History inapingana na wanaosema ''HAKUNA MUNGU'': The simple research you can do to prove it.

mkuu tumekutana tena kwenye huu uzi wa kiranga, japo umeanza kwa povu jingi sana mpaka nikashindwa kujua kama kuna kitu uatsema hapa. kitu nachoweza kusema ni kuwa historia ya dunia inaeleza kuwepo kwa watu ambao ni exceptional kwa wakati wao. baadhi ya sources zinawataja jesus(power of faith), galileo(rotation of the earht), Darwin(fittest survive & theory of evolution)katika miaka ya zamani palipokuwa hakuna any advanced technology.

katika miaka ya karibuni kuna mtu anaitwa Albert Eistein aliyekuja na time travel(theory ya relativity ) pia ikumbukwe huyu jamaa aliweza kukosoa baadhi ya makosa ya Sir Isaac Newtons katika sayansi lakini mawazo aliyowaza mpaka leo kuhusu time travel yanaheshimika kwani anaonekana alikuwa juu sana kitechnolojia wakati ule, kulingana na sayansi ya wakati huu inavyothibitisha lakini hakuhubiri injili wala kutoa kitabu cha dini ama kujiita mungu. kitu nachotaka kusema hapa ni kuwa mtu anaweza kuzaliwa zamani lakini akawa ana kitu cha ziada cha kweli ambacho kinaweza kisikubaliwe wakati wake na kikasubiri mpaka karne zijazo na kuthibitishwa validity yake kisayansi.

mfano huku afrika kuna madai kuwa wazee wetu walikuwa hawataki ndugu kuoana wakidai ni janga lakini umekuwepo ushahidi wakisayansi kuwa inbreeding inaweza kupelekea inbreeding depression ambapo inapunguza ubora wa watoto wanaozaliwa kwa maana kuwa wanaweza kuzaliwa vilema. hapa inawafanya baadhi ya waafrika kuamini kuwa mababu zetu walikuwa wakizungumza na mizimu hivyo waanaamini mizimu ilikuwa sahihi. fahamu pia mababu waliweza kutabiri mvua, na mambo mengine hii haiwafanyi wao kuwa miungu ama kujua mungu.


hivyo kuwa na maandiko ama ushahidi wa zamani na kusema ni kweli na una upako sio lazima kwani hilo ni jambo linaloweza kumkuta mtu katika kipindi chake na lisiwe na uhusiano wowote na mambo yoyote yahusuyo mungu per se.
 

Point muhimu sana.

What if in a thousand years, watu watacheka imani ya kuwepo kwa mungu kama leo tunavyocheka waliofikiri kwamba dunia ni ubapa na si duara?
 
Una point broo.. Tunaoamini Uwepo wa Mungu tunaamini pia free will kuamini uwepo wake na kumfuata.. πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚
 


Kwanza nikufahamishe tu.kuwa HUU SIO Uzi wa huyo asie na elimu.

Pili Nadhani hukuelewa kitu gani nimejaribu kuelekeza hapo juu!
Nakushauri usome tena.

Huwezi kulinganisha watu waliokuwepo wakati wa uhai wa hao Mitume na sisi wa karne hii.

Wale watu kwa mujibu wa scriptures waliona miujiza na waliishi na hao Manabii.

Sisi tuna relying purely on Scriptures along with scientific evidences!

Sasa kama ukipata combination ya evidence along with a bit of Faith you will go along way!

Sio hao wana bwata bila elimu wa reasons zinazo ingia akilini!

Unajitu zima linakwambia Mungu hayupo! Ukiuliza eti huyo unaesema hayupo ni nani hasa!? Jibu hupati.!

Halafu mtu anapoteza wakati wake kutuletea vitu vinavyoitwa "THEORIES"
Na mtu mzima na akili yake timam mpaka anakufa anaamini kuwa yeye na nyani ni mtu na mjomba wake!
 
Point muhimu sana.

What if in a thousand years, watu watacheka imani ya kuwepo kwa mungu kama leo tunavyocheka waliofikiri kwamba dunia ni ubapa na si duara?
Kiranga mi naona Jamaa hapo juu ameelezea vizuri. Tatizo hamekosea tu sehemu moja ambayo wewe waitaka

Hivyo vigezo walivyotumia kusema kuwa Hiki ni kitabu cha Mungu na Huyu Muhammad ni Mtume wake ndo wewe wavitaka..

Conclusion inabaki pale pale kwamba hawakutumia vigezo vyovyote vile. Bali waliamini tu bali hawakujua.. maana watu wa zamani walichokiona kwenye Quran hawajawahi kukiona maishani mwao ni kitu kipya. Sawa na sisi hapa kwamba Tukiona UFO huko hewani tunaamini ni ALLIENS na wengine wanaamini ni Ishara za Mungu na wengine wanasema ni miungu.

Kwahiyo jamaa alichokisema hapo juu ni kitetea tu imani si kuhakikisha asemacho ni Kweli.
 
Last edited by a moderator:

Sasa huku ni kupanic.. Kwan mtu lazima umwambie yeye ni jitu... sasa nani hana elimu hapa

Wewe ambaye una argue mpk unatukana ndo unasema una elimu? ?.. ukiona kama imani yako inaingiliwa sana na hupend watu waseme kuwa hakuna Mungu unaweza ukahama jukwaa tu


Watu wanaelimishana hapa...
 
Ndio zao hao wajifanyaga watu wa sir God, aka clean peole.

Hao mkuu usipoteze muda kulalama kwann wanatusi utajichosha bure mana ndio jadi yao.

Hawa ni kuwajibu kwa hoja za hekima na akili.
Wanaelewaga sema basi tu wanajifanya kushupaza shingo.
 

Unapoweka comments za namna hii basi unatakiwa kutazama na comments za huyo niliemjibu. Na sio kutazama zangu tu na kutoa conclusion zako.

Au na wewe macho yako yanaona kama mwewe! (Upande mmoja).
 

Umapojaribu kupinga hoja ambazo zimeambatana na Scientific evidence basi ni kanuni ya kawaida kuleta zako zenye kanuni hio hio inayo ambatana na evidence!

Kutuletea myths za UFO na story za hao viumbe wenye vichwa vya blue. Hapo unageuza mdahalo kutoka kwa thinkers to story telling!

Nimetoa mifano chungu mzima kuhusu vitu au mambo ambayo hao wanaojiita atheist WANAYAAMINI ktk maisha yao ya kila siku na Ukiwauliza HAWAYAJUI.
Na nikaelezea kwa mifano hai.

Sasa cha kushangaza ni how hypocritical atheist are!

On one side wao wanakubali kuwa kuna vitu au mambo ambayo HUWEZI KUYAJUA bali Huna budi KUYAAMINI! lkn linapokuja suala la KUWEPO MUNGU kufuata ile.ile kanuni ambayo wanaitumia kwa mambo mengine HAWATAKI. wanachotaka ni KUJUA!

Sasa mtu kama huyo ukimwita kuwa hana elimu au jitu! Inakuwa HUJAMTUKANA bali umempa sifa yake.
 
Last edited by a moderator:

Inawezekana kabisa kwamba sisi tunaohoji uwepo wa mungu hatuna elimu, lakini hii mipasho uliyobwabwaja hapa ndio elimu yenyewe hiyo unayosema hatuna? Jazba, ngiliba, mapovu, mipasho ndio "proof" ya uwepo wa mungu?

Mbona mistari aliyokuomba Kiranga ya uthibitisho wa hayo madai yako uliyoyatoa kwenye Quran hujayaleta, kwamba quran ilikua ya kwanza kusema dunia ina umbo la yai n.k, kitabu ambacho mwenyewe unasema kina takribani miaka 1500, are you serious?

Wewe unayetaka kutumia njia za kisayansi kuthibitisha myth ya uwepo wa mungu, hujui hata ni lini Galileo alisema nini kuhusu umbo la dunia?

Kalaghabao!F
 
Last edited by a moderator:

Umeamua kuchagua jina la kireno!
Na nadhani unafahamu tabia za kireno! I say nothing!

Teh teh teh teh!

Nimekuwekea ushahidi wa kitabu chenye umri wa zaidi ya miaka 1500!
Kinakwenda sambamba na 21st Century technology!

Kuna hundreds of scientific proofs in the Quraan which could blow your mind!
All you need to do is READ THE QURAAN!

mara nyingi watu kama wewe na hao wenye midomo mirefu ya kupinga kuwepo Mungu 99% mnakuwa mmetoka ktk Christian back ground! Kama yule mwenzako anaejiita Kiranga!
Kwa maelezo yake mwenyewe Wazazi wake walikuwa Roman Catholic!
Sasa hapo ndipo matatizo yalipoanzia!
Hebu KASOMENI QURAAN kwanza! Halafu jaribuni kui challenge hio Quraan muone outcome yake!

Mkifanya hivyo atleast naweza kusema nyie MNAHAMU YA KUELIMIKA!
sasa mkuu ukiniletea habari za galileyo hapa sijui kama tutafika mbali na huu mdahalo.

Halafu hilo neno la mwisho naomba uandike kiswahili!
Sio.wote wajita au wakerewe humu jukwaani.
 
Last edited by a moderator:

Thibitisha mungu yupo.

Kabla hujafanya hiki, hujafanya kitu.

Nioneshe wapi nilipoandika kwamba wazazi wangu walikuwa Roman Catholic.

Unaelewa unachoandika au unajiandikia tu?
 
Last edited by a moderator:
Una point broo.. Tunaoamini Uwepo wa Mungu tunaamini pia free will kuamini uwepo wake na kumfuata.. πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚

Kuamini unaruhusiwa, hata kuamini kwamba mungu ni funza aliyepo mwenye mguu wa babu.

Kujua ni kitu tofauti, kunahitaji proof.
 

Talking about scientific evidence, first thing first, give us scientific evidence and proof that god exists.
 
Talking about scientific evidence, first thing first, give us scientific evidence and proof that god exists.

Now when I told that you have a very little knowledge and may be you have NO knowledge at all, some brothers accused me of being unfair!

Now look what kind of question you are asking!
Even my 5 yrs son wont ask a st.upid question like that!

To prove how st.upid your question is, here is the other examples.

Try to Use scientific evidence to proof there is death!
And please dont show me the pictures of corpse! πŸ˜•

Try to use scientific evidence to prove to me that "intelligence" do exists!

Try to use scientific evidence to prove that there is something called "LIFE".

Again! DO NOT show me THE EFFECT of those things! Rather prove it to me THOSE things exists!

Because if you ask me to prove it to you THE EFFECT OF GOD and not (god) I have plenty in stock!
 

Sasa kama unajua huwezi kuprove the existence of god by using scientific method kwa nini unakuja hapa highfalutun about the scientific provess and evidence?

How do we know what you call the effect of god are actually the effects of god and not something else?
 
Sasa kama unajua huwezi kuprove the existence of god by using scientific method kwa nini unakuja hapa highfalutun about the scientific provess and evidence?

Kujaribu kukuelekeza wewe ni kama jujaribu kumfundisha mjaluo kuimba nyimbo za kiarabu. Wakati hio taarabu peke yake haiwezi.

Binaadamu mwenye ufahamu wa kawaida tu hahitaji kupata black and white evidence ku hakiki kuwa hicho akitafutacho kipo!

Kwa wewe kuona ATHARI TU za uhai. Kama vile kuvuta pumzi. Kula. Moyo kufanya kazi. N.k UNAKUWA NA UHAKIKA 100% kuwa hapo UHAI (LIFE ) upo!

Kwa kuona Athari ya sumaku au umeme tu kweny taa unakuwa na UHAKIKA 100% kuwa hapo kuna UMEME!

Kwa kuona ATHARI tu ya maongezi ya mtu na kumtahini kidogo kwa maswali unapata UHAKIKA kuwa HUYO ana busara (intelligence) au Hana.

Sasa kama kuona ATHARI PEKE YAKE kunasababisha wewe KUKUBALI 100% kuwa hivyo vitu vipo! How come Ukionyeshwa ATHARI za kuwepo kwa MUNGU! ambazo scientists wenyewe wame hakiki UKATAE KUWA HAKUNA MUNGU??

All I can say again and again.!

Wewe elimu yako ya ku reasons ni NDOGO MNO! tena saana!

Ukiwezacho wewe ni kama wale matapeli wa mjini!

Ukimwambia "A" yeye anakwambia "C" na ukimuuliza mbona unasema C" wakati ni A"? anakwambia hapana ni "Q"!

The only reasons I keep on replying to your pointless arguments ni kwa sababu KUNA WATU WENGINE WANAPATA FAIDA YA HAYA MAJIBU!

Thats all.!

Otherwise I will never discuss anything with someone who "doesn't even know that HE DONT KNOW".
and thats you!
 

Unajuaje kwamba athari hizo ni za mungu na si za kitu kingine?
 
Unajuaje kwamba athari hizo ni za mungu na si za kitu kingine?

Teh teh teh teh!

You see now!

We hujajua hata hizo ATHARI ZENYEWE NI ZIPI! wala HUJAULIZA!
Halafu moja kwa moja unaanza KUBISHA na kuweka defenceless ARGUMENTS!

I am glad you can see for yourself what kind of IQ you possess!

UNAANZA KUPINGA KITU AMBACHO HATA HUJAKIJUA??

I think I have rest my case!

N:B Wale walikuwa wanasema mimi nina tabia mbaya ya kumponda huyu mtu. Hebu someni wenyewe kitu gani anaandika. Halafu labda mtafahamu kwanini mimi namuita huyu mbulula bin akilimbovu!
 

Hujajibu swali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…