History inapingana na wanaosema ''HAKUNA MUNGU'': The simple research you can do to prove it.

Wewe ambacho hujaelewa hapo ni nini!??, bado hujaelewa kuwa hiyo nadharia ilikuwa kabla ya Quran na hata kabla ya watukufu waislamu!?? Wewe ushahidi unataka mpaka uweje??, wa video au!??

Labda tuanze polepole!

Naomba MAANA YA USHAHIDI!
 
so can you also prove why 1+1=2 if not following other peoples believes and if the answer is 2 why not 0? and why are sure its 2?
 
Acha kurefusha swali huyo Mungu unayesema yupo kwenye kuran.. thibitish. kuwa Yupo. Ndo anachotak kiranga

Umethibitisha kwamba huwezi kumthibitisha mungu wako.

Kijana usiropoke tu!
Hebu msome huyo jamaa yako anauliza nini!?
Na wewe unasema nini!?

Mbona watanzania hata vitu vidogo kama kuuliza swali pia vinawashinda??

Hivi kweli iko siku mtaweza kujiongoza wenyewe nyie!??

Duhhh!
 
so can you also prove why 1+1=2 if not following other peoples believes and if the answer is 2 why not 0? and why are sure its 2?

Even if 1 + 1 is not 2, a construct I have questioned before here at JF to begin with, that does not prove god exists.

First of all, 1 of what plus 1 of what? 1 of positive plus one of negative is not equal to two of neither.

The equation just shows the folly of idyllic assumptions.

Including the assumptions of the supremacy of a godhead.

All triangles need not be 180 Euclidean degrees, and all parallel lines need not not meet.

You do not need to be an engineering major to.figure this out, critical thinking should have taken care of this, "The Brothers Karamazov" layed it down since November 1880.
 
so can you also prove why 1+1=2 if not following other peoples believes and if the answer is 2 why not 0? and why are sure its 2?

If 1+1 is not =2, then it is equal to what?

It cannot be 0 because 0 is a placeholder for nothingness.

1 and 1 don't designate nothingness.
 
Nyani! Pls dont tell me you never met (gods!)!
There is plenty out there! All you need is your eyes thats all!
The one you should concentrate and seek is The GOD!

but gods are everywhere!

I bet you got few in you town whom some geezers worshipped!

Teh teh teh!
 
If 1+1 is not =2, then it is equal to what?

It cannot be 0 because 0 is a placeholder for nothingness.

1 and 1 don't represent nothingness.
really nothingness according to who if its according to you why 0 stands for nothingness? isnt it a believe that followed bythe all world believing 0 stands for nothingness? so 0 stands for nothongness it came from nowhere? so 0 defined itself and we took it as the way it is? i think there must be someone who really gave the defination of 0 and other people believed and take it into account isn't it so? Mkuu? and today we all understands that 0 stands for nothingness
 
You are so parochial in your thinking!
 
Dont you know nyerere was one of the gods who some humans worshipped! !
How many gods do you want me to mention?
 
You are so parochial in your thinking!

Well nyani, I can see how clever you are by making such a statements!

I wonder why you choose your first name as "nyani"!

Just curious! Thats all.
 
Kijana usiropoke tu!
Hebu msome huyo jamaa yako anauliza nini!?
Na wewe unasema nini!?

Mbona watanzania hata vitu vidogo kama kuuliza swali pia vinawashinda??

Hivi kweli iko siku mtaweza kujiongoza wenyewe nyie!??

Duhhh!

Bado hujathibitisha kwamba mungu wako wa Quran yupo, na yupo nje ya kufikirika tu.

Hilo ndilo swali langu kuu.

Unaweza kuthibitisha kwamba mungu wako yupo?

Jibu ni rahisi tu.

Naweza. Then unathibitisha.

Au.

Siwezi. Then unaacha kubwabwaja.
 
Na aliyekwambia kuwa mimi ninaabudu mungu ni nani!? Ni yule ndugu yako Nyani Ngabu?? Au kwenye quraan kuna mungu ni nani??

Sasa hapa anaebwabwaja ni nani!
 
Last edited by a moderator:
Na aliyekwambia kuwa mimi ninaabudu mungu ni nani!? Ni yule ndugu yako Nyani Ngabu?? Au kwenye quraan kuna mungu ni nani??

Sasa hapa anaebwabwaja ni nani!

Pole pole unakana kwamba unaamini na kuabudu mungu wa Quran.

Kwa hiyo unataka kutuambia kwamba huamini wala kuabudu mungu wa Quran?
 
Last edited by a moderator:
Wewe ambacho hujaelewa hapo ni nini!??, bado hujaelewa kuwa hiyo nadharia ilikuwa kabla ya Quran na hata kabla ya watukufu waislamu!?? Wewe ushahidi unataka mpaka uweje??, wa video au!??

Nimekuuliza swali dogo tu! Umeingia gizani!

NAOMBA MAANA YA USHAHIDI!

Usiwe kama hawa wanaojiita atheist lkn hata hicho wanacho kipinga hawajui maana yake!

Nasubiri jibu ili nikupe hitimisho la hoja zako!
 
Pole pole unakana kwamba unaamini na kuabudu mungu wa Quran.

Kwa hiyo unataka kutuambia kwamba huamini wala kuabudu mungu wa Quran?

Nimekuuliza wapi umeona kwenye Quraan kuna (mungu)?

Yaani kama wewe ni mwanafunzi wangu hata kukuchapa sintojisumbua, nakufukuza shule tu!

Nionyeshe wapi mimi au Quraan inasema tunaabudu mungu!
 
Mimi nimekuja kupinga upotoshaji uliofanya kuwa Quran ndio ya kwanza kuja na nadharia kuwa chanzo cha vitu ni maji, nimeleta ushahidi kuwa hiyo nadharia ilikuwepo kabla ya Quran, unataka shahidi gani??

Wewe ambacho hujaelewa hapo ni nini!??, bado hujaelewa kuwa hiyo nadharia ilikuwa kabla ya Quran na hata kabla ya watukufu waislamu!?? Wewe ushahidi unataka mpaka uweje??, wa video au!??

Nimekuuliza swali dogo tu! Umeingia gizani!

NAOMBA MAANA YA USHAHIDI!

Usiwe kama hawa wanaojiita atheist lkn hata hicho wanacho kipinga hawajui maana yake!

Nasubiri jibu ili nikupe hitimisho la hoja zako!

Kumbe wewe muda wote unaleta ubishi tu hapa hata maana ya ushahidi hujui!??
Log out and go home.

Sasa mkuu hebu naomba ujisome hapo juu! Halafu tazama mtu anaeingia ktk mjadala kama huu kweli kwa mwendo huo tutafika!

Jibu swali langu dogo tu. Labda ukijibu tunaweza kuendelea!

Ni nini MAANA YA USHAHIDI!??

By the way. I am home!
 
Last edited by a moderator:
CC. kahtaan

km huyu jamaa yangu utabisha tena hapa basi Ilimu imekuathiri maana hapa unakubali kabisa kuwa wewe una mungu wako
Baniani ana mungu wake Mimi nina MUNGU wangu Kiranga anataka mtu aproove MUNGU ni yupi Physical tuache habari za Wazungu na Waarabu ndio maana Nyani Ngabu kakwambia Other than that, words alone don't prove jack
Kweli ubishi kwako umefika mwisho
 
Last edited by a moderator:
Dont you know nyerere was one of the gods who some humans worshipped! !
How many gods do you want me to mention?
Ni wapi huko ulikofundishwa kuwa Nyerere nae alikuwa mungu?, ni masjid au umejitungia tu!
 
really nothingness according to who if its according to you why 0 stands for nothingness?

According to mathematicians and people, in general.

isnt it a believe that followed bythe all world believing 0 stands for nothingness?

I'll spare your grammatical butchering for another day. But I don't think taking 0 as a designate for nothingness is akin to believing in god.

so 0 stands for nothongness it came from nowhere?

No it didn't just come from nowhere. You can go as far back as to the early Greeks who really took mathematics and science to another level, the Romans, the Maya civilization, Claudius Ptolemy, and all the way down to Brahmagupta and others who tried to incorporate 'nothing' into the number system. So it has its origins.

so 0 defined itself and we took it as the way it is?

No, it didn't define itself. It was there in the Hindu-Arabic numbering system even before Leornado of Pisa published his Liber Abaci in the 13th century.

i think there must be someone who really gave the defination of 0 and other people believed and take it into account isn't it so? Mkuu? and today we all understands that 0 stands for nothingness

I suggest you start reading omnivorously. You will benefit tremendously from it.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…