Mungu ninayezungumzia Mimi nI Yule aliyeumba na wala hakuumbwa. Hiyo kanuni uliyoitaja kila aliyeumba na yeye kaumbwa haitumiki kwa mungu.
Kwa nini haitumiki kwa mungu na inatumika kwingine? Huoni kwamba, kwa kuwa haitumiki kwa mungu hii kanuni si universal na inakosa universality wa kuifanya itumike popote? Na kama haitumiki popote kwa nini tuamini imetumika katika uumbaji wa binadamu?
Mnasema kanuni haitumiki kwa mungu wakati mungu mwenyewe hamumuelewi, mmeulizwa, kwa nini mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote aumbe ulimwengu ambao shetani anawezekanika, sijaona jibu.
Kama mungu mwenyewe hamumuelewi, mtajuaje kanuni gani inatumika kwa mungu na kanuni gani haitumiki?
Ninachokiona hapa ni kuwaunataka umuone mungu kwa macho yako, kwa hilo usahahu utaondoka kwenye dunia hii bila kumuona.
Wapi umeliona hili? Naandika sana kuhusu logical and philosophical abstracts hapa, naalika dissenting views, je hayo nayo ni kutaka kumuona mungu kwa macho yangu?
Kuandika mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote hawezi kuumba dunia yenye uovu na shida kama hii ni nkutaka kumuona mungu kwa macho yangu?
Uislamu , dini usiyoitambua
ndio pekee inayoweza kundosha hizo complexities unazozieleza umemtaja mungu ni nani:
Uislamu gani? Huu uliojaa contradictions kama methali za Kiswahili au mwingine?
uislamu unasema mungu ni mmoja, hakuzaa wala hakuzaliwa, wala hakuna anayefanana nae. Sasa hapo utazidi kushangaa!!. Nakwambia tena kamwe hutamuona mungu mpaka kufa kwako.hujajibu swali nani analitoa jua mashariki na kulipeleka magharibi?
Hujathibitisha kwamba mungu yupo. Nitauchana uislamu katika context ya "knowledge system", si katika context ya "faith/ belief system" kwani, for the latter nilishasema kila kitu ni halali mradi kifuate sheria tu (ingawa versions nyingine za militant islam do not even make this cut)
Kama ni kusema tu, hata mimi naweza kusema "Mungu muumba mbingu na nchi ni Mchaga mwenye macho matatu aliyepo juu ya mlima Kilimanjaro" tena afadhali mimi nitakuwa namsema mungu wa nchini mwangu, si mungu wa kumfuata kuhiji Mecca.
Nikisema hivyo, je ni kweli mungu huyu wa macho matatu aliye juu ya mlima Kilimanjaro ndiye atakayekuwa kweli muumba wa mbingu na nchi?
Usiseme tu, thibitisha unachosema.
Unaweza kuthibitisha kwamba mungu wa uislamu ndiye mungu wa kweli?
Na kwa kuthibitisha simaanishi kuniletea maandiko yaliyo empty, namaanisha thibitisha logically angalau usiwe na contardictions for starters.
Dini yako yenyewe inavyoanza kusema kuhusu mungu inaji contradict.
"la ilaha illa allah". Hakuna mungu ila mungu.
Kama hakuna mungu, hakuna ila.
Kama kuna ila, huwezi kusema hakuna mungu.
Inaonesha wazi kwamba walioandika hiki kitabu walikuwa na challenges za literacy, coherency na comprehension.
Na si kitabu cha mungu, ni cha binadamu tu. Tena ambao hata uandishi ulikuwa tabu kwao.