Tanganyika ilikuwa na majimbo 8 wakati inapata uhuru 1961.
1. Jimbo la Kati
2. Mashariki
3. Ziwa
4.Kaskazini
5. Nyanda za juu kusini.
6. Jimbo la Tanga.
7. Nyanda.
MWAKA 1966 NYERERE aliunda mikoa 15 nayo ni:-
1. Kilimanjaro
2. Arusha
3. Pwani .
4. Dodoma
5.Tanga
6. Kigoma
7. Mara
8. Mbeya
9. Morogoro
10 .Mwanza
11. Ruvuma
12.Shinyanga.
13. Singida
14 Tabora
BAADAE MKAPA NA KIKWETE WAMEUNDA MIKOA
1. Katavi- Ulianzishwa na Pinda, akaweka wilaya na halmashauri mpya baada ya kuumega mkoa wa Sumbawanga (Ufipa)
2. Njombe- Katibu mkuu kiongozi Philemon Luhanjo ndio alianzisha, alipewa kama zawadi, sijui umemsaidia nini, anyway ukabila, mambo ya Uhehe na Ubena.
3. Geita- Kikwete alimzawadia jamaa mjoja wa Nanii maalum, simtaji
4. Simiyu
Manyara- Sumaye akiwa Waziri mkuu, aliona hawezi tawaliwa na WAmeru , akaona akae na Wa-arusha na Wamasai, wambulu, barbaig, huu nao ni ukabila
5 Mwanga- Cleopa Msuya akiwa waziri mkuu alipambana akitaka mkoa wa PARE akaambulia wilaya ya Mwanga ila mpaka sasa wapare wa Mwanga na Same hawapatani, hata hawana ushirikiano na huu ni upuuzi mtupu..
6. CHATO, - JIWE alipambania iwe Mkoa then jiji ,.
KATAVI-
SASA hii tabia ya kila mkoa na wilaya kutaka kujitenga huu ni UKABILA MKUBWA SANA, mfano , Arusha ilimegwa na Manyara , Arusha imekuwa ya Wa-Arusha na Wa- Meru, walikuwa wamoja lakini waarusha na wameru wamekuwa kama Israel na Palestina.
Haya yote yameletwa na wapelestina.
Haya , Magufuli amekuja na staili yake ya kutaka mkoa wa CHATo na baadae iwe jiji, nashangaa anagawa mikoa badala ya kupata umoja, unagawa mikoa minne iwe mkoa wa CHATO, hao watu wa Chato REgion watakuwa wahaya, wasukuma ama warwanda?
Haya mambo kesh utaskia Upare ijitenge na Moshi, huu ni ukabila alafu hapo .
Msifurahie mambo ya kugawa mikoa, ni ukabila mkubwa sana, huu umeletwa awamu ya nne natano, tusikubali kugawana kidogo kilichopo.
Waligawa manyara kusema eti maendeleo karibu na wananchi, them hao wananchi wamepata maendeleo gani?
wanasiasa ni wapuuzi sana.