Historia ya Wanyakyusa kufahamika zaidi kuliko Wasafwa ambao ni wazawa halisi wa Jiji la Mbeya

Yah mbeya napita tu mkuu
Ila nmeishi sana mbeya kuanzia chimala,mbeya mjini nmeishi jacaranda,Ghana,bkock t
Nlisoma form 1 sangu
Mbeya nlizunguka sana wakati huo na mtu akiniambia moja ya mkoa ninayoikubali ntakutajia mbeya

Dah erland iliondoka,aise
Ila ile sehemu ya Monrovian bado ipo
Hapo block t

Ova
 
Silver stone Hotel ipo tunduma
Na Hotel bado ina kik sana

Ova
 
Ukizubaa wenzako wanatumia fursa
 
Nakumbuka ukiwa blot T Kutokea hapo fanya unakwenda shule ya sec ivumweee juu huko mlimani
Wasafwa walikuwa wengi huko milimani.....
Kitu kikubwa wasafwa walichonqcho ni uoga na upole
Hivi kwa sasa kuna Don mbeya msafwa

Ova
Enzi hizo mzee wangu alikuwa ananunua maeneo kule ituha ilikuwa wasafwa tupu lakini sasa hivi kumekuwa mji na wasafwa hawapo tena.
 
Kuuza Nyanya au maparachichi si ndiyo kujiajili kwenyewe?
Nini maana ya kujiajili?
 
Kwaio wasafwa ndo wazaramo wa mbeya?..😀😀😀 ila naona wengi wa wasafwa wamejisogeza hadi maeneo ya mbalizi...
 
Niliwahi kuishi na Wasafwa 1996 kule Uporoto kwa muda wa mwezi 1 ila nilichojifunza toka kwa Wasafwa kuwa ni watu wapole na wasiojishughulisha na ufuatiliaji wa maisha ya mtu hata kidogo hii ni tofauti kwa Wanyakyusa wao......Ila naikumbuka Igoma,Simambwe,Isyonje,No_1 nk
 
Dah umezunguka mzee Hadi chimala. Kumi Bora unapakumbuka ?
 
Jiangalieni lieni wanyakyusa,lazima wengine asili yenu iko Malawi [emoji1]

Ova
Ha ha ha!
Kuna wanyakyusa Malawi-wanaitwa wa Ngonde, Zambia na hata Zimbabwe.
Kuna redio fulan za Malawi.....nikiwa tukuyu zinaongea kinnyakyusa fluent....

Kile cha ndan ndani
Kweli nami nimesikia mkuu
Ah kabisa

Kuna muingiliano huko

Ova
ni kawaida kukuta kabila la mpakani wapo pia nchi ya jirani, tuna mipaka iliyochorwa na wakoloni kutenganisha nchi lakini sio makabila.

wanyakyusa wa kyela wengine wapo Malawi ila huko wapo wachache, hii pia ipo kwa wanyiha wa upande wa Zambia, wahaya wa upande wa Uganda, wakurya wa upande wa Kenya, n.k

kuna makabila ni kinyume, hapa Tz wapo wachache mfano wajaluo wa mara ni wachache lakini Kenya wamejaa akiwemo Raila Odinga.

Kuna makabila pande zote wamejaa na kuna muingiliano sana wa wao kuendelea kutembeleana, kuoana, kusaidiana, n.k. hapa kwa kiasi kikubwa ni wamasai wa upande wa Tz na Kenya
 
Mkuu NGONDE ni uwanda wa sehemu za Kyela mpaka kuingia Malawi.
Na wanyakyusa wa sehemu hizi wanaongea dialect tofauti kidogo tu na ndugu zao wa milimani kule Rungwe.
Wazung walipofika waliwaita wanyakyusa wa sehemu hizo watu wa ngonde na ndipo baadaye wakaja kuwaona ndugu zao wa milimani.

Wamissionari wa kwanza kufika Mbeya walitokea Afrika ya Kusini kwa kupitia Malawi.
Na ndio maana unaona makao makuu ya madhehebu ya Moravian, na Lutheran yalikuwa Rungwe Mission na Manow, Busokelo.
Sababu kubwa ya kuweka makao makuu hayo ni ile hali yahewa kulingana na kwao wazungu walikotoka.

Kanisa la Moravian likaenea baadaye hadi Mbeya(na Songwe) na Tabora na liliishia mikoa hiyo.
Kanisa la Lutheran nalo lilisambaa baadaye sehemu nyngine za mkoa wa Mbeya.
 
Muda wote nasoma hadidhi yako namkumbuka mzungu mmoja nilimletaga mbeya kutoka Netherlands akasema mbeya kumefanana na Afghanistan kwa kila kitu mam yule aliweza kuishi Afghanistan hyvo alisema japo Ni jiji pana ila kwa Kweli Kuna ushamaba na umasikini mno nyumba za mbeyani mbovu mbovu hatar sas HV ndio nao wanaazna kujenga kwa tofali za bloku

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Sahihi kabisa .....makao makuu ya morovian yapo karibu shule ya rungwe Boyz .....na chuo Cha ufundi
 
Sina ninalojua zaidi ya kumfahamu huyo bwana Ngonde mmoja alitejipambanua kwa maelezo yake!
Ngonde ni sehemu ya uwanda tambarare huko zkyela/Malawi na Gondwe ni uko mkubwa huko Malawi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…