Baada ya hapo mkoa wa Chato unaweza kuchagiza kuwa wana udugu zaidi na nchi jirani kuliko Tanganyika.
Busara itumike wakati wa kugawa mikoa ijiepushe na 'harufu' ya kuchochea ukabila na udugu.
Pia inawezekana wakatamani wajiunge na upande wa pili kwa kuona maendeleo makubwa yaliyopo nchi jirani na kuwa wanacheleweshwa kuwepo ndani ya Tanganyika.
Tujiulize kwanini Idara ya Uhamiaji Tanzania ina kuwa makini na watu wa Kigoma ni kwa sababu ya historia na utamaduni. Je watu wa Chato kujigawa mnataka kuangaliwa kwa jicho la kipekee kama ndugu zenu wa Kigoma?
FAHAMU SIRI YA WAZI YA WATU WA KIGOMA KUHOJIWA SANA NA IDARA YA UHAMIAJI :
Historia inasema Kigoma ulikuwa sehemu ya Ruanda-Urundi ya Belgiji mpaka mwaka 1924 hivyo watu wa Kigoma walikuwa ndani ya utawala wa Mfalme wa Ubelgiji na ndiyo maana utaona watu wengi wa Kigoma Ngara Kasulu waliweza kwenda kuishi Buyenzi Bujumbura kuoa kuolewa na kuzunguka ndani ya Ruanda-Urundi iliyokuwa inajumuisha na maeneo ya Kigoma.
Udugu huu wa enzi na enzi ulio maalum hauwezi kufa hivyo ni sahihi Burundi ya sasa kutuma
Chama cha CNN-FDD cha Burundi cha mpongeza Dr. Mpango kuteuliwa kuwa Makamu wa Rais salama kwa ndugu zao wa damu waliotenganishwa na dola za ulaya kupeana vipande vya nchi mwaka 1924. Na ghafla kukuta wajomba, mashangazi, binamu, kaka na kaka au dada na dada kujikuta wanahesabika kukaa ktk nchi tofauti. Kwanza 1890 waBelgiji na Ujerumani waligawana mapande ya Mwami ya Ruanda-Urundi. Kisha 1919 waRuanda-Urundi wa Kigoma wakajikuta tena wanasikilizia hatima yao kama watapelekwa Tanganyika ya Uingereza au kubakia Kigoma ya Beljii (Belgium). Suala hilo lilicheleweshwa mpaka 1924 na kujikuta wametupwa Tanganyika ya Uingereza kufuatia Muafaka wa Brussels wa mwaka 1924 kuwatoa watu wa Kigoma toka kwa waBelgiji na kuingiza chini ya utawala wa Mwingereza .
https://www.informea.org › treaties
Exchange of notes accepting the Protocol signed at Kigoma, 5 ...
Exchange of notes accepting the Protocol signed at Kigoma, 5 August 1924, relative to the ... Minister for Foreign Affairs at Brussels establish by letter the boundaries of Tanganika Lake
22. Exchange of notes accepting the protocol signed at Kigoma, on 5 august 1924, relative to the Tanganyika-Ruanda-Urundi frontier. Brussels, 17 May 192646,47
(46League of Nations, Treaty Series, vol. 54, p. 239.)
(47See also the Agreement between the United Kingdom and Belgiun regarding Water Rights on the Boundary between Tanganyika and Ruanda-Urundi, London, 22 November 1934, in Legislative Texts and Treaty Provisions concerning the Utilization of International Rivers for Other Purposes than Navigation (United Nations publication, Sales No. 63.V.4), p. 97.)
No. 1 - The British Ambassador at Brussels to the Belgian Minister for Foreign Affairs
Brussels, 17 May 1926
Monsieur le Ministre,
I have the honour, under instructions from His Majesty's Principal Secretary of State for Foreign Affairs, to convey to Your Excellency by the present note the formal acceptance by His Majesty's Government of the Protocol signed at Kigoma on 5 August 1924, with its accompanying maps, as defining the boundary between Tanganyika territory and the Belgian mandated territory of Ruanda-Urundi.
I am at the same time instructed to draw the attention of the Belgian Government to paragraph 51 of the Protocol in question and to invite them to agree that, notwithstanding the new boundary in Lake Tanganyika which is defined by the said paragraph, all customary rights of fishing and passage exercised by natives living on either side of it should be preserved, but that, at the same time, even with regard to the rights of fishing and passage, the respective Governments should preserve their common law rights and should not, for instance, be debarred from levying a fishing tax on all persons alike who use their territorial waters.
I should be grateful if Your Excellency would be good enough to confirm to me that the Belgian Government is in agreement with His Majesty's Government with regard to the arrangements indicated in the preceding paragraph.
I avail myself of this opportunity, etc.
No. 2 - The Belgian Minister for Foreign Affairs to the British Ambassador at Brussels
Brussels, 17 May 1926
Your Excellency,
I have the honour to acknowledge receipt of your letter of today's date, in which you are good enough to inform the Royal Government that His Britannic Majesty's Government accepts the Protocol signed at Kigoma on August 5, 1924, with its accompanying maps, as defining the boundary between Tanganyika Territory and the Belgian mandated territory of Ruanda-Urundi.
The Belgian Government also approves these documents.
At the same time you draw the attention of the Belgian Government to paragraph 51 of the Protocol in question and invite them to agree that, notwithstanding the new boundary in Lake Tanganyika which is defined by the said paragraph, all customary rights of fishing and passage exercised by natives living on either side of it should be preserved, but that at the same time, even with regard to the rights of fishing and passage, the respective Governments should preserve their common law rights and should not, for instance, be debarred from levying a fishing tax on all persons alike who use their territorial waters.
The Belgian Government has the honour to confirm to Your Excellency that they are in agreement with His Britannic Majesty's Government with regard to these arrangements.
................................................................
9 December 2020
Rais Magufuli aeleza sababu ya somo la Historia kuwa la lazima
Magufuli : Historia ya kweli ifundishwe, vijana lazima waifahamu historia yetu tumetoka wapi. Haiwezekani watoto wetu wafahamu historia ya Mansa Mussa wa huko Afrika ya Magharibi lakini hata ya "kwetu" hawaifahamu. ( Kigoma iliyokuwa ndani ya Ruanda-Urundi mpaka 1924 chini ya utawala wa Ubeljii) hawaifahamu.....
Watu wa Manyema DR Congo, Ruanda-Urundi na Kigoma wanastahili Pongezi
Na kukumbukwa kwa kushiriki kumshinda vita Mjerumani wa iliyokuwa Ujerumani ya Afrika Mashariki
Nyarugusu, Tanzania
Source : Tanganyika TV
VITA VYA DUNIA HISTORIA YA MBAVU MOYA
SHUJAA TOKA TARAFANI FIZI Wakati huu wa kumbukumbu la Vita vya Kwanza vya Dunia (Première Guerre mondiale ) vya 1914-1918 ambavyo uitwa pia "Vita vikuu" (Grande guerre),tumkumbuke afisa (officier) shujaa toka Fizi wa Force Publique ya Congo-Belge,1er Sergent Major Mbavu Ndogo Michel (wengine wanamwita Mbavu Moya).
Kwa mwaka wa 1916, Ubeljiji (Belgique) iliamua kufukuza Wajermani katika inchi zao za ukoloni hasa Urundi (Burundi, kwa leo) na Tanganyika (Tanzania, kwa leo).Kamanda Mkuu wa Force Publique aliitwa Jemadari Charles Henri Marie Ernest Tombeur.
Sergent Mbavu Ndogo alikuwa kamanda wa kikosi kilichoitwa "Brigade du sud ". Le 6 juin 1916, alivamia Usumbura (Bujumbura, kwa leo) na kufukuza wa Allemands, chini ya uongozi wa afisa mbeleji Lieutenant-Colonel Frédérick Olsen.Tarehe 27 juillet 1916, Sergent Mbavu Ndogo kazibiti Kigoma.
Hapo Le 28 juillet 1916, akakamata Ujiji. Le 19 septembre 1916 akazibiti Tabora chini ya uongozi wa Général Tombeur. Le 9 octobre 1916, akadhibiti Mahenge chini ya uongozi wa Afisa mwengine wa kibeleji Lieutenant-Colonel Armand Huyghe. Sergent Mbavu Ndogo aliwafukuza wa Allemands Burundi na Tanzania. Général Tombeur alipewa tunzo kama "Baron Charles Tombeur de Tabora".
Lieutenant Colonel kapewa tunzo kama "Chevalier Armand de Mahenge". 1er Sergent Major Mbavu Ndogo kakumbukwa kwa mwaka wa 1958 baada ya Vita vya pili vya dunia (Deuxième Guerre mondiale 1940-1945) ambako huyo afisa shujaa wa RDC alipigana mara tena zidi ya Wajermani.
Kama tunzo : 1) Alipewa pete ya 1er Sergent Major wa Force Publique na akatumwa Bukavu. 2) Picha yake ilitiwa kwenye noti ya franka kumi (10 Fr) ya Banque Centrale du Congo-Belge et du Ruanda-Urundi. Benki kuu hiyo ilichapisha picha ya 1er Sergent Major Mbavu Ndogo Michel le 01 décembre 1958. 3) Wengine wanasema kwamba pale Bukavu/Kadutu Carrefour palikuwa monument yake.
Kwa leo, hakuna trace hata moja ya monument zaidi ya mitaa ya Kinshasa na Lumbumbashi nchini Free Congo State wakati wa Ukoloni wa mBelgiji kupewa majina ya “Avenue Kigoma”, “Avenue Tabora”, “Avenue Mahenge” na mji wa Boma kuwa na kambi ya kijeshi ya “Camp Tabora”. Mobutu Sese Seko pia alipata kuwa Mcongomani wa kwanza kupewa cheo cha Sajenti pengine ndiyo maana akaamua kumuenzi Master Sajenti Mbavu Ndogo Moya kwa ujasiri kupambana na dola uliyokuwa na nguvu ya Ujerumani chino ya Kaiser.
Source:
VITA VYA DUNIA HISTORIA YA MBAVU MOYA
Noti ya kutambua utumishi wa kutukuka iliyotolewa na Mfalme wa Ubelgiji kwa Sajenti-Major Mbavu Ndogo Moya
Congratulations to 1st Sergent Major Mbavu