Kigarama
JF-Expert Member
- Apr 23, 2007
- 2,492
- 1,230
Zitakuja ukijibu maswali yetu yatokanayo na hadithi za vitabu vyako!!
Bado nasubiri habari za Musoma...
Mohamed
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zitakuja ukijibu maswali yetu yatokanayo na hadithi za vitabu vyako!!
Bado nasubiri habari za Musoma...
Mohamed
Ushauri wako ni wa maana sana ingawa natofautiana na wewe kwenye hoja ya "Historia kamili". duniani hakuna Historia Kamili. Kwa mfano mpaka sasa Rais wa Iran, Mahmoud Ahmadinejad anaamini kwamba mauaji ya Wayahudi ni hadithi za kutunga tu kwani isingewezekana kwa wayahudi zaidi ya milioni 6 kuuawa kirahisi na Manazi wa Ujerumani.
Lakini hata Rwanda watu wanasema Wahutu wenye msimamo mkali waliwaua Watutsi na wahutu wenye msimamo wa wastani (Moderate) lakini hivi hakuna watutsi waliowaua wahutu au watutsi wenzao wenye msimamo wa wastani? Hiyo ndiyo Historia, hakuna iliyo kamili.
Kigarama.
Sio kweli kuwa historia kamili duniani hakuna, historia kamili zipo tena nyingi tu..
Mfano wa historia kamili dunia zipo wazi..
Histori ya China na Mao ze-Dong ipo wazi toka 1958
Urusi historia ya Jozef Stalin ipo wazi toka 1932.
Germany historia ya Adolf Hitler ipo wazi toka 1939.
Turkey historia ya Ismail Enver ipo wazi toka 1915
Japan historia ya Hideki Tojo ipo wazi toka 1941..
Hizi ni baadhi za historia kamili zipo wazi kwenye mitandao..
Hili kupambana na historia ya uhuru ya Mohamed Saidi na nyie njooni na historia mbadala ya kweli ya uhuru wa Tanganyika..
Kama mtashindwa basi historia ya Mohamed Said bado itakuwa na nguvu na watu wataendelea kuikukubali.
Ritz
Hawawezi, hao ni wapiga porojo wa JF. Wataanzia wapi? wao wangoje kulalamika tu humu. Ritz, kazi ya Mohamed Said imeshaota mizizi na hakuna wakuing'oa, ukweli haufutiki.
"naatamanaaani na kujaribu siweeezi".
Mohamed Said, nimekutetea sana na ni mwandishi mzuri sana, lakini kweli hukuwa unatetea Uislaam wala Waislaam, unatetea na kuandika Historia ya wazee wako, na hata Uislaam unapoandikwa ndivyo sivyo hukuweza hata kutanabahi na japo kuuweka msimamo wako Kiislaam na wala kusema kweli hapo kuna kosa.
Leo mmeshindwa kutetea aya ya Qur'an inayosimamisha Uislaam, mtaweza kuwateteta Umma wa Kiislam. Wanafik wakubwa..
Kwa sababu sio ukweli imeshajifuta yenyewe, nakushangaa sana kwa kutumia nguvu kubwa kuielaza na kuwajengea hofu vijana wa kiislam kuwa wanaonewa wakati wenyewe ukweli wanauona. Nimekusikia kwenye clip zako YouTube ukitumia majina ya marehemu akiwemo marehemu Profesa Haroub Othman kuhalalisha chuki yako! Haroub hakuwa mwalimu wako peke yako, wengi tulifundishwa naye, kwa tulie mfahamu msomi yule hakuwa na fikra unazompandikizia wewe, unafanya hivyo kwakuwa unajua kwamba hataweza kuja kujitetea hapa.Waache vijana wa Tanzania wafurahie umoja wao, waache vijana wapambane na umaskini na ufisadi ktk nchi yao kwani matatizo hayo hayawatenganishi kwa imani zao, wote kwa pamoja wanajeruhiwa nayo. Kama kweli Mungu wako anasifa tatu yaani "Omnipotence, Omniscience na Omnipresence" basi nakusihi mwachie yeye atoe hukumu ya haki kwa chuki unayo mpakazi/mzuria mwalimu Nyerere dhidi ya uislam.La sihivyo njoo uuangane na mimi(Atheist) na wala usiusingizie usilamu kujenga sifa na chuki zako binafsi.MM,
Nami nakuuliza.
Mtafanya nini hii leo kuifuta historia hii niliyoandika?
Ile ya kutia moto magazeti haikusaidia sana.
Unadhani haya maswali katika JF itasaidia kitu?
Mohamed
Hapo Mgalanjuka mwenzio alitaka ku- twist mjadala kuhalalisha kwamba Mohamed lengo lake ni kuwa enzi wazee wake kama wapigania Uhuru wa Tanganyika na wala si kwa sababu ya udini wakati makala nzima imejaa maneno yenye kuonyesha utengano wa kidini.
Currently...
Previously on this thread...
Need I say more?
Mzee Mohamed, kama mfumo uliopo madarakani unanufaika na uchochezi wako nani atakufikisha mahakamani? Zaidi sana unapongezwa sana kwani umefanikiwa kuwaondoa vijana wa kiislamu kupambana na adui wao halisia(ujinga, umaskini, maradhi na utawala wa kifisadi) sasa wapo mioyo juu kumfikiria na kumjadili adui wa kufikirika aliyeumbwa na wewe kwa raha zako!Sweke34,
Hivi niwe mchochezi na miaka yote hiyo niachiwe nisifikishwe mahakamani.
Mohamed
Labda kazi "yao" ya unafiki ndiyo imeota mizizi!!Huyo aliniuliza kama najua maana ya "contradictions" hivyo nashangaa mara kawaita watu "wanafik wakubwa" then anawaambia "kazi yao imeota mizizi"
Kwa sababu sio ukweli imeshajifuta yenyewe, nakushangaa sana kwa kutumia nguvu kubwa kuielaza na kuwajengea hofu vijana wa kiislam kuwa wanaonewa wakati wenyewe ukweli wanauona. Nimekusikia kwenye clip zako YouTube ukitumia majina ya marehemu akiwemo marehemu Profesa Haroub Othman kuhalalisha chuki yako! Haroub hakuwa mwalimu wako peke yako, wengi tulifundishwa naye, kwa tulie mfahamu msomi yule hakuwa na fikra unazompandikizia wewe, unafanya hivyo kwakuwa unajua kwamba hataweza kuja kujitetea hapa.Waache vijana wa Tanzania wafurahie umoja wao, waache vijana wapambane na umaskini na ufisadi ktk nchi yao kwani matatizo hayo hayawatenganishi kwa imani zao, wote kwa pamoja wanajeruhiwa nayo. Kama kweli Mungu wako anasifa tatu yaani "Omnipotence, Omniscience na Omnipresence" basi nakusihi mwachie yeye atoe hukumu ya haki kwa chuki unayo mpakazi/mzuria mwalimu Nyerere dhidi ya uislam.La sihivyo njoo uuangane na mimi(Atheist) na wala usiusingizie usilamu kujenga sifa na chuki zako binafsi.
Mzee Mohamed, kama mfumo uliopo madarakani unanufaika na uchochezi wako nani atakufikisha mahakamani? Zaidi sana unapongezwa sana kwani umefanikiwa kuwaondoa vijana wa kiislamu kupambana na adui wao halisia(ujinga, umaskini, maradhi na utawala wa kifisadi) sasa wapo mioyo juu kumfikiria na kumjadili adui wa kufikirika aliyeumbwa na wewe kwa raha zako!
wewe sio mwanahistoria, na wala hufahamu filosofia ya historia. Nani kakwambia hisitoria uliyoiolodhesha inakubaliwa na watu wote aslimia 100%? Mwandishi kama mpiga picha huchagua tukio analotaka kuilipiga picha. Nikama mzee wako Mohamedi Said aliyeshupalia wazee wachache wa kiislam kuwa hao ndio walikua "King maker" wa historia ya ukombozi wa Tanganyika.Kigarama.
Sio kweli kuwa historia kamili duniani hakuna, historia kamili zipo tena nyingi tu..
Mfano wa historia kamili dunia zipo wazi..
Histori ya China na Mao ze-Dong ipo wazi toka 1958
Urusi historia ya Jozef Stalin ipo wazi toka 1932.
Germany historia ya Adolf Hitler ipo wazi toka 1939.
Turkey historia ya Ismail Enver ipo wazi toka 1915
Japan historia ya Hideki Tojo ipo wazi toka 1941..
Hizi ni baadhi za historia kamili zipo wazi kwenye mitandao..
Hili kupambana na historia ya uhuru ya Mohamed Saidi na nyie njooni na historia mbadala ya kweli ya uhuru wa Tanganyika..
Kama mtashindwa basi historia ya Mohamed Said bado itakuwa na nguvu na watu wataendelea kuikukubali.
Ritz
KIUKWELI Mohamed Unamhusudu Mwalimu kiasi kwamba unatamani wewe ungekuwa yeye!! kwa nini waliita "Kiwi' cha macho??Gwalihenzi,
Nimeandika toka enzi za Nyerere na sijapata kuficha jina langu.
Mohamed
Hahahaha, darsa limewaingia na JF haisaidii kufuta historia inazidi kufanya darsa linoge. Unabadili badili maneno, sivyema hivyo, hivi ukibadili maneno ndio ukweli utafutika?
Abdul Wahid Sykes kampokea Nyerere, Mshume Kiyate kampa "reshen" ya chakula, Dossa Aziz katumia mali zake, Hassan Bin Ameir katumia umaarufu wake kuinyanyuwa TANU, hata jina la TANU limetolewa na kina Sykes, jee kuna ubishi hapo?
In the small airless room Julius Nyerere sat on one chair at a decrepit desk, John Rupia on another chair, the Sykes brothers and Dossa Aziza perched on packing cases. Nyerere opened the meeting by saying that he had given much thought to T.A.A., but he could not transform it into a political organization. His friends were thrilled, as this meant that T.A.A. was finished and that they would now form a real political party.
There were many suggestions as to what to call it. Abdul Sykes remembered that while waiting for repatriation at kalian camp outside Bombay, they had discussed political organization and tried all sorts of names, of which he liked Tanganyika African Union best.
To Nyerere this sounded too much like Kenya African Union, and he thought that something, for instance national, should be added, calling it Tanganyika National African Union.
Ally Sykes remarked that the initials of Tanganyika National African union T.N.A.U., were A tongue-twister; but if the name were rearranged to Tanganyika African National Union, T.A.N.U. would be easy to say.
T.A.N.U.they all repeated the four initials which were to become famous in African history. T.A.N.U. Thus was the Tanganyika African National Union born.
Mzee Mohamed, profesa Haroub kesha fariki, hawezi kuja hapa kuthibisha unayoyasema. Wapi aliandika kuukana umarxist?Wala kuwa ndugu yako haiwi uteteze wa mitizamo yako ya kisiasa na kidini. Bado wengine tunamkumbuka alivyoutetea ukweli bila kujali dini ya mtu. Wewe hufanyi hivyo.Gwalihenzi,
Ukafiri si sifa ya kujigamba.
Soma kitabu "Haroub Othman Farewell to the Chairman."
Kimehaririwa na Chris Peter Maina na Saida Yahya Othman.
Ndani imegusiwa yeye kuongoza jopo litakaloandika maisha ya Nyerere.
Mimi kwangu ni zaidi ya mwalimu.
Alikuwa ndugu yangu kabisa ukipenda fanya uchunguzi kwa jamaa zake.
Mwisho wa maisha yake alikuwa mwanachama mwenzetu katika Ratib Hadad tukiusoma Msikiti Ngazija kila Alkhamis na alikuwa katibu wa msikiti huo.
Nadhani wewe unamfahamu Horoub Othman Marxist.
Allah alimvua hilo balaa...
Tumekwenda sote Umrah tukenda sote hadi Madina.
Nilizungumzanae sana kuhusu kitabu changu.
Kwa ufupi wa maneno...
Kilimtaabisha sana kiasi alikwenda kwa Ahmed Rashad Ali kutaka kujua mengi kuhusu Abdulwahid Sykes na mchango wake katika TANU.
Najua humjui Ahmed Rashad Ali.
Ukipenda nifahamishe nitakupa darsa kuhusu huyu bwana.
Mohamed
Mie huyu ni mzee wangu.
Mohamed
Mohamed
Kigarama.
Sio kweli kuwa historia kamili duniani hakuna, historia kamili zipo tena nyingi tu..
Mfano wa historia kamili dunia zipo wazi..
Histori ya China na Mao ze-Dong ipo wazi toka 1958
Urusi historia ya Jozef Stalin ipo wazi toka 1932.
Germany historia ya Adolf Hitler ipo wazi toka 1939.
Turkey historia ya Ismail Enver ipo wazi toka 1915
Japan historia ya Hideki Tojo ipo wazi toka 1941..
Hizi ni baadhi za historia kamili zipo wazi kwenye mitandao..
Hili kupambana na historia ya uhuru ya Mohamed Saidi na nyie njooni na historia mbadala ya kweli ya uhuru wa Tanganyika..
Kama mtashindwa basi historia ya Mohamed Said bado itakuwa na nguvu na watu wataendelea kuikukubali.
Ritz
Mohamed,
Aha! Eureka! Nimeligundua tatizo lako. Sisi soooote tunaokukosoa na tusiokubaliana na wewe tunajidai tunajua. Kumbe hatujui.
This is your problem, my brother. Please come down off your throne. Nenda Butiama, Madaraka atakupeleka kwenye chumba cha kumbukumbu za Mwalimu pamoja na vitabu vyake pale. Nina hakika unayo kimobitel cha camera. Piga picha kitabu chako uje hapa utuletee ushahidi kuwa Mwalimu aliwahi kusoma kitabu chako. Hivyo ndivyo wanavyofanya watafiti wenzako. Wanakuja na vitu vya uhakika. Mpaka hapo sio sisi peke yetu ambao tunajidai tunajua. Kumbe na wewe kwenye kundi hilo utakuwemo.
Mzee Mohamed, profesa Haroub kesha fariki, hawezi kuja hapa kuthibisha unayoyasema. Wapi aliandika kuukana umarxist?Wala kuwa ndugu yako haiwi uteteze wa mitizamo yako ya kisiasa na kidini. Bado wengine tunamkumbuka alivyoutetea ukweli bila kujali dini ya mtu. Wewe hufanyi hivyo.