History inapingana na wanaosema ''HAKUNA MUNGU'': The simple research you can do to prove it.


mkuu i stand im ur side kwamba mungu yupo lakini kama unataka kumuaminisha mtu asiyeamini katika dini uwepo wa mungu its better kutotumia imani rather tutumie uthibitisho wa kisayansi.
 

mkuu umeelezea vizuri sana nimependa hujahusisha matumizi ya vitabu vya dini ili wasio kuwa na imani katika dini wapate na wenyewe kuchangia na kutathmini,kuwepo kwa spiritual being kunapelekea kuwepo kwa super natural being ambae very posible atakuwa creator na controller wa kila kitu ulimwenguni hapa.and he should be one only one.
 

naomba nijaribu kukujibu hapo chukulia mfano comp ambayo imetengenezwa na kutumia operating system lets say window ,lakini kuna virus ambazo wanaziatack so aliyegundua window ametengeneza anti-virus ambazo ameelekeza nini ufanye ili comp yako isiwe attacked the same applied to mungu na shetani mungu ameweka taratibu za kumfuata yy aliyetugundua sisi binaadamu(window) ili tusiweze kuwa attacked na virus(shetani) kwa kututengenezea anti-virus(dini) kwa maana ya mfumo kamili wa maisha ya binaadamu,kwenye kutanabaisha dini ipi ni sahihi ambayo mungu ametuletea huo ni mjadala mwingine so chaguo ni letu either kufuata masharti ya aliyetuumba au la kama ilivyo kwenye com uamuzi ni wa mtumiaji wa com kuchagua kuweka au kutoweka anti-virus.
 
Hahahahahahahha sasa kati ya wewe na yeye nani ana LIKES nyingi kwenye hoja...

Endeleeni tu sisi tukiona huyu ana hoja tunagonga like

hhhahahaha Kiranga he is somehow right kwenye hoja zake ingawaje i stand kwenye side kwamba mungu yupo and i hate kuona watu wakijaribu kuthibitisha uwepo wa mungu kwa kutumia vitabu vya dini au dini.kwa sababu mtu anaeamini dini tayari anaamini mungu so no need of justification hapo.
 
Last edited by a moderator:

biblia haijajcontradict ila ukiisoma kama unakpmbizwa hutaielewa kamwe, hyo link uliyotoa mwandish wake namfanansha na wale wapga kelele kwenye miadhara ya dini wanachukua kifungu cha maneno bila kukielewa. Kuhusu baba yake Joseph link yako inadai biblia imejchanganya ila yeye ndo kajichanganya, ukisoma Mat 1:16 biblia imeweka wazi kabsa kama baba wa Joseph ni Yakobo ila ukisoma Luk 3:23 biblia imesema Yesu ''alidhaniwa'' kuwa ni mwana wa Joseph wa Eli. Sasa kama neno ''alidhaniwa'' mwandishi wako ameshndwa kujua linamaana gani basi haina maana kuweka link za vilaza kama hao.
 

Well and good.

Except mungu anasemwa kuwa anajua yote, anaweza yote na ana upendo wote.

Which would never be the case for any super nerdy hardware/ software designer.

Kwa hiyo mfano wako ni mbovu, kwa sababu unamlinganisha mungu mwenye kujua yote, kuweza yote na upendo wote na computer system designer ambaye hajui yote, hawezi yote na hana upendo wote.

Your analogy fails especially when you consider that right now, proportionately speaking, Bill Gates - since you mentioned computer systems- is doing more to eradicate polio than this yet imaginary godhead.

Bill Gates is funding a massive polio eradication campaign against unsurpassed odds.

God can do all that and more by a mere thought.

If god is there, all powerful, all knowing, all loving, why doesn't he do better than Bill Gates?

God can eradicate polio this instant, and rid us of this scourge?

Better yet, why would an all loving, all knowing, all capable godhead create a universe in which polio (and AIDS, cancer, diabetes, multiple sclerosis, malaria, heart attacks, dementia, Alzheimer's disease etc) is possible at all?

I bet you if Bill Gates had an option to kill all the computer viruses before the launch of Microsoft he would have done it.

Why wouldn't a goghead with all knowledge, all capability and all love do the same and even more?

On a proportionate "cross multiplication" system, where we compare resources and results, Bill Gates with his limited resources delivers better results than god.

Why can't god, with his unlimited resources, do better than Bill Gates?
 

First thing first.

Regarding item 2

Kujua na kuamini ni tofauti kama giza na mwanga, kama usiku totoro na mchana mwangaza.

Within whichever framework. Towards whichever convergence, if at all there is one:-

Ukijua, huamini.

Ukiamini, hujajua.
 

This should be played at high volume, probably in a residential ares - A Dr. Dre prescription skit from "The Chronic".
 

Hii ndiyo sababu kabla ya kujibu maswali/ hoja mara nyingi nauliza definitions.

Mtu anaweza kukuuliza "Unaamini kwamba mungu yupo?" wakati katika mafunzo yake uwepo wa mungu unathibitishwa na uwezo wa mwanadamu kuuliza swali.

To paraphrase Descartes, "I think and ask, therefore god exists".

Sasa mtu kama huyu jibu lolote utakalompa ku question uwepo wa mungu litakuwa haliwezi kufanya hilo.

Kwa sababu swali lake tu lishathibitisha kwamba mungu yupo!

Sasa watu wengine ukiwauliza definitive questions, kwa mfano, questions that would help narrow down their definition of god ( biblical, quranic, logical etc) wanaona kama una deflect questions in an obscurantist fashion.

It is very important that you brought up this point.

Until one defines which god one is referring to, discussing that god's attributes is a futile exercise.

One that in a Selassian asymptote will remain to be pursued, but never attained.
 
hasason
Hawa wanaojiita atheists naomba niwaambie sio kila kitu mzungu anachowadangaya na nyie mnadanganyika kwa bei ya peremende unajua kabla hujakubali au kukanusha jambo unatakiwa ujirithishe kwa facts.

Mkuu, we are all born atheists.Mtoto mchanga anazaliwa hana dini.Mazingira ya malezi ndo yana determine belief system yako.Mfano mtu akizaliwa uarabuni mostly likely atakuwa muislam na mtu akizaliwa south east asia atakuwa m buddha


Evolution sio process ya siku moja au mbili

Evolution ni process inayo span millions of years across several generations under complex environment conditions

Pia homo sapien sapiens(binadamu) na apes wa sasa tuna share a common ancestor sio kwamba sisi binadamu tuli evolve kutoka hao nyani. Ndo mana DNA ya nyani inafanana na ya kwetu kwa asilimia 98
 

A scholarly input with realistic roots.
 

It is rather peculiar that, one would want to convince another of a godhead's existence by skipping the independent proof of that very godhead's existence, and going straight to using that supposed godheads texts.

If I don't accept that he exists in the first place, how would I accept the texts are authentically his?

You bring about a very important point, which I am afraid will escape the majority of our feeble minded JF members.
 
Last edited by a moderator:

Hujajibu maswali yake yote kum dismiss hivyo.

Kati yako unayechukua kifungu kimoja na ku jump to conclusion na yeye aliyekuwekea vifungu lukuki ambavyo hujavijibu, nani anachukua vifungu bila ya kuvielewa?

Kabla ya ku dismiss, maliza vifungu.

Hujamaliza vifungu ushataka ku dismiss?
 

tuelimishane uwepo wa mungu bila ya kuingiza dini wala vitabu vyake,ili wasioamini kwenye qur-an au uisalm wapate kuamini,kwa taarifa yako mtume muhammad(s.a.w) aliyeleta qur an ambayo ndo imeeleza hiyo dhana ya dunia kuwa duara na chanzo cha kila kitu ni maji aliuwa hajui kusoma wala kuandika alichokuwa anafanya akishushiwa aya through malaika jibril(gabriel) alimwambia swahaba(follower) wake aiandike ili maandiko yasiweze kupotea so kama alikuwa hajui kusoma wala kuandika how come aweze kujua hao maphilosopher wa zamani kwamba ndo walikuja na idea hizo?? Lets get back to the topic,
 

unapojaribu kutoa hoja usikashifu unajua kwa nini huyu aliyebanwa mbavu alibanwa mbavu unajua kulikuwa kuna mafunzo gani during tendo la kubanwa mbavu kabla ya kuamua kuponda kitu ni vyema ukajua knowldge behind it.
 
Last edited by a moderator:

kama ulivyosema ameweka vfungu lukuki nmeshndwa kuviweka vyote coz ni utumbo tu nmepick kmoja as an example ila kama unataka nkuorodheshee vfungu mbalimbali jamaa alivyokua akili ndogo, sawa naweza nkafanya hvyo!
 
unapojaribu kutoa hoja usikashifu unajua kwa nini huyu aliyebanwa mbavu alibanwa mbavu unajua kulikuwa kuna mafunzo gani during tendo la kubanwa mbavu kabla ya kuamua kuponda kitu ni vyema ukajua knowldge behind it.

Usikashifu.

Somo kubwa sana hilo.

Kwa yeyote.

Hata kwangu.

Asante mkuu.

One.
 
kama ulivyosema ameweka vfungu lukuki nmeshndwa kuviweka vyote coz ni utumbo tu nmepick kmoja as an example ila kama unataka nkuorodheshee vfungu mbalimbali jamaa alivyokua akili ndogo, sawa naweza nkafanya hvyo!

Si utumbo mpaka uthibitishe kwamba ni utumbo.

Hujathibitisha hilo.

Hata mimi naweza kusema kwamva kusema kwako kwmba "ni utumbo", ni utumbo. Lakini kudai hivyo, hakumaanishi kwamba unachosema ni utumbo.

You ned more than empty claims to make your claims stick.

Kabla ya kusema hayo madai lukuki ni utumbo, inakubidi kuthibitisha hilo. Kwa kuyajibu yote.

Ama sivyo wewe ndiye utakuwa unatapika utumbo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…