Historia ya Uhuru isimuliwavyo na Mohammed Said yakosolewa

Historia ya Uhuru isimuliwavyo na Mohammed Said yakosolewa

In 1993 the government signedan agreement (Memorandum of Understanding) with the Tanzania EpiscopalConference (TEC) and the Christian Council of Tanzania (TCC). The agreementprovided that the government with the two Christian institutions would jointlyprovide education and other social services.

MS,
Kikwete aliwauliza mashehe kushusu MoU ....nyinyi mlikuwa wapi? mliomba mkanyimwa? akasema kama mliomba mkanyimwa si mngepeleka malalamiko yenu kwenye vyombo vya sheria? Hivi badala ya kulalamika na nyinyi mngeandaa MoU yenu na serikali 1993 leo hii mngekuwa wapi?

Faiza bwana!! Mwalimu alifariki Oktoba 14 1999 hadi Oktoba 13 2000 ni mwaka mmoja kamili. Unadhani msikiti ulianza kujengwa baada ya mwalimu kufa na mwaka mmoja baadaye ukakamilika. Unafikiri leo hii Kikwete akienda marekani akaulizwa apewe zawadi atachagua ya kuwajengea waumini wa Kikiristo kijijini kwao Msoga Kanisa? Pardon Me!!

Msikiti wa Butiama ni kielelezo cha uungwana wa Mwalimu na ukumbuke kwamba Gaddaffi alikuwa ni 'adui" wa Mwalimu lakini mwisho wa siku Mwalimu anawaombea wananchi wake wa Butiama Msikiti. Hivi inaingia akilini kweli mtu aombe msikiti halafu agome kujenga msikiti!!?

Hakuna aliyesema kagoma kujenga msikiti, usitie maneno yako kinywani mwangu. Tafadhali sana. Na hilo la kufunguliwa msikiti nimesema kuwa hata ulipofunguliwa na Dr. Omar ulikuwa haujakamilika waliitumia fursa hiyo kuwa inaambatana na kifo cha Mwalim. Hebu someni kabla hamjakurupuka.
 
MS,
Kikwete aliwauliza mashehe kushusu MoU ....nyinyi mlikuwa wapi? mliomba mkanyimwa? akasema kama mliomba mkanyimwa si mngepeleka malalamiko yenu kwenye vyombo vya sheria? Hivi badala ya kulalamika na nyinyi mngeandaa MoU yenu na serikali 1993 leo hii mngekuwa wapi?

Sweke34,

Sifa moja ya Uislam ni kuhurumiana nakuomba tumwache rais katika haya. Mimi nilileta hapa ukumbini "Christian Hegemony and the Rise of Muslim Militancy in Tanzania Mainland" baada ya meneno hayo ya Mheshimiwa Rais.

JF waliiweka asubuhi maghrib wakaitoa.
Nadhani tumeelewana.

Mohamed
 
kwani aliyejibu kitabu cha satanic verses yupo??

Kigarma hiyo ulobandika siyo yangu.
Yangu ni hii hapa chini.

Imekuwaje ikawa yangu imebadilishwa?

FF,

Nakuhakikishia hatotokea.

Atokeee wapi na aandike nini?

Prof Haroub kesha na Nyerere kuhusu kutoa majibu ya kitabu changu na aliyomsisitizia ni nafasi yake katka kuanzisha TANU na chuki yake dhidi ya Uislam na Waislam.

Akamsisitizia kuwa hayo yaloandikwa na Mohamed Said yatachafua sifa yake ikiwa hayatajibiwa.

Prof. Haroub akamuomba ni lazima na yeye aandike maisha yake na aeleze upande wake.

Nyerere hakuweza.

Leo tupo hapa kuna watu wanajaribu kumjibia Nyerere bila ya mafanikio.

Nimewapa changamoto walete kitabu chao na wao atoe mchango wa wazee wao katika kupigana na ukoloni.

KIlasara kaja na hoja kuwa kuna watu walipambana na ukoloni na kama kawaida akajaribu kuwadogosha wazee wangu.
NImempa jibu "replay" ya hotuba ya Nyerere mwaka 1957 katika Bank Holiday, Mtaa wa Mvita, Dar es Salaam aliyotoa katika taarab rasmi ya TANU.

Hajarejea.

Namsubiri Insha Allah.

Na bado nawasubiri wengine.
Simtukani mtu wala simtolei ukali mtu wala simtishi mtu.

Kigarama bado anamsoma na kumsikiliza Al Marhum Sheikh Ahmed Deedat.
 
Kigarama bado anamsoma na kumsikiliza Al Marhum Sheikh Ahmed Deedat.

Kigarama anajiandaa kuzungumza na wazee wa kalenga ili kuthibitisha dini ya mkwawa.

Wewe bado tunakusubiri uthibitishe ni nani alifanya utafiti na kuandika kitabu kupinga kile cha satanic versies.
 
Sweke34,

Sifa moja ya Uislam ni kuhurumiana nakuomba tumwache rais katika haya. Mimi nilileta hapa ukumbini "Christian Hegemony and the Rise of Muslim Militancy in Tanzania Mainland" baada ya meneno hayo ya Mheshimiwa Rais.

JF waliiweka asubuhi maghrib wakaitoa.
Nadhani tumeelewana.

Mohamed
Sawa nimekusoma mkuu. Sifa moja ya uislam ni kuhurumiana lakini ndani ya uislam tu . Kwa katoliki kama Nyerere hakuna kuhurumiana.
Naona kwa sasa watu wanajadili mambo yanayohusu imani zao bila kuwa na jazba saana kama hapo awali kwa hiyo tujaribu kuwaomba MODS wairudishe hii thread("Christian Hegemony and the Rise of Muslim Militancy in Tanzania Mainland") au kama bado unayo ibandike upya tuone upepo utavuma vipi!
 
Nimechukua time kama nilivyoahidi na phew ! kuna mengi yamesemwa humu hadi kufikia kuchombeza kuwa Mag3 kakimbia mjadala ! Hili wazushi kama kawaida yao wamelirudia si mara moja, na haya ndiyo ninayoyaita porojo kama anayoyasimulia huyo anayejiita Mohamed Said. Mimi ni binadamu, naenda kibaruani, napumzika, nalala, naugua na ninasafiri - sikeshi hapa JF 24/7 kama FaizaFoxy, yeye yupo kibaruani na kwa mpango maalum, ambao hata hivyo sitasita kuwaambia ukweli, hautafanikiwa. Hautafanikiwa si hapa Tanzania ninayoijua fika toka kabla na baada ya uhuru kwani misingi aliyoijenga Mwalimu Nyerere ya upendo na amani bila kubaguana katu hawataweza kuivunja.

Ni porojo tu na kwa hakika zingeweza kupuuzwa kama tu hazikutolewa wakati huu. Hebu tuanze kwa kujiuliza kidogo tu, why now ? Wakati uongozi wote wa juu umeshikwa na Waislamu, kuna kikundi cha Waislaam wamepewa pasi kupita mikoani kupandikiza chuki miongoni mwa wananchi kwa kuchochea mifarakano ya kidini, why now ? Wakati viongozi wote wa juu wa serikali na chama tawala cha CCM ni Waislaam, kuna mchochezi kwa jina Mohamed Said amepewa pasi anaandika magazetini kuwa Baba wa Taifa kwa kuuchukia Uislaam, kwa makusudi aliwakandamiza Waislaam, why now ? Jibu lililo wazi kabisa hata kwa kipofu ni kwa sababu CCM inaelekea kupoteza imani miongoni mwa wananchi.

FaizaFoxy ni mfano halisi wa hali inayotubidi sisi sote wapenda amani wa nchi hii bila kujali dini wala kabila tupambane nayo bila kurudi nyuma. FaizaFoxy represents a symbol, an institution and a state sponsored legion which has all state resources at its disposal. FaizaFoxy hahitaji kulala, kula hata kwenda uani, anachohitaji ni kubadilisha umbo tu kidogo na naona sasa anatishia hata kuwaumbua kwa majina wachangiaji, mimi namwambia bring it on. Huu mpango waliokuwa nao hawa wachochezi umeanza zamani sana lakini kwa sababu ya taifa letu kujengwa katika misingi imara, kazi ya kuibomoa misingi hiyo imekuwa ngumu ila wamepata kaupenyo kadogo kwa kutumia Udini.

Mohamed Said represents a tool and a very convenient tool kwa sababu ni rahisi kuteka sehemu ya jamii kwa kutumia udini. Fikiria mtu anakubaliana na hoja kuwa serikali inayoongozwa na Waislaam inawadhulumu Waislaam hao hao kwa sababu inaongozwa kwa mfumoKristo ! Huu Mfumo Kristo unaowapa nafasi viongozi wote wa juu serikalini kuwa Waislaam kwa nia ya kuukandamiza Uislaam na kudhulumu Waislaam...!..kwa mtu asiye na upungufu wa akili, mambo mengine ni vigumu kuyaamini. Halafu "scholar" anayetoa madai haya eti sasa ameamua kuandika kitabu cha historia na rejea kuu ikiwa ni masimulizi ya wazee wake ambao kwa madai yao ndio waliopigania uhuru wa Tanganyika, upuuzi mtupu.

Nilionya kuwa hatari ya uwongo ukiachwa unarudiwarudiwa sana bila kukemewa, unaweza kujenga hisia potofu katika jamii kulingana na uwezo binafsi kuupokea bila tafakari. Katika huu mjadala tunawashuhudia watu kama hao na utawatambua tu wanavyomeza hizi hadithi za Mohamed Said na FaizaFoxy kuhusu chuki za Mwalimu dhidi ya Uislaam. Fikirieni jamani dai hili la Mwalimu kumwomba Gadafi hela ya kujenga msikiti halafu kukalia hizo hela (alizifisadi) hadi kufa kwake ndio msikiti ujengwe. Fikirieni hili la Mohaned Said kuwa Chifu Mkwawa alikuwa Muislaam na ndio maana alipambana na Wajerumani halafu kuna watu kama mazezeta wanaitikia chorus, huu kama si utumwa ni nini ?

Lakini narudia tena kusema hawa watu tusiwapuuze, wanayo ajenda na hiyo ajenda yao itafanikiwa tu kama Watanzania katika umoja, mshikamano na upendo tulionao bila kujali dini wala kabila (asante Mwalimu), hatutaupiga vita. Tahadhari ni kuwa tukiwapa nafasi wakafanikiwa basi, sisi kama taifa tumekwisha, tunayoyashuhudia yakitokea kwa mfano Somalia na kwingineko tutakuwa tumeyafungulia mlango. Labda tuanze kwa kujiuliza swali moja zito, wakati hizi mbegu za chuki zikipandwa mchana kweupee, usalama wa taifa uko wapi, serikali iko wapi na CCM iko wapi na kwa nini wako kimya ! Jibu mnalo wana jamvi, ukiona vyaelea vyaundwa na sasa vyarembwa.

Adam angeweza kuwa Muislaam sawa lakini si lazima baba yake Sapi alikuwa Muislaam na kama na yeye pia alikuwa Muislaam si lazima babu yake Chifu Mkwawa alikuwa Muislaam, ndivyo tulivyoishi bila kubaguana katika familia. Mfano mzuri mwingine ni Paul Bomani alikuwa Mkristo lakini baba yake mzazi alikuwa Muislaam au Bob Makani Mwenyekiti wa pili wa Chadema alikuwa Muislaam lakini ndudu zake wa kuzaliwa ni Wakristo. Tofauti na pwani huko bara mambo ni tofauti na ndiyo maana mimi nasema mtu wa pwani tena mzaliwa wa Gerezani asithubutu kudai anaandika historia ya wapigania uhuru wa Tanganyika, hapana, anaandika simulizi za wazee wake wa Gerezani, period.

Haya tuendelee........................
 
Nimechukua time kama nilivyoahidi na phew ! kuna mengi yamesemwa humu hadi kufikia kuchombeza kuwa Mag3 kakimbia mjadala ! Hili wazushi kama kawaida yao wamelirudia si mara moja, na haya ndiyo ninayoyaita porojo kama anayoyasimulia huyo anayejiita Mohamed Said. Mimi ni binadamu, naenda kibaruani, napumzika, nalala, naugua na ninasafiri - sikeshi hapa JF 24/7 kama FaizaFoxy, yeye yupo kibaruani na kwa mpango maalum, ambao hata hivyo sitasita kuwaambia ukweli, hautafanikiwa. Hautafanikiwa si hapa Tanzania ninayoijua fika toka kabla na baada ya uhuru kwani misingi aliyoijenga Mwalimu Nyerere ya upendo na amani bila kubaguana katu hawataweza kuivunja.

Ni porojo tu na kwa hakika zingeweza kupuuzwa kama tu hazikutolewa wakati huu. Hebu tuanze kwa kujiuliza kidogo tu, why now ? Wakati uongozi wote wa juu umeshikwa na Waislamu, kuna kikundi cha Waislaam wamepewa pasi kupita mikoani kupandikiza chuki miongoni mwa wananchi kwa kuchochea mifarakano ya kidini, why now ? Wakati viongozi wote wa juu wa serikali na chama tawala cha CCM ni Waislaam, kuna mchochezi kwa jina Mohamed Said amepewa pasi anaandika magazetini kuwa Baba wa Taifa kwa kuuchukia Uislaam, kwa makusudi aliwakandamiza Waislaam, why now ? Jibu lililo wazo kabisa hata kwa kipofu ni kwa sababu CCM inaelekea kupoteza imani miongoni mwa wananchi.

FaizaFoxy ni mfano halisi wa hali inayotubidi sisi sote wapenda amani wa nchi hii bila kujali dini wala kabila tupambane nayo bila kurudi nyuma. FaizaFoxy represents a symbol, an institution and a state sponsored legion which has all state resources at its disposal. FaizaFoxy hahitaji kulala, kula hata kwenda uani, anachohitaji ni kubadilisha umbo tu kidogo na naona sasa anatishia hata kuwaumbua kwa majina wachangiaji, mimi namwambia bring it on. Huu mpango waliokuwa nao hawa wachochezi umeanza zamani sana lakini kwa sababu ya taifa letu kujengwa katika misingi imara, kazi ya kuibomoa misingi hiyo imekuwa ngumu ila wamepata kaupenyo kadogo kwa kutumia Udini.

Mohamed Said represents a tool and a very convenient tool kwa sababu ni rahisi kuteka sehemu ya jamii kwa kutumia udini. Fikiria mtu anakubaliana na hoja kuwa serikali inayoongozwa na Waislaam inawadhulumu Waislaam hao hao kwa sababu inaongozwa kwa mfumoKristo ! Huu Mfumo Kristo unaowapa nafasi viongozi wote wa juu serikalini kuwa Waislaam kwa nia ya kuukandamiza Uislaam na kudhulumu Waislaam...!..kwa mtu asiye na upungufu wa akili, mambo mengine ni vigumu kuyaamini. Halafu "scholar" anayetoa madai haya eti sasa ameamua kuandika kitabu cha historia na rejea kuu ikiwa ni masimulizi ya wazee wake ambao kwa madai yao ndio waliopigania uhuru wa Tanganyika, upuuzi mtupu.

Nilionya kuwa hatari ya uwongo ukiachwa unarudiwarudiwa sana bila kukemewa, unaweza kujenga hisia potofu katika jamii kulingana na uwezo binafsi kuupokea bila tafakari. Katika huu mjadala tunawashuhudia watu kama hao na utawatambua tu wanavyomeza hizi hadithi za Mohamed Said na FaizaFoxy kuhusu chuki za Mwalimu dhidi ya Uislaam. Fikirieni jamani dai hili la Mwalimu kumwomba Gadafi hela ya kujenga msikiti halafu kukalia hizo hela (alizifisadi) hadi kufa kwake ndio msikiti ujengwe. Fikirieni hili la Mohaned Said kuwa Chifu Mkwawa alikuwa Muislaam na ndio maana alipambana na Wajerumani halafu kuna watu kama mazezeta wanaitikia chorus, huu kama si utumwa ni nini ?

Lakini narudia tena kusema hawa watu tusiwapuuze, wanayo ajenda na hiyo ajenda yao itafanikiwa tu kama Watanzania katika umoja, mshikamano na upendo tulionao bila kujali dini wala kabila (asante Mwalimu), hatutaupiga vita. Tahadhari ni kuwa tukiwapa nafasi wakafanikiwa basi, sisi kama taifa tumekwisha, tunayoyashuhudia yakitokea kwa mfano Somalia na kwingineko tutakuwa tumeyafungulia mlango. Labda tuanze kwa kujiuliza swali moja zito, wakati hizi mbegu za chuki zikipandwa mchana kweupee, usalama wa taifa uko wapi, serikali iko wapi na CCM iko wapi na kwa nini wako kimya ! Jibu mnalo wana jamvi, ukiona vyaelea vyaundwa na sasa vyarembwa.

Adam angeweza kuwa Muislaam sawa lakini si lazima baba yake Sapi alikuwa Muislaaam na kama na yeye pia alikuwa Muislaam si lazima babu yake Chifu Mkwama alikuwa Muislaam, ndivyo tulivyoishi bila kubaguana katika familia. Mfano mzuri mwingine ni Paul Bomani alikuwa Mkristo lakini baba yake mzazi alikuwa Muislaam au Bob Makani Mwenyekiti wa kwanza wa Chadema alikuwa Muislaam lakini ndudu zake wa kuzaliwa ni Wakristo. Tofauti na pwani huko bara mambo ni tofauti na ndiyo maana mimi nasema mtu wa pwani tena mzaliwa wa Gerezani asithubutu kudai anaandika historia ya wapigania uhuru wa Tanganyika, hapana, anaandika simulizi za wazee wake wa Gerezani, period.

Haya tuendelee........................

Acha uzushi na matisho kuwashambulia FF na Mohammed bure ...

Mohammed ameleta historia and facts based on documented evidence ..(undisputed)

Wewe ndiyo unayeleta vurugu kwa kuchonganisha watu ...wacha watu wasomi wataamua ukweli

Kaka nyerere kadhuluma taifa of course amelisaidia kanisa lako au hata wewe binafsi

He is hero to church and course to our nation..
 
hapo kwenye bold pole sana....! Kuna evidence ndogo tu nimemuomba anionyeshe akashindwa na kuanza kuleta mambo mengine.
Mimi leo hii akiniletea takwimu zinazoonyesha upendeleo wa elimu kwa wakristu ndani ya miaka mitano iliyopita ,NITAMPA MJIi!
 
Nimechukua time kama nilivyoahidi na phew ! kuna mengi yamesemwa humu hadi kufikia kuchombeza kuwa Mag3 kakimbia mjadala ! Hili wazushi kama kawaida yao wameliridua si mara moja, na haya ndiyo ninayoyaita porojo kama anayoyasimulia huyo anayejiita Mohamed Said. Mimi ni binadamu, naenda kibaruani, napumzika, nalala, naugua na ninasafiri - sikeshi hapa JF 24/7 kama FaizaFoxy, yeye yupo kibaruani na kwa mpango maalum, ambao hata hivyo sitasita kuwaambia ukweli, hautafanikiwa. Hautafanikiwa si hapa Tanzania ninayoijua fika toka kabla na baada ya uhuru kwani misingi aliyoijenga Mwalimu Nyerere ya upendo na amani bila kubaguana katu hawataweza kuivunja.

Ni porojo tu na kwa hakika zingeweza kupuuzwa kama tu hazikutolewa wakati huu. Hebu tuanze kwa kujiuliza kidogo tu, why now ? Wakati uongozi wote wa juu umeshikwa na Waislamu, kuna kikundi cha Waislaam wamepewa pasi kupita mikoani kupandikiza chuki miongoni mwa wananchi kwa kuchochea mifarakano ya kidini, why now ? Wakati viongozi wote wa juu wa serikali na chama tawala cha CCM ni Waislaam, kuna mchochezi kwa jina Mohamed Said amepewa pasi anaandika magazetini kuwa Baba wa Taifa kwa kuuchukia Uislaam, kwa makusudi aliwakandamiza Waislaam, why now ? Jibu lililo wazo kabisa hata kwa kipofu ni kwa sababu CCM inaelekea kupoteza imani miongoni mwa wananchi.

FaizaFoxy ni mfano halisi wa hali inayotubidi sisi sote wapenda amani wa nchi hii bila kujali dini wala kabila tupambane nayo bila kurudi nyuma. FaizaFoxy represents a symbol, an institution and a state sponsored legion which has all state resources at its disposal. FaizaFoxy hahitaji kulala, kula hata kwenda uani, anachohitaji ni kubadilisha umbo tu kidogo na naona sasa anatishia hata kuwaumbua kwa majina wachangiaji, mimi namwambia bring it on. Huu mpango waliokuwa nao hawa wachochezi umeanza zamani sana lakini kwa sababu ya taifa letu kujengwa katika misingi imara, kazi ya kuibomoa misingi hiyo imekuwa ngumu ila wamepata kaupenyo kadogo kwa kutumia Udini.

Mohamed Said represents a tool and a very convenient tool kwa sababu ni rahisi kuteka sehemu ya jamii kwa kutumia udini. Fikiria mtu anakubaliana na hoja kuwa serikali inayoongozwa na Waislaam inawadhulumu Waislaam hao hao kwa sababu inaongozwa kwa mfumoKristo ! Huu Mfumo Kristo unaowapa nafasi viongozi wote wa juu serikalini kuwa Waislaam kwa nia ya kuukandamiza Uislaam na kudhulumu Waislaam...!..kwa mtu asiye na upungufu wa akili, mambo mengine ni vigumu kuyaamini. Halafu "scholar" anayetoa madai haya eti sasa ameamua kuandika kitabu cha historia na rejea kuu ikiwa ni masimulizi ya wazee wake ambao kwa madai yao ndio waliopigania uhuru wa Tanganyika, upuuzi mtupu.

Nilionya kuwa hatari ya uwongo ukiachwa unarudiwarudiwa sana bila kukemewa, unaweza kujenga hisia potofu katika jamii kulingana na uwezo binafsi kuupokea bila tafakari. Katika huu mjadala tunawashuhudia watu kama hao na utawatambua tu wanavyomeza hizi hadithi za Mohamed Said na FaizaFoxy kuhusu chuki za Mwalimu dhidi ya Uislaam. Fikirieni jamani dai hili la Mwalimu kumwomba Gadafi hela ya kujenga msikiti halafu kukalia hizo hela (alizifisadi) hadi kaufa kwake ndi msikiti ujengwe. Fikirieni hili la Mohaned Said kuwa Chifu Mkwawa alikuwa Muislaam na ndio maana alipambana na Wajerumani halafu kuna watu kama mazezeta wanaitikia chorus, huu kama si utumwa ni nini ?

Lakini narudia tena kusema hawa watu tusiwapuuze, wanayo ajenda na hiyo ajenda yao itafanikiwa tu kama Watanzania katika umoja, mshikamano na upendo tulionao bila kujali dini wala kabila (asante Mwalimu), hatutaupiga vita. Tahadhari ni kuwa tukiwapa nafasi wakafanikiwa basi, sisi kama taifa tumekwisha, tunayoyashuhudia yakitokea kwa mfano Somalia na kwingineko tutakuwa tumeyafungulia mlango. Labda tuanze kwa kujiuliza swali moja zito, wakati hizi mbegu za chuki zikipandwa mchana kweupee, usalama wa taifa uko wapi, serikali iko wapi na CCM iko wapi na kwa nini wako kimya ! Jibu mnalo wana jamvi, ukiona vyaelea vyaundwa na sasa vyarembwa.

Adam angeweza kuwa Muislaam sawa lakini si lazima baba yake Sapi alikuwa Muislaaam na kama na yeye pia alikuwa Muislaam si lazima babu yake Chifu Mkwama alikuwa Muislaam, ndivyo tulivyoishi bila kubaguana katika familia. Mfano mzuri mwingine ni Paul Bomani alikuwa Mkristo lakini baba yake mzazi alikuwa Muislaam au Bob Makani Mwenyekiti wa kwanza wa Chadema alikuwa Muislaam lakini ndudu zake wa kuzaliwa ni Wakristo. Tofauti na pwani huko bara mambo ni tofauti na ndiyo maana mimi nasema mtu wa pwani tena mzaliwa wa Gerezani asithubutu kudai anaandika historia ya wapigania uhuru wa Tanganyika, hapana, anaandika simulizi za wazee wake wa Gerezani, period.

Haya tuendelee........................

Mag3,

Umeandika vizuri lakini unahitaji kuandika kitabu kama nilivyoandika mimi na ukatoa hizo shutuma kweupe na kuweka jina lako dunia ikutambue kama nilivyofanya mie.

Hilo litatia nguvu hoja zako.

Kuhusu "why now?"

Harakati za kupinga dhulma hatukuanza leo tulianza miaka mingi na wahusika wa nchi hii wanafahamu.

Toka tuko "msituni" hatuna "support" ya Waislam tukifanya kazi chini kwa chini enzi za Nyerere tukijaribu kuwaelimisha Waislam hadi Allah alipoleta taufiq yake watu wakaujua ukweli na sasa tuko hadharani kama hivi tunavyotembea Tanzania nzima tukieleza hatari ya mfumokrsto kwa umoja wa Tanzania.

Usifikiri kuwa kazi hii imeibuka ghafla bin vuu hapana ni kazi ya miaka mingi tumepanda mabonde na milima. Kuna wakati tumeshindwa na kuna wakati tumepata mafanikio.

Serikali inajua ukweli na ndiyo maana unaona sijapelekwa mahakamani kwa uchochezi si mimi wala si wenzangu.

Nimeweka hapa ushahidi jinsi Nyerere alivyotukandamiza Waislam akitumia vyombo vya serikali. Wewe unaweza usiwe unaamini haya lakini waliotumika katika dhulma hiyo ndani ya nafsi zao wanajua ukweli.

Historia ya wazee wangu katka kupigania uhuru wa Tanganyika najua inakuuma sana.

Ikiwa hujui fanya utafiti wako na utapata jibu kuwa historia niliyoandika mimi ina heshimiwa kuliko ile rasmi ambayo kwa sasa wengi wanaiona ni kichekesho.

Waislam hawawachukii Wakristo kama unavyotaka watu waamini kwani kufanya hivyo ni kwenda kinyume na mafunzo ya Allah. Dini halazimishwi mtu.

Waislam tunachochukia ni dhulma.

Hili tutaendelea kulisema hadi haki itakapotawala nchi yetu.

Siwezi kujibu yote uliyosema lakini naamini kwa haya niliyoweka hapa yameeleza yote ambayo Waislam tunaamini na tumeamua kuyasimamia kwa dhati.

Sikuona faida ya kuzungumzia kuhusu lugha yako isiyopendeza ya "upuuzi" nk.nk. mtu mwenye hoja za maana haihitaji kutukana. Wala sikuona haja ya kuzungumzia kuhusu "agenda ya siri" kwani mwenye "agenda ya siri" haandiki JF na kuweka jina lake wala haitishi mkutano wa hadhara Diamond Jubilee Hall na kualika vyombo vya habari.

Nakupa changa moto nieleze wewe ni nani hata kwa siri.

Umoja wa nchi yetu hautakuja kwa Waislam kukubali kukandamizwa.
Umoja utakuja kwa haki na usawa kutawala nchi yetu.

Mohamed
 
Historia dunia nzima imepindishwa sana, mfano miongoni mwa watu wa mwanzo kutua mwezini siyo mwamerika Armstrong bali alikuwa Muqatar ibn walid al islam raia wa yemen, mtu wa mwanzo kuvuka bahari ya atlantic na kuiona amerika na kuitangaza hakuwa Christopher columbus bali marwan hussein mujahid al saudi raia wa saudi arabia, vile vile mgunduzi wa simu alikuwa hassan islamihiya al tikrit raia wa turkey na siyo Graham. Historia imepindishwa sana na makafir akina nyerere na kundi lake ndo maana tunaambiwa eti mtanzania aliyekwenda UN kudai uhuru alikuwa Nyerere wakati alikuwa ni Rashid mfaume kawawa simba vya vita, hata raisi wa kwanza wa JMT ni Mkukufu sana alhaj ali hassan mwinyi na bado tunalazimishwa kuamini kuwa alikuwa kafir nyerere. Haya mambo ya kupindisha pinda historia ili kufanya allah na waja wake wasipate haki stahili haifai na inapelekea watu waungwana wanaamua kuchukua sharia mikononi mwao na kuwajihad makafir
 
Kigarama anajiandaa kuzungumza na wazee wa kalenga ili kuthibitisha dini ya mkwawa.

Wewe bado tunakusubiri uthibitishe ni nani alifanya utafiti na kuandika kitabu kupinga kile cha satanic versies.

Tunamsubiri kwa hamu. Maana JF bana watu wanasema wanarudi hawarudi. Kuna mmoja nilijadiliana nae akanambia atarudi na madata mwezi wa tatu sasa hajarudi sijui anazitengeneza hizo data au vp sijui.
 
Mkuu Jasusi achana na huyu mpuuzi, tatizo ni kwamba watu wengi makini wamekuwa wakiyapuuzia haya makala yake ya kichochezi na hatari yake ni kuwa uwongo ukiachiwa nafasi ya kujirudia rudia mwisho wapo watakaoamini kuwa ni kweli vile. Mimi wakati naanza shule 1953, huyo Mohamed Said alikuwa hata hajazaliwa kama alivyokiri kwenye majibu yake hapo nyuma.

MHESHIMIWA, waswahili wanasema mtu mzima dawa, 1953 kuanza shule ni mtu uliyeenda age kweli kweli kiasi kwamba hata mama yangu ambae kwangu namuona mzee kumbe hata kukukaribia, hakukaribii kiumri. Kama ndivyo, busara ya utu uzima (bila shaka unakaribia au umeshafika kwenye rika la uzee) unaipeleka wapi hata ufikie kutoa lugha ya matusi kwa mwenzako?! Shindaneni kwa hoja na kuepusha jazba. By the way, suala lenyewe la kuleta jazba hapa lipo wapi?! Hivi leo hii waislamu wanaweza kuandamana au kufanya mapinduzi kwavile tu waislamu wenzao hawakuandikwa kwenye historia?! Mimi nazani, kuondesha nawe ni mpiganaji wa kuongea unachokiamini, nilizani ungeanza kwanza ku-disclose jina lako halisi kama alivyofanya mohamed said kisha utudadavulie yale unayoyajua na kuyaamini. hilo ni muhimu sana, coz' , tuseme leo wa-tz wanamfahamu mr. george kavishe(jina la kubuni) kwamba ni mtu mzushi na muongo nambari moja duniani; na hapo hapo tukagundua kuwa kumbe mag3 ndie george kavishe; je, unazani utaaminika humu jamvini?! in contrast, wa-tz wanamuona George kuwa ni very respected and honesty man ever happened in human history, na hapo ikaja kugundulika kwamba kumbe mag3 ndie huyo george! can u see de impact?!
 
Kitu kinacho nishangaza hapa JF aidha kwa Waislaam au Wakristo au wasiokuwa na imani ya upande wowote, ni pale nilipobaini kuwa Mzee Mwanakijii ameipandikiza (ameibandika) aya ya Qur'an isivyo. Si Muislaam wala asiye Muislaam aliyeweza hata kufunguwa mdomo kusema au kushtuka.

Maswali mengi sana kuliko majibu. Huu ndio mshikamano wa Waislaam na wasio Waislaam hata pale tunapoona makosa? hata mmoja kati ya wachangiaji wa JF kusema ni kweli Mzee Mwanakijiji, omba msamaha kwa makosa uliyoyafanya, kama anavyoshinikiza FF. Badala yake kitu nilichokiona ni hata Mohamed Said kumsifu Mzee Mwanakijiji kuwa ni Heavy Weight. Haaa! Ma heavy weight hawana makosa hata wanapokosea? hii ndio JF au huu ndio usomi? Au huu ndio unafik wa Waislaam?

Sasa inanifanya niamini maneno ya Zomba (my cousin) ameni PM na kuniambia hakuna cha Mohamed Said wala Mwanakijiji wote hao ni system na wanawacheza shere.

Ahsante Zomba kwa kunitanabahisha hayo, sasa sitopoteza usingizi wangu. Na nimeona ukweli.

Mohamed Said, nimekutetea sana na ni mwandishi mzuri sana, lakini kweli hukuwa unatetea Uislaam wala Waislaam, unatetea na kuandika Historia ya wazee wako, na hata Uislaam unapoandikwa ndivyo sivyo hukuweza hata kutanabahi na japo kuuweka msimamo wako Kiislaam na wala kusema kweli hapo kuna kosa.

Nilichokitathmini, ni kuwa unataka ieleweke kuwa Wamanyema na Wazulu ndio waliokuja kuwafungua macho wenyeji na wenyeji wote ni hamnapo hakunapo.

Naamini, Waislaam mlichokipanda ndio mnachokivuna. Mmeshindwa hata kuitetea aya ya Qur'an ilivyobandikwa ndivyo sivyo, mtaweza kuutetea Uislaam? Mtabaki kutetea wazee wenu, alifanya hivi walikuwa hivi wakawa vile, na hao wazee wenu kwa unafik wao ndio wakawapa msemo na nguvu watu kama kina Nyerere. Kawawa na Songambele na Mustafa Nyang'anyi walitokea wapi? Uislaam kwa jina tu hautoshi na vitendo na mshikamano wa Waislaam ndio unaoonesha Uislaam wa kweli.

Leo mmeshindwa kutetea aya ya Qur'an inayosimamisha Uislaam, mtaweza kuwateteta Umma wa Kiislam. Wanafik wakubwa.
 
Kitu kinacho nishangaza hapa JF aidha kwa Waislaam au Wakristo au wasiokuwa na imani ya upande wowote, ni pale nilipobaini kuwa Mzee Mwanakijii ameipandikiza (ameibandika) aya ya Qur'an isivyo. Si Muislaam wala asiye Muislaam aliyeweza hata kufunguwa mdomo kusema au kushtuka.

Maswali mengi sana kuliko majibu. Huu ndio mshikamano wa Waislaam na wasio Waislaam hata pale tunapoona makosa? hata mmoja kati ya wachangiaji wa JF kusema n9i kweli Mzee Mwanakijiji, omba msamaha kwa makosa uliyoyafanya, kama anavyoshikiza FF. Badala yake kitu nilichokiona ni hata Mohamed Said kumsifu Mzee Mwanakijiji kuwa ni Heavy Weight. Haaa! Ma heavy weight hawana makosa hata wanapokosea? hii ndio JF au huu ndio usomi??

Sasa inanifanya niamini maneno ya Zomba (my cousin) ameni PM na kuniambia hakuna cha Mohamed Said wala Mwanakijiji wote hao ni system na wanawacheza shere.

Ahsate Zomba kwa kunitanabahisha hayo, sasa sitopoteza usingizi wangu.

Mohamed Said, nimekutetea sana na ni mwandishi mzuri sana, lakini kweli hukuwa unatetea Uislaam wala Waislaam, unatetea na kuandika Historia ya wazee wako, na hata Uislaam unapoandikwa ndivyo sivyo hukuweza hata kutanabahi na japo kuuweka msimamo wako Kiislaam na wala kusema kweli hapo kuna kosa.

Nilichokitathmini, ni kuwa unataka ieleweke kuwa Wamanyema na Wazulu ndio waliokuja kuwafungua macho wenyeji na wenyeji wote ni hamnapo hakunapo.

Naamini Waislaam mlichokipanda ndio mnachokivuna. Mmeshindwa hata kuitetea aya ya Qur'an ilivyobandikwa ndivyo sivyo, mtaweza kuutetea Uislaam. Mtabaki kutetea wazee wenu, alifanya hivi walikuwa hivi wakawa vile, na hao wazee wenu kwa unafik wao ndio wakawapa msemo na nguvu watu kama kina Nyerere. Kawawa na Songambelena Mustafa Nyang'anyi walitokea wapi? Uislaam tu hautoshi na vitendo na mshikamano wa Waislaam ndio unaoonesha Uislaam wa kweli.

Leo mmeshindwa kutetea aya ya Qur'an inayosimamisha Uislaam, mtaweza kuwateteta Umma wa Kiislam. Wanafik wakubwa.

Faiza unakosea kutuhukumu.

Kwanza fahamu katika uislamu kuna kila mtu na kazi yake na majukumu yake. Mie nazungumzia elimu ya mantiki na utafiti ndio elimu mmungu alionijaalia. Mwengine atazungumzia historia na jinsi alivyofahamu. Wewe faiza umejaaliwa kuifahamu Quran na kugundua makosa ya Mwanakijiji. Sasa ni vigumu mie nisiyeifahamu tafsiri ya quran kujua nani mkosa kwasababu sina elimu hiyo. Hivyo kabla hujawaita watu wanafiki basi kwanza waulize kwanini hawajasema kitu katika hilo.

Tusamehe sana ila nadhani umepotea hapa....
 
Wewe kama mtafiti ungekwenda kuitafiti hiyo aya na ungeuona ukweli, japo ungeunga mkono au ungekosoa. Wote ni wanafik. Hamna ithbati katika nyoyo zenu na mnakaa kazi kulumbana yasiyokuwa kwenye msingi wa Kiislaam. Msingi, muujiza, mshikamano wa Waislaam uko kwenye Qur'an. Kama hujuwi kuwa Qur'an imenukuliwa au imepachikwa ndivyo sivyo, huna cha kutetea ila tumbo na matakwa yako, na huo ni unafik.
 
Wewe kama mtafiti ungekwenda kuitafiti hiyo aya na ungeuona ukweli, japo ungeunga mkono au ungekosoa. Wote ni wanafik. Hamna ithbati katika nyoyo zenu na mnakaa kazi kulumbana yasiyokuwa kwenye msingi wa Kiislaam. Msingi, muujiza, mshikamano wa Waislaam uko kwenye Qur'an. Kam hujuwi kuwa Qur'an imenukuliwa au imepachikwa ndivyo sivyo, huna cha kutetea ila tumbo na matakwa yako, na huo ni unafik.

Faiza,

Kuna tafsiri kama 10,000 online ipi nishike na ipi niache? Unajua wanazuoni wa fiqhi wamesema aya inatafsiriwa zaidi ya 50,000? Niambie nishike tafsiri ipi niache? Vile vile aya ya quran unatakiwa uwe vile vile na elimu ya hadithi mie sina. Hivyo kwanza lazima nimpate mwanazuoni mwenye kuifahamu Quran kwa ufasaha nimuulize hizo aya? Nikishajua ndio niandike. Lakini wewe Faiza mmungu amekujaali elimu hiyo ndio ukagundua hilo tatizo sasa kuna ubaya gani kutusaidia? Nikuulize wewe elimu ya mantiki na utafiti unaifahamu? Hapa Mohamed mbona tumemuachia elimu ya historia anapokea vigongo pande zote lakini mbona amesimamia hoja mwenyewe. Usichoke Faiza tumia elimu uliyonayo kutufundisha nasi.

Nisamehe Faiza nitaipitia hiyo aya niifahamu zaidi kama kuna kitu cha kusema nitasema nipe muda wa kuifanyia utafiti ila usituhukumu Faiza unapata dhambi kufanya hilo. Ni nasaha tu.
 
Back
Top Bottom