History inapingana na wanaosema ''HAKUNA MUNGU'': The simple research you can do to prove it.

Unajuaje kwamba athari hizo ni za mungu na si za kitu kingine?

Teh teh teh teh!

You see now!

We hujajua hata hizo ATHARI ZENYEWE NI ZIPI! wala HUJAULIZA!
Halafu moja kwa moja unaanza KUBISHA na kuweka defenceless ARGUMENTS!

I am glad you can see for yourself what kind of IQ you possess!

UNAANZA KUPINGA KITU AMBACHO HATA HUJAKIJUA??

I think I have rest my case!

N:B Wale walikuwa wanasema mimi nina tabia mbaya ya kumponda huyu mtu. Hebu someni wenyewe kitu gani anaandika. Halafu labda mtafahamu kwanini mimi namuita huyu mbulula bin akilimbovu!

Hujajibu swali.

Athari zipi!?

Teh teh teh teh!
 
Athari zipi!?

Teh teh teh teh!

Sihitaji kujua athari zipi, naweza kuuliza kuhusu athari zozote zile utakazosema kwamba zinaonesha uwepo wa mungu.

Ninakuuliza, athari yoyote ambayo unasema inaonesha uwepo wa mungu, yoyote ile, utajuaje kwamba hii athari inaonesha uwepo wa mungu na haitokani na kitu kingine chochote?

Pick any athari of yours, how do you know this shows the existence of god as opposed to any other cause?
 
Young man! You are singing the same song with a different tunes!

How on earth someone can argue about something they DONT KNOW??

Your points is beyond obtuseness or philistinism.

You need to learn how to argue son!

Someone with coruscation or discernment like yours it is soo hard to argue with someone who have knowledge!

I really don't know how to help you!

Its like a toddler who want to learn how to talk!
You try to give him simple words but they want to go straight on SINGING!
Thats not going to happen.!

Uts not too late yet!
You could join them adult learning centres!

I recommend this you go and see this people. National Center for Learning Disabilities | NCLD.org - NCLD they might be able to help you.
 
I will not engage you in some of your more despicable ad hominem attacks, that is the characteristic of someone who does not have much to say on the solid arguments front.

You fail to think at the conceptual level.

The question remains.

Unajuaje kwamba hizo athari unazozisema zinaonesha uwepo wa mungu, regardless ni athari gani, zinaonesha uwepo wa mungu, na si kitu kingine chochote?

Mimi nimekupa a wide ranging question.

Kama unataka mfano specific, ni kazi yako wewe unayesema unaona athari za kuwepo mungu utupe hapa athari gani uzitaje.

Maana mimi naweza kutaja radi, nikasema watu wa zamani waliamini radi ni sauti ya mungu anapokasirika, baadaye tukajua radi ni umeme wa hasi na chanya tu ukikutana mawinguni, na si ishara/ athari ya kuwapo mungu, halafu wewe ukaniambia radi si moja ya athari unazoongelea.

Kuepuka habari kama hii, nakupa uwanja mpana, taja athari yoyote unayoona inaonesha kuwapo kwa mungu tuijadili hapa.

Tuiangalie kama kweli inatuonesha exclusively kwamba ni athari ya kuwepo mungu? Au ni misconception na miseducation tu kama kusema "radi ni sauti ya mungu anapokasirika"?

The challenge is yours, nipe mfano tuujadili.

Mfano wowote.
 
The absence of evidence isn't the evidence of absence, in another word simply because you don't evidence that something does exist, it doesn't mean that you have evidence something doesn't exit.
It's as if you are contradicting yourself, Kiranga has been saying that thereshould be no evidence of absence, if absence of evidence can not be evidence of absence, then it is much more ridiculous to claim presence of God in absence of evidence.
 
I will not engage you in some of your more despicable ad hominem attacks, that is the characteristic of someone who does not have much to say on the solid arguments front.

You fail to think at the conceptual level.

The question remains.

Unajuaje kwamba hizo athari unazozisema zinaonesha uwepo wa mungu, regardless ni athari gani, zinaonesha uwepo wa mungu, na si kitu kingine chochote?

Mimi nimekupa a wide ranging question.

Kama unataka mfano specific, ni kazi yako wewe unayesema unaona athari za kuwepo mungu utupe hapa athari gani uzitaje.

Maana mimi naweza kutaja radi, nikasema watu wa zamani waliamini radi ni sauti ya mungu anapokasirika, baadaye tukajua radi ni umeme wa hasi na chanya tu ukikutana mawinguni, na si ishara/ athari ya kuwapo mungu, halafu wewe ukaniambia radi si moja ya athari unazoongelea.

Kuepuka habari kama hii, nakupa uwanja mpana, taja athari yoyote unayoona inaonesha kuwapo kwa mungu tuijadili hapa.

Tuiangalie kama kweli inatuonesha exclusively kwamba ni athari ya kuwepo mungu? Au ni misconception na miseducation tu kama kusema "radi ni sauti ya mungu anapokasirika"?

The challenge is yours, nipe mfano tuujadili.

Mfano wowote.

Ni hatari sana kuwa na watu wa namna ya kiranga. Ni aina ya watu wanaojiona wanajua na hali ya kuwa hawajui. Unaonekana hata maana ya mungu hujui, ikiwa unataka usaidiwe tueleze unafaham nini kuhusu mungu? Nakuuliza hivi kwa sababu kama unajua maana ya mungu usingalisema kuwa kwann tusifikirie kitu chengine chochote na tufikirie mungu? Nani mungu kwa ufahamu wako?
 
Let me remind you that the Qur'an is not a book of Science, ‘S-C-I-E-N-C-E' but a book of Signs ‘S-I-G-N-S' i.e. a book of ayaats.

The Qur'an contains more than 6,000 ayaats, i.e. ‘signs', out of which more than a thousand speak about Science.

I am not trying to prove that the Qur'an is the word of God using scientific knowledge as a yard stick because any yardstick is supposed to be more superior than what is being checked or verified.

For us Muslims the Qur'an is the Furqan i.e. criteria to judge right from wrong and the ultimate yardstick which is more superior to scientific knowledge.

But for an educated man who is an atheist, scientific knowledge is the ultimate test which he believes in.

We do know that science many a times takes ‘U' turns, therefore I have restricted the examples only to scientific facts which have sufficient proof and evidence and not scientific theories based on assumptions.which a lot of you guys rely on!

Using the ultimate yardstick of the atheist, I am trying to prove to him that the Qur'an is the word of God and it contains the scientific knowledge which is his yardstick which was discovered recently, while the Qur'an was revealed 1500 year ago. At the end of the discussion, we both come to the same conclusion that God though superior to science, is not incompatible with it.

Science Is Eliminating Models Of God But Not God

Francis Bacon, the famous philosopher, has rightly said that a little knowledge of science makes man an atheist, but an in-depth study of science makes him a believer in God.

Scientists today are eliminating models of God, but they are not eliminating God. If you translate this into Arabic, it is La illaha illal la, There is no god, (god with a small ‘g' that is fake god)
but God (with a capital ‘G').which if you look at all Kiranga s notes you will find that word {god} all the time! which i am not here to discuss.

"Soon We will show them our signs in the (farthest) regions (of the earth), and in their own souls, until it becomes manifest to them that this is the Truth. Is it not enough that thy Lord doth witness all things?" The Holy Qur'an Verse:41 Chapter:53

sasa kwa wale ambao wanajiunga hapa, kama hujanielewa vizuri hapo juu rudia kurasa ya nyuma uone ni mifano gani nimetoa NDANI YA QURAAN.

now fasten your belt! we are about to take off to SPACE! and i bet some of you guys might suffocates before we get there!

Z
​
images

Are you ready Kiranga and your fellow atheists Nyani Ngabu and the rest??.

allow me to Drop it like HOT!!

Last edited by a moderator:

but God (with a capital ‘G').
which if you look at all Kiranga s notes you will find that word
{god} all the time! which i am not here to discuss.

Kwenye huu mjadala napendelea sana kuwa msomaji tu. Lakini hii posti umeandika utumbo hadi uzalendo umenishinda. Umeandika sijui manyege, unawaita wenzio viruka njia, mara wametukana wazazi, haya maneno yako yanathibitisha vipi uwepo wa Mungu au usahihi wa Quran!?

Ile post yako ndefu pale juu haiwezi kuachwa bila kupingwa.
Unasema Quran ndiyo imekuja na nadharia ya vitu kama dunia kuwa mviringo na eti chanzo cha vitu ni maji!!, Mbona huu ni uwongo wa mchana kweupe!!!??, Quran imekuja takriban miaka 600 baada ya Yesu, mbona kuna wanafalsafa na wanasayansi waliowahi kuishi kabla ya Yesu walishakuja na hizi nadharia??, kutojua hili, ni uthibitisho kuwa wewe unaeaccuse wenzio kuwa hawana elimu ndio huna elimu na inawezekana umekaririshwa Quran tu ndio maana ukaamini kuwa ndio ya kwanza kuja na hizo nadharia.

Mwanafalsafa Thales aliyeishi miaka 624 hadi 546 Kabla ya Yesu ndiye aliyeleta nadharia kuwa chanzo cha vitu vyote ni maji, Yeye alifanya utafiti na kugundua kuwa kuna kitu kinachounganisha vitu vyote pamoja na kutofautiana kwa vitu hivyo, akagundua kuwa kitu hicho ni maji na akafikia hitimisho kuwa maji ndiyo chanzo cha kila kitu.

Hata hivyo, nadharia hiyo ilipingwa na mwanafunzi wake aliyeitwa Anaximander, yeye alithibitisha kuwa chanzo cha vitu ni lazima kisiwe na mipaka wala ukingo, contrary to water, akahitimisha ni ni HEWA na wala sio maji.

Wanafalsafa wengine wengi, wakiwemo Democritus na Leccippus wamelifanyia kazi hili na kupendekeza chanzo cha vitu ni ATOM.
What went wrong in bracket! Mr know it all??

We huna elimu na kiwango chako cha kujenga hoja ni kidogo mno!

Maji yakifika shingoni always unapindisha mada kwa kutafuta typing errors au spelling mistakes!
As if baba yako anaitwa mr johnson.!

Na huo ni utumwa wa kiakili!
Jitu zima unakuja jukwaa na kuanza kijitangaza eti ulienda pata lunch karibu na Time square!

We mbeba box ukale lunch time square! Teh teh teh teh!

I! Mzaramo wa msata leo kaona ulaya. Maskini anatukana mpaka wazee wake! Na kuwaambia hadharani kuwa WALIKUWA WAJINGA! Na wamekufa na Dhana ya kuwa kuna Mungu! Kwa hivyo wao ni wajinga wasio na akili.

We ungekuwa na elimu ungejiita KIRANGA? ukifahamu ukifahamu kuwa maana yake ni "MANYEGE"?

Na ukisemacho ni kweli kabisa.!

Kila unapoongelea "mungu" nashindwa kumuelewa ni yupi hasa unaemtaja hapo..

Mimi always namuongelea "M"ungu.

Na nnapojadili na yyt kuhusu Mungu napendelea watu wenye elimu!
Na sio viruka njia wasiojua asili zao. Na wasio kuwa na haya mpaka inafikia kuwakashifu wazazi wake waliomzaa!

Kasome kwanza ndio uje kujadili kuhusu MUNGU!
otherwise stick of what you know best!
And that is .....mhhhh! NOTHING!!
 
Kwa hiyo kahtaan , kutokana na posti yangu #212 hapo juu, hiyo Quran yako ni outdated, ilicopy na kupaste nadharia ambavyo baadae imeonekana ni ya UWONGO.

Na hata kama hiyo nadharia ingekuwa ni kweli, isingekuwa uthibitisho kuwa ni kitabu cha Mungu.
Kwani wewe hujawahi kusoma vitabu vya wanaadamu vyenye nadharia za kweli?, je tuite navyo ni vyaMungu???
 
Ni hatari sana kuwa na watu wa namna ya kiranga. Ni aina ya watu wanaojiona wanajua na hali ya kuwa hawajui. Unaonekana hata maana ya mungu hujui, ikiwa unataka usaidiwe tueleze unafaham nini kuhusu mungu? Nakuuliza hivi kwa sababu kama unajua maana ya mungu usingalisema kuwa kwann tusifikirie kitu chengine chochote na tufikirie mungu? Nani mungu kwa ufahamu wako?

Kati ya anayesema hakubali kwamba mungu yupo kwa sababu hana ushahidi wala proof kuonesha hilo, na anayesema mungu yupo, bila ya kuwa na ushahidi wala proof, nani hapa anajiona anajua?

Mimi nimekubali sijui uwepo wa mungu, ndiyo maana nikaomba ushahidi na uthibitisho.

Wanaosema wanajua uwepo wa mingu, na wana ushahidi na uthibitisho, wameshindwa kuonesha ushahidi wala uthibitisho.

Nani anajiona anajua hapa?
 
Let me remind you that the Qur’an is not a book of Science, ‘S-C-I-E-N-C-E’ but a book of Signs ‘S-I-G-N-S’ i.e. a book of ayaats.

The Qur’an contains more than 6,000 ayaats, i.e. ‘signs’, out of which more than a thousand speak about Science.

I am not trying to prove that the Qur’an is the word of God using scientific knowledge as a yard stick because any yardstick is supposed to be more superior than what is being checked or verified.

For us Muslims the Qur’an is the Furqan i.e. criteria to judge right from wrong and the ultimate yardstick which is more superior to scientific knowledge.

But for an educated man who is an atheist, scientific knowledge is the ultimate test which he believes in.

We do know that science many a times takes ‘U’ turns, therefore I have restricted the examples only to scientific facts which have sufficient proof and evidence and not scientific theories based on assumptions.which a lot of you guys rely on!

Using the ultimate yardstick of the atheist, I am trying to prove to him that the Qur’an is the word of God and it contains the scientific knowledge which is his yardstick which was discovered recently, while the Qur’an was revealed 1500 year ago. At the end of the discussion, we both come to the same conclusion that God though superior to science, is not incompatible with it.

Science Is Eliminating Models Of God But Not God

Francis Bacon, the famous philosopher, has rightly said that a little knowledge of science makes man an atheist, but an in-depth study of science makes him a believer in God.

Scientists today are eliminating models of God, but they are not eliminating God. If you translate this into Arabic, it is La illaha illal la, There is no god, (god with a small ‘g’ that is fake god)
but God (with a capital ‘G’).
which if you look at all Kiranga s notes you will find that word
{god} all the time! which i am not here to discuss.

"Soon We will show them our signs in the (farthest) regions (of the earth), and in their own souls, until it becomes manifest to them that this is the Truth. Is it not enough that thy Lord doth witness all things?" The Holy Qur'an Verse:41 Chapter:53

sasa kwa wale ambao wanajiunga hapa, kama hujanielewa vizuri hapo juu rudia kurasa ya nyuma uone ni mifano gani nimetoa NDANI YA QURAAN.

now fasten your belt! we are about to take off to SPACE! and i bet some of you guys might suffocates before we get there!

Z
images

Are you ready Kiranga and your fellow atheists Nyani Ngabu and the rest??.

allow me to Drop it like HOT!!

Sasa kama science si mali kitu kwa nini umeifakamia na kuifanya kama ushahidi kwamba Quran ni kitabu cha mungu?

Unaleta habari za "baniani mbaya, kiatu chake dawa"?

Sayansi si mali kitu, lakini ikija kwenye kuvuta watu kwenye uislamu tutasema Quran iko na mistari ya kisayansi?

Hilarious.
 
Kwenye huu mjadala napendelea sana kuwa msomaji tu. Lakini hii posti umeandika utumbo hadi uzalendo umenishinda. Umeandika sijui manyege, unawaita wenzio viruka njia, mara wametukana wazazi, haya maneno yako yanathibitisha vipi uwepo wa Mungu au usahihi wa Quran!?

Ile post yako ndefu pale juu haiwezi kuachwa bila kupingwa.
Unasema Quran ndiyo imekuja na nadharia ya vitu kama dunia kuwa mviringo na eti chanzo cha vitu ni maji!!, Mbona huu ni uwongo wa mchana kweupe!!!??, Quran imekuja takriban miaka 600 baada ya Yesu, mbona kuna wanafalsafa na wanasayansi waliowahi kuishi kabla ya Yesu walishakuja na hizi nadharia??, kutojua hili, ni uthibitisho kuwa wewe unaeaccuse wenzio kuwa hawana elimu ndio huna elimu na inawezekana umekaririshwa Quran tu ndio maana ukaamini kuwa ndio ya kwanza kuja na hizo nadharia.

Mwanafalsafa Thales aliyeishi miaka 624 hadi 546 Kabla ya Yesu ndiye aliyeleta nadharia kuwa chanzo cha vitu vyote ni maji, Yeye alifanya utafiti na kugundua kuwa kuna kitu kinachounganisha vitu vyote pamoja na kutofautiana kwa vitu hivyo, akagundua kuwa kitu hicho ni maji na akafikia hitimisho kuwa maji ndiyo chanzo cha kila kitu.

Hata hivyo, nadharia hiyo ilipingwa na mwanafunzi wake aliyeitwa Anaximander, yeye alithibitisha kuwa chanzo cha vitu ni lazima kisiwe na mipaka wala ukingo, contrary to water, akahitimisha ni ni HEWA na wala sio maji.

Wanafalsafa wengine wengi, wakiwemo Democritus na Leccippus wamelifanyia kazi hili na kupendekeza chanzo cha vitu ni ATOM.

Mkuu kamata tano
Nimeangalia mahali pa ku LIKE sijaona!!
 
Unapokuja kupinga kitu CHENYE USHAHIDI ULIO WAZI basi ni kanuni kuweka Ushahidi wa hicho unacho kipinga,!

Hapo ktk maneno yako yote HAKUNA USHAHIDI WWT ULIONILETEA, Zaidi ya bla..bla..! na kwa mwendo huo HATUWEZI kufika mbali!"!

Pili kama ulikuwa hujui maana ya Kiranga! basi leo umeijua! maana yake ni MANYEGE!! na hilo sio tusi, bali Ni kitendo kinacho mtokea yyt yule ktk ulimwengu wa wanyama! na kama wewe hio hali haijakutokea, nakushauri ukamuone daktari haraka.

tatu Hata baada ya Kutoa hio challenge yako, mwisho unatoa hitimisho ambalo LINAKWENDA KINYUME NA USHAHIDI WA KISAYANSI tulionao LEO karne hii ya 21! kwa kusema
"akahitimisha ni ni HEWA na wala sio maji. " sayansi ya leo inatwambia kama QURAAN ilivyosema. na haina contradictions.

Na HADITHI ZA WANAFALSAFA, Hata kwenye holywood movies tunaziona, HAPA TUNATAKA USHAHIDI ULIOKUWA Preserved HISTORICALLY ambao hata tukisoma tuwe na uhakika kuwa TUKIO HILO ALILITOKEA miaka hio wakati yesu hajazaliwa!

Hata mimi naweza kukuandikia chochote nitakacho kisoma POPOTE! lkn UKIJA KWENYE KUTULETEA USHAHIDI! Hapo ndipo utaanza kurusha ngumi Hewani.

Hebu tusaidie huo ushahidi wako kwanza wa hao kina
Thales aliyeishi miaka 624 hadi 546 kabla ya kuzaliwa yesu, kama huna basi endelea kuwa msomaji kama mwanzo!

manake utanipotezea wakati kujaribiu kukujibu!
 
Last edited by a moderator:
Kwa hiyo kahtaan , kutokana na posti yangu #212 hapo juu, hiyo Quran yako ni outdated, ilicopy na kupaste nadharia ambavyo baadae imeonekana ni ya UWONGO.

Na hata kama hiyo nadharia ingekuwa ni kweli, isingekuwa uthibitisho kuwa ni kitabu cha Mungu.
Kwani wewe hujawahi kusoma vitabu vya wanaadamu vyenye nadharia za kweli?, je tuite navyo ni vyaMungu???

Huyu jamaa kashindwa hoja sasa kabakisha viroja.

Nimemwambia athibitishe uwepo wa mungu, mpaka sasa sijaona alipothibitisha.
 
[/B][/SIZE]

Unapokuja kupinga kitu CHENYE USHAHIDI ULIO WAZI basi ni kanuni kuweka Ushahidi wa hicho unacho kipinga,!

Hapo ktk maneno yako yote HAKUNA USHAHIDI WWT ULIONILETEA, Zaidi ya bla..bla..! na kwa mwendo huo HATUWEZI kufika mbali!"!

Pili kama ulikuwa hujui maana ya Kiranga! basi leo umeijua! maana yake ni MANYEGE!! na hilo sio tusi, bali Ni kitendo kinacho mtokea yyt yule ktk ulimwengu wa wanyama! na kama wewe hio hali haijakutokea, nakushauri ukamuone daktari haraka.

tatu Hata baada ya Kutoa hio challenge yako, mwisho unatoa hitimisho ambalo LINAKWENDA KINYUME NA USHAHIDI WA KISAYANSI tulionao LEO karne hii ya 21! kwa kusema
"akahitimisha ni ni HEWA na wala sio maji. " sayansi ya leo inatwambia kama QURAAN ilivyosema. na haina contradictions.

Na HADITHI ZA WANAFALSAFA, Hata kwenye holywood movies tunaziona, HAPA TUNATAKA USHAHIDI ULIOKUWA Preserved HISTORICALLY ambao hata tukisoma tuwe na uhakika kuwa TUKIO HILO ALILITOKEA miaka hio wakati yesu hajazaliwa!

Hata mimi naweza kukuandikia chochote nitakacho kisoma POPOTE! lkn UKIJA KWENYE KUTULETEA USHAHIDI! Hapo ndipo utaanza kurusha ngumi Hewani.

Hebu tusaidie huo ushahidi wako kwanza wa hao kina
Thales aliyeishi miaka 624 hadi 546 kabla ya kuzaliwa yesu, kama huna basi endelea kuwa msomaji kama mwanzo!

manake utanipotezea wakati kujaribiu kukujibu!

Ushahidi wa kuwepo kwa mungu ni upi? Je ushahidi huu ni exclusive kuonesha uwepo wa mungu au unaweza kuwa kitu kingine? Utajuaje huu ni ushahidi wa kuwepo kwa mungu na si kitu kingine kisichohusiana na uwepo wa mungu?

Je ushahidi huo unathibitisha kuwepo kwa mungu?

Maana mtu anaweza kuchukua DNA yangu na kuipandikiza kwenye crime scene ili ionekane nilikuwapo pale, huo nao ni ushahidi. Lakini je, unathibitisha kwamba mimi nilikuwepo hapo kwenye crime scene?

Naona huongelei uthibitisho, unajikita kwenye ushahidi.

Au ndiyo unakubali mungu wako haathibitishiki?
 
Last edited by a moderator:
Talking about scientific evidence, first thing first, give us scientific evidence and proof that god exists.

Hujajibu swali.

Let me remind you that the Qur'an is not a book of Science, ‘S-C-I-E-N-C-E' but a book of Signs ‘S-I-G-N-S' i.e. a book of ayaats.

The Qur'an contains more than 6,000 ayaats, i.e. ‘signs', out of which more than a thousand speak about Science.

I am not trying to prove that the Qur'an is the word of God using scientific knowledge as a yard stick because any yardstick is supposed to be more superior than what is being checked or verified.

For us Muslims the Qur'an is the Furqan i.e. criteria to judge right from wrong and the ultimate yardstick which is more superior to scientific knowledge.

But for an educated man who is an atheist, scientific knowledge is the ultimate test which he believes in.

We do know that science many a times takes ‘U' turns, therefore I have restricted the examples only to scientific facts which have sufficient proof and evidence and not scientific theories based on assumptions.which a lot of you guys rely on!

Using the ultimate yardstick of the atheist, I am trying to prove to him that the Qur'an is the word of God and it contains the scientific knowledge which is his yardstick which was discovered recently, while the Qur'an was revealed 1500 year ago. At the end of the discussion, we both come to the same conclusion that God though superior to science, is not incompatible with it.

Science Is Eliminating Models Of God But Not God

Francis Bacon, the famous philosopher, has rightly said that a little knowledge of science makes man an atheist, but an in-depth study of science makes him a believer in God.

Scientists today are eliminating models of God, but they are not eliminating God. If you translate this into Arabic, it is La illaha illal la, There is no god, (god with a small ‘g' that is fake god)
but God (with a capital ‘G').which if you look at all Kiranga s notes you will find that word {god} all the time! which i am not here to discuss.

"Soon We will show them our signs in the (farthest) regions (of the earth), and in their own souls, until it becomes manifest to them that this is the Truth. Is it not enough that thy Lord doth witness all things?" The Holy Qur'an Verse:41 Chapter:53

sasa kwa wale ambao wanajiunga hapa, kama hujanielewa vizuri hapo juu rudia kurasa ya nyuma uone ni mifano gani nimetoa NDANI YA QURAAN.

now fasten your belt! we are about to take off to SPACE! and i bet some of you guys might suffocates before we get there!

Z
​
images

Are you ready Kiranga and your fellow atheists Nyani Ngabu and the rest??.

allow me to Drop it like HOT!!

Sasa kama science si mali kitu kwa nini umeifakamia na kuifanya kama ushahidi kwamba Quran ni kitabu cha mungu?

Unaleta habari za "baniani mbaya, kiatu chake dawa"?

Sayansi si mali kitu, lakini ikija kwenye kuvuta watu kwenye uislamu tutasema Quran iko na mistari ya kisayansi?

Hilarious.

We endelea kumwaga pumba tu! watu wanakusoma vizuri sana!

Hebu onyesha WAPI NIMEANDIKA
science si mali kitu! AU naleta habari za "baniani mbaya, kiatu chake dawa!

AU
Sayansi si mali kitu!! NA ni nani aliyekwambia mi niko hapa " kwenye kuvuta watu kwenye uislamu"

ushaona maji yako puani sio?? au sio wewe ULIOMBA UONYESHWE USHAHIDI WA KISAYANSI??!!

Elimu kitu muhimu sana kijana!

na humu jf Utaona mengi,

Usidhani watu wote utawababaisha na hivyo viswali vywa kitoto na kujifanya hodari wa sayansi, kumbe taabani kabisa.

Nakuuliza tena,

KWA KUTUMIA HIO HIO QURAAN NA SAYANSI {ambayo wewe umeiomba} NIKUPELEKE SPACE??

au UNAOGOPA KUKOSA PUMZI??
 
Back
Top Bottom