walikuwa upande mwingine kabisa wa kina Takadir na kina Sheikh Amir.

Hivyo watakuja Watanzania ambao wataiokoa historia yetu kutoka mikononi mwa mtazamo wa kidini na kuiweka mahala pake hasa. Wale ambao watawaunganisha wazee wetu katika umoja wao na uzalendo wao siyo kwa dini zao bali kwa Utanganyika na Utanzania wao. Litakapotokea hilo kitabu chako kitabakia kama simulizi la majaribio tu na mapungufu yake yatawekwa bayana. Ninatumaini hili litatokea mapema zaidi.

In your way of thinking but in the intellectual way of thinking Mwanakijiji you are dead wrong soma huyu jama amesemaje kuhusu kazi ya Mohamed Said:-

In recent years historians of nationalism, like historians of science, have been turning to the stories of the losers. In studies of South Asia as well as Africa, authors such as Allman, Geiger and Mbembe have sought to escape the triumphalist trap of assuming that nationalist politics were shaped solely by the men who eventually took power. A focus on historical dead-ends can illuminate the contingencies that shaped nationalism, and can also help explain many postcolonial political conflicts. Mohamed Said's book is one such study.

Kitabu kinachozungumziwa hapa ni Life and Times of Abdulwahid Sykes...... ambacho wasomi wa JF mnasema ni simulizi, takataka blah blah. hamna lenu moja nimewaambie fanyeni na nyie publication tuzisome na sio kuleta ukosoaji usio na kichwa wala miguu.
 
Wewe kama hujui kitu ukae kimya using'ang'anie upupu kwa kuwa raisi ni wa dini yako.

Mbna mkapa anatuhuma za kuihujumu serikali na wakrito hawamtetei?
Mdondoaji utadondolewa.

Mkapa hatoki kwenye tuhuma zinazomtuhumu ana Anben, Mchuchuma, na madudu mengi humo ndani. Kikwete ana nini? Tangu 2006 tuhuma zote zinaishia katika cloud of speculation and allegation zisizo na msingi. Hebu taja basi JK ana nini maana sizijui kabisa. JK simtetei na sifurahishwi na namna anavyowashughulikia mafisadi kwani amekuwa mwoga katika kuwashughulikia mafisadi ila namtetea kama nyie mnaleta tuhuma kwasababu ya dini yake hapo siwaachi nakula na nyie sahani moja.
 
Mwanakijiji,

Usiwe na haraka safari yetu Waislamu bado ni ndefu serikali haijakubali kuwa tuna tatizo. Hadi hapo watakapokiri kuna tatizo na kutaka ushauri kipi kifanyike hapo ndipo tutazungumza nini kifanyike.

Kwa sasa tujikite katika kuisihi serikali iamke tuiepushe nchi yetu na vurugu.

Mohamed

Serikali hii ambayo inaongozwa na kanisa ambamo ndani yake kuna kina Shein, Bilal, Mwema, Othman na Othman, Shimbo, Kikwete, Mwinyi? Au unamaana Waislamu walioko madarakani watambue kuwa wanawadhulumu Waislamu wenzao? Itakuwaje kama hawataona hilo tatizo? Je, huoni labda ipo haja ya kuangalia nje ya serikali hii kuona watu ambao wanaliona hilo tatizo ambao wako tayari kutengeneza sera ambazo zitahakikisha kuwa hakuna Mtanzania anayefanywa duni katika taifa lake awe Muislamu, Mkristu au Mpagani?

Unafikiri jibu ni lazme litolewe na serikali hii?
 
In your way of thinking but in the intellectual way of thinking Mwanakijiji you are dead wrong soma huyu jama amesemaje kuhusu kazi ya Mohamed Said:-

In recent years historians of nationalism, like historians of science, have been turning to the stories of the losers. In studies of South Asia as well as Africa, authors such as Allman, Geiger and Mbembe have sought to escape the triumphalist trap of assuming that nationalist politics were shaped solely by the men who eventually took power. A focus on historical dead-ends can illuminate the contingencies that shaped nationalism, and can also help explain many postcolonial political conflicts. Mohamed Said's book is one such study.

Kitabu kinachozungumziwa hapa ni Life and Times of Abdulwahid Sykes...... ambacho wasomi wa JF mnasema ni simulizi, takataka blah blah. hamna lenu moja nimewaambie fanyeni na nyie publication tuzisome na sio kuleta ukosoaji usio na kichwa wala miguu.

Have you read the book Mdondoaji?
 
Mkapa hatoki kwenye tuhuma zinazomtuhumu ana Anben, Mchuchuma, na madudu mengi humo ndani. Kikwete ana nini? Tangu 2006 tuhuma zote zinaishia katika cloud of speculation and allegation zisizo na msingi. Hebu taja basi JK ana nini maana sizijui kabisa. JK simtetei na sifurahishwi na namna anavyowashughulikia mafisadi kwani amekuwa mwoga katika kuwashughulikia mafisadi ila namtetea kama nyie mnaleta tuhuma kwasababu ya dini yake hapo siwaachi nakula na nyie sahani moja.

Deep green finance ilikuwa ya nani?

Kupotezwa kwa ushaidi wa BOT ambao alikuwa nao Balali?nani alihusika?

Wahindi kupewa reli kama asante ya magari ya mahidra yaliyopga kampen za jakaya?
 
Haaa haaa haa! leo hii kuna member waislaam wengi CCM kuliko wakati wowote! na wameyabeba mabango kwa ajili ya CCM... Wengine tunao humu JF, wengi wameondoka hata CUF na hawataki hata kusikia, halafu unataka kusema vitu vilivyotungwa na mtu akilini wakati hajui ukweli umesimama wapi?

Soma reference, utajuwa kuwa huo si mtungo tu wa kichwani, sina uhakika unaelewa maana ya kuwekwa hizo reference zote. Naona unajaribu kila njia kuingiza CCM mara CUF, umeishiwa?
 
Deep green finance ilikuwa ya nani?

Kupotezwa kwa ushaidi wa BOT ambao alikuwa nao Balali?nani alihusika?

Wahindi kupewa reli kama asante ya magari ya mahidra yaliyopga kampen za jakaya?

Deep Green Finance hakuna mahali JK wala watu familia yake wametajwa?

Balali kapotezwa kwa wengi akiwemo rais aliyeondoka pia?

Again these are just speculations lete evidence mkuu
 
Mwanakijiji,

Nikusahihishe kidogo.

Diamond 2 Waislam tumekubaliana wakati wa kulalamika umekwisha.
Sasa ni wakati wa "kushughulika vizuuuri."

Mohamed

Nikuulize maswali kidogo ya kupeleka mjadala huu juu zaidi

- je Waislamu wanaweza kutofautiana na hata kupingana kwa misingi ya maslahi ya kisiasa; kwamba si lazima wote wawe na mtazamo mmoja?
- Je Waislamu wanapotofautiana kwa misingi ya kisiasa ni lazima kwa kiasi fulani kushuku Uislamu wao?

Nimeuliza hili hasa kwa msingi wa yaliyotokea Libya, Tunisia, Yemen, Misri, Iran, Syria n.k nchi ambazo zina Waislamu wengi sana. Katika nchi hizo watawala wote ni Waislamu na asilimia kubwa ya wananchi wake ni Waislamu lakini ni kana kwamba Uislamu hauwaunganishi au hauwi sababu ya wao kuwa wamoja? Je hili laweza kuwa ndilo linatokea Tanzania kwamba Waislamu toka mwanzo wa harakati za Uhuru hawajawahi kuwa wamoja na haiwezekani kuwa wamoja kwa kadiri ya kwamba maslahi yao mbalimbali ya kiraia na ya kisiasa yanakinzana?

Chukulia mfano jinsi kundi la Waislamu lilivyowapinga kina Mtemvu na Takadir mwaka 1958. Kwanini kulikuwepo tayari na tofauti miongoni mwa Waislamu kwa misingi ya maslahi ya kisiasa hata kabla ya Nyerere kuingia TANU?
 
Mohamed Said said:
Mwanakijiji,

Swali hilo mbona nyie ndiyo wa kulijua zaidi kwa kuwa ndiyo mmeshika madaraka kwa 83%.

Masikini ya mungu sisi nafasi zetu wahudumu, wapika chai, madereva, shamba boy sasa hayo mambo ya huko maofisini ya ufisadi, sijui nini tutayajuaje?

Mohamed
Mhhh kweli comment nyingine unaweza kudhani mtu kachoka au kajisahau.

Yes ila mara moja why? Usiniulize kuhusu mapungufu yake kuna mapungufu nimeyaona Mwanakijiji but he has done a substantial amount of work which highlight there is a need to revisit the history of nationalism in Tanganyika.

Mdondoaji - umesema jambo kubwa sana. Miye binafsi - na nimelisema hili huko nyuma - Mchango wa Bw. Said katika kuandika historia "yetu" ni mkubwa sana kuliko hata anavyojua. Ni kweli kuna mapungufu mengi - na mengine naweza kusema ni makubwa sana - katika kitabu chake lakini all in all ni kitabu ambacho binafsi ningependa kisomwe na watu wengi zaidi lakini kisomwe kwa kutumia uwezo wa kuhoji na umakini wa kutambua ni wakati gani kinachosemwa ni historia na wakati gani ni hisia na hasa kuelewa mapema kabisa the underlying theme ya kitabu chenyewe - kuonesha kuwa Nyerere hakuwa na mchango wa kipekee katika historia ya Uhuru kulinganisha na waasisi wengine wa Taifa letu.

Ninakuhakikishia baadhi ya matatizo mengi ambayo tunayazungumza tatizo lake ni CCM na hili mimi na Said tunakubaliana sana. Tofauti ni kuwa siamini kama CCM ina interests wala uwezo wa kushughulikia matatizo hayo ya kihistoria wakati yeye anaamini kuwa serikali hii hii inaweza kushughulikia matatizo hayo. Sijui uko upande gani katika hilo lakini sentensi yako hapo is telling.
 
But what makes you think CCM ni tatizo? Nini source ya CCM kuwa tatizo? Hili ndio swali la msingi tujiulize na ndio nilijiuliza wakati nasoma kitabu cha Sheikh Mohamed Said. Kwa bahati mbaya nilikisoma nikiwa nje ya nchi nikakiacha huko kwani ulikuwa ukionekana nacho Dar hatari tupu. Sijui siku hizi hali ikoje ila nimekusudia kukinunua nikiweke katika maktaba yangu nitakisoma tena mbeleni .
 
Mohamed Said,

Hapa nadhani unapotoka, unapoanza kuhusisha wizi, ufisadi na dini. Ina maana uko tayari hata kutetea ufisadi ili mradi aliyefanya hivyo ni mtu wa dini yako?. This is another proof kwamba unaweka masula yote katika mtizamo wa kidini, mwizi yes, dini gani? Mwanasayansi, ok dini gani? Kiongozi well, dini gani?

Kwako wewe kitu kizuri na mambo mazuri ndani ya Tanzania shurti ijulikane imetoka kwa mtu wa dini gani kabla ya compliments, very sick but is the conclusion one can easily draw kutokana na ujadili wako wa hoja. And yet bado unaamini kabisa kwamba historia uliyoandika ni fair and balanced???? Btw nimekuuliza na nauliza tena kwa mara ya tatu profile hii hapa chini ni ya kwako? Mbona hutaki kujibu hili swali?

Jasusi, Umepatia kwelikweli. Waislam tunadai uhuru anakuja mtu anatueleze ati sijui Gavana kanunua Rolls Royce mpya na ma Pronvicial Commissioner wote katika majimbo kawamwaga na ma Humber. Sisi hilo tatizo letu? Tunadai uhuru kwanza hilo ndilo la kutushughulisha sisi. EPA nk hizo ofisi zote wamekalia wao sie tumo huko? Hatuna muda wa kucheza mkole usio kuwa wetu. Kwani wenye ngoma yao wametualika? Mohamed

By Mohamed Said
Mwanakijiji, Swali hilo mbona nyie ndiyo wa kulijua zaidi kwa kuwa ndiyo mmeshika madaraka kwa 83%.
Masikini ya mungu sisi nafasi zetu wahudumu, wapika chai, madereva, shamba boy sasa hayo mambo ya huko maofisini ya ufisadi, sijui nini tutayajuaje?

Mohamed

Mohamed Said Salum Abdallah

Tanzanian transport specialist and author

Positions

Positions listed are those which are held currently or have been held in the past. Dates are given wherever possible. Where there are no dates, positions are ordered alphabetically.

* Principal Marketing Officer - Tanga (1997 - )

* Senior Commercial Officer - Dwell Time Office, Container Term.-Special Duties (1996 - 1997)

* Senior Marketing Officer (1993 - 1995)

* Senior Commercial Officer - Directorate of Operations (1988 - 1992)

* Assistant Insurance Manager - Directorate of Finance (1980 - 1988)

* Insurance Clerk - East African Cargo Handling Services (1972 - 1980)

Selected Works

Where there are no dates, works are ordered alphabetically
Publication

* Terrorism in East Africa: the Tanzanian Experience [Conference Papers, 2006]
Paper presented at the conference on Islam, Terrorism and African Development, University of Ibadan, 8th - 10th February 2006

* The Torch on Kilimanjaro [Children's Literature, Oxford University Press, Nairobi, 2006]

* Islamic Movement and the Christian Lobby in Tanzania - the Experience of the late Prof. Kighoma Ali Malima (1938 - 1995) [Conference Papers, 2004]
(Paper Presented to Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) Sokoine University of Agriculture (SUA) Morogoro 11th April 2004)

* Sheikh Hassan bin Ameir - The Moving Spirit of Muslim Emancipation in Tanganyika (1950 - 1968) [Conference Papers, 2004]
(Paper presented at Youth Camp organised by Zanzibar University, World Assembly of Muslim Youth (WAMY) and Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) 27th February - 4th March 2004)

* Islamic Education and Intellectualism in Eastern Africa 'Themes from the Pulpit in Tanganyika (Tanzania Mainland) 1800 - 2000' [Conference Papers, 2003]
(Paper presented at International Symposium on Islamic Civilisation in Eastern Africa Kampala, Uganda organised by the Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA), Istanbul and the Islamic University in Uganda, Mbale December 15th - 17th 2003)

* The Question of Muslim Stagnation in Education in Tanzania - A Muslim Riddle [Conference Papers, 2003]
(Paper presented at the Conference of the Global World of the Swahili Intercultural Dialogue on the Indian Ocean Zanzibar, February 20 - 23, 2003)

* Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes 1924-1968 Historia Iliyofichwa Kuhusu Harakati za Waislam Dhidi ya Ukoloni wa Waingereza [Non-fiction book, Phoenix Publishers, Nairobi, 2002]

* The Life and Times of Abdulwahid Sykes 1924 -1968 The Untold Story of the Muslim Struggle against British Colonialism in Tanganyika [Non-fiction book, Minerva Press London, 1998]

* Tanzania - The "Secular" Unsecular State [Journalistic essays, Change (Dar es Salaam), 1995]

* The Plight of Tanzanian Muslim [Journalistic essays, Change (Dar es Salaam), 1993]

* Islam and Politics in Tanzania [Research Paper, Al Haq International (Karachi), 1989]

* Abdulwahid Sykes: Founder of Political Movement [Research Paper, Africa Events (London), 1988]

* In Praise of Ancestors [Research Paper, Africa Events (London), 1987]

Achievements

Where there are no dates, achievements are ordered alphabetically

* Post-Graduate Diploma in Maritime Studies - University of Wales (1992)

* Certificate of Appreciation for research into political history of Tanganyika - United States Information Services (USIS)
 
But what makes you think CCM ni tatizo? Nini source ya CCM kuwa tatizo? Hili ndio swali la msingi tujiulize na ndio nilijiuliza wakati nasoma kitabu cha Sheikh Mohamed Said. Kwa bahati mbaya nilikisoma nikiwa nje ya nchi nikakiacha huko kwani ulikuwa ukionekana nacho Dar hatari tupu. Sijui siku hizi hali ikoje ila nimekusudia kukinunua nikiweke katika maktaba yangu nitakisoma tena mbeleni .

corruption, greed, intoxication of power, impunity, abuse of power, indignity, I could go on and on.. hata hivyo labda utasema tatizo ni "kanisa"! Ni jibu zuri kihisia lakini halielezei ukweli kwani matatizo ambayo tunayaona Tanzania leo hii yanatokea Jordan (Waarabu wa Jordani na wale wa Palestina); tunaliona Misri (Waislamu walioko madarakani dhidi ya wale ambao hawako madarakani), tunaliona Syria (Waislamu Vs Waislamu) na kote huko utaona kuwa hao kule hawawezikulalamikia "kanisa"! Wanalielewa tatizo lao ni mfumo wa utawala. Ndio maana utaona nchi hata za Kikatoliki (Brazil, Chile, Ufilipino) zinajikuta na matatizo yale yale ya kimfumo wa utawala!

Ni sisi Tanzania tu tunataka kuaminishwa tatizo ni "kanisa" na wapo wanaokubali hivyo. Nakuhakikishia Bw. Said akivuka tu mstari wa kuangalia "kidini" na kuona ni tatizo la ufisadi kama mfumo utashangaa ni jinsi gani kila kitu kitamake sense. Itaelezea umaskini siyo wa Waislamu tu bali hata wa jamii nyingi za jadi, utaelezea umaskini na uduni wa maisha katika Jiji letu kuu la Dar, utaelezea ni kwanini wapo Wakristu wengi tu ambao wanaona kabisa mfumo uliopo hauwanufaishi wao kama raia wa Tanzania na katika hilo wako sawa kabisa na Waislamu na Wasioamini dini hizi mbili.

Tatizo lililopo ni kutoka huko kwenye kuangalia "dini" na kuangalia mfumo wetu ulivyoharibiwa na ufisadi. Lakini huko ni kugumu kwa sababu hata wewe unaamini kabisa "wakristu ni mafisadi zaidi" as if mafisadi wa hivyo wanafanya hivyo kwa sababu ni Wakristu. Nina uhakika hutaweza kukubali tukisema Waislamu ni mafisadi zaidi huko Misri, Syria au Libya kwa sababu watawala wengi wanaotuhumiwa ufisadi ni Waislamu! It doesn't make any sense but to some of you my friends it does and that in itself is a colossal tragedy of the first order.
 
Mkapa hatoki kwenye tuhuma zinazomtuhumu ana Anben, Mchuchuma, na madudu mengi humo ndani. Kikwete ana nini? Tangu 2006 tuhuma zote zinaishia katika cloud of speculation and allegation zisizo na msingi. Hebu taja basi JK ana nini maana sizijui kabisa. JK simtetei na sifurahishwi na namna anavyowashughulikia mafisadi kwani amekuwa mwoga katika kuwashughulikia mafisadi ila namtetea kama nyie mnaleta tuhuma kwasababu ya dini yake hapo siwaachi nakula na nyie sahani moja.
another song , another rythm in this thread...im not going anywhere.....
mkuu yaani wewe huoni utendaji kazi wa JK hadi ufikiri kuwa haya makelele ni kwa sababu kuwa yeye ni muislamu? angalia shilingi inavyo hit record low...au shilingi inaogopa rais mwislamu? siamini kama umeifikirisha akili yako vizuri
 
corruption, greed, intoxication of power, impunity, abuse of power, indignity, I could go on and on.. hata hivyo labda utasema tatizo ni "kanisa"! Ni jibu zuri kihisia lakini halielezei ukweli kwani matatizo ambayo tunayaona Tanzania leo hii yanatokea Jordan (Waarabu wa Jordani na wale wa Palestina); tunaliona Misri (Waislamu walioko madarakani dhidi ya wale ambao hawako madarakani), tunaliona Syria (Waislamu Vs Waislamu) na kote huko utaona kuwa hao kule hawawezikulalamikia "kanisa"! Wanalielewa tatizo lao ni mfumo wa utawala. Ndio maana utaona nchi hata za Kikatoliki (Brazil, Chile, Ufilipino) zinajikuta na matatizo yale yale ya kimfumo wa utawala!

Ni sisi Tanzania tu tunataka kuaminishwa tatizo ni "kanisa" na wapo wanaokubali hivyo. Nakuhakikishia Bw. Said akivuka tu mstari wa kuangalia "kidini" na kuona ni tatizo la ufisadi kama mfumo utashangaa ni jinsi gani kila kitu kitamake sense. Itaelezea umaskini siyo wa Waislamu tu bali hata wa jamii nyingi za jadi, utaelezea umaskini na uduni wa maisha katika Jiji letu kuu la Dar, utaelezea ni kwanini wapo Wakristu wengi tu ambao wanaona kabisa mfumo uliopo hauwanufaishi wao kama raia wa Tanzania na katika hilo wako sawa kabisa na Waislamu na Wasioamini dini hizi mbili.

Tatizo lililopo ni kutoka huko kwenye kuangalia "dini" na kuangalia mfumo wetu ulivyoharibiwa na ufisadi. Lakini huko ni kugumu kwa sababu hata wewe unaamini kabisa "wakristu ni mafisadi zaidi" as if mafisadi wa hivyo wanafanya hivyo kwa sababu ni Wakristu. Nina uhakika hutaweza kukubali tukisema Waislamu ni mafisadi zaidi huko Misri, Syria au Libya kwa sababu watawala wengi wanaotuhumiwa ufisadi ni Waislamu! It doesn't make any sense but to some of you my friends it does and that in itself is a colossal tragedy of the first order.

Ndio maana Mwanakiji nikashauri Truth and reconciliation committee iwekwe ili wajadiliane mbele ya jamii ukweli ujulikane na uongo ufahamike. Its complicated Mwanakijiji udini upo na Kanisa lina maovu yake. Asiye muislamu ni ngumu kulifahamu au kulielewa kwani alikuwa analelewa na mfumo huo ndani na hivyo ngumu kuyaona nje ya box. But kwa waislamu ubaguzi unaendelea mpaka leo na kiasi imekuwa sasa hivi Tanzania ni kawaida kuwa wanaonekana ni SECOND CLASS CITIZEN. Committee kama hizi huchapisha matokeo yake wananchi wakayajua tukayazika haya mambo chini na kuendelea mbele. Kuyanyamazia kimya mwanakijiji ndio kunazalisha plenty of conspiracy theory to both muslims and christians na matokeo ndio kama Nigeria sasa hakukaliki kwasababu ya tension between muslims and christians.
 
Back
Top Bottom