Brother MS et al,
- Utafiti (wa ukweli) au ule utafiti (wa kivyako), SI lazima ukosolewe kwa utafiti....na pia SI lazima uandike kitabu ili ukosoe kitabu.....hizi ni FACTS
- Kufanya mihadhara Marekani au Ulaya haimaanishi kuwa maandishi yako ni legit...
- Mtafiti/Watafiti (wa ukweli) wanapokuwa challenged na maswali au wanapokosolewa.....hu-take their time kutafakari challenges zile na wakiweza hufafanua kile ambacho hakikueleweka au hurekebisha maandishi yake na kutoa toleo litalo-reflect masahihisho.