Historia ya Wimbo wa Taifa wa Tanzania na mtunzi wake

Historia ya Wimbo wa Taifa wa Tanzania na mtunzi wake

Me siamini. Maana neno Tanzani limepatikana baada ya muungano
 
Alitunga huo wimbo wa Taifa mwaka gani?
Na vipi kuhusu bendera ya Taifa nani aliyedesign?
 
Kwa ufupi tu ni sisi watanzania ndio tulichua hiyo tune ya South Africa, huo wimbo ni wazamani sana (NKOSI SIKELELI), wakati ule kipindi cha Nyerere katika vuguvugu la ukombozi Africa, huo wimbo ulichukuliwa kama ni wimbo wa Africa na nchi kama Zambia, Zimbabwe na Botswana walikuwa wanatumia tune hizohizo, lakini Zimbabwe walibadilisha 1985, Botswana 1967, lakini Zambia mpaka leo bado wanatumia hiyo tune, lakinim kwa south Afrika japo wanaanza katika ile tune original lakini wamefanya modification kidogo
Kumbe tune siyo yetu tulifanya kucopy kuna haja ya kuwa na wimbo wetu kama taifa
 
Kwa ufupi tu ni sisi watanzania ndio tulichua hiyo tune ya South Africa, huo wimbo ni wazamani sana (NKOSI SIKELELI), wakati ule kipindi cha Nyerere katika vuguvugu la ukombozi Africa, huo wimbo ulichukuliwa kama ni wimbo wa Africa na nchi kama Zambia, Zimbabwe na Botswana walikuwa wanatumia tune hizohizo, lakini Zimbabwe walibadilisha 1985, Botswana 1967, lakini Zambia mpaka leo bado wanatumia hiyo tune, lakinim kwa south Afrika japo wanaanza katika ile tune original lakini wamefanya modification kidogo
Nadhani uliweke hili clear mkuu... ni wimbo wa msanii wa South afrika sio wa taifa la South africa (hadi 1997)....maana wao wameanza kuutumia mwaka 1997 ilihali sisi ulishakuwa wa taifa.

Asante kwa maelezo.
 
Jana tumesherehekea miaka 48 ya Uhuru wa Tanganyika (sorry, Tanzania Bara). Kwa sisi tuliozaliwa baada ya uhuru tuna mambo mengi ya kujifunza juu ya historia ya taifa letu.

Moja ya mambo ambayo mimi binafsi napenda kujua ni kuhusu historia ya huu wimbo wetu wa Taifa. Naomba kwa yeyote aliye na taarifa za kuhusu historia ya huu wimbo anifahamishe, na kwa nini unafanana kwa namna fulani na nyimbo za taifa za Zambia na Afrika Kusini.

Pia kuna huu wimbo wa "Tanzania Nakupenda" kwa nini huwa unapendwa kuimbwa kwenye sherehe mbalimbali za kitaifa wakati si wimbo wa taifa?

Tafadhari naomba kuelimishwa kwani hii sehemu ya historia ya nchi yetu.
Ninavyofahamu mimi ni kuwa wimbo huu mwanzo ulikuwa ni wa kwaya kwenye makanisa ya waafrika huko SA na lilipoanza vuguvugu la kisiasa, wimbo huu ukaanza kutumiwa na vyama vya kisiasa kabla na baada ya mikutano ya kisiasa[kabla ya kupigwa marufuku]
 
Kwa nini tuige au kuazima wakati watunzi wazuri tunao tu? BTW asante sana kwa info.
Slow learner;

Binadamu wote ni sawa na Africa ni moja, ulifundishwa hii jargon? bado unafikiria M-south siyo ndg yako? kwa nini mnapenda tuige sana wazungu kuliko waafrica?

Angetunga mzungu aaah! ungeona ana maana, mmesharogwa nyie!

Yaani tokea Africa Magharibi ya ikweta mpaka Mashariki yake towards South tunapashwa kuwa nchi moja tu, lazima tigane tuzidi kupendana.
 
Enoch Sontonga alitunga lyrics na melody za wimbo huo. Alikuwa ni choirmaster. Wimbo huo ulitukuka sana na ulianza kuimbwa na watu mbali mbali katika nchi hiyo ya Afrika Kusini. Halafu viongozi weusi walipoanzisha chama chao kugombea haki za Wafrika mwaka wa 1912, walianza kuutumia wimbo huo.

Wakati wa maisha yake, hakukuwa na nchi iliyokuwa inaitwa Tanzania. Wimbo huo ulitungwa mwaka wa 1897 nchi yetu ilipokuwa inatawaliwa na Wajerumani.

Kulikuwa na nchi iliyokuwa inaitwa Deutsch Ostafrika, yaani German East Africa. Baada ya Vita Kuu ya Kwanza, ikagawanywa katika colonies mbili: Tanganyika iliyotawaliwa na Waingereza, na Ruanda-Urundi iliyotawaliwa na Wabeligiji.

It was really three countries which collectively constituted German East Africa: Tanganyika, and what later became the separate countries of Rwanda and Burundi.

Kwahiyo Enoch Sontonga hakututungia wimbo huo kama Watanzania. Alilitungia bara lote la Afrika. Ndiyo maana unaitwa, Nkosi Sikelel' iAfrika - God Bless Africa, au katika lugha yetu, Mungu Ibariki Afrika.

Tulipopata uhuru, wimbo wa taifa tulioimba ulikuwa ndiyo huo, Mungu Ibariki Afrika, uliotungwa na Enoch Sontonga. Nakumbuka sana. Nilikuwepo miaka ile ingawa nilikuwa kijana mdogo.

Kabla ya Muungano wetu na Zanzibar, tuliendelea kuimba wimbo huo. Verse ya kwanza ilisema Mungu Ibariki Afrika; ya pili ilisema Mungu Ibariki Tanganyika. Baada ya Muungano, verse ya kwanza ilibaki ilivyo, na ya pili tukabadili kidogo tu. Badala ya kuimba, "Mungu Ibariki Tanganyika," tukaanza kuimba, "Mungu Ibariki Tanzania."

Muungano ukivunjika, sisi Wabara tutaanza kuimba tena: "Mungu Ibariki Tanganyika."
Ha ha para ya mwisho ndio umemaliza kabisa kamanda. Ubarikiwe
 
Kuwa na wimbo unique wa taifa sio tija kwa sasa. Labda tuanze na elimu inayoendana na mazingira yetu, elimu kwa ajili ya taifa letu, Tena kwa lugha yetu kama wachina, warusi, wajerumani, wafaransa n.k, Nyimbo haiwezi kutuletea maendeleo yoyote.
Kwa hiyo mkuu kutokana na maelezo yako ni kwamba hatuna wimbo wa Taifa kwa maana mwimbo siyo uniquely Tanzania bali ni mwimbo tu ulioimbwa kwa Kiswahili. Kama that is the case mimi naona kuna haja ya kuangalia hili swala la mwimbo wa taifa upya. Kwa nini tuige au kuazima wakati watunzi wazuri tunao tu? BTW asante sana kwa info.
 
Wanahistoria mfu kabisa...Wimbo wetu huu ambao una beti mbili umechanganywa zaidi ya nyimbo tatu. Ubeti wa kwanza ni maneno ya Kizulu na Ngoni ingawa ata na Boers wapo . Ayo maneno yalitumiwa sana na Chama cha Ukombozi cha Afrika Kusini SANC badae ANC.

Ubeti wa pili unaosema Tanzania umetokana na makabila mawili ambayo yaliwai kudai Uhuru na Taifa lao kutoka kwa Ujerumani na badae Waingereza. Wahaya asa wale waziba na wayoza walitaka Taifa lao huru wakawa na bendera na huo wimbo ambao kuna maneno mpaka leo yamechukuliwa.

Ulianza hivi.

Omukama Lugaba bera eiyanga lyaitu

Bera abantu baryo na abatwazi ba Buhaya.

Nimeishia apa..ili ukitaka zaidi ebu tembelea Idara ya PSPA pale UDSM au History apo apo UDSM lakini pia unaweza kumuuliza Bashiru ambae ameshiriki utafiti huu.
 
Naomba jibu maana huu wimbo huu. Nani kautunga na una maana gani?
 
Mtunzi alikuwa Muitaliano wa Shirika la Waconsolata wa Kanisa Katoliki pale Tosamaganga, Padre Musso!
 
Alikuwa Padre Musso, Muitaliano wa Shirika la Consolata la Roman Catholic! Ali-edit pale Tosamaganga Mission ambayo sasa ni Sekondari ya Tosamaganga na ya kwanza kabisa kusajiliwa Tanzania iliwa na usajili wa S.01
 
Back
Top Bottom