Historia ya Uhuru isimuliwavyo na Mohammed Said yakosolewa

Kuijenga NCHI isiyo na DINI haikuwa kazi ndogo. Lazima wahanga walikuwepo katika kulitekeleza hili. Kama huyu Sheikh wako alikuwa mmoja wao basi. Hii ndio Tanzania alootuachia Mwalimu. Bahati ni kuwa hakufungwa bali alirudishwa kwao Zanzibar. Kule asilimia99 ni Waislamu. Kulimfaa zaidi.

WC,

Mbona ghafla umepandwa na hamaki na unazungumza kwa kibri na jeuri. Hapa tuko katika mazungumzo tu.

Mie nakuelewesha yale ambayo wewe huyajui. Kuna ubaya gani ndugu yangu hata inakuwa lugha za kukosa adabu "huyu Sheikh wako" nk. nk. huu si uungwana.

Tujadilaine katika lugha za kistaarabu tuheshimiane ingawa humu hatuoanani.

Ikiwa hupendezewi na mazungumzo yangu basi na tuachane kwa salama.

Mohamed
 
Wildcard,
Unajua nini. Hawa watu wamedhamiria kweli kum-paint Nyerere in the darkest light possible. Hata pale mazuri yake yanapowasuta wanajaribu kuyapuuza au kuyaweka katika mwanga tofauti. Nitakupa mfano mmoja tu. Kuna kisa kimoja kaelezea Mohamed katika mojawapo ya mabandiko yake juu ya mama mmoja wa Singida aliyemwazima Mwalimu baibui yake kumwezesha Mwalimu asikamatwe na authorities. Mohamed kasimulia jinsi yule mama alivyomfuata Mwalimu Dar-es-Salaam kuulizia baibui yake ( I think this was years later) na Mwalimu alimkumbuka huyu bibi na akamjengea nyumba huko kwao Singida. Lakini hili hutaliona kwenye kitabu cha Mohamed kwamba huyu Nyerere aliyefadhiliwa na Waislamu kumbe kuna wakati alirudisha fadhila? Sasa ni hayo hayo ya msikiti wa Butiama. Faiza hawezi kuamini kwenye akili zake kwamba Nyerere huyu huyu tunayemtuhumu kuwachukia Waislamu, of all things aliwaombea Waislamu wa Butiama hela za kujenga msikiti? Kwao haiingii akilini kabisa kwa sababu ya mindset waliyo nayo. It goes against their grain.

Jasusi,

Umekosea.

Mimi si niliyehadithia hicho kisa cha baibui.

Mimi nami nimekisoma kisa cha baibui humu humu ukumbini.

Kwa kawaida mimi huwa siandiki "riducules."

Itanivua heshima.

Mohamed
 
WC,

Mbona ghafla umepandwa na hamaki na unazungumza kwa kibri na jeuri. Hapa tuko katika mazungumzo tu.

Mie nakuelewesha yale ambayo wewe huyajui. Kuna ubaya gani ndugu yangu hata inakuwa lugha za kukosa adabu "huyu Sheikh wako" nk. nk. huu si uungwana.

Tujadilaine katika lugha za kistaarabu tuheshimiane ingawa humu hatuoanani.

Ikiwa hupendezewi na mazungumzo yangu basi na tuachane kwa salama.

Mohamed
Umekuwa ukiwaita "wazee wako" kwenye hizi simulizi zako tamu. Kama "Sheikh wako" limekukwaza kidogo nisamehe. Mimi ni mmoja wa wasio jua kutukana wala kuhamaki humu. Mwalimu alifanya kazi nzuri tu kuiondoa NCHI yetu kwenye DINI na UDINI. Kwa vyovyote wenyeDINI na UDINI watakuwa walipata shida za hapa na pale.
 
Jasusi,

Mjadala haujafika tamati bana mbona ndio kwanza alfajiri kunakucha au umechoka kujadiliana?? Vp mzee mwenzangu unakimbia jamvi?
Sio kukimbia ndugu yangu. Unajua tena majukumu na hivi vibarua vya wabeba mabox. Nitakuwa nachungulia kadri muda unavyoniruhusu.
 
Kama wewe unashindwa kuomba msamaha kwa uwongo huu wa mchana kweupe unadhani nitamhimiza Mwanakjj aje hapa kukuomba msamaha? No.

Huo uongo uuseme wewe, tazama msikiti umefunguliwa lini:

The late Vice-President, Dr Omar Ali Juma, officially opened the mosque on October 13, 2000.
 
Waandishi wengi ndio akina nani? Mbali na Mohamed nitajie wengine ambao wamekuja na uthibitisho kuwa Nyerere alikuwa mdini.

Jasusi hebu pitia hii:
"Hivi sasa kuna vitabu viwilivilivyoandikwa na Wakristo wenyewe vinavyothibitisha kuwa Wakristo wametumianyadhifa zao katika serikali kuuhujumu Uislam na Waislam. Jan P van Bergenkatika kitabu chake, Development and Religion in Tanzania,(1981) [1]ametoboa siri kuhusu uadui aliokuwa nao Rais Mstaafu, Nyerere dhidi ya Uislamna Waislam. Kitabu kinaeleza kwa ufasaha jinsi Nyerere wakati alipokuwamadarakani alivyokuwa akifanya mikutano ya siri na viongozi wa Kanisa kuwekamikakati ya kuupa nguvu Ukristo. Katika mikutano hiyo Nyerere aliwahakikishiaviongozi wa Kanisa kuwa anaaunga mkono Ukristo. Kitabu hicho kinaeleza jinsiNyerere alivyotimiza ahadi yake hiyo kwa Kanisa kwa kuhakikisha kuwa anawapaWakristo nafasi za juu katika serikali na chama. Kitabu hiki kilikuwa kinauzwaCatholic Bookshop, Dar es Salaam. Lakini ilipokuja kudhihirikia Kanisa kuwakitabu hiki kilikuwa kinatoa habari nyeti na siri za Kanisa kuhusu njama dhidiya Waislam, kwa haraka sana kikaacha kuuzwa. [1] Hadi hivi sasa kitabuhicho ni marufuku kuletwa tena Tanzania.Kitabu cha pili ni cha Dr John C.Sivalon, Kanisa Katoliki na Siasa ya Tanzania Bara 1953 Hadi 1985 (1992). [1]Kitabu hiki kinaeleza njama ndani ya serikali kuuhujumu Uislam. Sivalonanafichua kuwa kuanzia mwaka 1961 baada ya Tanganyika kupata uhuru, Kanisalilikuwa na hofu mbili. Hofu ya kwanza ilikuwa umoja wa madhehebu za Kiislamkati ya Sunni, Bohora, Ismailia na Ithnasheri. Hofu ya pili ilikuwa kuhamishwakwa makao makuu ya EAMWS kutoka Mombasa kuja Dar es Salaam. Kanisa lilikuwalinahofu kuwa mali walizokuwanazo Waasia Waislam zikitiwa katika harakati za Waislamambao walikuwa na nguvu kubwa katika uwanja wa siasa zitaathiri maslahi ya Ukristo katika Afrika yaMashariki. Kwa ajili hii Kanisa likatanganza kuwa Uislam ni adui wake naikaanza mikakati ya hujma dhidi ya Uislam ili kuudhoofisha. [1]Kuna kazi mbili zilizoandikwa na Waislam kuhusu uhusiano baina ya serikali naWaislam. Kazi ya kwanza ni tasnifu ya Kiwanuka, ëThe Politics of Islam inBukoba Districtí (1973); [1]kazi ya pili ni makala ya utafiti ëIslam and Politics in Tanzaniaí (1989) [1]iliyoandikwana mwandishi wa kitabu hiki. Ilikuwa baada ya kusoma tasnifu yaKiwanuka na kuona jinsi ukweli wa kuvunjwa kwa EAMWS kulivyopoteshwa ndipo kamaMuislam na kama ada ya Uislam inavyodai kuwa pande mbili za mgogoro zote lazimazisikilizwe, ndipo nilipoamua kufanya utafiti na kuandika tatizo lile kwamtazamo wa Waislam. Ukweli ambao kwa miongo miwili ulizuiwa usifahamike kwaWaislam. Kiwanuka anadai na kuafiki kuwa Nyerere alikuwa na haki ya kutumiavyombo vya dola dhidi ya Waislam kwa kuwa kama asingefanya hivyo nchi ingekuwana mamlaka mbili, yaani ya Waislam na ya serikali. Kwa ajili hii aliamuakuivunja EAMWS ili ëkulinda umoja wa kitaifaí. Halikadhalika ipoëKwikima Reportí (1968)[1]ambayo imeeleza kwa ufasaha tatizo la EAMWS, chanzo chake na mchango wa serikalikatika kuhujumu umoja wa Waislam. Taarifa hii inafaa kutumika leo kama dira yakuelewa tatizo la Waislam wa Tanzania kama ilivyokuwa wakati ule ilipotolewakwa mara ya kwanza. Taarifa ya Kwikima inaeleza jinsi TANU, serikali na Waislamwachache katika TANU walivyodanganyika kudhani kuwa katika kuisaidia serikalikuivunja nguvu EAMWS walikuwa wanatimiza uzalendo na maslahi ya taifa. Rejeahizi tano ni muhimu kwa wanafunzi wa historia ya siasa Tanzania; na kwa mtafitiyeyote anaetaka kujua chanzo cha chuki baina ya Waislam na serikali na chanzocha hisia kali za kidini zinazoikumba nchi yetu kuanzia miaka ya 1980. Rejeazote hizo za vitabu, makala za utafiti na taarifa mbalimbali, ingawazimeandikwa na waandishi tofauti na kwa muelekeo tofauti zote hizi zinadhihirishakitu kimoja ñ kuwepo kwa njama zinazoendelea kwa zaidi ya karne moja dhidi yaUislam na Waislam, kwanza zilikuwa zikifanywa na wakoloni walioitawalaTanganyika na sasa zinafanywa na Wakristo wananchi kuhakikisha kuwa Uislamhaupati nguvu."
 
Umekuwa ukiwaita "wazee wako" kwenye hizi simulizi zako tamu. Kama "Sheikh wako" limekukwaza kidogo nisamehe. Mimi ni mmoja wa wasio jua kutukana wala kuhamaki humu. Mwalimu alifanya kazi nzuri tu kuiondoa NCHI yetu kwenye DINI na UDINI. Kwa vyovyote wenyeDINI na UDINI watakuwa walipata shida za hapa na pale.

WC,

Huo upepo mbaya ushapita na tuendelee.

JF anaweza akakasirika akatuletea bill tulipe kahawa zake na kashata tunazokula bure hapa jamvini halafu hatumtendei haki kazi kuparururana na yeye anataka kuona vichwa vya Watanzania vinavyojua kufikiri.

Mohamed
 
Jasusi hebu pitia hii:
"Hivi sasa kuna vitabu viwilivilivyoandikwa na Wakristo wenyewe vinavyothibitisha kuwa Wakristo wametumianyadhifa zao katika serikali kuuhujumu Uislam na Waislam. Jan P van Bergenkatika kitabu chake, Development and Religion in Tanzania,(1981) [1]ametoboa siri kuhusu uadui aliokuwa nao Rais Mstaafu, Nyerere dhidi ya Uislamna Waislam. Kitabu kinaeleza kwa ufasaha jinsi Nyerere wakati alipokuwamadarakani alivyokuwa akifanya mikutano ya siri na viongozi wa Kanisa kuwekamikakati ya kuupa nguvu Ukristo. Katika mikutano hiyo Nyerere aliwahakikishiaviongozi wa Kanisa kuwa anaaunga mkono Ukristo. Kitabu hicho kinaeleza jinsiNyerere alivyotimiza ahadi yake hiyo kwa Kanisa kwa kuhakikisha kuwa anawapaWakristo nafasi za juu katika serikali na chama. Kitabu hiki kilikuwa kinauzwaCatholic Bookshop, Dar es Salaam. Lakini ilipokuja kudhihirikia Kanisa kuwakitabu hiki kilikuwa kinatoa habari nyeti na siri za Kanisa kuhusu njama dhidiya Waislam, kwa haraka sana kikaacha kuuzwa. [1] Hadi hivi sasa kitabuhicho ni marufuku kuletwa tena Tanzania.Kitabu cha pili ni cha Dr John C.Sivalon, Kanisa Katoliki na Siasa ya Tanzania Bara 1953 Hadi 1985 (1992). [1]Kitabu hiki kinaeleza njama ndani ya serikali kuuhujumu Uislam. Sivalonanafichua kuwa kuanzia mwaka 1961 baada ya Tanganyika kupata uhuru, Kanisalilikuwa na hofu mbili. Hofu ya kwanza ilikuwa umoja wa madhehebu za Kiislamkati ya Sunni, Bohora, Ismailia na Ithnasheri. Hofu ya pili ilikuwa kuhamishwakwa makao makuu ya EAMWS kutoka Mombasa kuja Dar es Salaam. Kanisa lilikuwalinahofu kuwa mali walizokuwanazo Waasia Waislam zikitiwa katika harakati za Waislamambao walikuwa na nguvu kubwa katika uwanja wa siasa zitaathiri maslahi ya Ukristo katika Afrika yaMashariki. Kwa ajili hii Kanisa likatanganza kuwa Uislam ni adui wake naikaanza mikakati ya hujma dhidi ya Uislam ili kuudhoofisha. [1]Kuna kazi mbili zilizoandikwa na Waislam kuhusu uhusiano baina ya serikali naWaislam. Kazi ya kwanza ni tasnifu ya Kiwanuka, ëThe Politics of Islam inBukoba Districtí (1973); [1]kazi ya pili ni makala ya utafiti ëIslam and Politics in Tanzaniaí (1989) [1]iliyoandikwana mwandishi wa kitabu hiki. Ilikuwa baada ya kusoma tasnifu yaKiwanuka na kuona jinsi ukweli wa kuvunjwa kwa EAMWS kulivyopoteshwa ndipo kamaMuislam na kama ada ya Uislam inavyodai kuwa pande mbili za mgogoro zote lazimazisikilizwe, ndipo nilipoamua kufanya utafiti na kuandika tatizo lile kwamtazamo wa Waislam. Ukweli ambao kwa miongo miwili ulizuiwa usifahamike kwaWaislam. Kiwanuka anadai na kuafiki kuwa Nyerere alikuwa na haki ya kutumiavyombo vya dola dhidi ya Waislam kwa kuwa kama asingefanya hivyo nchi ingekuwana mamlaka mbili, yaani ya Waislam na ya serikali. Kwa ajili hii aliamuakuivunja EAMWS ili ëkulinda umoja wa kitaifaí. Halikadhalika ipoëKwikima Reportí (1968)[1]ambayo imeeleza kwa ufasaha tatizo la EAMWS, chanzo chake na mchango wa serikalikatika kuhujumu umoja wa Waislam. Taarifa hii inafaa kutumika leo kama dira yakuelewa tatizo la Waislam wa Tanzania kama ilivyokuwa wakati ule ilipotolewakwa mara ya kwanza. Taarifa ya Kwikima inaeleza jinsi TANU, serikali na Waislamwachache katika TANU walivyodanganyika kudhani kuwa katika kuisaidia serikalikuivunja nguvu EAMWS walikuwa wanatimiza uzalendo na maslahi ya taifa. Rejeahizi tano ni muhimu kwa wanafunzi wa historia ya siasa Tanzania; na kwa mtafitiyeyote anaetaka kujua chanzo cha chuki baina ya Waislam na serikali na chanzocha hisia kali za kidini zinazoikumba nchi yetu kuanzia miaka ya 1980. Rejeazote hizo za vitabu, makala za utafiti na taarifa mbalimbali, ingawazimeandikwa na waandishi tofauti na kwa muelekeo tofauti zote hizi zinadhihirishakitu kimoja ñ kuwepo kwa njama zinazoendelea kwa zaidi ya karne moja dhidi yaUislam na Waislam, kwanza zilikuwa zikifanywa na wakoloni walioitawalaTanganyika na sasa zinafanywa na Wakristo wananchi kuhakikisha kuwa Uislamhaupati nguvu."
Mohamed,
Nikuulize swali. Anwar Sadat wa Misri na mrithi wake Mubarak waliwaweka vizuizini viongozi wa Muslim Brotherhood. Je, tunaweza kusema hawa viongozi wa Misri walikuwa na chuki dhidi ya Uislamu?
 
Huo uongo uuseme wewe, tazama msikiti umefunguliwa lini:

The late Vice-President, Dr Omar Ali Juma, officially opened the mosque on October 13, 2000.
Mwalimu kafariki October 1999. Wakati huo msikiti umeshamalizika. Cha ajabu gani kama msikiti ulifunguliwa rasmi "officially" October 13 2000?
You are still a liar in my book.
 
Faiza,
Hapo haujaonyesha kuwa Nyerere alikalia fedha za Qadafi na Mama Maria ndiye aliyezitoa kujenga msikiti huo. Kubali umekosea na uombe msamaha kadamnasi kama ulivyotaka Mwanakijiji awaombe msamaha. Onyesha mfano.

That Mwalimu was not religiously bigoted is a point that must be underlined. He could genuinely worship with people of other religious convictions, and often did. His level-headedness in religious matters was such that even in his last years he was looking for funds to complete the construction of a mosque, a prayer house for Muslims, at his home village in Butiama. The Catholics had a church there; why not the Muslims? His widow, Mama Maria Waningo Nyerere, reportedly saw the project to completion after his death
source: Head of State and Saint? Julius Nyerere Part 2 - Spiritual Life through Reflections, Meditations and Contemplations

Uombe msamaha wewe. Loo! hata haya huoni?
 
Huo uongo uuseme wewe, tazama msikiti umefunguliwa lini:

The late Vice-President, Dr Omar Ali Juma, officially opened the mosque on October 13, 2000.
Huko ni kuufungua rasmi. Ulishaanza kutumika kitambo kabla ya hapo. Unaonaje Mwalimu kumuomba Gadafi ajenge msikiti Butiama na jinsi alivyouchukia UISLAMU na WAISLAMU? Hili ndilo lilikuwa swali langu la wakati ule. Badala yake ukajibu fedha alizikalia, hakuzitafuna hadi Maria alipoona tetemeko!
 
Mwalimu kafariki October 1999. Wakati huo msikiti umeshamalizika. Cha ajabu gani kama msikiti ulifunguliwa rasmi "officially" October 13 2000?
You are still a liar in my book.

Soma post #1250 na nnao ushahidi kuwa Nyerere kafa msikiti ndio kwanza upo kwenye Msingi. Wacha uzushi.

Eti niliuona msikiti kabla Nyerere hajafa, huoni hata haya kuzuwa kwenye kadam nas?.
 
Muwache uzushi:

Muslim Juma Hamisi Kakwaya Nyamberere, a Koran teacher in Butiama village says: " Mwalimu was very accommodating when it came to religious faith of the people".
He cites a case where Nyerere planned to assist Muslim villagers in the construction of a mosque for them, about 200 metres from his house.
The project reached the foundation level by the time Nyerere passed away on October 14.

Haya mnalo lingine la kubisha kuhusu hili?
 
Mohamed,
Nikuulize swali. Anwar Sadat wa Misri na mrithi wake Mubarak waliwaweka vizuizini viongozi wa Muslim Brotherhood. Je, tunaweza kusema hawa viongozi wa Misri walikuwa na chuki dhidi ya Uislamu?

Mkuu acknowldege kwamba waandishi wengi wameandika kuhusu upendeleo wake kwa kanisa na chuki zake kwa waislamu kama bandiko #1246

Hilo swali la anwar sadat ni aina nyingine ya kupotosha mjadala wa nyerere..au ndio yale mashindano ya kutetea dhulma yanaendelea haya twende
 
Muwache uzushi:

Muslim Juma Hamisi Kakwaya Nyamberere, a Koran teacher in Butiama village says: " Mwalimu was very accommodating when it came to religious faith of the people".
He cites a case where Nyerere planned to assist Muslim villagers in the construction of a mosque for them, about 200 metres from his house.
The project reached the foundation level by the time Nyerere passed away on October 14.

Haya mnalo lingine la kubisha kuhusu hili?

Nyerere tatizo lake udini na choyo..udini ulimsumbua sana babu yetu huyu lakini nataka niamini kuwa alikuwa akifanya hivyo ili apate dhawabu kwa mungu wake.
 
Mohamed,
Nikuulize swali. Anwar Sadat wa Misri na mrithi wake Mubarak waliwaweka vizuizini viongozi wa Muslim Brotherhood. Je, tunaweza kusema hawa viongozi wa Misri walikuwa na chuki dhidi ya Uislamu?

Jasusi,

Naogopa tutatoka katika mada kuu.
Si kama sina jibu lakini tutawapunja wengi humu ndani.

Ili tujadili ya Nasser, Hassan Banna na Said Qutb inabidi watu waijue vyema historia hii.
Si wengi watanufaika na mnakasha huu.

Ila tuagane na hii.

Msemaji alisema baada ya nakama iliyomfika Nasser katika Six Day War, 1967. Mungu
hawezi kumpa ushindi mtu aliyeua vipenzi vyake.

Hassan Nasralla (Hizbullah) aliulizwa kuhusu vita ya 2006 na Israel akasema wakati wowote
kama Wayahudi watataka kupigana na sisi, sisi tuko tayari.

Nadhani Jasusi umenielewa.

Mohamed

Mohamed
 
Muwache uzushi:

Muslim Juma Hamisi Kakwaya Nyamberere, a Koran teacher in Butiama village says: " Mwalimu was very accommodating when it came to religious faith of the people".
He cites a case where Nyerere planned to assist Muslim villagers in the construction of a mosque for them, about 200 metres from his house.
The project reached the foundation level by the time Nyerere passed away on October 14.

Haya mnalo lingine la kubisha kuhusu hili?
Je, Mwalimu alikuwa amezikalia pesa zile? Huu msingi ulijengwaje?
 
Nyerere tatizo lake udini na choyo..udini ulimsumbua sana babu yetu huyu lakini nataka niamini kuwa alikuwa akifanya hivyo ili apate dhawabu kwa mungu wake.
Vipi mtu MDINI aombe kujengewa msikiti kijiji alikozaliwa?
 
Je, Mwalimu alikuwa amezikalia pesa zile? Huu msingi ulijengwaje?

Naona nyimbo imebadilika sasa, mwenzio aliokuwa anakutetea, kaona haya, aombe msamaha tu kwa kudanganya eti niliuona msikiti kabla ya Nyerere kufa.

Msingi ujengwe ujengwavyo fedha za Gaddafi alikuja kuzitowa Maria Nyerere, na hilo liliripotiwa katika magazeti ya Tanzania wenye kumbukumbu wanalielewa hilo. Usitake kubishana vitu ambavyo viko wazi. Tumesema hizi ni enzi za dot com, hakuna cha kuficha.

His widow, Mama Maria Waningo Nyerere, reportedly saw the project to completion after his death...

Source: Are saints concealed in the ranks of African Heads of State?
 
Back
Top Bottom