History inapingana na wanaosema ''HAKUNA MUNGU'': The simple research you can do to prove it.

Ngoja nimsaidie Kiranga kdogo hapa, mambo ya kiroho yalikuwepo karne zilizopita bcoz first of all, humans were stupid hakukuwa na elimu, hawakuweza kuprove stuffs like wametokeajetokeaje wapo wapi hata umbo la walipokuwa wanaishi hawakulijua hilo, but as muda ulivosogea watu walijifunza, proofs zikaanza jitokeza kwamba dunia kumbe ipo hivi nk, sasa jinsi muda unavozidi kwenda jinsi watu wanavozidi gundua vitu scientifically proved ambavyo imani zao ziliwaambia tofauti licha ya utofauti tu bila ya uhakika, ndipo watu sasa wanagundua uongo kwenye imani zao wanashift kwenye gunduzi zenye hakiki, na huu ni mwanzo tu mkuu, things are going to change, watu wanataka fahamu ukweli sio contradictions, mtu atajiuliza haya hizo spirits za tokea karne zilopita zipo ndio but which one is true which isn't, sababu wenye imani wenyewe wajitenga amongst themselves kila mmoja anajiona sawa kushinda mwenzie.
That is why kuna atheist, wameona wakae kivyao tu bcoz they see contradictions vrywhere, and i see them also and infact u see them, u just ignoring them.
 
Shukran,nimekusoma Mkuu Remote,

Hua napitia humu kila mara nipatapo fursa...hua najifunza mangi mno!

Lakini lazim nikiri yakua wakti mwangine huwa nacheka kupita kiasi...yaani taabani! Teeh! Teeh! Teeh!

Mkuu Kiranga ni mkorofi mno,na yeye ndie hunichekesha jinsi anavyowaumiza wenzie vichwa!? Daah! Teeh! Teeh!

Khalaf huwa anashambuliwa na kutukanwa mno!...lakini naye yumo tu!? Duuh!ahahaaaaa!

"Kweli , alafu cha ajabu sana sana, wanaomtukanaga ndio hao hao wanaojaribu kumwelewesha existance ya Mungu, sasa mtu anakuhubiria na matusi juu kweli utaamini anachosema au ndo anakufanya ujichimbie zaidi upande wako"
 
Nikikwambia sijui jibu la swali hili, kutojua kwangu kunathibitisha kwamba anayeendesha jua ni mungu?

Kunathibitishaje?

Ukiniuliza swali 4 + 2 =? . Nikakwambia sijui jibu, je hilo lina maana jibu ni 42? Bila maelezo yoyote? Kwa kuwa sijui jibu tu, basi jibu ni 42?

Thibitisha kwamba mungu yupo na ndiye anayelipelekesha jua.

Hujathibitisha bado.

Ukinambia hujui jibu haina maana jibu lake halipo wewe tu utakuwa hujui. Ni sawa na pale unapokubali kuwa una akili

lakini huwezi kunionyesha hizo akili. Wengi tutashindwa kuthibitisha kuwa mungu yupo kwa kiwango ambacho unataka,

kushindwa kwetu haina maana kuwa mungu hayupo!. Mungu yupo na hii dunia ni ya kwake na ipo siku dunia hii itafika

mwisho.Endelea na imani yako hiyo hiyo hapo utakapokufa ndio utakapojua kuwa mungu yupo lakini utakuwa

umeshacherewa. Nakuonea huruma sana kwa msimamo ulionano.
 
Ukiweza kumuelewesha Kiranga kuhusu uwepo wa Mungu utakua mtu mwema sana, nilishawahi kufanya hivyo siku za nyuma ila huyu mtu uelewa wake sijui unaishia wapi?
Msaidie basi mwenzio, amesema amefanya research na akapata proof, ameulizwa hiyo proof iko wapi mimi sijaona jibu.
 
Ukinambia hujui jibu haina maana jibu lake halipo wewe tu utakuwa hujui. Ni sawa na pale unapokubali kuwa una akili

lakini huwezi kunionyesha hizo akili. Wengi tutashindwa kuthibitisha kuwa mungu yupo kwa kiwango ambacho unataka,

kushindwa kwetu haina maana kuwa mungu hayupo!. Mungu yupo na hii dunia ni ya kwake na ipo siku dunia hii itafika

mwisho.Endelea na imani yako hiyo hiyo hapo utakapokufa ndio utakapojua kuwa mungu yupo lakini utakuwa

umeshacherewa. Nakuonea huruma sana kwa msimamo ulionano.

Ukiniambia jibu ni 42 ni lazima unioneshe 42 imekujaje, na kwa nini ni 42 na si 43 au 24.

Ushakubali umeshindwa kuthibitisha.
 
Ngoja nimsaidie Kiranga kdogo hapa, mambo ya kiroho yalikuwepo karne zilizopita bcoz first of all, humans were stupid hakukuwa na elimu, hawakuweza kuprove stuffs like wametokeajetokeaje wapo wapi hata umbo la walipokuwa wanaishi hawakulijua hilo, but as muda ulivosogea watu walijifunza, proofs zikaanza jitokeza kwamba dunia kumbe ipo hivi nk, sasa jinsi muda unavozidi kwenda jinsi watu wanavozidi gundua vitu scientifically proved ambavyo imani zao ziliwaambia tofauti licha ya utofauti tu bila ya uhakika, ndipo watu sasa wanagundua uongo kwenye imani zao wanashift kwenye gunduzi zenye hakiki, na huu ni mwanzo tu mkuu, things are going to change, watu wanataka fahamu ukweli sio contradictions, mtu atajiuliza haya hizo spirits za tokea karne zilopita zipo ndio but which one is true which isn't, sababu wenye imani wenyewe wajitenga amongst themselves kila mmoja anajiona sawa kushinda mwenzie.
That is why kuna atheist, wameona wakae kivyao tu bcoz they see contradictions vrywhere, and i see them also and infact u see them, u just ignoring them.

This is basically the gist of what I have been saying all along here.
 
Nitaenda sebuleni mwangu pamoja na wewe kuhakiki/kuthibitisha kama taa ipo na hatimae hatutoikuta coz haikuwepo since b4.
Hence proved kua taa ambayo haikuwepo haipo!
There once again you are wrong with your statement kua "kisichokuwepo hakithibitishwi"
Go back to the topic and prove to the jf members that there is no God coz u can prove it!# kiranga

Unaweza kuambiwa taa hiyo inahitaji miwani maalum kuiona, wewe huna miwani ndiyo maana huioni.

Kama mimi mnavyoniambia mungu kumjua nahitaji imani, mimi sina imani ndiyo maana simjui.

The argument is basically the same. Ukiikubali kwa mungu huna grounds za kuikataa kwenye taa.

Utasemaje?
 
Deep is a relative term, what is your mark? What is your yardstick? What is your criteria? What is your justification for the criteria?

To a child, the shallow end of the pool can still be as deep as The Mariana Trench while to Mr. Hasheem Thabeet, the deepest point in the same pool might still be as shallow as a teacup.

By Dr. Murray-Gell-Mann's standards, I indeed must admit I am not deep at all, but do you want to spar with me on an average Tanzanian vs average Tanzanian bout?

Sitaki kuamini, nataka kujua.

..nimeipenda sana hii, ni tafakuri halisi ya kifalsafa.nice!
 
Kuna kitu kimejificha sana kati ya vitu hivi
Mungu, Dini pamoja na Dunia

Mungu yupo na ataendelea kuwepo Maandiko yanasema hivyo

Mtu anasema Mungu hayupo ni wale tunaowaita "Mr I know Everything" na siku zote njia zao ni fupi sana

Walikuwepo watu wa hivyo duniani
Waulize kina Herode, na Pharao
Yaliyowakuta wanawajua wao

"Uzungu" na "Elimu ya Magharibi" ni kansa inayomaliza watu kimya kimya

Bishana kwa hoja mkuu... si walikuwepo kina nani sijui na nini

Hayo maneno ya wahubiri tushayachoka sasa
 
Hata ivyo nimeshamsoma naona wenzake wamemkacha anatapatapa tu.

Hahahahahahahha sasa kati ya wewe na yeye nani ana LIKES nyingi kwenye hoja...

Endeleeni tu sisi tukiona huyu ana hoja tunagonga like
 
Anaelewa sana ila tatizo anafikiria ndani ya Box la mzungu aliemletea Atheism.
au anakubali kimoyomoyo watu wasishangae imekuwaje an old atheist turn to be a God fearing person.

Ila si ndo huyo huyo mzungu amekuletea Mungu pia....
 
Mbona wewe unamtetea tu lakini humsaidii au mpaka akwambia ''jamani nafwa huku just a hand'' wengi wenu hamjui hata kitu mnachokiamini ndo tabu nyie mnafikiri lifestyles zote za wazungu ni za kufuata tuu.Alafu huko unakoniagizia nikaombe permission me ndo kiranja huko kawawulize.tena wakiiona hii post watakushangaa.

Mzungu/missionaries ana dini yake -Ukristo
Mwarab ana dini yake-Uislam
Mhindi ana dini yake-Hindu
Mchina ana dini yake

Wewe mwafrika una dini gani?...... halaf unamwambia mwenzako kifuata upepo. Wakati wew ndo unafuata upepo wa Mzungu
 
Hii imeipenda maana nina jamaa yangu ni MBISHI hasa kahtaan km ni Mwafrika ngoja nimuulize DINI yake lkn km ni Mwarabu ni halali na hatatujibu
Tafsiri ya GOD kiuhalisia ni ngumu sana
Kuntafuta GOD halisi ni ngumu sana (ni sawa na kukijaza kisima kwa maji ya Baharini nahii ilimtoekea msomi mmoja huko Italy alimcheka mtoto mdogo aliyeaza kishimo na alipojibiwa na mtoto hakuna tofauti na mtu anayemtafuta MUNGU kumjua)
 
Last edited by a moderator:

kijana mwenye ukakasi kama Ukwaju, Tatizo lako wewe na huyo mwenzako Kiranga ni Elimu ndogo! na bahati mbaya mnajifanya MNAJUA!

Na hili ndio tatizo linalowakuta wengi mno wa namna yenu!

Nadhani nimeshatoa darasa huko nyuma kuhusu KUWEPO KWA MUNGU! Na nikarudia mara kwa mara kuwafahamisha kanuni za kujua Mambo kama hayo. na hapa NTARUDIA TENA, manake mwalimu hachoki kufundisha.!

Mantiki ya dhana ya Mungu

Swali langu la kwanza kwenu nyie litakuwa: "Ni nini maana ya Mungu ?" Kwa mtu kusema hakuna Mungu, Unapaswa kujua nini maana ya Mungu.

Kama mimi nikishikilia kitabu na kusema kwamba 'hii ni kalamu', kwa mtu Mwingine kusema, 'Hio si kalamu', anapaswa kujua ufafanuzi wa kalamu ni KITU GANI, hata kama yeye hajui wala uwezo WA kutambua kitu hicho kilichoko katika mkono mwangu hana! Kwa yeye kusema hii si kalamu, anapaswa angalau kujua japo MAANA YA kalamu.

Vile vile kwa WEWE au hao wasio na elimu kina Kiranga kusema 'hakuna Mungu', mnapaswa angalau kujua JAPO MAANA ya Mungu. NA Dhana ya kuwepo Mungu itakuwa inatokana na mazingira mnayoishi nyie wenye kupinga kuwepo kwake.

Kila kitu ktk Huu ulimwengu ili wewe na mimi tupate kukijua au kukielewa au kukitekeleza basi lazima tufuate KANUNI YAKE.MAALUM !

na KILLA KITU KINA KANUNI.

Ntakupa mifano hapa!

1. UKITAKA UGALI lzm upate UNGA NA ukitaka unga sharti utwange au usage nafaka, na ili upate nafaka sharti upande mbegu kwenye ARDHI YENYE RUTUBA.

2 UKITAKA KUFAHAMU jumla ya namba, mfano 2 na 2 zinakuwa ngapi! basi sharti UTUMIE HESABU, LA SI HIVYO HUWEZI KUPATA JIBU.

3. Na ili wewe Ukwaju na huyo Kiranga mpate nguvu ya kuja hapa jukwaani kutumwagia mapovu, basi LAZIMA MLE CHAKULA! na msipokula HAMTOPATA NGUVU, na matokeao yake mtapoteza maisha!

SASA Kutokana na mifano hio michache hapo juu, ntajaribu kuwafundisha KANUNI IPI IFUATWE ILI MUWEZE KUMFAHAMU MUNGU NI NANI!

Naomba nikufahamishe kitu kimoja. kama mjuavyo kuwa MIMI NI MUISLAMU. Na ntajaribu kukuelimisheni kupitia ISLAMIC CONCEPT OF WHO GOD.

Kabla ya Kukimbilia kujiuliza MUNGU NI NANI, AU YUKO WAPI n.k Sharti tujiulize JE! NI NANI ALIYENIAMBIA MIMI KUWA KUNA MUNGU??

Manake kila mwenye imani ya KUWEPO KITU CHOCHOTE, Basi kuna chanzo ambacho Kimelezea kuwa Kile kitu au sehemu kuwa ipo, au kipo!

Tulipoambiwa kuwa ULIMWENGU WETU NI MDUARA WA umbo la yai! Cha kwanza tulichofanya ni kujiuliza je! nani kayasema haya?? na je! wana credibility gani hao waliosema hayo?? na baada ya kuwasoma hao wanasayansi na kuangalia ni namna gani wameelezea huo ugunduzi wao, Basi kwa kutumia AKILI ZETU pamoja na utafiti wa namna tofauti Tukaja kwenye HITIMISHO KUWA KWELI DUNIA YETU INA UMBO KAMA YAI!

Sasa kwa mimi Muislamu, Sehemu ilionifahamisha kuwa MUNGU YUPO NI QURAAN. Kitabu ambacho kwa mujibu wa HISTORIA kinadaiwa kuwa ni maneno ya MUNGU yaliopitia kwa Mtu mmoja aitwae MOHAMMAD IBN ABDILLAHI{s.a.w} aliyezaliwa huko bara ARAB miaka 1500 na kidogo iliyopita!ambae alidai kuwa yeye ni MTUME WA MUNGU!

Sasa kwa kufuata ile KANUNI ya UHAKIKI jambo la kwanza ni KUFANYA UPEKUZI WA KINA KUHUSU HIO QURAAN,!JE!HIO QURAAN KWELI NI MANENO YA MUNGU??

Tukisharidhika na hilo, Then SIDHANI KAMA TUTAKUWA NA HAJA YA KUCHUNGUZA MENGINE ZAIDI, manake kama tukiridhika na hilo, moja kwa moja tutakubali kuwa KILA LISEMWALO HUMO LITAKUWA LIMETOKA KWA HUYO AMBAE tunajiuliza kama yupo, au hayupo.

LKN kama pia hukuridhika sana unaweza pia Kumchunguza huyo MUHAMMAD! JE ni kweli anachodai KUWA YEYE NI MTUME??

Sisi binaadamu wa sasa ambao Tumebahatika kuishi ktk karne ya sayansi na teknologia mambo yetu mengi tumekuwa tukitumia KANUNI za kisayansi ktk KUYAHAKIKI.

imefikia kipindi sasa hata ile nyanya pia tunatumia kanuni za sayansi ili tujue faida zake na hasara zake.

SASA BASI, Hebu tujaribu KUTUMIA KANUNI HIZO HIZO kutazama UWEZEKANO WA HIO QURAAN KUWA NI KITABU AU MANENO YA MUNGU.

Nadharia{kanuni} ya uwezekano au THEORY OF PROBABILITY.

Katika hisabati kuna nadharia inayojulikana kama ' nadharia ya uwezekano .Ambayo inakwenda kama hivi.

Kama una chaguzi mbili, ambayo moja ya SAHIHI, na moja ni SI sahihi, nafasi ya kuwa wewe utachagua moja sahihi ni nusu , yaani mmoja kati ya wawili watakuwa sahihi . Una 50 % nafasi ya kuwa sahihi.

Vile vile kama wewe utarusha sarafu juu, na ukaamua kuchagua upande wowote, nafasi ya wewe kuwa sahihi ni 50% (1 nje ya 2 ), yaani 1/2.

Kama utarusha sarafu mara ya pili, nafasi ya wewe kuwa utakuwa sahihi mara zote mbili INAPUNGUA KWA NUSU TENA yaani (1/ 2 x 1/2) ambayo ni sawa na 1/4 yaani 50% ya 50% ambayo ni sawa na 25%.

Kama utarusha sarafu mara ya tatu, nafasi ya wewe kuwa utakuwa ni sahihi mara zote tatu inapungua tena na inakuwa ni (1/2 x 1/ 2 x 1/2) kwamba ni 1/8 au 50% ya 50% ya 50% kwamba ni 12 ½% .

mfano wa pili wa nadharia ya UWEZEKANO.

Ukichukua kete yenye pande sita . Kama ukitupa kete na ukadhani idadi yoyote kati ya 1 hadi 6, nafasi ya kuwa dhana yako itakuwa sahihi ni 1/6 . Kama utatupa kete mara ya pili, nafasi ya wewe kuwa sahihi katika mara zote mbili ni (1/6 x 1/ 6) ambayo ni sawa na 1/36 .

Kama utatupa kete mara ya tatu, nafasi ya wewe kubahatisha mara zote tatu na ukawa sahihi ni (1/6 x 1/ 6 x 1/6) ni sawa na 1/216 ambayo ni chini ya 0.5%.

Hebu sasa TUIINGIZE HII nadharia hii ya uwezekano KTK Qur'an , na tudhani tu kuwa MOHAMMAD ALIBAHATISHA taarifa zote zilizotajwa katika Qur'an ambayo ilikuwa haijulikani wakati huo.

Hebu tujadili uwezekano wa kubahatisha kwoote huko KULIKO TAJWA ndani ya QURAAN kulikuwaje wakati huo huo kuwa sahihi mara ZOTE?? .

1.Wakati Qur'an ilinafunuliwa , watu walidhani dunia ilikuwa TAMBALALE, kuna chaguzi nyingine kadhaa kwa ajili ya kuitafakari sura ya dunia. wengine walisema Inaweza kuwa pembe tatu, inaweza kuwa quadrangular , pentagonal , hexagonal, heptagonal , octagonal , spherical, nk na kule kudhani kwao kuhusu sura na umbo la dunia kulikuwa na chaguzi mbalimbali 30.

Qur'an imeeleza Sawa sawa 100% kuwa Dunia ni spherical, ikiwa ni dhana peke yake basi nafasi ya dhana hii kuwa sahihi ni 1/30 .

2. Mwanga wa mwezi unaweza kuwa mwanga wake mwenyewe au mwanga unao akisi .

Qur'an imesema Sawa Sawa kuwa ni mwanga ulio akisiwa. Kama ni dhana peke yake , basi nafasi ya kuwa itakuwa ni sahihi ni 1/2.

na uwezekano kwamba quraan imeweza KUBAHATISHA vyote hivyo, yaani nchi ni spherical na mwanga wa mwezi ni mwanga yULIOAKISIWA ni 1/30 x 1/ 2 = 1/60 .

3. Zaidi ya hayo, Qur'an pia anataja kila kilicho hai chanzo chake ni MAJI. . Kila kilicho hai Kinawezakana kuwa na vyanzo vingi kama miti, mawe, shaba, aluminiam, chuma, fedha , dhahabu , oksijeni, nitrojeni, hidrojeni, mafuta , maji, saruji, , nk chaguzi hizi tumejifunza ktk HISTORI zimetajwa chaguzi zaidi ya 10,000.! ambazo watu walidhani ni nini chanzo cha UHAI.

Qur'an Sawa Sawa inasema kwamba kila kitu kilicho hai Basi CHANZO CHAKE NI maji. Kama ni DHANA nafasi ya kuwa itakuwa ni sahihi ni 1/10, 000.

na uwezekano wa Quraan KUBAHATISHA VYOTE VITATU yaani nchi ni spherical, mwanga wa mwezi ni mwanga ULIOAKISIWA na kila kitu KILICHO HAI Kitokana na maji kuwa sahihi ni 1/30 x 1/2 x 1/ 10, 000 = 1/ 60, 000 ambayo ni sawa na kusema 0.0017 %.

Qur'an inazungumzia kuhusu mamia ya mambo ambayo hayakujulikana kwa Mtu yoyote wakati wa ufunuo wake na tunashuku MUNGU leo sayansi imetusaidia kuyaona yale YALIOTAJWA KTK QURAAN MIAKA ZAIDI YA 1500 ILIOPITA!!.

The quraan speaks about hundreds of things that were not known to men at the time of its revelation. Only in three options the result is 0.0017!

i leave it up to you Ukwaju along with your partner Kiranga to work out the probability if all THE HUNDREDS OF UNKNOWN FACTS WERE GUESSES, The chances of all of them being guesses simultaneously and there being NOT A SINGLE ONE HAPPEN TO BE A WRONG GUESS.

It is beyond HUMAN CAPACITY to make all correct guesses without a single mistakes.

which itself is SUFFICIENT TO PROVE TO A LOGICAL PERSON THAT THE ORIGIN OF QURAAN IS DEVINE.

SASA bwana Ukwaju na huyu anaepinga MUNGU bila elimu Kiranga.
KAMA MMELEWA HILO SOMO HAPO JUU.

Tutaendelea na darasa la pili. na kama unaswali unakaribishwa kuuliza.

cc Polite Mipangomingi wabara Khawarizm Ngongoseke Ritz THE BIG SHOW Mdau35 mfumo
 
Last edited by a moderator:
Nimeona neno "prove" nikaona ngoja niangalie kuna ugunduzi gani mpya, naona madudu.

Unaelewa maana ya neno "prove"? Usha prove kwamba mungu yupo? Katika framework gani?

Kama unataka kufuatilia walichoamini watu wa kale, watu wa kale waliamini pia kwamba dunia si duara, ni bapa, na dunia haizunguki jua, bali jua linazunguka dunia.

Sasa utataka tuamini na hayo pia kwa sababu watu wa kale waliamini?

Umeanza kwa kutaja fact halafu unazama kwenye lindi la hearsay.

Kadiri miaka inavyozidi kwenda mbele, na elimu inavyozidi kuongezeka, ndivyo wasioamini kuwepo kwa mungu wanavyozidi.

Jumapili nilienda kuangalia Super Bowl Boulevard na michezo theatres za Time Square hapo, mchana nikapata lunch, restaurant niliyoingia zamani ilikuwa kanisa. Watu wameibadilisha imekuwa Italian restaurant. Umekaa kwenye restaurant unaona michoro ya kanisa pamoja na stained glasses zile.

Nikaona duh, watu hawa wazungu waliotuletea hii dini wenyewe washaona makanisa hayana deal. Nikakumbuka another time napita Wall St, kwenye exchange pale, nakutana na mhubiri wa Ki Nigeria anawahubiria Wamarekani wanampita kama hana akili nzuri. Reverse evangelism flow, safari hii Waafrika ndio wanaenda kuhubiri Ulaya na Marekani!

Sisi mpaka leo tunang'ang'ania dini na mungu.
ha ha ha , kiranga umetoa hoja nzito kwelikweli, bubbs nimekumisi sana kwenye hii mistari yenye free thinker.when you get time don't stay mute
kimsingi Hasason anaegemea kwenye heresy zaidi, kuliko proved ideas kuhusu uhakika wa uwepo wa mungu. kitu nachoweza kusema kwakuwa imani ni sehemu ya binadamu basi kuamini kuwa kuna divine being who is knowlegeable and superior than us is not a foolishness, simply because its common to see everyone of us irrespective of our culture or origin believe on such thing.may be it is part of our make up.
 
kijana mwenye ukakasi kama @ukwaju, Tatizo lako wewe na huyo mwenzako @kiranga ni Elimu ndogo! na bahati mbaya mnajifanya MNAJUA!

Na hili ndio tatizo linalowakuta wengi mno wa namna yenu!

Nadhani nimeshatoa darasa huko nyuma kuhusu KUWEPO KWA MUNGU! Na nikarudia mara kwa mara kuwafahamisha kanuni za kujua Mambo kama hayo. na hapa NTARUDIA TENA, manake mwalimu hachoki kufundisha.!

Mantiki ya dhana ya Mungu

Swali langu la kwanza kwenu nyie litakuwa: "Ni nini maana ya Mungu ?" Kwa mtu kusema hakuna Mungu, Unapaswa kujua nini maana ya Mungu.

Kama mimi nikishikilia kitabu na kusema kwamba 'hii ni kalamu', kwa mtu Mwingine kusema, 'Hio si kalamu', anapaswa kujua ufafanuzi wa kalamu ni KITU GANI, hata kama yeye hajui wala uwezo WA kutambua kitu hicho kilichoko katika mkono mwangu hana! Kwa yeye kusema hii si kalamu, anapaswa angalau kujua japo MAANA YA kalamu.

Vile vile kwa WEWE au hao wasio na elimu kina @kiranga kusema 'hakuna Mungu', mnapaswa angalau kujua JAPO MAANA ya Mungu. NA Dhana ya kuwepo Mungu itakuwa inatokana na mazingira mnayoishi nyie wenye kupinga kuwepo kwake.

Kila kitu ktk Huu ulimwengu ili wewe na mimi tupate kukijua au kukielewa au kukitekeleza basi lazima tufuate KANUNI YAKE.MAALUM !

na KILLA KITU KINA KANUNI.

Ntakupa mifano hapa!

1. UKITAKA UGALI lzm upate UNGA NA ukitaka unga sharti utwange au usage nafaka, na ili upate nafaka sharti upande mbegu kwenye ARDHI YENYE RUTUBA.

2 UKITAKA KUFAHAMU jumla ya namba, mfano 2 na 2 zinakuwa ngapi! basi sharti UTUMIE HESABU, LA SI HIVYO HUWEZI KUPATA JIBU.

3. Na ili wewe @ukwaju na huyo @kiranga mpate nguvu ya kuja hapa jukwaani kutumwagia mapovu, basi LAZIMA MLE CHAKULA! na msipokula HAMTOPATA NGUVU, na matokeao yake mtapoteza maisha!

SASA Kutokana na mifano hio michache hapo juu, ntajaribu kuwafundisha KANUNI IPI IFUATWE ILI MUWEZE KUMFAHAMU MUNGU NI NANI!

Naomba nikufahamishe kitu kimoja. kama mjuavyo kuwa MIMI NI MUISLAMU. Na ntajaribu kukuelimisheni kupitia ISLAMIC CONCEPT OF WHO GOD.

Kabla ya Kukimbilia kujiuliza MUNGU NI NANI, AU YUKO WAPI n.k Sharti tujiulize JE! NI NANI ALIYENIAMBIA MIMI KUWA KUNA MUNGU??

Manake kila mwenye imani ya KUWEPO KITU CHOCHOTE, Basi kuna chanzo ambacho Kimelezea kuwa Kile kitu au sehemu kuwa ipo, au kipo!

Tulipoambiwa kuwa ULIMWENGU WETU NI MDUARA WA umbo la yai! Cha kwanza tulichofanya ni kujiuliza je! nani kayasema haya?? na je! wana credibility gani hao waliosema hayo?? na baada ya kuwasoma hao wanasayansi na kuangalia ni namna gani wameelezea huo ugunduzi wao, Basi kwa kutumia AKILI ZETU pamoja na utafiti wa namna tofauti Tukaja kwenye HITIMISHO KUWA KWELI DUNIA YETU INA UMBO KAMA YAI!

Sasa kwa mimi Muislamu, Sehemu ilionifahamisha kuwa MUNGU YUPO NI QURAAN. Kitabu ambacho kwa mujibu wa HISTORIA kinadaiwa kuwa ni maneno ya MUNGU yaliopitia kwa Mtu mmoja aitwae MOHAMMAD IBN ABDILLAHI{s.a.w} aliyezaliwa huko bara ARAB miaka 1500 na kidogo iliyopita!ambae alidai kuwa yeye ni MTUME WA MUNGU!

Sasa kwa kufuata ile KANUNI ya UHAKIKI jambo la kwanza ni KUFANYA UPEKUZI WA KINA KUHUSU HIO QURAAN,!JE!HIO QURAAN KWELI NI MANENO YA MUNGU??

Tukisharidhika na hilo, Then SIDHANI KAMA TUTAKUWA NA HAJA YA KUCHUNGUZA MENGINE ZAIDI, manake kama tukiridhika na hilo, moja kwa moja tutakubali kuwa KILA LISEMWALO HUMO LITAKUWA LIMETOKA KWA HUYO AMBAE tunajiuliza kama yupo, au hayupo.

LKN kama pia hukuridhika sana unaweza pia Kumchunguza huyo MUHAMMAD! JE ni kweli anachodai KUWA YEYE NI MTUME??

Sisi binaadamu wa sasa ambao Tumebahatika kuishi ktk karne ya sayansi na teknologia mambo yetu mengi tumekuwa tukitumia KANUNI za kisayansi ktk KUYAHAKIKI.

imefikia kipindi sasa hata ile nyanya pia tunatumia kanuni za sayansi ili tujue faida zake na hasara zake.

SASA BASI, Hebu tujaribu KUTUMIA KANUNI HIZO HIZO kutazama UWEZEKANO WA HIO QURAAN KUWA NI KITABU AU MANENO YA MUNGU.

Nadharia{kanuni} ya uwezekano au THEORY OF PROBABILITY.

Katika hisabati kuna nadharia inayojulikana kama ' nadharia ya uwezekano .Ambayo inakwenda kama hivi.

Kama una chaguzi mbili, ambayo moja ya SAHIHI, na moja ni SI sahihi, nafasi ya kuwa wewe utachagua moja sahihi ni nusu , yaani mmoja kati ya wawili watakuwa sahihi . Una 50 % nafasi ya kuwa sahihi.

Vile vile kama wewe utarusha sarafu juu, na ukaamua kuchagua upande wowote, nafasi ya wewe kuwa sahihi ni 50% (1 nje ya 2 ), yaani 1/2.

Kama utarusha sarafu mara ya pili, nafasi ya wewe kuwa utakuwa sahihi mara zote mbili INAPUNGUA KWA NUSU TENA yaani (1/ 2 x 1/2) ambayo ni sawa na 1/4 yaani 50% ya 50% ambayo ni sawa na 25%.

Kama utarusha sarafu mara ya tatu, nafasi ya wewe kuwa utakuwa ni sahihi mara zote tatu inapungua tena na inakuwa ni (1/2 x 1/ 2 x 1/2) kwamba ni 1/8 au 50% ya 50% ya 50% kwamba ni 12 ½% .

mfano wa pili wa nadharia ya UWEZEKANO.

Ukichukua kete yenye pande sita . Kama ukitupa kete na ukadhani idadi yoyote kati ya 1 hadi 6, nafasi ya kuwa dhana yako itakuwa sahihi ni 1/6 . Kama utatupa kete mara ya pili, nafasi ya wewe kuwa sahihi katika mara zote mbili ni (1/6 x 1/ 6) ambayo ni sawa na 1/36 .

Kama utatupa kete mara ya tatu, nafasi ya wewe kubahatisha mara zote tatu na ukawa sahihi ni (1/6 x 1/ 6 x 1/6) ni sawa na 1/216 ambayo ni chini ya 0.5%.

Hebu sasa TUIINGIZE HII nadharia hii ya uwezekano KTK Qur'an , na tudhani tu kuwa MOHAMMAD ALIBAHATISHA taarifa zote zilizotajwa katika Qur'an ambayo ilikuwa haijulikani wakati huo.

Hebu tujadili uwezekano wa kubahatisha kwoote huko KULIKO TAJWA ndani ya QURAAN kulikuwaje wakati huo huo kuwa sahihi mara ZOTE?? .

1.Wakati Qur'an ilinafunuliwa , watu walidhani dunia ilikuwa TAMBALALE, kuna chaguzi nyingine kadhaa kwa ajili ya kuitafakari sura ya dunia. wengine walisema Inaweza kuwa pembe tatu, inaweza kuwa quadrangular , pentagonal , hexagonal, heptagonal , octagonal , spherical, nk na kule kudhani kwao kuhusu sura na umbo la dunia kulikuwa na chaguzi mbalimbali 30.

Qur'an imeeleza Sawa sawa 100% kuwa Dunia ni spherical, ikiwa ni dhana peke yake basi nafasi ya dhana hii kuwa sahihi ni 1/30 .

2. Mwanga wa mwezi unaweza kuwa mwanga wake mwenyewe au mwanga unao akisi .

Qur'an imesema Sawa Sawa kuwa ni mwanga ulio akisiwa. Kama ni dhana peke yake , basi nafasi ya kuwa itakuwa ni sahihi ni 1/2.

na uwezekano kwamba quraan imeweza KUBAHATISHA vyote hivyo, yaani nchi ni spherical na mwanga wa mwezi ni mwanga yULIOAKISIWA ni 1/30 x 1/ 2 = 1/60 .

3. Zaidi ya hayo, Qur'an pia anataja kila kilicho hai chanzo chake ni MAJI. . Kila kilicho hai Kinawezakana kuwa na vyanzo vingi kama miti, mawe, shaba, aluminiam, chuma, fedha , dhahabu , oksijeni, nitrojeni, hidrojeni, mafuta , maji, saruji, , nk chaguzi hizi tumejifunza ktk HISTORI zimetajwa chaguzi zaidi ya 10,000.! ambazo watu walidhani ni nini chanzo cha UHAI.

Qur'an Sawa Sawa inasema kwamba kila kitu kilicho hai Basi CHANZO CHAKE NI maji. Kama ni DHANA nafasi ya kuwa itakuwa ni sahihi ni 1/10, 000.

na uwezekano wa Quraan KUBAHATISHA VYOTE VITATU yaani nchi ni spherical, mwanga wa mwezi ni mwanga ULIOAKISIWA na kila kitu KILICHO HAI Kitokana na maji kuwa sahihi ni 1/30 x 1/2 x 1/ 10, 000 = 1/ 60, 000 ambayo ni sawa na kusema 0.0017 %.

Qur'an inazungumzia kuhusu mamia ya mambo ambayo hayakujulikana kwa Mtu yoyote wakati wa ufunuo wake na tunashuku MUNGU leo sayansi imetusaidia kuyaona yale YALIOTAJWA KTK QURAAN MIAKA ZAIDI YA 1500 ILIOPITA!!.

The quraan speaks about hundreds of things that were not known to men at the time of its revelation. Only in three options the result is 0.0017!

i leave it up to you @ukwaju along with your partner @kiranga to work out the probability if all THE HUNDREDS OF UNKNOWN FACTS WERE GUESSES, The chances of all of them being guesses simultaneously and there being NOT A SINGLE ONE HAPPEN TO BE A WRONG GUESS.

It is beyond HUMAN CAPACITY to make all correct guesses without a single mistakes.

which itself is SUFFICIENT TO PROVE TO A LOGICAL PERSON THAT THE ORIGIN OF QURAAN IS DEVINE.

SASA bwana @ukwaju na huyu anaepinga MUNGU bila elimu @kiranga.
KAMA MMELEWA HILO SOMO HAPO JUU.

Tutaendelea na darasa la pili. na kama unaswali unakaribishwa kuuliza.

cc @polite @mipangomingi @wabara @khawarizm @ngongoseke @ritz @the big show @mdau35

Hakuna ulichokiandika ambacho sijakisema awali. Kuanzia framework, mpaka the fraud that the quran is.

Nina shaka kama unanisoma.

Wewe usiyejua tofauti ya "divine" na "devine" una guts ya kuwaambia watu kuhusu elimu ndogo?

You have yet to mastered your basic education, such as kindergarten basics, like spelling, and you want to come here highfalutin about "elimu yenu ndogo"?

Kuhusu mungu nimeongelea kuhusu the omnipotent, omnibenevilent, omniscient god.

I am not sure you wven know what that is.

Sasa for starters, wewe kuuliza mimi naongelea mungu gani inaonesha hunisomi, aau kama unanisoma, hunielewi.

Quran yako unayoisifu ndiyo hiyo hiyo yenye contradictions kibao, na inayosema jua linatoka kwenye tope la mwisho wa dunia.

Kama una mistari specific inayoonesha kwamba Quran ilijua scientific facts kabla ya the age of science, weka aya husika hapa tuzichambue. Usiweke maneno general tu ambayo yako subject to interpretation and concoction.
 
Mzungu/missionaries ana dini yake -Ukristo
Mwarab ana dini yake-Uislam
Mhindi ana dini yake-Hindu
Mchina ana dini yake

Wewe mwafrika una dini gani?...... halaf unamwambia mwenzako kifuata upepo. Wakati wew ndo unafuata upepo wa Mzungu

Hahaaaaaaa.

Waambie mkuu.

Wafuata upepo ndo wa kwanza kutusema kwamba sisi wafuata upepo.

Hilarious.
 
Hii imeipenda maana nina jamaa yangu ni MBISHI hasa kahtaan km ni Mwafrika ngoja nimuulize DINI yake lkn km ni Mwarabu ni halali na hatatujibu
Tafsiri ya GOD kiuhalisia ni ngumu sana
Kuntafuta GOD halisi ni ngumu sana (ni sawa na kukijaza kisima kwa maji ya Baharini nahii ilimtoekea msomi mmoja huko Italy alimcheka mtoto mdogo aliyeaza kishimo na alipojibiwa na mtoto hakuna tofauti na mtu anayemtafuta MUNGU kumjua)

Kama unapenda lugha na umezama sana katika somo la etymology, na unapenda Kiswahili utagundua kwamba...

Neno mungu, la Kiswahili, linaloendana na neno mulungu ambalo lipo katika lugha zetu nyingi za makabila, ndilo neno lililotoa neno la Kiswahili la "mzungu".

Kwa maana nyingine, kuamini kuwepo kwa mungu ni kuamini kwamba wazungu ni miungu fulani.

Walivyokuja wazungu mambo yao mengi hatukuyaelewa, tukawaona kama si watu wa dunia hii, ni kama miungu fulani hivi, kwa jinsi wali yojua mengi na kuwa tofauti nasi.

Sasa tumeelimika runajua wazungu ni watu kama sisi.

Inabidi tujue pia kwamba idea nzima ya kuwapo mungu anayejua kila kitu na kuweza kila kitu na kupenda kwa upendo wote at the very least iko inconsistent na dunia ilivyo.

Otherwise tutabaki kuabudu wazungu na kufikiri tunaabudu mungu.

Halafu tunaosema wazungu si miungu kwa sababu hakuna mungu, tukashambuliwa kwa kusemwa kwamba runaabudu wazungu.
 
Last edited by a moderator:
Wewe usiyejua tofauti ya "divine" na "devine" una guts ya kuwaambia watu kuhusu elimu ndogo?

You have yet to mastered your basic education, such as kindergarten basics, like spelling, and you want to come here highfalutin about "elimu yenu ndogo"?

Kuhusu mungu nimeongelea kuhusu the omnipotent, omnibenevilent, omniscient god.

I am not sure you ( wven) know what that is.

Sasa for starters, wewe kuuliza mimi naongelea mungu gani inaonesha hunisomi, aau kama unanisoma, hunielewi.

What went wrong in bracket! Mr know it all??

We huna elimu na kiwango chako cha kujenga hoja ni kidogo mno!

Maji yakifika shingoni always unapindisha mada kwa kutafuta typing errors au spelling mistakes!
As if baba yako anaitwa mr johnson.!

Na huo ni utumwa wa kiakili!
Jitu zima unakuja jukwaa na kuanza kijitangaza eti ulienda pata lunch karibu na Time square!

We mbeba box ukale lunch time square! Teh teh teh teh!

I! Mzaramo wa msata leo kaona ulaya. Maskini anatukana mpaka wazee wake! Na kuwaambia hadharani kuwa WALIKUWA WAJINGA! Na wamekufa na Dhana ya kuwa kuna Mungu! Kwa hivyo wao ni wajinga wasio na akili.

We ungekuwa na elimu ungejiita KIRANGA? ukifahamu ukifahamu kuwa maana yake ni "MANYEGE"?

Na ukisemacho ni kweli kabisa.!

Kila unapoongelea "mungu" nashindwa kumuelewa ni yupi hasa unaemtaja hapo..

Mimi always namuongelea "M"ungu.

Na nnapojadili na yyt kuhusu Mungu napendelea watu wenye elimu!
Na sio viruka njia wasiojua asili zao. Na wasio kuwa na haya mpaka inafikia kuwakashifu wazazi wake waliomzaa!

Kasome kwanza ndio uje kujadili kuhusu MUNGU!
otherwise stick of what you know best!
And that is .....mhhhh! NOTHING!!
 
Back
Top Bottom