Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
- Thread starter
- #81
Shetani - MweusiMimi nashangaa huwezi sikia Marekani wanayagawa majimbo yao.Sababu ya kugawa mikoa zimekaa kisiasa zaidi yaani wagawe kisha watawale.Eti huduma ziwe karibu na wananchi wakati gharama za uendeshaji zinaongezeka hii ni akili mufilisi kabisa.Kwa taarifa yenu wazungu wanafurahia sana tunayoyafanya.
Jimbo la Texas la marekani ni kubwa sawa na nusu ya Tanzania lakini maendeleo yapo.
Waafrika tutazidi kutwaliwa tu.Hivi mnafikikiri kwanini wazungu hawataki United States of Africa? aliyokuwa anaitaka Ghadhafi na ndio maana wakamuua.Mtoa post ahsante kuona hilo na post yako nzuri
Malaika- Mweupe.
Umaskini wetu tunamsingizia mkoloni, haya , Baada ya uhuru mpaka leo mkolomi ndio anagawa mikoa, leo watu wapo kwenye vikao kumega mikoa ya kanda ya ziwa ili KIJIJI CHA CHATO KIWE JIJI, ulemavu wa akili.